Gavana wa Kwale Achani, asema hapigi marufuku Muguka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 тра 2024
  • #CitizenTV #Kenya

КОМЕНТАРІ • 198

  • @user-nl1zd4zp8z
    @user-nl1zd4zp8z Місяць тому +12

    Heri ungekaa kimya kuliko kuongea pumba we Mama

  • @bahatichenje6224
    @bahatichenje6224 Місяць тому +18

    Huyu mama kumbe ovyo coz atajua watoto wake hawatathirika anaongea hata hana haya

    • @Ipthisam001
      @Ipthisam001 Місяць тому +2

      Tena muslamu mzima hana haya ata kidogo

    • @deeruta9894
      @deeruta9894 Місяць тому +3

      Yani huyo mama ni bure kbsa hata sijuwi why !!! But time will tell

    • @omarmwabege
      @omarmwabege 28 днів тому +1

      Allah pekee ata washusha

  • @erickjuma7643
    @erickjuma7643 Місяць тому +13

    Double speak, you wont ban at the same time you don't support.😂

  • @swalehahmed6579
    @swalehahmed6579 Місяць тому +11

    Huyu mama atizama maslahi yake na piya pujipendekeza kisha huyu ni adui wa watoto wa watu

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 Місяць тому +11

    Kibaraka mkubwa
    Subhana'Allaah.

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 Місяць тому +1

      " Allaah (swt) mnyime huyu mwanamke mfedhuli, "Jannah" na faida zake zote kwa kudhalalisha Umma wa Kiislamu! Myime/ mkataze hata kueka mguu wake hapo " As-Sirat, mwanga huyu!!

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 Місяць тому

      Ameen 🤲

  • @BranMayn
    @BranMayn 27 днів тому

    Now this is a leader who talks a bout bussiness, and I can see you taking the next term

  • @AshrafBunu
    @AshrafBunu Місяць тому +14

    Adui ya mpwani ni mpwani

  • @did3462
    @did3462 Місяць тому +8

    Wacha siasa uza kwako yapite huko juu mombasa haiingi

    • @antonymwangi4986
      @antonymwangi4986 Місяць тому +2

      Itaingia kila siku

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 Місяць тому

      ​@@antonymwangi4986we ni pumbavu kama wapumbavu wengine. Jingazzz

    • @user-kn5bv3qj8p
      @user-kn5bv3qj8p Місяць тому

      ​@@antonymwangi4986Itaingia kila siku tuuni kwako

  • @mathekarichard1382
    @mathekarichard1382 Місяць тому

    Thanks govornor for being of sound mind and taking the necessary actions.
    You have a very professional attorney general 🙏🙏🙏👏👏👏 congratulations

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 Місяць тому +3

    Huyu mwanamke ni mpuuzi kweli, ikiwa ni mugokaa hautambuliki hata uko bungeni ,mugokaa ni mti uliozembuka siku chache baadae, Allah ataipiga marufuku na atafanya iwe nyasi yakukinaiwa na kutotiliwa maana na kiumbe yeyote kwa kuila, hiyo ni dua na Allah ni mwingi wa rehema, uwa naona huyu mwanamke anajitambua kumbe hovyo tu!

  • @abdulla201
    @abdulla201 Місяць тому +2

    Mama yy afikireya vote 🗳 juu yy u.d.a..mambo km aya ayataki siasa mama wetu wa kwale bt utajuta soon

  • @mosesmwema7829
    @mosesmwema7829 Місяць тому +10

    Waa hapo mama umeanguka mtiani.

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj Місяць тому +4

    Sisi Mombasa hatutaaaki wakulima wa mngoka waende wakauze huko kwale.

  • @omarmwabege
    @omarmwabege 28 днів тому +1

    Gv.Achani usijisahau kwa uongozi kumbuka kuna kifo nakuna hukumu!!

  • @sulumawadh7133
    @sulumawadh7133 Місяць тому +15

    If you are not interested to Ban mogukaa in kwale please don't talk. Adui ya mpwani ni mpwani mwenzake.

    • @ashurakinyugo1168
      @ashurakinyugo1168 Місяць тому +3

      Adui ya future generation..

    • @Msemaukwelikweli
      @Msemaukwelikweli Місяць тому +1

      U r the problem

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Місяць тому +5

      Tena huyu ni muuwaji swa wala sio adui tu,analeta siasa kwenye. maisha ya watu,Allah akushushe hapo ulipo

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 Місяць тому +1

      @@fatumamwalimu5765
      Ameen
      Shetani huyu mwanamke

    • @saidmambo2721
      @saidmambo2721 Місяць тому +1

      Adui wa pwani ni mpwani tuuu

  • @hamadiomari6839
    @hamadiomari6839 Місяць тому +2

    Uyu astahili kuitwa mama but shida ni board yake karibu yote ni hao wa muguka

  • @alikutsetsera9387
    @alikutsetsera9387 29 днів тому +1

    Utakwenda jibu mbele ya mungu juuu ya uongozi wako waangalia maslahi yako ujali ya wengine sikupendi

  • @zulfandonyi1434
    @zulfandonyi1434 Місяць тому +1

    This clearly shows how our country values money so much than the life of it's own people. And that is why it is also very hard to fight other drugs in this country. May God deal with those people who support this evil act

  • @williekitala6567
    @williekitala6567 Місяць тому +2

    Shame on you! you've really failed us the community at the coast region....even the women who are busy fighting this menace, you've retreated from the frontline!

  • @olivemustafa-qo9kj
    @olivemustafa-qo9kj Місяць тому +3

    huyu mama sijui kam huko kwa alizaliwa ama sijui kam alitoka wp simupendi yan funga mugoka jamn

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Місяць тому +2

    Huyu mama hana akili hata kidogo. Kenya wanaume hawana nguvu za kiume halafu wewe unaona kawaida.

  • @did3462
    @did3462 Місяць тому +4

    Wako na wamwenzako ngoja yakufike wewe ndiyo utajua .watu watakao kula mingokaa wahame kwale

  • @musaandrew-dh7zk
    @musaandrew-dh7zk Місяць тому +2

    Talks like a reasonable leader

  • @ahmedbadi5822
    @ahmedbadi5822 Місяць тому +5

    Adui WA Umoja Pwani ni Ukabila wadigo wanaona ni vita vya wazomba

    • @MamyHamso
      @MamyHamso Місяць тому

      Si wadigo huyu mwanamke ni chawa wa ruto mpumbavu sana

    • @adnanadan457
      @adnanadan457 Місяць тому

      ​@@MamyHamsolakum dinukum waliyadin nyie mkae ni dini yenu na sisi yetu

    • @iddipazi5142
      @iddipazi5142 Місяць тому

      Mutuache wadigo tuliposema MRC mukasema ni chama cha wadigo kwa ivo wadigo tumeamua pwani ni kenya na goka liuzwe kama kawa hujalazimishwa kutafuna goka kwa hio walio bakia mtajipanga wadigo hatutaki tena tumechoka mlitusaliti

    • @MamyHamso
      @MamyHamso Місяць тому

      @@iddipazi5142 mi ni mdigo lakini nikuambie gokaa limefanya watoto wakiume wamezembea hawafanyi kazi mke asafiri mume atumiwe pesa akila gokaa punguzeni uvivu

    • @adnanadan457
      @adnanadan457 Місяць тому

      @@iddipazi5142 ongeza volume askie 🤣🤣 waeleze wapambane na ushoga usagaji na madawa za kulevya

  • @user-fs3uy2tl6h
    @user-fs3uy2tl6h Місяць тому +5

    Hapo umefail na kitakuramba

  • @Mohalira
    @Mohalira Місяць тому +1

    Utashabikiwa hapa duniani tu na wanadamu wenzako...akhera siri ni ya Mwenyezimungu ila kwa uamuzi wako uloutoa mwanamke wewe ume fail...ata heri usingefungua kinywa chako.

  • @HassanAthuman-lf7cz
    @HassanAthuman-lf7cz 29 днів тому +1

    Huyu mama Kwan ntasa tena muislamu wachangia haraam ww baada ya cheochako kuna Allah mbele

  • @user-np1bf6me4u
    @user-np1bf6me4u 29 днів тому +1

    Sasa huyu mama anasema nini hapo sura kama chapati ya mwanafunzi

  • @njirumwaura6201
    @njirumwaura6201 Місяць тому +3

    Give people a chance to choose.

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 Місяць тому

      " Nenda unyonye hedi ya mamako, thats too a chance!! Kafir wewe!!

  • @AlphonceOmari
    @AlphonceOmari 29 днів тому +1

    Hyo ni niia moja itakayokupelka nyumbani 2027

  • @alicejumaa89
    @alicejumaa89 Місяць тому +3

    Hiyo kwale kwa mguka ndiyo hatari kabisa

  • @sabrinapogal9463
    @sabrinapogal9463 Місяць тому +1

    Swali ni kuwa kwanini watake wauze coastal areas kama watu wa pwani hawataki hio muguka jamani tunaomba hatutaki mugoka

  • @user-hv5bk5tr1j
    @user-hv5bk5tr1j Місяць тому +1

    Kibaraka cha UDA

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 Місяць тому +3

    "Mkorofi, msaliti, kafir mkubwa huyu mama!! Nnlijua mvurya atamuamuru asipige marufuku kwani mvurya mwenyewe tangu ugavana alikua ana jeuri/ dharau zake na magavana wote wa pwani, kisa ati alisoma!! Kuleni huko kwale , mfe na saratani za mwili mzima! Umejipunguzia themani yako kwa wapwani, " SHAME ON YOU"!!

  • @hamadmohamed3056
    @hamadmohamed3056 27 днів тому

    Watu wa Kwale midume mizima ikaenda kuchagua Mwanamke awaongoze matokeo yake ndio kama haya 😅

  • @user-pg7eo1lj9m
    @user-pg7eo1lj9m Місяць тому

    Kweli kwale haijawahi kupata Governor wallahi

  • @mamitomamita6284
    @mamitomamita6284 Місяць тому +1

    HASBUNA ALLAH WANEIMA WAKIL

  • @Hamisi8465
    @Hamisi8465 Місяць тому +1

    Eti bunge la county limezunguka skia huyu mama😂😂😂wamezunguka wapi ama mnazungukia hao wameru😂😂😂kuna msee amefanywa operation mbili juu ya mgoka we unasema nini.. Nilijua hii kimya ya huyu mama italeta mambo😂😂

  • @alisaadmohammed
    @alisaadmohammed 29 днів тому +1

    Sawa wacha mogokaa yote iingie kwale halafu usije kulia

  • @mohamedalawy6172
    @mohamedalawy6172 Місяць тому +1

    Anaogopa kukosa Kura za Watu wenye Asili ya Central Kenya ambao ni wengi Sana Kwale County hususan Ukunda na Diani

  • @AbdallahKatana
    @AbdallahKatana Місяць тому +5

    Ukotayari kuendelea kuumiza wana wawenzi?

    • @bahatichenje6224
      @bahatichenje6224 Місяць тому +2

      So anajua yy yuko na uwezo kuwapeleka hata inje ya kenya watoto wake kwenda kusomea huko ndio maanake ni mama lkn haonekana hathamini watoto wawenzie ama anahofia kukosa madharaka

    • @zulfandonyi1434
      @zulfandonyi1434 Місяць тому

      Madaraka amekosa tayari kwa kuunga mkono uwovu

  • @saidsuleiman372
    @saidsuleiman372 Місяць тому +1

    Wakwale waliacha kuchagua prof wakachagua muimba taarab ...oneni sasa

  • @marykinuthia6067
    @marykinuthia6067 Місяць тому +1

    Silence is golden

  • @joshuawambua378
    @joshuawambua378 29 днів тому

    akuna Sheria ya kuzuia muguka juu Sheria ya Kenya imekubalisha so akuna kitu naweza fanya

  • @josephmuthami4710
    @josephmuthami4710 Місяць тому +1

    Mkipiga marufuku pea wauzaji kazi simple don't use your position threatening citizen making them masikini than before

  • @MombasaKwetu-ft9ky
    @MombasaKwetu-ft9ky 28 днів тому

    Mungu atakushinda ishallah

  • @wilfredonyambu6991
    @wilfredonyambu6991 Місяць тому +2

    Huyu yuko tu sawa

  • @kahiyemohammed8556
    @kahiyemohammed8556 Місяць тому

    Kama kenya shoga amehalalishwa, mguka pia itapitishwa. Kama mungu anataka kuangamiza jimbo, kwanza anauwa wenye hikma, wenye busara,

  • @FatumaKafahamu
    @FatumaKafahamu Місяць тому

    Waogopa kupinga mugokaa waona ukiupiga utabwaga mama ovyoo kuongea pia ujui ubwaaah sna

  • @DzunyaSuleimani-tu1qh
    @DzunyaSuleimani-tu1qh Місяць тому +1

    Wewe mama ni mjinga sijawahinona

  • @alabizoshazb5678
    @alabizoshazb5678 Місяць тому

    hapo hujasema kitu.tuweni makini kwenye kupiga kura kila siku mwaambiwa mwisho mnaeka viongozi wenye kuangalia mishahara yao.ndo tutadharaulika siku zote tukiendelea hivi.

  • @zulfandonyi1434
    @zulfandonyi1434 Місяць тому

    Mama yetu,umetusikitisha sana.

  • @patrickokinda1309
    @patrickokinda1309 Місяць тому

    Let's msa government go to the parliament and table the issues of mugoka

  • @AbdallaJabal-jj1sm
    @AbdallaJabal-jj1sm Місяць тому

    Simama imara Wacha kusupa supa , hii kitu inaharibu jamii tena zote si jamii maalumu tuu

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 28 днів тому

    mungu atampa la kumpa sheria za nini hana lolote yuazunguuka na jambo moja tu kupiga mugoka marufuku uyu mwanamke mpuzi sana atutaeka ban eka bomu

  • @user-oz5if7gi3q
    @user-oz5if7gi3q 27 днів тому

    Wewe mama hauna utetezi wowote Kwa kizazi hichi Cha sasa.nakama ulichaguliwa na wananchi juwa 2027 unaenda kupumzika

  • @zaujiashekuwe-wk3ct
    @zaujiashekuwe-wk3ct 26 днів тому

    Makosa uivuzugumza watoto muhimu wazazi wanaliya kuna navizazi vitakuja tafakarl mche mola wako😢

  • @himidmkuya7381
    @himidmkuya7381 28 днів тому

    munachaguwa watuu vibaraka huyu mama hana mpango wowotee hana hata hisiya huyuu

  • @Munira-le3bx
    @Munira-le3bx 28 днів тому

    Kunyeche kama hivi ndio tujuwe kunavuja wapi sasa tushajuwa ndio huyu amejionesha hafai kabisa kuwa kiongozi mahali hajali wtt wawezake haya huna daa wewe

  • @naomikrause1762
    @naomikrause1762 Місяць тому

    KWANI HAMUJUI KUWA
    FATUMA CHANI UTAFUNA
    MUKUGANA MIRAA🙄🙄🙄🙄🙄

  • @user-lw3ne4zu3k
    @user-lw3ne4zu3k Місяць тому

    Anataka watoto wawatu waaribike ili azidi kutuma watoto wa watu kuwanumulia mugoka ili wampe kira watati wa kura na watoto wao hawatumii mwangalie huyu mama vizurii

  • @user-vm9me9jr5n
    @user-vm9me9jr5n Місяць тому

    Wewe mama ni bure sana umepewa pesa za shakahola wewe ni mafi ya kuku wewe ni shetani ushidwe

  • @ED-zi9rb
    @ED-zi9rb Місяць тому

    Afrika for Afrikans hongera Gavana Waarabu ni masupremacists.

  • @hildamwaka1473
    @hildamwaka1473 Місяць тому

    Mama unadalilisha familia ya wapwani wewe huna watoto kwani?sisi tunalia wewe unafurahi au watoto wako hawaishi pwani

  • @benjaminosura7665
    @benjaminosura7665 Місяць тому

    THIS THE KIND OF LEADERS WE NEED HONGERA MAMA ,SIO MAMA WENGINE WANALALA WANAUNDA KATIBA YAO SIJUI WANAKUA ETI WAO NDIO SHERIA SHENZI SANA MOMBASA ,KILIFI AND TAITA I THROUGH THEY FOLLOW THE WAVES IDIOT'S,,

  • @morganmutwirimukwanjeru6475
    @morganmutwirimukwanjeru6475 Місяць тому

    thank you..........ni kama tu mnazi na kokain ama bangi......mtu akule chenye anataka.....hoiyeeeeee

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj Місяць тому +1

    Huyu mama analeta USZIMIO NA UKENYA KWANZA KWENYE AFYA ZA WATU,haeleweki Sasa hapo amekataa au ameuidhinisha .marazingine tunapo chagua jamani tuangalie wenye uwezo.

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 Місяць тому

      " Huyu ni mbwa wa uda! Mashekh na viongozi wa dini pwani nzima, ondoeni baraka zenu kwa huyu mwanamke fedhuli, kichaa, msaliti, kafir! Hata wazee wa Makaya yote pwani waingilie kuhusu uamuzi wa huyu mwanamke mwenda wazimu (simtambui tena kama mheshimiwa) yuko radhi watoto wa pwani wafe ndio aonekane ni wameru/ wabara kuwa anatawala kwale county!! Mchetu wa kuvuva, kwenda huko na uislamu wako fake!!

    • @benjaminosura7665
      @benjaminosura7665 Місяць тому

      Nonsense matusi ya nini wazimu na hio kichwa kimejaa bangi na unga useless,,

  • @TopTop-vo6pe
    @TopTop-vo6pe Місяць тому

    2027 unaenda nyumbani umeanguka mtihani mama

  • @alikutseka8523
    @alikutseka8523 27 днів тому

    mji ukiongozwa na mama hauendelei

  • @user-kh7bc4js1m
    @user-kh7bc4js1m 27 днів тому

    Subhana ALLAH yani dini na umoja hamna kabisa

  • @chaliwamombasatv605
    @chaliwamombasatv605 Місяць тому

    Uyu ni mpuziii.. Kuendeshwa n mwanamke n balaa they fit for advice not being a leader

  • @ManguzeSaid
    @ManguzeSaid 27 днів тому

    Ww mwenyew hta huoni waibu wenzko wamesimama kitede wew waongea tu ujinga

  • @mfungonishauri4234
    @mfungonishauri4234 Місяць тому

    Which is which

  • @Munira-le3bx
    @Munira-le3bx 28 днів тому

    Ww nimtu wakutaka upendwe na wabara hawa niwale wanaangalia pochi hawana umoja na waisilam wezake hafai hata kidongo atapoteza wattoo wawatu huko anajali mfuko wake

  • @ebkateam
    @ebkateam Місяць тому

    Gavana Achani wakosa kuwajibika kulinda afya ya wananchi kulingana na majukumu uliyopewa kikatiba. Soma katiba Chapter 1 article 2 tena soma chapter 4 article 42, 43, na 46 ndio utajua umekana majukumu ya gavana kikatiba COK2010.

  • @jimalhussein3215
    @jimalhussein3215 Місяць тому

    Hapo sawa

  • @patrickokinda1309
    @patrickokinda1309 Місяць тому

    This mama Is right and she knows the law for those are supporting ban of mugoka go bck n read Kenya law

  • @stephenngila827
    @stephenngila827 Місяць тому

    Weeeutaka watoto waise weeeutachakuliwatena weeumeiza

  • @Munira-le3bx
    @Munira-le3bx 28 днів тому

    Hamumuoni amezungukwa na wabara hafai kabisa hana hatahaya kuwaishim wazee watu wamepinga yeye ninane haoni harari ya mugoka ilivo haribu watu kwa ujumla baba wa toto wa shule wa dada wakina mama wote hao niwadhiriwa wamugoka nikusudi afanya huyu kuonekana tu na kupewa pesa kutoka nakuzungumza amefelii

  • @swalehbakari2667
    @swalehbakari2667 Місяць тому +1

    Mpuuzi tu unge nyamaza tu

  • @luciaowino935
    @luciaowino935 Місяць тому +1

    Look at that.....

  • @ebkateam
    @ebkateam Місяць тому +1

    Tangaza msimamo

  • @user-bb9hw5vw6h
    @user-bb9hw5vw6h Місяць тому +5

    Huyu mmama amezaa kweli ama yeye uchonga?

  • @himidmkuya7381
    @himidmkuya7381 28 днів тому

    huyuu hatufai kutuongoza amkeni wakosti aongea pumbaa

  • @njirumwaura6201
    @njirumwaura6201 Місяць тому

    Sensible.

  • @petersifuma8741
    @petersifuma8741 Місяць тому

    What are you saying?

  • @ShariffCharo
    @ShariffCharo Місяць тому

    Umesimama na jikomwe lako waongea upumbavu

  • @mohamedkobe1488
    @mohamedkobe1488 Місяць тому

    Acha kujipendekeza mama, MGUKAA ni sumu ktka maendeleo ya vijana

  • @user-bp4wv4jo2i
    @user-bp4wv4jo2i Місяць тому

    huyu ndiye kusema yote linda afya yako na jamii yako fanya kivyako kulinda watu wako

  • @patrickokinda1309
    @patrickokinda1309 Місяць тому

    Msa gov't focus on the issues you promise msa pple the ban or use of mugoka was not in your agent while your via for governor

  • @danielngoka6451
    @danielngoka6451 29 днів тому

    Huyu mama nipeni mimi nimtie mimba

  • @alfanmwatamu9030
    @alfanmwatamu9030 Місяць тому

    Atahajui anasema nn. Ndio ukaambiwa wapwani hatuna umoja ndio ivi sasa lajisemea tu

    • @fatumajuma592
      @fatumajuma592 28 днів тому

      Atakwenda kulizwa kesho inshallah

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 Місяць тому

    Kwani watu wa kwale wenyewe wanasemaje?😢😢

  • @salimngari6295
    @salimngari6295 29 днів тому

    Huyu sasa ni adui wa pwani

  • @Superdarling2-pc2vn
    @Superdarling2-pc2vn Місяць тому

    Miigipe mungu ww mama

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj Місяць тому

    Aibu Sanaa hovyooo hata Mungu huogopi 🤔😏

  • @Mohalira
    @Mohalira Місяць тому

    Hajielewi huyu mwanamke.

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 26 днів тому

    Mpumbav snaa wee mama

  • @user-mw3iw9vp3o
    @user-mw3iw9vp3o Місяць тому

    We mama ujielewi umeongwa na wameru nn

  • @howto3013
    @howto3013 Місяць тому

    Regulated for what ...we regulate it ...tukikosa pesa hatukuli