NDAKORIRE MWANA ATETWO;ACA NIWE WAHEITHIRIE MWANA! Wangui na Lydia nuu uraria ma?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 кві 2021
  • MWANA NI ATHIMWO! Wangui na Lydia nuu riu uraria ma?
    #NjanjoYaMuturire #KamemeTv

КОМЕНТАРІ • 200

  • @lenaosore6710
    @lenaosore6710 3 роки тому +26

    Ulikutwa wapi hiyo wakati wote crocodile 🐊 tears 😢 mtoto ni wako lakini zema tu ukweli in simple nyote mnajuana wazeni kubeba wana

    • @lucymwai7645
      @lucymwai7645 3 роки тому +2

      Very true, alikua anaongea uongo ata si mgojwa pahali ako sawa kabisa

    • @lenaosore6710
      @lenaosore6710 3 роки тому +1

      @@lucymwai7645 I tell you

    • @wambuitracy4487
      @wambuitracy4487 3 роки тому +1

      Wanajuana.
      Maybe Lydia aliuziwa mtoto.

    • @abigaelsamuel674
      @abigaelsamuel674 3 роки тому +1

      Exactly she knows the truth

    • @gervaisseth789
      @gervaisseth789 3 роки тому +1

      Kweli huyo dem ni shetani

  • @njerikinyua4297
    @njerikinyua4297 3 роки тому +9

    Man nyari this case needs to be ruled by the court and not you

  • @faithkagunda1017
    @faithkagunda1017 3 роки тому +17

    Shame on you Wangui... where were you all that time ...thumbs up to Lydiah for bringing up that beautiful gal... May God bless you🙏

  • @user-zd3dc9jc6v
    @user-zd3dc9jc6v 3 роки тому +16

    Kwamaoni yangu mimi naona huyo mama alazalisha
    Huyo msichana alafu huyo mama akatupa mtotoi .huyo mtoto niwa mschana.

  • @francisn442
    @francisn442 3 роки тому +11

    I think this needs to go to court. Man Nyari cannot decide who to get the kid. And granting someone custody of a child in such a scenario might not solely depend on DNA. If someone throws away a baby does she retain the right to pick it back whenever she wishes? Kameme ensure you handle this issue within the law otherwise you have no jurisdiction of deciding where the child should stay. This grandma should sue you for kidnapping😂

  • @esthermuchiri9905
    @esthermuchiri9905 3 роки тому +20

    Am thinking outside the box.Huyu mom aliyekuwa anamuuzia changaa alimchoea this young lady alivyo kuwa Don't pregnant.Akachora vile atamzalisha na aweke mtoi Kwenye kichaka asiwe na Shida na authority .ndio mwenyewe akamchukuwa. My own thoughts .pls tafakari.

    • @shirogitari8477
      @shirogitari8477 3 роки тому +1

      Inaweza kua hivo maybe but wangui was not unconscious forever.......she woke up and she new the lady imean Lydia.....if she needed that baby ....am very sure kuna watu walijua pahali Lydia ako ........this story has alot of question though

    • @lizjoseph4404
      @lizjoseph4404 3 роки тому

      @Esther Muchiri I thought the same, this young lady might be innocent, may be she took advantage of her situation

    • @lizjoseph4404
      @lizjoseph4404 3 роки тому

      @@shirogitari8477 follow the story from the beginning

    • @damariswairimumuigai4522
      @damariswairimumuigai4522 3 роки тому

      My thoughts too

    • @millicentwambui6278
      @millicentwambui6278 3 роки тому +1

      Unaweza kuwa kweli..but hiyo miaka yote amekuwa amenyamaza???????

  • @wanjikunjima477
    @wanjikunjima477 3 роки тому +10

    What! this is terribly man nyari for sure u always try God bless you abundantly 🙏 mumie ulipewa doz ya kiroro ukabreaki hakuna maguta walah🤔 ,cz ya stress hungetaka mtoi, now regret do zako, but u took so long why like this 😥😥☹

    • @wambuitracy4487
      @wambuitracy4487 3 роки тому +1

      After 3 months mbona haku report?
      Angeenda aite polisi waende kwa Lydiah.

  • @marymwangi1782
    @marymwangi1782 3 роки тому +12

    Tusione wangui muongo tukubuke kuna masetani na wangui haja okoka soo miaka inaeza isha mingi kama hajielewi

  • @carolinenyambura4648
    @carolinenyambura4648 3 роки тому +6

    Maria mothe mekagirwo ndumaini makaguurio muthenya farigici...wagikonyo hau mwana akometio niwe warimaga hau uguo githiururi giki niwakiui?God bless you pastor

    • @carolinenyambura4648
      @carolinenyambura4648 3 роки тому +1

      Naniguo wagikonyo athinikite na mwana ucio maa

    • @carolinenyambura4648
      @carolinenyambura4648 3 роки тому +2

      Araririo nikii riu 🙄🙄ati ni Ruo rwa mwana na miaka 12 yrs aturaga Kuu?

    • @carolinenyambura4648
      @carolinenyambura4648 3 роки тому +1

      Man Ngai wangui 12 yrs Alikua wapi ?

    • @sallynjoki7851
      @sallynjoki7851 3 роки тому +1

      This woman waja needs a lot of respect amepea huyo mtoto malezi

  • @miriammuita4473
    @miriammuita4473 3 роки тому +6

    I think the two ladies had a deal but Wangui is now regretting otherwise why appear so imotional after so many years of abandoning the child. I think the case should be investigated further even after the DNA. You cannot just go to a casual place to deliver a baby. The two must have had a deal which they are not revealing.

    • @maryfaithmwangi5253
      @maryfaithmwangi5253 3 роки тому +4

      After three mnth as wangui said she recall what happened why she didn't report to the police for Lydia to be investigated to me its show wangui was aware where the kid is and was following Lydia secretly now cos she is may be settled in life she thought now its time to strike using njanjo and now why public sympathy by pretending how emotion she is.

  • @maryngotho1126
    @maryngotho1126 3 роки тому +5

    A mother is a person who brings a child up not the one who gives birth.

  • @scellahndong311
    @scellahndong311 3 роки тому +5

    Seriously? Why subject this girl to this? Why can't things be sorted out without involving her until there is something concrete to tell her? Thats traumatizing her. After you all are done and got the viewership, do you consider the psychological effect on her? Or was she to give some evidence as to how she was abandoned? Treating her like a pawn!

  • @johnmungai8606
    @johnmungai8606 3 роки тому +5

    Wangui, you might be the mother, but you should listen as you are being asked,

  • @mma5958
    @mma5958 3 роки тому +5

    After DNA, pls look for the parents if Wangui not the mother. Child needs to know he is.

  • @roseletsworkinpjs1427
    @roseletsworkinpjs1427 3 роки тому +9

    Theodora is a Greek Name meaning gift from God Or gift of God

  • @ceciliamuthoni9793
    @ceciliamuthoni9793 3 роки тому +7

    Analia nini huyu mjinga hio miaka yote ulikuwa wapi

  • @janemwangi6065
    @janemwangi6065 3 роки тому +1

    Hapa kwa man nyari and nungari watu wasikuje hapa na mauongo zao coz Ile kazi wanafanyanga, mungu ANAKUANGA ametangulia wamebalikiwa sana Hawa.

  • @maggiebernard
    @maggiebernard 3 роки тому +19

    Riu Wangui araririo nikii? Kama alikua anajua huyo mama die alichukua mtoi amekua wapi hio miaka yote, alikua amengojea alelewe mtoi dio ajitokeze.

    • @joeywanjiru973
      @joeywanjiru973 3 роки тому +2

      Ata Mimi hio kulia inaniboo Sana. She wants to look innocent na bado hatujui Nani anasema ukweli

    • @marthakamau4372
      @marthakamau4372 3 роки тому +2

      Crocodile tears alitupa mtoto saa juu anaona ameomoka ndio anataka mtoto

    • @joeywanjiru973
      @joeywanjiru973 3 роки тому +1

      @@marthakamau4372 Aki hi case nayo Ni complicated huezi judge na side moja both of them looks like they are telling the truth bt only one person can be saying the truth.

    • @maryfaithmwangi5253
      @maryfaithmwangi5253 3 роки тому +3

      Imagine mbona hakurepoti

    • @faithkagunda1017
      @faithkagunda1017 3 роки тому +1

      My question too... where was she all this time??

  • @matunda2008
    @matunda2008 3 роки тому

    Man Nyari, i love the way u encourage people despite what they may be doing or going through at the moment! that indeed does not define our tomorrow. Wangui is indeed very important! she just needs the right help

  • @layajen1615
    @layajen1615 3 роки тому +9

    Ucio muhiki atige maheni fiu tondu ngwiciria ari ohau mwana akioyo akimenya kuria mwana atwaririrwo....riu mundu wa mihadarati atige maheni

  • @shirogitari8477
    @shirogitari8477 3 роки тому +16

    It's very funny this lady wangui kabisaa alijua mwenye alimzalisha and she was very sure it's lydia bona hakuwahi mtafuta all that long .me naona wangui new and she was waiting the baby to grow. Not good at all

    • @maryfaithmwangi5253
      @maryfaithmwangi5253 3 роки тому +4

      I support you she was following Lydia and the kids secretly now she thought cos the girl is big she can strike to be gvn back through njanjo and she twisted the story so that the girl will hate Lydia so as not to refuse to go with her and prefer her ie wangui and pretending to be emotion why she didn't report after she recover and remembered all whats happened and she know Lydia and may be Lydia was still sell changaa there.

    • @shirogitari8477
      @shirogitari8477 3 роки тому +1

      @@maryfaithmwangi5253 too much question to ask wangui with her tears not so real ........... may the will of Gid be done tondu ma kau kana muturire wako wahota gucejia orimwe ma

  • @georgenjenga7587
    @georgenjenga7587 3 роки тому +9

    Kwanini aliwait mpaka mtoto akawa mkubwa? Huyo dame nimuongo sana

  • @agnesmuchina5425
    @agnesmuchina5425 3 роки тому +8

    Mi naona hii ni deal ya cucu yeye ndiye aliweka mtoi hapo wangui anaongea ukweli pengine hiyo mafuta hangeweza kumfuata mtoi vizuri but wote wanajuana they should tell us the truth

  • @marthakamau4372
    @marthakamau4372 3 роки тому +5

    For all those years alikuwa wapi atleast angesema kuna siku alijaribu kulipoti kesi ama alijalibu kuendea mtoto huyo mama akakata so is most likely Wangui alitupa mtoto juu ya shinda hiyo miaka ni mob sana na anadai alikuwa anajua Wanja ndie ako na mtoto. She is lying

    • @loisemumbi3868
      @loisemumbi3868 3 роки тому +1

      Hapo swa

    • @maryngatia9947
      @maryngatia9947 3 роки тому

      Alisema ati vile alijipaka ile mafuta akili za mtoto zilipotea

    • @fiddiggokirimi9630
      @fiddiggokirimi9630 3 роки тому

      First 3yrs. Then 3months. Well after hio 3months vile ulikumbuka why didn't you report the case kwa polisi. From 2009 where have you been? This is not healthy for that beautiful gal. I pray Hata kama DNA will turn out to be on your side. Asipewe huyo mtoi. Plz children's office to keep her until 18yrs then she decide on her own whether to look for that wangui. I really feel broken to see such innocent gal being exposed to this. She doesn't need this for God's sake plz...

  • @jamesjonathankiiru767
    @jamesjonathankiiru767 3 роки тому +6

    Last time Lydia alisema ni yeye alikata na akafunga mtoto, Sasa ni huyu tena, huyu mama alinzalisha na akaenda kutupa mtoto mahali angeonekana, kumbuka alisema alijifungua from 5am,mungu ampe hekma muweze kutatua haya mambo🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @shelbycheetah1930
    @shelbycheetah1930 Рік тому

    My name is porcelain Nkirote and I wish to meet my mum.
    I stop seeing her when I was 8 year old.
    Please help me

  • @leahkimani6586
    @leahkimani6586 3 роки тому +1

    This is very sad and wrong,why subject this gal into all this trauma,the interest of the gal should come fast,if this the best way to break the news to this young gal?

  • @maryngatia9947
    @maryngatia9947 3 роки тому +4

    Wangui analia ju roho yake inamshtaki vile alifanya years back....

  • @magiehwilliams9896
    @magiehwilliams9896 3 роки тому +3

    I think no matter what the dna results be uyu mama anaiitwa Lydia anafaa andelee kuwa na uyo kiddo uyu wangui alikuwa wapi all those years.. It's not fair.. Kuzaa sio kazi kazi ni kulea.. Wangui acha crocodile tears.. Ala

  • @winiewinnie2770
    @winiewinnie2770 3 роки тому +3

    Wonders shall never end yawah. Sasa analia nini miaka kumi alikuwa waki surely

  • @janemurimi1984
    @janemurimi1984 3 роки тому +7

    Nduthi ciari nyingi baba witu 2009

  • @elizabethnganga
    @elizabethnganga 3 роки тому +5

    Mama kazalisha Wangūi kwa nyumba, kaweka mtoto kwa kiondo, watu wakamuona, halafu kamchukua in pretence ni kuokota. My two cents. However, hongera kwa kumlea mtoto. This child was better off raised by cūcū because back then, Wangūi alikuwa mlevi wa chang'aa na pia mihadarati.

  • @wambuitracy4487
    @wambuitracy4487 3 роки тому +1

    Mbona Wangui haku report?
    Alikumbuka after 3months mbona hakuenda kwa polisi?
    I'm thinking...
    Aliuzia Lydia mtoto, baadaye akaamua kumuitisha mtoto.

  • @blessedmama5367
    @blessedmama5367 3 роки тому +1

    Mmmmh ! Don't take the child to the orphanage yet the mother that brought him up is here and willing to be with him . If not let the child decide with whom to live . The birth mother is a stranger to the child !!

  • @irenesteve9765
    @irenesteve9765 3 роки тому +2

    This lady is confused 🥱anasema cucu alimsaidia kujifungua ,then after that akamwacha bila kukata mtoi ambricord😳😳 akamwachanisha ivyo?akatupe mtoi na kiondo ndio Tena cucu akaokote mtoi kwa shamba?niuratuhingisha my sister,let's wait for DNA test 🤔nindamaka.

  • @maggiekiarie5404
    @maggiekiarie5404 3 роки тому +2

    Wangui neatige maheni angekorwo ne amenyaga lydia niwe wenamwana agire kumugere tene nekee ningereee amenyire atia lydia niwe waiya mwana na neateire fahamu wangui ona akorwo mwana ne wake ndakanengerwo.....

  • @jamesslkua4609
    @jamesslkua4609 3 роки тому +4

    Asipewe mtoto atamharibu kabisa

  • @marymwangi1782
    @marymwangi1782 3 роки тому +4

    Kuna kitu tuna sahau pengine wanja alieda akamueka hapo kama alipaka uyo mama mafuta akatupa fahamu iyo ni deal

    • @layajen1615
      @layajen1615 3 роки тому

      Hakuna kitu alipakwa ni bangi na ulevi

  • @rebeccagikonyo5648
    @rebeccagikonyo5648 3 роки тому +1

    This need to go to court.

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 3 роки тому +2

    Wa hii case ni ngumu but may God intervene ..

  • @wanjikukimani2310
    @wanjikukimani2310 3 роки тому +5

    Ùyù nì ùhinga wa hali ya juu...

  • @faithcalos1078
    @faithcalos1078 3 роки тому +5

    Nyina wa mwana niarahenania aseme alitupa mtoto... Mama mlezi May God bless you mum

  • @marynndungu3360
    @marynndungu3360 3 роки тому +2

    Aiii miaka ino yothe wangui arari kuu mwana uyu angigakinya hau niatuirio muno

  • @wairimumaina8665
    @wairimumaina8665 3 роки тому +1

    oh Jesus help this child. She does not deserve to go through this. She is beautiful

    • @wambuitracy4487
      @wambuitracy4487 3 роки тому

      Woiii afadhali hawangekuja na mtoto kwa studio

  • @catherinemaina6144
    @catherinemaina6144 3 роки тому +1

    Wangui hana makosa juu alikua mlevi huyu mama alikua anajua vile anafanya so wanajuana visuri sana alipewa githeri na changaa akapeana mtoi 😱😱

  • @gracemuthoni2988
    @gracemuthoni2988 3 роки тому +5

    Jehovah miaka igana.. 12.. Sasa dio analia kama mtoto ni wake alipe huyu mama.. Aiiii na kina liia

  • @sarahkinyua1083
    @sarahkinyua1083 3 роки тому

    Noo let's check on this all dimensions.what if cucu aliweka mtoto hapo ndio isemekane Lydia ametupa mtoto??????

  • @nyanjuigeorge3561
    @nyanjuigeorge3561 3 роки тому +3

    Good one All the way from Quter

  • @gladysmaina992
    @gladysmaina992 3 роки тому +7

    Wangui ni muongo alisema hajawai kunywa pombe na madawa

  • @gracewarobi9908
    @gracewarobi9908 3 роки тому +5

    Wangui araturaga ku miaka iyo yothe.

    • @marthakamau4372
      @marthakamau4372 3 роки тому +1

      The same question

    • @lucymwai7645
      @lucymwai7645 3 роки тому

      Tamenya, araturaga kuu agirirwo ni kunyitwoo ni thirikari.

  • @reggieciru1650
    @reggieciru1650 3 роки тому

    Very nice program for reuniting people with lost loved ones but very badly presented and the space is very crammed, many interruptions, no flow.

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 3 роки тому +3

    Chungeni kuna maroho machafu huko muombe kabisa mutigathiururwo

  • @margaretkimemia8862
    @margaretkimemia8862 3 роки тому +1

    Sasa huyu wangui alikuwa anajifanya analia time yenye ameguzwa na Nugari akaongeza sauti😂😂

    • @gervaisseth789
      @gervaisseth789 3 роки тому

      Mwanamke mgani anaweza sahau mtoto wake miaka tatu shetani yye

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 3 роки тому +3

    Huyu shosh anaogopa DNA which applies like kuna uongo flani hapa huyu madam naye alisema hajawai tumia changaa or anything like mihadarati leo tena amekiri kua anatumiaga ....wa man nyari hau wina wira muritu mwina Nungari

    • @njerikinyua4297
      @njerikinyua4297 3 роки тому

      Shosh is only afraid of loosing this kid.

    • @sallynjoki7851
      @sallynjoki7851 3 роки тому

      Wangui niyeye anaogopa DNA

    • @alicekirigo7641
      @alicekirigo7641 3 роки тому

      aii we miaka iyo yothe uturaga ku wangui akorwo mwana uyu ni waku, wachaa wewe

    • @alicekirigo7641
      @alicekirigo7641 3 роки тому

      it's not fair aristaki police eti mutoto amepotea since akiwa mdogo

    • @marybbcndura206
      @marybbcndura206 3 роки тому

      Shosh knows Wangui is the baby’s mother. It was all planned...my thinking....

  • @abigaelsamuel674
    @abigaelsamuel674 3 роки тому

    This was a deal well planned the real mother Cecilia is a hypocrite despite all the odds she should have spoken the truth. She failed terribly where has she been for all those years. Though walitumia ujeuri wao Lydia amelea huyo mtoto willingly ... Both okokeni... Pombe sio nzuri

  • @kimberlykanuthu839
    @kimberlykanuthu839 3 роки тому +1

    Uyu arareririthia nduu haha na ndangiconoka. Uyu ona mwana DNA yauma akorwo mwana ni wake agiriire kwamba kuohwo njera ni gute mwana. Crocodile tears😠😠😠😠😠😠. Njangiri ya mundu muka

  • @janemwangi6065
    @janemwangi6065 3 роки тому

    Hawa MA kucu Wanaongea uongo mtupu coz walikua wapi na Hawa kufuatilia huyo mtoto frome 2009 mpaka saa hii?????? By the way mama mwenye aliokoa huyo mtoi alifanya vizuri sana coz aliokoa mtoi na Sasa dio unaona huyo wamunyota Nia yake alikua anataka kuua huyo mtoto. But God is there.

  • @janemunyua264
    @janemunyua264 3 роки тому +4

    Wanja ni wara ahuthirire nigu aiye mwana.

    • @janesherry7053
      @janesherry7053 3 роки тому +3

      Hatiri na thina, mwene mwana athitangire kuu niatunyuo mwana??? Akimenyaga mwana eku bona hakufuatilia mtoto wake??

  • @nyamburafaith597
    @nyamburafaith597 3 роки тому +1

    Huyo mama yy ndie aliweka mtoto hapo amefanya poa kulea bt Ata yy ako na ukora

  • @traceyccathy1708
    @traceyccathy1708 3 роки тому +5

    Huyo lydia alipanga hii kisaga

  • @wambukidstv2987
    @wambukidstv2987 3 роки тому

    I will not judge her God bless see all our secret

  • @Faith_Nyambura13
    @Faith_Nyambura13 3 роки тому +12

    Wangui ni actor sasa alikuwa wapi hiyo miaka yote.For sure huyu mama amelea miaka mingi muangalia side yake Sana

  • @annwamuyu707
    @annwamuyu707 3 роки тому

    Huyo wangui akiabiwa mtoto niwake anyitwo ni children officer kugeria kuraga

  • @elizabethnganga
    @elizabethnganga 3 роки тому +3

    Wangūi kira na ūhere mehia maku.

  • @grasgras9889
    @grasgras9889 3 роки тому +5

    Mannyari nilikwambia huyu mm ndiye atupa huyo mtoto ndio ajifanye ni kumwona ogopa wamama wa changaa hiyo ilikuwa set na huyo rafiki yake

    • @lucywaithera2979
      @lucywaithera2979 3 роки тому +1

      After the lady who delivered the baby left this old lady knew if she keeps the baby there’d be questions.Went back to the drawing board. Found a good plan of putting the baby in ‘’that’’ bush pass by later and offer to help the baby period. Here we need a Lie Detector and DNA

    • @grasgras9889
      @grasgras9889 3 роки тому

      @@lucywaithera2979 that's what it is and did you here even kuna bado kijana alinjinyonga kwake na bado hakuwa wake ?huyu mm ni witch na hata huyo kijana maybe alimtoa sacrifice lakini akamtumilia hiyo mafuta anapakanga watu akakosa fahamu na kujinyonga AMA hata yy ndie alimnyonga .na kama ni hivo na wenye alikuwa anawauzia changaa ni nini hakuwafanyia ama kuwawekea kwa hiyo changaa?ngai 🤔🤔🤔

  • @johnnjoroge8260
    @johnnjoroge8260 2 роки тому

    Hii story ilimaliziaje njanjo fans?

  • @goldenbazaars
    @goldenbazaars 3 роки тому +3

    DNA ifanywe.

  • @layajen1615
    @layajen1615 3 роки тому +5

    Man nyari kuna huyo witness thiondore amendanganya jina....kitupi kia mtoi kinanjifanya tu iyo miaka yote alikua wapi?

  • @lucywangari4766
    @lucywangari4766 2 роки тому

    Anafanana na wangui

  • @bbyhoney300
    @bbyhoney300 3 роки тому +1

    Nini wangui analia?

  • @rebeccagikonyo5648
    @rebeccagikonyo5648 3 роки тому +1

    This woman is pretending where was she all that time?

  • @blessedmama5367
    @blessedmama5367 3 роки тому

    Women even though would have loved to take the baby , they couldn't for fear of their husbands !!!

  • @IrenewairmuWairimu
    @IrenewairmuWairimu 3 роки тому

    Bure sana analia nn

  • @felistaamenbike6528
    @felistaamenbike6528 3 роки тому

    Hii mambo ya mafuta ilitoka wapi nilisikia mwingine akisema hivo au?

  • @josephinekamau2521
    @josephinekamau2521 3 роки тому +4

    Wanja amejaribu sana huyu msichana may b aliuza mtoi juu ya mashinda na pombe

    • @sallyfavour4435
      @sallyfavour4435 3 роки тому +1

      Mimi naona kulikua na deal kati ya wote wawili, sasa mama mtoto ndio amejirudia.

  • @gladyswambuielias6711
    @gladyswambuielias6711 3 роки тому

    Huyu mtoi atawanafanana na mum yke woiy

  • @wanjikuwanjiwanji8004
    @wanjikuwanjiwanji8004 3 роки тому +1

    wangui uraturaga ku miaka iyo yoothe stupid!!! Lydia hakuuza mtoto amemlea vizuri kama wake

  • @wambui3862
    @wambui3862 3 роки тому

    Wangui is playing victim!!!!!!!!! She should be taken to court!!!!

  • @njerikinyua4297
    @njerikinyua4297 3 роки тому +3

    Though am sending my opinion this late, when decision has been.
    This is so clear. No need of DNA. This lady gave birth and disowned this kid. The lady picked up the baby. But remember this woman the mother had her ear on the ground. She all through knew who picked the kid she threw off.
    If i were to judge, she isn't worth to get this baby back. Mtoto sio kuzaa, ni kulea. She threw the baby she now ckaims to death

    • @maryfaithmwangi5253
      @maryfaithmwangi5253 3 роки тому +1

      The case after death needs to be taken to court to settle its through the law.

    • @mariongitaro3743
      @mariongitaro3743 3 роки тому +1

      Huyo mama alizalisha Huyo msichana alafu akatupa mtoto alafu akakaa karibu na yeye akaona watu ndio akatokea kama msamaria mwema ndio achukue yuyo mtoto

    • @Allygibison
      @Allygibison 3 роки тому

      Marion Gitaru well said

  • @annwaiharo5669
    @annwaiharo5669 3 роки тому

    This is so bad for the poor girl

  • @boniface3710
    @boniface3710 3 роки тому

    Wangui akwende kabisa!

  • @ibrahimneko3866
    @ibrahimneko3866 3 роки тому +1

    wako na maneno huyo mama ndo ali muzalisha alf aka tupa mtoihuyo dame alikua mtu wa wango so hawezi shikanisha sile mambo alikua nayo ya kichuwa yake ni mingi watu wa kamae sio watu wazuri

    • @marthakamau4372
      @marthakamau4372 3 роки тому +3

      Juu alisema after 3 months alikubuka mtoto bona hakuaza safari ya kumtafuta. Alitupa mtoto alafu akajua nani amemuokoa saa ndio wana kuja kwa man nyari bona hakuinda police hata siko moja kuripoti

    • @keziahkimani8323
      @keziahkimani8323 3 роки тому +2

      @@marthakamau4372 hawa wamama wanajuana waseme ukweli

    • @marthakamau4372
      @marthakamau4372 3 роки тому +2

      @@keziahkimani8323 yes

    • @wambuitracy4487
      @wambuitracy4487 3 роки тому +1

      @@marthakamau4372 true!
      After 3months
      Mbona hakuenda kureport?
      I think wanajuana vizuri

  • @gervaisseth789
    @gervaisseth789 3 роки тому

    Wanja anasema hamnjui naalikua anakuywa changaa kwake hapo kuna kitu

  • @janegitonga7476
    @janegitonga7476 3 роки тому +1

    Where has this lady been for all these years without looking for her baby?

  • @sarahkinyua1083
    @sarahkinyua1083 3 роки тому

    Mnaeza mtukana bure,cucu maybe hakudhani atajulikana

  • @gervaisseth789
    @gervaisseth789 3 роки тому

    Awache uongo alisema alisahau na kila kitu ata mtoi how comes alikubukuka lydia die aliachia mtoi

  • @janendegwa1609
    @janendegwa1609 3 роки тому

    10yrs is a long time

  • @ruthmwangi3785
    @ruthmwangi3785 3 роки тому

    Sasa saa hio ndio analia 🤔

  • @ignatiusnyoike5851
    @ignatiusnyoike5851 3 роки тому

    Kwarî na nduthi 2009

  • @virginiandungu4175
    @virginiandungu4175 3 роки тому

    Kwa uguo wanja atwarire mwana mugundaini niguo oige niguteo.

  • @user-Gtn
    @user-Gtn 3 роки тому +1

    Wangui tiga ûrambu! Ruo rûrîkû?

  • @perisnyamburamahindu4539
    @perisnyamburamahindu4539 3 роки тому

    Huyu mwanamke analia nini naalitupa mtoi

  • @skylarwaweru4852
    @skylarwaweru4852 3 роки тому

    Cucu anadanganya

  • @gervaisseth789
    @gervaisseth789 3 роки тому

    Man nyari waache kukuzunguza waseme ukweli

  • @paulkaranja3099
    @paulkaranja3099 3 роки тому

    Mihadharati

  • @maryngatia9947
    @maryngatia9947 3 роки тому +2

    Body language ya wangui inamshtaki....

    • @maryfaithmwangi5253
      @maryfaithmwangi5253 3 роки тому +1

      Kabisa anajifanya ili aharibu na aonekana ni nzuri na mtoto na mtoto asimpende Lydia tena.

    • @lucymwai7645
      @lucymwai7645 3 роки тому

      Very true,

  • @lizzabecky9966
    @lizzabecky9966 3 роки тому +2

    This mama looks talking the truth

    • @wanyamuthimookariuki2012
      @wanyamuthimookariuki2012 3 роки тому

      Her she was desperate for a kid,,,not ruling out your sujestion only the girl may have willingly given away the baby somewhere and because all this time she knew where,,,where has she been..i know this mama she is reformed i think they can co-parent dont know whether its possible after her loss of her first son she has turned avery good mother giviup her life to bringing up this children......so wangui urereiirwo mwana wega na wedo muneene ni wanja thank God...Lydia has really struggled the village is her witness...ooya mwana waku naa ,,dont disappoint the good work wanja has done...

    • @lizzabecky9966
      @lizzabecky9966 3 роки тому

      @@wanyamuthimookariuki2012 sure you have said something

  • @sweetheart6813
    @sweetheart6813 3 роки тому +7

    Wangui wetereire urererwo mwana ukagira a neneha conoka muno ona hiti ndiri ya ria mwana muragani uyu korwo niakuire ungiekire atia

  • @maggiemwangi3277
    @maggiemwangi3277 3 роки тому

    Bhai niwe ua mothe cokeria ngai ngatho nigukorwo emuoyo

  • @josphinemn7888
    @josphinemn7888 3 роки тому +2

    Leo volume haiko sawa