Mtumishi huu mwezi ukiisha bila chochote kufanyika utakua umewafanya watu watukane hata matusi yaliyopitiliza ni heri tu mtumishi useme ukweli sababu ni vizuri MUNGU atukuzwe katika mataifa
Yani Mungu aache kuwaza vitu vya msingi akujie wewe wakati kuna ishu za maana kukomboa wanaoangamia kwenye mapigano israel,gaza,sudani, na wagonjwa aje akupe maono ya kuogopesha wengine kafanye kazi acha kudanganya watu kibwetere
My dear wa sita ndiyo huo imebaki week uishe tunaingia wa 7 na hamna kitu wowoteee, Mungu Ali apa hato angamiza Tena kwa maji Wala Moto Hawa manabii Hawa mmmmh
Hahaha haka kajamaaa kaongo sana mara ooh nguzo imeondoka dar imeenda moro kufungua sanduku, mara ooh brazil imeanza bado dar kwani yeye nani anasema kwa mamlaka yepi nani kamruhusu au njaa kali, hakuna nabii wa hivi ni njaa inamsumbua tutamaliza mwaka na hakuna kitakachotokea maana Mungu hana mawazo hayo unayoyawaza juu ya watu wake.
Sasa Kwanini usiombe usubirie maangamizi?huyu Mungu anajifunga na neno lake kusema hatotugharikisha na maji? Nawewe mbinguni wanakuzoom unavyotuongopea shindwaaaa Kwa jina la Yesu
Hamna kitu ,ww mwenyewe uko dar, huna uhakika wa tarehe, km Mungu alisema nawe kwanini tusiombe iepushwe, wewe ndie unaombea mvua imeshaisha hafi mfugo wala binadamu,hakuna kazi uliyofanya huna nguvu ya kuiangamiza dar es salaam,wweww uko dar,nabii wa uongo
Hivi nyie watu mnaokosoa ' kukaa kimya mmeshindwa wengine hata hamkai dar mnaropoka TU' hata kipindi Cha lutu ilikuwa hivyo hivyo siku ilikuja lakutokea ndo hivo ikaenda wengi ' Sasa ushauri wa Bure watu wa tarehe naomba mtii agizo la mungu lasivyo majuto ni mjukuu
@@nestorygilbert6170 yaan Mungu ashindwe kuongea na Watumishi wake waliomuona Yesu live kama Kakobe,na kuhubiri utakatifu vile na kuuishi,aje akwambie wewe tu.Hamna kitu hapo.We cha msingi usikimbie tu,Huyo nabii wa Tongaren unabii ukifeli
Haitatokea kwa jina la Yesu Kristo
Unaapa kwa uongo Utubu
Amina mtumishi wa bwana mungu aturehemu na kutusaidia
tpo salaama
Amen ubarikiwe nabii Musa amina
Amina PROPHET kaz yako umeimaliza
Asante Musa wa Tongareni
Amen and Amen may God help his people
Tunaomba Mungu atusamehe.
BWANA YESU ALIYE HAI SHUGHULIKA NA MANABII WA UONGO WANAODANGANYA WATU KATIKA JINA LA YESU KRISTO.
Ubarikiwe na wee
Bado tupo dar 31 leo 😮😮
MANABII AMBAO HAWAJAITWA NA MUNGU SHUGHULIKA NAO KATIKA JINA LA YESU ALIYE HAI
Hamna kitu
Jamaa anataka si mumpe Ili apunguze kututisha bana
Anataka sadaka
Gwajima alishakupa million 10 tayari au bado...😁
Hakuna lolote hata mimi ni nabii usitutishe
Kasome kitabu Cha Yona.
Mtumishi huu mwezi ukiisha bila chochote kufanyika utakua umewafanya watu watukane hata matusi yaliyopitiliza ni heri tu mtumishi useme ukweli sababu ni vizuri MUNGU atukuzwe katika mataifa
Yani Mungu aache kuwaza vitu vya msingi akujie wewe wakati kuna ishu za maana kukomboa wanaoangamia kwenye mapigano israel,gaza,sudani, na wagonjwa aje akupe maono ya kuogopesha wengine kafanye kazi acha kudanganya watu kibwetere
Aibu hizi mnazipata wenyewe maana Mwenyezi Mungu ahusiki na upumbavu wenu huu.
Kabisa una jiita ebeneza ,church,muache tu kutumia hayo majina,mbona huna tofauti na mpagani,Ebeneza ,alafu una Pinga ujumbe wa huyo Ebeneza ,kazi ipo
Hakuna kitakachotokea. Uliwahi kusema mwakasege atakufa na hajafa mbaka leo
Alisema na kikwete atakufA
Alisema mwakasege@@AverinaShirati
Tapeli
Kwani d salam yenyewe inasemaje
Usitupe hofu
Hahaha mungu huyu mara wa sita pa wasaba tiii dar iwepo utaenda wapi ndugu
My dear wa sita ndiyo huo imebaki week uishe tunaingia wa 7 na hamna kitu wowoteee, Mungu Ali apa hato angamiza Tena kwa maji Wala Moto Hawa manabii Hawa mmmmh
Sawa Musa wa Tongareni na Mang'ura
Ndugu kama Huna la kuongea ni Bora ukae kimya
@@emmanuelyessaya na wewe kama huna cha kujibu kaa kimya
Hakuna kitakacho tokea badala yake muda uliousema ukifika utakuja hapa tena utajifanya et tukio limesogezwa mbele
Hahaha haka kajamaaa kaongo sana mara ooh nguzo imeondoka dar imeenda moro kufungua sanduku, mara ooh brazil imeanza bado dar kwani yeye nani anasema kwa mamlaka yepi nani kamruhusu au njaa kali, hakuna nabii wa hivi ni njaa inamsumbua tutamaliza mwaka na hakuna kitakachotokea maana Mungu hana mawazo hayo unayoyawaza juu ya watu wake.
Sasa Kwanini usiombe usubirie maangamizi?huyu Mungu anajifunga na neno lake kusema hatotugharikisha na maji?
Nawewe mbinguni wanakuzoom unavyotuongopea shindwaaaa
Kwa jina la Yesu
Kimbunga hidaya vipi
Hakuna lolote bhana😂😂😂😂
Anawatishia wapumbavu wenziye waache wafu wazike wafu wao
Unajipa faraja yenye uvuvio wa kipepo@@ebenezerchurchsupremetv9490
Hamna kitu ,ww mwenyewe uko dar, huna uhakika wa tarehe, km Mungu alisema nawe kwanini tusiombe iepushwe, wewe ndie unaombea mvua imeshaisha hafi mfugo wala binadamu,hakuna kazi uliyofanya huna nguvu ya kuiangamiza dar es salaam,wweww uko dar,nabii wa uongo
Nduguyangu jibu la haya yote ni kukaa kimya
Hivi nyie watu mnaokosoa ' kukaa kimya mmeshindwa wengine hata hamkai dar mnaropoka TU' hata kipindi Cha lutu ilikuwa hivyo hivyo siku ilikuja lakutokea ndo hivo ikaenda wengi ' Sasa ushauri wa Bure watu wa tarehe naomba mtii agizo la mungu lasivyo majuto ni mjukuu
Yey ndo aliekuambia kuwa yupo dar mhu! Kaa hvo hvo. Mvua zimeisha ee, leo tareh ngap kesho tu mvua zinaanza tena kw daresalam tu. Upo hapo
Labda anaongea kwa mafumbo kama Yesu wa Nazareth ila ana maana nyingine siyo tunavyo fikiri tulio wengi "
Huyu muongo sana ana phd
PhD ya uongo huyu
Wewe ni mana halisi na MANABII WQ UWONGO!. Ulianzaa kusema Mwezi wa 4, ikaja mwezi wa 5 sasa mwezi wa 6. Acha utapeli wewe!
Huyu ndiye nabii fake kabisa,hafai hata kidogo mtumishi wa shetani,acha uongo ewe mwana wa joka,😢😢😢😢😢😢
Yesu wangu unanivunja mbavu nimecheka mnoo😂😂😂😂
Mimi nilisema nakupa mwaka mzima hadi 2025,hamna kitu hapo,hakuna maangamizi yoyote.Huwezi ukapingana na Neno la Mungu halafu tukuamini.
Huo mwaka mzima hatuutak tupe wik moja na siku 😂 unazan MUNGU anakuogopa wewe? Tubu
@@nestorygilbert6170 yaan Mungu ashindwe kuongea na Watumishi wake waliomuona Yesu live kama Kakobe,na kuhubiri utakatifu vile na kuuishi,aje akwambie wewe tu.Hamna kitu hapo.We cha msingi usikimbie tu,Huyo nabii wa Tongaren unabii ukifeli
Huna lolote
Tapeli
Utakuwa umekufa
HAHAHAHAAAAAAAA😂 HUU NI MWEZI WA SITA AIBU YAKO NABII MUONGO.
Chaa😂😂😂 uchokozi huo