USAJILI | Sababu Yusuph Kagoma na Lameck Lawi kuhusishwa na Simba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • VIWANJANI | Kutoka kipindi cha #Viwanjani ni uchambuzi kuhusu tetesi mbalimbali za usajili ikiwemo ya Simba kuwahitaji kiungo Yusuph Kagoma na beki Lameck Lawi.....
    Zimo nyingine pia zikiwahusu Yanga na Ihefu SC (Singida Black Stars)

КОМЕНТАРІ • 3

  • @ThobiasKarima-rn3hw
    @ThobiasKarima-rn3hw 2 місяці тому +1

    Namkubar sana lamek lawi bonge labeki simba wamelamba dumee

  • @Ally-jf6wu
    @Ally-jf6wu 3 місяці тому

    Kwani kagoma Ana miaka mingapi mpaka awe mrithi wa mda mrefu kwa mzamiru

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 3 місяці тому

    ninyi hata Yanga kweli hamuijui,hata kama ni tetesi kweli bado mnaona Yanga inasajili kwa mafunguuu?wewe kaka wa katikati usimba unakumalizaga,IHEFU haina mchezaji wa nje anayeweza kucheza Yanga.