Jinsi wakaazi wa Kitui huifadhi maji wakati wa mvua

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Kunapokuwa na kiangazi wakati mwingi wanawake na wasichana ndio huathirika zaidi wakitafuta chakula na maji kwa manufaa ya jamii. Lakini Flora Nzambuli ambaye ni mkaazi wa eneo la Yana kaunti ya Kitui amevumbua mbinu za kustahimili ukame na shida kubwa ya maji maeneo ya ukambani. Kwa kipindi cha miaka mitano hajawahi kukosa maji katika boma lake licha ya ukame unaoshuhudiwa kila wakati.

КОМЕНТАРІ • 1