MWANASHERIA AJIBIA SAKATA LA AHMED NA PACOME BILION 10/ PAMOJA NA ALLY KAMWE NA SANDALAND BILION 3.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 102

  • @fredymlelwa4580
    @fredymlelwa4580 День тому +2

    Bwana Nziku nimekukubali wew ni bonge la mwanasheria.

    • @IDRISSATARIMO
      @IDRISSATARIMO 5 годин тому

      Mwanasheria!? km Sanda hajulikani ni Sanda yupi hata pacome sio pacome huyo yanga wanayemjua..ni Pacome Mkandaji. Je wana mtu mkataba wake unaisha anaitwa Pacome mkandaji?

  • @JescaKajuna
    @JescaKajuna 13 годин тому +1

    Ahmed ally afungwe miaka 30. Lina matusi.

  • @kapondadr5840
    @kapondadr5840 2 дні тому +1

    Ali kamwe chukua vijana peleka porini wajirekodi ovyoovyo hfu uwape hiyo voice km ushahidi waanza kuwatafuta wenye voice sasa 🙌

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 дні тому +3

    ALI SHABAN KAMWE alitumia akili sana shida ya AHMED ALI alikulupuka

  • @saimontipaa6887
    @saimontipaa6887 2 дні тому +3

    Mwanasheria wa maana thank you

  • @leonardkinanda3284
    @leonardkinanda3284 2 дні тому +2

    Kwa sisi tunaomjua nziku tunawacheki kwa mbali tu mnavopata tabu! Lazima avutie kwake! Karibuni Mbeya mjini

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 2 дні тому

      Kwake ndio wapi? Kwani yy anahusika na hizo kashfa?

  • @TheoNgailo
    @TheoNgailo 2 дні тому +1

    Hongera Bina nakupata vizur sana

  • @annamashauri7421
    @annamashauri7421 2 дні тому +2

    Mwanasheria nimekupata vizuri sana

  • @DEOFoundationTZ
    @DEOFoundationTZ День тому +1

    😂😂😂😂😂😂 ujui sanda ninani sio? Na watani wetu ninani? Be care mwanasheria bdo sanaaaaaaa

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino 3 дні тому +2

    Asante mwanasheria

  • @PierreBukasa-fu3yx
    @PierreBukasa-fu3yx 3 дні тому +1

    Asante mwanasherya, mandunduka mpoooo, acheni chuki na kukulupuka, huyo ndiyo mwanasheriya msomi,

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 2 дні тому +1

    Kwanza ktk b.10.Aongeze 2b.Kwa kumsababishia msongo wa mawazo pacome mpaka sasa hayupo sawa kisaikolojia

  • @MohamedJuma-wt8cg
    @MohamedJuma-wt8cg 3 дні тому +3

    Usipo mwelewa huyu mwanasheria hutoelewa milele

  • @JonasSamike
    @JonasSamike 3 дні тому +2

    Hiyo nimeipenda mwanasheria 👊👊👊 mpaka hapo
    ali kamwe Hana kosa lolote 😅😅😅😅

  • @MauaGabriel
    @MauaGabriel 3 дні тому +2

    Bwana sanda n baba yako hujui sheria wew acha kipotosha uma,wew n utopolo tu

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 2 дні тому +1

      Sasa bwana sanda ni nani?watu wanajua sheria wanataka kumbambikiza Ally kamwe kesi ila hii itawarudia wao muda utaongea.

    • @lutegomakoyeluhahula361
      @lutegomakoyeluhahula361 2 дні тому

      We inmakasiriko time,hamna jipya.

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 2 дні тому +1

      Wakati wenzio wanasoma ulikuwa unauza mihogo,,, 😂😂 Wacha elimu iongee, " jinyonge na wivu wako ili uzaliwe upya ujue umuhimu wa shule,,, ww ndio unajua sheria? Km ujajinyea kujitetea tu mahakamani

  • @OptatusJaphet
    @OptatusJaphet 3 дні тому +1

    Ufafanuzi makini sana Wakili msomi

  • @AberiChares
    @AberiChares 3 дні тому +1

    Duh asante

  • @GLIPNEXT
    @GLIPNEXT 3 дні тому +2

    Yani adi mwana sheria ana cheka 😅

  • @joanneskamanzi9666
    @joanneskamanzi9666 2 дні тому +2

    Apo nduguyangu nziku kwenye kashfa anashitaki mhanga na sio ntu Baki msomi jiongoze vizuri

  • @boscomapunda87
    @boscomapunda87 2 дні тому +1

    Mwansheria wetu morisoni tayari ameshakuja tukutane kwa KORT

  • @boazgodfrey865
    @boazgodfrey865 2 дні тому

    Hukuwahi kushinda kesi yoyote utatuaminishaje ili tukuamini?

  • @mjinjasagamambi7531
    @mjinjasagamambi7531 2 дні тому

    Kuna watu humu achilia ushabiki, yaani ni Mbumbu FC kweli. Hadi waongeleshwe Kifaransa.

  • @Demetiuscarry
    @Demetiuscarry 2 дні тому +1

    Ko kwa bwana sanda ndo umeona who is bwan sanda ila kwa pacome ndo hujiulizi alizungumziwa pacome yupi

    • @slymsameer5415
      @slymsameer5415 День тому

      Kaka inamaana wewe huoni tofauti ya pakome na bwana sanda?

  • @masolasumaili2952
    @masolasumaili2952 3 дні тому +1

    Uhusiano upo kwasababu Yanga ndio inaonekana wanatoa dawa.

  • @kepharichard4183
    @kepharichard4183 2 дні тому

    Wewe wanasheria acha kujibu kama kuchoma kuongeza nguvu anachoma sindano za ganzi ili acheze, pelekeni mahakamani tuone nani anajua sheria

  • @lutegomakoyeluhahula361
    @lutegomakoyeluhahula361 2 дні тому

    Hapa ndipo utajuwa msemaji wa kukurupuka na msemaji anayefikiri kabla ya kuongea.

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 3 дні тому

    Asante leo nimejifunza kuwa sheria ni ngumu sana. Watanzania wengi hatujui sheria za nchi.

  • @segereaadventistmedia
    @segereaadventistmedia 2 дні тому

    Yaani kwa maelezo haya bado kuna mtu hajaelewa.

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 2 дні тому

    MNATAFUTA PESA YA KUSAJILIA

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 3 дні тому +1

    Pakome nae kwani katajwa jina lote. Ninamashaka na mwanasheria huyu😂

    • @jumazuberi1823
      @jumazuberi1823 3 дні тому

      kwan huoni kama jina la YANGA limetajwa hapo na kwenye Timu kuna pacome wangp

    • @mjinjasagamambi7531
      @mjinjasagamambi7531 2 дні тому

      Una matatizo makubwa aiseeh! Kwani Madunduka FC kuna Pacome anayemaliza mkataba?

    • @lydiathomas2905
      @lydiathomas2905 2 дні тому

      @@mjinjasagamambi7531 kuna Sanda wangapi wanauza jezi, acheni ushabiki wa kishamba mazingira yapo sawa.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 дні тому +1

    Kwani hao makolo wamesharudi kibabe toka Algeria ?

  • @khadijajumanne3324
    @khadijajumanne3324 2 дні тому

    Mtu alisema mwanasheria mwenyeweyupo kama sinfano atakuwa amekukashifu

  • @JuliusMdamanyi
    @JuliusMdamanyi 2 дні тому

    Wewe unajihalibia hui kitu unachanganya maneno ya kihuni, na kishabiki hujasimamia kwenye zamu ya kisheria maongezi yako hayana mshiko we fungua ofici yako usubirie kesi za wizi wa kuku lakini huku achana nako na nyie vyombo vya habali tafuteni wanasheria wanaojua wengine wameenda shule kwa hongo sio mnajiokotea mladi unamjua

  • @gabriellaizer9925
    @gabriellaizer9925 2 дні тому

    Unaharibu vitu vingi unapotosha

  • @GoufreyPata
    @GoufreyPata 2 дні тому

    Kuna madhara gani sasa kuyapata?

  • @ErnestFurela
    @ErnestFurela 3 дні тому

    Mwanasheria bongo

  • @JosephNkwela
    @JosephNkwela 3 дні тому +1

    hamna mwanashiria apo

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 2 дні тому

      Utajua umuhimu wa elimu ungejua anacholipwa kwa amwezi hizo jealous zako ungejitolia hata jiti nyuma kwa hasira kwa nini ukusoma😂😂

  • @JilesiAnteli
    @JilesiAnteli 2 дні тому

    Mwanasheria acha siasa kwenye Sheria Kuna kashifa ni nyingi za Ally Kamwe hawezi kukwepa mnatengeneza history vya utetezi kama vya Kagoma

    • @segereaadventistmedia
      @segereaadventistmedia 2 дні тому

      Hebu tueleze mwanasheria wewe hawezi kukwepa vipi? Maana mwenzako amechambua kisomi hakuongea kwa hisia kama wewe. Afu umeambiea ni mhadhiri wa chuo kikuu huyo

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 2 дні тому

    Sanda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 3 дні тому

    Hata wamasheria wana timu

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 3 дні тому

    Wakikutana wanasheria wengi kitaeleweka

  • @fabiancharles6258
    @fabiancharles6258 3 дні тому

    Toa elim ndg yng maana hum kuna malimbuken haswa waadish uchwala

  • @boscomapunda87
    @boscomapunda87 2 дні тому

    Wewe ulie sikia story utanisaidia mahakama kwa ushahidi pia inafaa

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino 3 дні тому

    Uyu mwanasheria ni kichwa saaana

  • @boscomapunda87
    @boscomapunda87 2 дні тому

    Sikuelewi mwansheria mbona kwenye Ike kauli ya ahmedi Aly umesema kwenye video wakati anaongea kunamtu alimwambia kwanyuma kuwa kunamtu alimsikia anamwambia anachoma sindanovkama anazuia mimba wote NI story zakusikia

  • @JuliusMdamanyi
    @JuliusMdamanyi 2 дні тому

    We mwana Sheria inawezekana we ni yanga hujui Sheria yako haijafafanua vizuri kuhusu Ali kamwe inaonyesha maneno haya ya Ali kamwe juju, huwezi kutamka Jambo halafu we usiwe na ushahidi nalo, ukishaatamka neno kwenye jamii maanayake unauhakika nalo mtuhumiwa alietamka ni Ali kamwe na kama amesikia basi alete mtuhumiwa na akimkosa mtuhumiwa ni wewe ulieye yatamka na sanda inajilikana no sandalendi wewe inawezekana ni mwanasheria ambaye hujakamilika nenda ukaendelee kusoma

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 2 дні тому

      Kwani ajasema hilo kuwa nimesikis basi atafutwe alieanzisha? Zna Sanda ni nani? Shuka za waiting au binadamu?

  • @Riziwanikupaza
    @Riziwanikupaza 3 дні тому

    Njaaa hizo

  • @IsacManuel-b4y
    @IsacManuel-b4y 3 дні тому

    Kijana amesoma sana apewe mauwa yake

  • @ZENAMALUKULA
    @ZENAMALUKULA 3 дні тому

    Hakuna mwanasheria hapo Simba amehuskaje hapo

  • @MauaGabriel
    @MauaGabriel 3 дні тому

    Wew n mwanayanga huna jipya wew njaa tu inakusumbua

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g 3 дні тому

      oooh mtaelewa 2 mmezoe kuropoka sana

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g 3 дні тому

      nafikiri makolo mmeelewa apo vip ubaya ubwelaa unamrudia mkurupukaji

  • @AtibuMdoe
    @AtibuMdoe 3 дні тому

    hamtutishi nyiny mbwaa

  • @MusaKogan-l6q
    @MusaKogan-l6q День тому

    pidid huyooo

  • @joanneskamanzi9666
    @joanneskamanzi9666 2 дні тому

    Sijawai ona pakome ameshtaki msomi acha uongo

  • @allykipa1818
    @allykipa1818 3 дні тому

    out of football
    hivyo vitabu vya huku na sheria viwekwe hadhalani kama vitabu vingine

  • @festoMangasila
    @festoMangasila 2 дні тому

    Sasa na amed ali naye alikuwa amsemei pakome wa yanga kama ali kamwe alivyo sema sanda ila mwanashelia bado sana

    • @jenithajames2591
      @jenithajames2591 2 дні тому

      Ali kamwe ana ushahidi maana jezi zimeandikwa Sanda siyo sandarland 😂😂😂

  • @makamelila
    @makamelila 3 дні тому

    Mwanasheria utupolo wacha ngwengwengwe

  • @ZENAMALUKULA
    @ZENAMALUKULA 3 дні тому

    Ww unazngua wa mchongo

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 3 дні тому

    Sasa sinikweli walikuwa wanachoma toka wagundulike ndo maana unaona viwango vinashuka mfate gamond atakwambia Kila kitu

    • @jumandisha7275
      @jumandisha7275 3 дні тому

      Tatzo ushahid hamna kifup imekula kwake mbana pua alaf azam walitufunga kabla ya tukio hilo

  • @Riziwanikupaza
    @Riziwanikupaza 3 дні тому

    Una njaa ww

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 3 дні тому

    Kumbe kuna wanasheria nao kama wadishi wahabari 😂😂 Ww ni yanga upo upande wa yanga

    • @mjinjasagamambi7531
      @mjinjasagamambi7531 2 дні тому

      Mtu kama wewe unasikitisha sana. Unatakiwa kuelimishwa peke ako.

  • @khadijajumanne3324
    @khadijajumanne3324 2 дні тому

    Kwahiyo wewe unasema ni mwanasheria hujaona kuwa ahamedi alisema amechoka kuchoma sinfano kuchoma sinfano kama mjauuzito hivi unaelewa hapo

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 3 дні тому

    Ww yanga hauna lolote

  • @robartAllay
    @robartAllay 3 дні тому

    Chawa huyo

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 дні тому

    Amemaliza mkataba club Gani?YANGA,AMECHOKA KUCHOMWA SINDANO YANGA/AU SIMBA???

  • @hashirali4587
    @hashirali4587 3 дні тому

    Huyu si mwanashera

  • @GoufreyPata
    @GoufreyPata 2 дні тому

    Acha wewe unaongelea kiushabiki

  • @QwakuHangu
    @QwakuHangu 3 дні тому +1

    Ahamedi Ali achukuliwe hatua Kali ili iwe fundisho Kwa wajinga kama yeye

    • @piusmwakyembe4545
      @piusmwakyembe4545 3 дні тому

      Uanze wewe kuchukuliwa

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 3 дні тому

      Ni kweli achukuliwe hatua kabisa anaharibu mpira wetu.

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 3 дні тому

      B​@@awetumtengera1147mnajisumbua tu hayo yote yataisha labda mwambieni pacome tu ndio aende kushitaki

  • @JafariAbedi-u6c
    @JafariAbedi-u6c 3 дні тому

    Ww mwanasheri faratu nanyinyi wana habari hana watu wakuhoji wasenge wote

    • @gervaslukaya
      @gervaslukaya 3 дні тому

      Jamaa chunga mdomo usipende kutukana alafu kwenye mitandao isije itakugalim kama unapenda timu ipende timu yako tu.

    • @AllyMahaly
      @AllyMahaly 3 дні тому

      Kwan hapa kaongea kipi kibaya hadi utukane?

    • @stapinuswilliam860
      @stapinuswilliam860 3 дні тому

      Tatzo wanaweka ushabk mbele uelewa mdogo​@@gervaslukaya

    • @mjinjasagamambi7531
      @mjinjasagamambi7531 2 дні тому

      Akili zako zichunguze upya.

  • @RuthyBrian-n6r
    @RuthyBrian-n6r 3 дні тому

    Mwana shelia anavuta bangi mbichi ajui shelia

  • @sarapianmatiku5689
    @sarapianmatiku5689 3 дні тому

    Kwani Ahmed Ali aliposema pacome alisema pacome yupi ? Pacome wapo wengi Sana labda angesema pacome zouzou

    • @DavidKilusu-p4d
      @DavidKilusu-p4d 2 дні тому

      Anayemaliza mkataba akitumikia Yanga ni Pacome yupi?

    • @mjinjasagamambi7531
      @mjinjasagamambi7531 2 дні тому

      Kuna haja ya kuuliza akili yako vizuri, hiki ninachoenda kukiandika kina maana au naandika nisichokijua??

  • @JilesiAnteli
    @JilesiAnteli 2 дні тому

    Mwanasheria acha siasa kwenye Sheria Kuna kashifa ni nyingi za Ally Kamwe hawezi kukwepa mnatengeneza history vya utetezi kama vya Kagoma