RC CHALAMILA ATANGAZA TUKIO KUBWA DAR SIKU ya MAANDAMABO ya CHADEMA TAREHE 23 -ATOA MAELEKEZO MAALUM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • RC CHALAMILA ATANGAZA TUKIO KUBWA DAR SIKU ya MAANDAMABO ya CHADEMA TAREHE 23 -ATOA MAELEKEZO MAALUM
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 161

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 днів тому +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 4 дні тому +7

    Alale salama mzee Ally Kibao. Nyie fanyeni tamasha la upishi. Ile damu ya kibao akajae kwenye masefulia yenu ili siku ya mwisho mkaijue nguvu ya mungu.

  • @user-sy5lx7el4z
    @user-sy5lx7el4z 4 дні тому +3

    Chadema Kuna watu smart sana,check wanavyowapelekesha ccm,Hawa lali

  • @etropialangai6415
    @etropialangai6415 5 днів тому +14

    Mmekosa kazi
    Tutaenda kwny maandamano hatutaki rushwa

    • @SweetBertMlinda-bq7mp
      @SweetBertMlinda-bq7mp 4 дні тому

      Nenden mkaandamane si mnawashwa, ngoja wawakune

    • @FrancisRM-ex8vf
      @FrancisRM-ex8vf 4 дні тому +1

      ​@@SweetBertMlinda-bq7mpHuwezi jua uchungu wa kuuawa au kutekwa hadi pale yatakapokukuta wewe au ndugu yako.

    • @Mosmwampa
      @Mosmwampa 3 дні тому

      ​@@SweetBertMlinda-bq7mpni kweli tunawashwa ndg zetu wamekufa na wengine hawajulikan waliko, tuna raha gan. Zuzu kweli wewe

  • @japhetkavishe2347
    @japhetkavishe2347 4 дні тому +11

    Hiyo mitungi ya gesi tutaitumia wapi wakati tutakuwa tumetekwa?

  • @GoodTeck90
    @GoodTeck90 5 днів тому +10

    Mtaongea pumba sana but enough is enough

  • @HumphreyNyiti
    @HumphreyNyiti 5 днів тому +11

    Watu wanafanya utani na maisha ya watu asee

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 5 днів тому +11

    Mm ntaenda kuchukua elfu. 20 alafu naenda kwenye mahandamano

  • @GoodTeck90
    @GoodTeck90 5 днів тому +10

    Utopolo .....mm nitakwenda kwenye maandamano kutetea uhai wetu, na haki ya kuishi

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 4 дні тому +1

      Una uhakika utaweza kuandamana upo tayari kuacha familia yk

    • @FrancisRM-ex8vf
      @FrancisRM-ex8vf 4 дні тому

      ​@@KassimAlly-xp4dzHata wewe utaweza tu siku atakayotekwa au kuuawa ndugu yako

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 5 днів тому +11

    Mwaka huu Mtaonga Mpaka mkome

  • @Ommylayzah_tz
    @Ommylayzah_tz 5 днів тому +6

    😂😂😂Hii nchi bn

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 5 днів тому +4

    Hata mjinga anashangaa kusema ukweli 😅 kucheza na akili huku lakini kwa nini ?

  • @BimlackJohn
    @BimlackJohn 4 дні тому +2

    Rais anakazi safari hii huyu nae nijipu limeiva

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x 4 дні тому

    Do Nyama,jiko kweli Watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa😢😢😢

  • @user-gp7mh1ce9z
    @user-gp7mh1ce9z 4 дні тому +1

    Gz wa kenya Tanzania sijui wataitwaje
    Nilijuw chalalmil ana akiiii.... Kumbe bo.... Kweli watanzania thamani yaooo ni elf20 kipind kile aliweka vikos kusafish balabal leo kaskia tukio la wapenda haki analeta use... Kuchezea maisha ya watu mh wenye akili wataamka

  • @lovegodmunisi1006
    @lovegodmunisi1006 4 дні тому +2

    Yeye awapeleke kupika, tukiwa kazini baadae tunaenda kula. Na mwenye nafasi ya kuwahi akachukue 20 hiyo alafu arud tuendelee na kazi

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 4 дні тому

    Tanganyika Mungu atusamehe sana kwa kutokuona vizuri

  • @GasperEmmanuel-v8z
    @GasperEmmanuel-v8z 4 дні тому +1

    tutachukua hela tukitoka apo ktk maandamano

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 5 днів тому +2

    Mlimsifiaga mkasema huyu nimzuri anasifia pombe anafaa Dar ,haya muoneni kama anafaa, lakini kufika mtafika mkiwa mnachechemea, kwakuwa hamja vaa viatu,

  • @justicebridge
    @justicebridge 5 днів тому +4

    Yani muna hakiri za kizamani zilizopitwa na wakati. Watu wanatakq kuandamana kudai haki zao kukomesha uhuni wa mauji

  • @ananiamwatebela3159
    @ananiamwatebela3159 5 днів тому +2

    Kashaanza ujinga mbwa huyu bado maandamano Yako pale pale mpumbavu kweli ww na utaumbuka subiria siku ifike

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 3 дні тому

    CCM HAIWAFANYI WATU KUWA MASIKINI WATU WENYEWE WANAJIPA UMASIKINI KWA KUTOTUMIA AKILI NA MAARIFA WALIYOJALIWA NA MUNGU NA KUBAKIA KUMWAMINI BINADAMU AMBAYE WALA HAKUTHAMINI

  • @JailosLuhanga
    @JailosLuhanga 4 дні тому

    Nashukuru sana kwa habari zenu ila naomba mhariri uwe unahakiki maandishi ya vichwa vya habari kama viko sahihi. Mfano wa neno maandamabo badala ya kuandika maandamano.

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee 4 дні тому

    Wanajua watu wananjaa....ni rahisi kumtawala masikini

  • @VitusNdaruhekeye
    @VitusNdaruhekeye 5 днів тому +2

    Ajipange kweli kweli safari hii hakuna drama.

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 4 дні тому

      Hamtaweza ndugu watz woga sn

    • @FrancisRM-ex8vf
      @FrancisRM-ex8vf 4 дні тому

      ​@@KassimAlly-xp4dzAcha uchawa kwenye mambo serious... damu za watu si za kuku. Kama huwezi huwezi kudai haki kaa kimya.

  • @dulasaid2581
    @dulasaid2581 4 дні тому

    Elfu 20 igawanye × 100

  • @BabMuniwe-pg7el
    @BabMuniwe-pg7el 4 дні тому

    Ttaandamano talehe 24

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 4 дні тому

    Tatizo sio mitungi tatizo iyo gesi yenyewe ni ghali sana

  • @driss4957
    @driss4957 4 дні тому +2

    MNAANZA KUGAWA RUSHWA,TANGU LINI MLITOA HELA???, WENYE HATIA WANA HOFU...

  • @malundaamani.gmai.
    @malundaamani.gmai. 4 дні тому

    tuache kulipia king,amuzi cha Azamu kama tulipoludisha laini za tigo

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 4 дні тому +1

    Mwisho wa CCM,Umekaribia afadhari kuwa Balance na nchi yetu ndiyo itayo dumu,,Ukiangalia nchi za wenzetu nyingi zinabadirishana vyama,Utaifa ndiyo unao dumishwa,

  • @FredrickMnyakiwele-j1s
    @FredrickMnyakiwele-j1s 4 дні тому

    Safi sana kazi iendeleee maana kunamajitu hayataki kufanya kazi yanataka kuandamana Ili wawaibie watu

    • @FrancisRM-ex8vf
      @FrancisRM-ex8vf 4 дні тому

      Huwezi kuwaita watanzania wenzako "majitu" ikiwa wanahitaji kutafuta ukweli wa ndugu zao waliopotea na hawajulikani walipo...
      Najua huwezi kuelewa uchungu wa kutekwa hadi pale atakapotekwa mtu wako wakaribua au wewe mwenyewe.

    • @user-sy5lx7el4z
      @user-sy5lx7el4z 4 дні тому

      Toka uanza izo kazi mpaka leo unanini

    • @FredrickMnyakiwele-j1s
      @FredrickMnyakiwele-j1s 4 дні тому

      @@user-sy5lx7el4z siwajibu malimbukeni na wapuuzi wasiyojua maana ya siasa

    • @FredrickMnyakiwele-j1s
      @FredrickMnyakiwele-j1s 4 дні тому

      @@FrancisRM-ex8vf unadhani mihemko kama hiyo niyauchunguzi au kuvuruga amani ya nchi

    • @FredrickMnyakiwele-j1s
      @FredrickMnyakiwele-j1s 4 дні тому

      @@user-sy5lx7el4z isitoshe hata kadi ya chama huna

  • @fadhilmbulugwa7322
    @fadhilmbulugwa7322 4 дні тому +1

    Moja ya zile mbinu😂😂😂😂😂😂😂

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 4 дні тому +3

    Haya tuone, na njaa kali tuliyonayo waTz. tutakwenda kwenye maandamano ya Chadema au tutakwenda kupata sh. elfu 20 na mitungi ya gas??? Nipeni jibu wadau

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 4 дні тому +1

      Unakwarua 20 upate za chakula na maji kwenye maandamano

    • @FrancisRM-ex8vf
      @FrancisRM-ex8vf 4 дні тому

      Hayo sio maandamano ya Chadema ni maandamano ya wananchi wa Tanzania kutaka kujua ukweli wa ndugu zao waliotekwa wanatekwa na akina nani na wapo wapi.
      Ukianza kuingiza mambo ya siasa kwenye mauaji unakosea sana (Acha wanasiasa waendelee kupambana kivyao)

  • @alfanikingwan7174
    @alfanikingwan7174 4 дні тому +1

    Baharesa anabariki waislam wenzie wafe,?? Kwa kutekwa?????

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 4 дні тому +1

    Tunataka katiba iyo pesa ni ndogo sana

  • @jescageorge-fv8yt
    @jescageorge-fv8yt 4 дні тому +1

    Mta honga sana had mboga

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee 4 дні тому

    Maandamano trh 22 then😊

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 4 дні тому +1

    Ulienda wapi kabla ya tamko la mbowe

  • @MohammedMtoza
    @MohammedMtoza 5 днів тому +1

    MUNGU ᎯᏦᏦᏠᏦᎯᎿᎯᎯ ᏰᎯᏁᎯ ᏦᏠᎿᎯᏢᎯᎿᎯᏢᎯ ᎻᎯᏦᏠᎨᏕᎻ

  • @MasterPetro-oj1fd
    @MasterPetro-oj1fd 4 дні тому

    Chalamila na ccm yako. Kumbuka pesahizo ni pesa za umma

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 4 дні тому

    Faida ya hayo manyama na gesi za kugawa ili nini ..nchi inahitaji mabadiliko makubwa sio nyama na mitungi ya gesi ..

  • @ElizabethNelson-bh2ij
    @ElizabethNelson-bh2ij 4 дні тому

    Hatudanganyiwi nyau sisi

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 3 дні тому

    Ili ndio alifai kabisa yaani ndio mtu namba moja anae ichafua ccm kwa asilimia zote

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 4 дні тому

    Tulivyowajina tutakimbia elf 20 ili tukalipe vikoba mm siendi maandamano na wala siendi kwenye tamasha bora nilale zangu

  • @SebastianCharleskayanda
    @SebastianCharleskayanda 4 дні тому

    Maandamano yatafanyika labda watu wetu muwatoe

  • @AndrewMoses-c7c
    @AndrewMoses-c7c 4 дні тому +1

    Majanga yanapozidi mioyo ya watu huota kutu. Mkiweza kulizima hili barabarani mtambue halitakua limezimika mioyoni na kumbukumbu hubaki shahidi

  • @suedykibwana5955
    @suedykibwana5955 3 дні тому

    asa leo unanipa mtungi wa gesi kesho natekwa na kuuliwa, ni bora nikatae mitungi ya gas na nizuie kutekwa na kuuawa

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche День тому

    Hakika kweli ccm imeishiwa sera. Kwanini Tarehe 23 isiwe siku nyingine. Nyie wachokozi waleta fujo viccm nyie. Muulize magu kilichompata

  • @meckdonald81
    @meckdonald81 4 дні тому

    Yana mwisho haya ipo siku mtapata majibu

  • @BarakaOchuu
    @BarakaOchuu 4 дні тому

    Mmeshajiona ni miungu watu ,inatosha .

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 4 дні тому

    Fisiemu wanawafanya watu. Kuwa. Maskin. Halafu wanatumia umaskini wenu ili msahau kadai haki zenu hamjitambui

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 5 днів тому +3

    😂😂😂😂siku ya maandamano ya chama kile iwe cku ya ya majeshi ya ulinzi na usalama iwe cku ya usafi jijini dar hapo kitaeleweka

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 4 дні тому +2

      Kwani wanajeshi ni wapumbavu kama fikra zako zinavyokutuma kuwa kazi yao ni kutumika kwenye uharamia? Ifike pahala muwe na akili kuwa baadhi ya wanajeshi ni ndugu au watoto, baba, mama, dada au kaka wa wanachama wa chama chochote, wanajeshi SI wapumbavu muda wowote wanaweza kushughulika na upumbavu wenu mkashika adabu na kutambua nchi ni ya wananchi na SI wanachama wa chama chenu tu

    • @daudimchileg307
      @daudimchileg307 4 дні тому +1

      Kwahili serkal wanakosea, CCM chama changu lakini utekaji haukubaliki Acha chadema washinikize kwanza uchunguzi ufanyike ningekuwa dar mie ningeshiriki na nguo ya CCM kabisa. Embu angekufa ni baba yako, mjomba au mama ati kisa chama ungefanya nini. Unapost vitu bila kufiklia ungekuwa wewe ndio mhanga. Afu unaweza kuwa mtu wa dini wewe, sasa unamuomba mungu gani?

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 4 дні тому +1

      ​@@daudimchileg307wewe ndo unajua nini maana ya jina daudi unaongea kishujaa bila kujali chama umetazama utu zaidi

    • @daudimchileg307
      @daudimchileg307 4 дні тому +1

      @@PrinceHendry-hp8vv mungu ameagiza upendo, sio haya

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi День тому

      ​@daudim👏👏👏👏chileg307

  • @BarakaWiliam-hx9nk
    @BarakaWiliam-hx9nk 4 дні тому +1

    Yaaan unaweza kuelewa kuwa serikali ianajua njaa za watanzania tumechezewa sana uhai unathamani kubwa kuliko mtungi wa gasi na sh20000 mbwa we

  • @isayakihongile4921
    @isayakihongile4921 4 дні тому

    Ukiona fedha hatujui zimetoka mfuko gani zinagawiwa kiholela hivi ujue kumeanza kupambazuka mtagawa zitaisha lakini haki lazima itamalaki uhai ni mhimu kuliko gesi na elfu 20

  • @boxdad
    @boxdad 4 дні тому

    Ila serikali yetu inaviongozi machz

  • @user-sy5lx7el4z
    @user-sy5lx7el4z 4 дні тому

    Yani nchi hii ccm wanatufanya kama watoto, inamana wanaona mtu hana 20000 mpka hawai akapewe bure na ccm, hizi zarau za viongozi kwa wananchi wake mpka lini,na huyu ndo anaongoza kwa izo dharau na kukebei watu

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 4 дні тому

    Tumeishajikaburu tayari)

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 4 дні тому

    Tamasha lako watahudhuria Wana CCM wenzio wasio na Uchungu na kupotea kwa watu,Bali sisi Wenye Nchi,Wazalendo tuna Jambo letu tutakuwa palee jirani nawe,Kisha tutakuja kula hizo nyama choma,huduma ya chakula Iko jirani,Asante Sana Mkuu wa Mkoa kwa Ukarimu wako kwa Waandamanaji,Mungu akubariki Sana "nalikuwa na njaa (maandamanoni) ukanipa chakula. Una thawabu yako kwa Mungu,hata Kama unafanya kwa Hila na Unafiki.

  • @FrancisRM-ex8vf
    @FrancisRM-ex8vf 4 дні тому

    Huyu angekua baba angu nahisi angeniachia laana, maana sio kwa utoto huu anaoufanya😂😂😂
    Anyway maandamano yataanzia kwa wababe, kanda ya ziwa yakiongozwa na mkoa wa mara, mwanza, shinyanga, Geita, kagera, simiyu na kigoma🥷🥷🥷

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 4 дні тому

    Chukueni hiyo hela chapu kimbia kwenye mandamano itakusaidia kununu maji yabardi unywe

  • @BabMuniwe-pg7el
    @BabMuniwe-pg7el 4 дні тому

    Ipo siku na nyie mtaria si mko juu ya dola

  • @FrancisRM-ex8vf
    @FrancisRM-ex8vf 4 дні тому

    Nadhani Chalamila, mfano ameishauona kwenye kituo cha polisi kilichoshambuliwa na wananchi bila hata hatia, ila hapo anajaribu tu kujihami na kulinda masilahi yake binafsi😂😂😂

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 5 днів тому +1

    Maandamano kwanza

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 4 дні тому

    Chalamila ana Akili nyingi,Anafanyia hivyo kwaajiri ya maandamano,

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 4 дні тому

    T7na uchungu na ndugu zetu waliopotea /waliotekwa pia tunauchungu na nfuze zetu waliouwawa kikatili kubwa hatutaki ges hata kuni tutapikia

  • @markoshem-ij6cf
    @markoshem-ij6cf 5 днів тому +1

    Unakazi

  • @IbrahimKasambala-ts8re
    @IbrahimKasambala-ts8re 4 дні тому

    kwa kweri watanzania viongozi wet mmetukanyaga kichwani kwa haha unayoyafanya ndugu chalamila unamchafuria hali yahewa mh. Rais wants kwa kukuza mgogoro na vyama vya upinzani bure waache waandama e tena walindwe vizuri Kwa mjibu wakatiba yetu.

  • @agustinoandrea6030
    @agustinoandrea6030 5 днів тому +2

    Hatutaki ges ikiisha mtawajazia????

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 4 дні тому

    Mmmmm

  • @Tatianusi-zr6pz
    @Tatianusi-zr6pz 5 днів тому +1

    Kama kuonga2 mtaonga saaaaaaana

  • @nkorankoranigwa4058
    @nkorankoranigwa4058 4 дні тому

    Ishi..hii nchi inashida kubwa kuliko tunavyofokiria

  • @SaidislamBates-cy1up
    @SaidislamBates-cy1up 4 дні тому

    Duuuuh!!!!

  • @emmanuelmahenge-z7u
    @emmanuelmahenge-z7u 4 дні тому

    Hakuna maandamano labda mlusiwe Tanzania syo kenya

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 5 днів тому

    Asante mmm nniitaendaa kuiutafuta watopooto. Wa kkakka yanggu nin uvvhuunnguu

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 4 дні тому

    Rushwa rushwa rushwa

  • @salhaiddi-l3l
    @salhaiddi-l3l 4 дні тому

    mm ntaenda kwenye maandamano😅

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 4 дні тому

    Ukizengua tunakuzengua kwako mbona poa tu unaishi ulaiani harafu unatuzengua acha kabisa

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 4 дні тому

    Kweli watanzania mshajulikana ni mafala malofa waganga njaa kweli ukauze utu wako kwa 20 keleuwiiii Mungu tusaidie

  • @malundaamani.gmai.
    @malundaamani.gmai. 4 дні тому

    mama yangu uzizalilike nitakupa
    mimi 20000 bila
    kusumbuka wewe sio mtumwa

  • @Babaharvey3624
    @Babaharvey3624 4 дні тому

    Kichaa kaiba panga😂 siendi popote

  • @kihongole87-ns1bo
    @kihongole87-ns1bo 4 дні тому

    Vichaaaa ni wengi kweli

  • @dwasinjebele5361
    @dwasinjebele5361 4 дні тому

    Hahahhaaaa serikal yangu inajua kunifurahisha

  • @PeterKajana
    @PeterKajana 4 дні тому

    Huyo chalamila ni ujinga tu huo watu wanajianda kufanya jambo la msingi la kujua hatma ya ndg zao waliotekwa halafu yy anaanzisha matamasha eti kwa lengo la kuzma maandamano au ñdo anawatuma watekaj?

  • @WilliamDaniel-hm4cr
    @WilliamDaniel-hm4cr 4 дні тому

    Watanzania muwe naakili bc

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 3 дні тому

    Apo ndipo mjue kua wauwaji wakubwa ni selikali na ndio maana unajitaidi kufanya kila mbinu ili tu mandamano yasiwepo ila mi nina aidi kwa sasa kama aya mandamano ayajafanyika bas kwa nzia sasa nitaachana kabisa kufuatilia mambo ya sias apo nitakubali kua tupo kwenye umwa

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 4 дні тому

    Mupate kupigiwa kula au wadañgany watoto sisi maandamano nimuhim sana kwetu

  • @user-xx8fb4ed5u
    @user-xx8fb4ed5u 4 дні тому

    Umechemka kiongoz

  • @pastorbarakangata606
    @pastorbarakangata606 5 днів тому

    chalamila haya

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 5 днів тому

    Pikeni msosi wakutisha kwakuwa waandamanaji tutakua wengi kwahyo mutasaisia Sana mkuu

  • @IssaTayari
    @IssaTayari 4 дні тому

    Apa mmetumia akili ndogo kila myu atajua kwann mmefanfa ivo

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 5 днів тому

    Where are you before?

  • @yohanajackson4160
    @yohanajackson4160 4 дні тому

    Global publishers na ww umefel kichwa cha habari ety maandamabo😮😮

  • @heavenkimambo1318
    @heavenkimambo1318 4 дні тому

    Wameanza mbwembwr

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 дні тому

    Hongera chalamila kuna gange linatafuta uchochoto wa kuichafua AMANI yetu tunayojivunia!!msiwape nafasi!!tupo pamoja MKUU!!

    • @FrancisRM-ex8vf
      @FrancisRM-ex8vf 4 дні тому

      Wewe pia ni chawa tu...
      Huwezi kusema Tanzania ina AMANI kwa sasa hivi ikiwa ndugu zetu wanatekwa na kuuawa...
      kiufupi haya mambo yakiwa hayajakukuta huwezi elewa ndio maana unaleta siasa kwenye issue serious.

    • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
      @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 3 дні тому

      Una AMANI au ACHA ujinga wewe

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 4 дні тому

    Hakili yakitoto sana hata mwanza tutandamana ili tupate mitungi ya ges pia watanzania msikubali kudanganyika mdawakundanganywa umeisha watarudi kuzifata mda siomlefu

  • @justicebridge
    @justicebridge 5 днів тому

    Hizo pesa zinatoka budget gani wajamaa

  • @EvanceKayogela
    @EvanceKayogela 4 дні тому

    Winifiridasaimoni

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 4 дні тому

    Rudisheni vijana wawatu mliowateka lasivyo wtz tumechoka kutekwa nibora tuje tukafie hapo live kila mtu anatuona kuliko kulushiwa mamba wagawane

  • @CharlesMulaki-j8h
    @CharlesMulaki-j8h 4 дні тому

    Mnatapatapa