Derick wewe ni Genz tafuta maboys muende mtue hio shetani huko mara dat. Mum be strong usijifanyie kitu mbaya watoto wanakutengemea mungu atakutetea tunazidi kuomba juu ya family yako
Mama D, when God wants to save ones life anakutenga na watu wabaya. Mkumbuke LUTU katika BIBLIA MUNGU alimuokoa kutoka sodoma n GOMOLA HAKUCHUKUA KITU. Mungu akusimamie.
Mama Derrick i love the woman you are, a strong woman of God.God is fighting this battle on your behalf, we are not going remain silent, we push on with prayers
Another day I'm cutting onions 😢😢😢😢 with our online mum very sorry mum we us true k fun's we are praying for you and everything will be okay 🙏🙏 believe with me and 99 others here 👇👇
Isaiah 54:17 no weapon formed against you shall prosper in Jesus mighy name be strong mama d and just give them time uone mashetani zao zikitoana nguo keep praying keep your faith strong
MAMA DERICK MIMI SIKUJUI VIZURI BUT GOD KNOWS YOU BETTER HE HAS PREPARED A WONDERFUL LIFE FOR YOU .Never mind God has reasons for everything iam praying for you from here Ireland
Director Jay Shukran for comforting mama Derrick you're a true man of God. May God bless you abundantly kitu nakuomba tafadhali sana msaidie mama Derrick kupata wakili mzuri sana ingalau wampleke Kwenye Sheria na aendelee kwenye Maombi najua Jay una wachungaji wazuri mpeleke maombini Governor mauchawi yatamtoka tu. Mama Derrick stay strong usitetereke kabisa mimi nakuamini wewe ni mtu wa Mungu na usiwaze kujiuwa. Mwl ni Illuminator hakunabkinachoshindikana kwa Mungu stay strong and blessed
Isaiah 66:9 Do I bring to the moment of birth and not give delivery?" says the LORD. "Do I close up the womb when I bring to delivery?" says your God. After labour there is delivery
Mama nderick Ngai arokuruirira ninjui mahoya uhoyaga timatuhu nanikio Maya mothe maimbukite nathutha wa hema online fans tunakuombea ule mungu amenjimbu maombi ya Eddy Nderitu Samidoh akarundi home online fans tunaamini pia wewe ur marriage itarundi nomo. Nakiri ya uthiginire miyaka iyo yothe gitikurira thii kana kirio nimemenyi hiyo njangiri itatoka kwako. #nothingbutprayers itafanya KAZI Ngai uria wihoketw nauruaga mbara ciyaku ndeguguconora. Atapigana handi mwisho nanitugakena
Mzee umegeuga mama Derrick vile ruto aligeuka wakenya!mmekayaga moto Genz iko tayari kupigania wasio na nguvu…Derrick na dada zako tafuteni magenz muokoe mama
Mama Derrick this is not an easy thing but God will fight for you and you will testify of his goodness one day. That's the devil fighting you. The devil is always defeated in JESUS name.
Mama Derrick your tears will be wiped by God in heaven. Feeling at the end today paves way for Good to Glory his name through your humiliation s. This will be a living testimony like that of Elijah. Cry to God in heaven as you go through this.
Wewe jay usipost tu pia jaribu kupena adivce atleast property Zierde zote kwa watoto alafu mwalimu atafutiliwe zake utakuwa umesaidia . I hope behind the camera unamuongelesha vizuri juu unasikia anataja kujiuwa
Mama Derrick be strong in the Lord God knows you and that's why amekusave from the so called husband his demons wanted to sacrifice you but believe you me the so called teacher and the unborn ndio watakuwa sacrificed Mungu anakusave wewe na Derrick take heart
Hii mambo ni ngumu wewe yasikie tu kwa jirani ila yakiingia kwako aki kutoka mpaka isambaratishe Kila kitu MUNGU MSAIDIE TU MAMA UYU arudi kwake pole sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
There come a time when a encourager is discouraged, he/she runs to the Lord,good people stand with mama Derrick, what is happening you don't need a prophet to tell you there is power used.....May God see through the whole situation and work over it.
THAT LADY NEEDS ASHOULDER TO LEAN ON WAJJAMENI 😢😢😢😢😢WHO IS CUTTING ONIONS 🌰 HERE BUT AM SURE BABA DERICK IS REGRETTING WHAT HE DID COZ YESTERDAY HE WAS NOT EVEN HAPPY
Yeah mama derrick anateseka pekeake ,i wish msichana wake mmoja angekuwa kenya atpeast asimame na mamake ,she is going through alot bt we thank God mama derrick is a strong woman
Plz mama,mungu alikuumba pekeyako,chunga roho yako mama,tunakemea hiyo roho ya kujiuua in Jesus Name,mchukulie tu kama hayuko na wwe,jipatie amani na yote yatapita mama ,haki hii story nashinda nikilia kila siku na mama huyu simjui haki,God healn comfort her ,.
God is faithful mama Derrick please 🙏 let the lord to worship fight your battles so don’t cry over evil riches they will perish as soon as possible watch the space
This is God's doing ,sometimes God will allow things to happen to expose the evil ,since this lady is a prayerful ,God will protect her but what I know ,wadges of sin is death, mum stay in prayers 🙏 and God with stand with you 🙏
Kwani ao watoto awaoni toka mwanzo paka mmyao amefikishwa huku, huyu mwalimu ni shetani gaidi mkosa haya na adabu Mr mwangi uyu kisirani usimkaribishe tena mana soon kitamramba haya machozi ayendi bure Mungu yuko na sababu zake mom usilie 😢😢
Don't worry mama Derick you God who is heaven And you have your children just pray to God to protect your Loved children wherever they're jivunie uko na watoto wako. We're praying for you always
Mama D please do not cry kwa studio it is not right try not because of the children try to talk to a mama friend of your age or older and share it and by doing that you will know which way or where you start. Find a way of chasing that woman in your house with the help of your children, also you can tell your husband if he want a second wife to take her away from your home.
My Sister, God exposed all that evil so that He can deliver and save you from harm. The exposure is his final destruction therefore be strong and give thanks as you wait to see the destruction of the wicked.
Mama Derick usiende bere mwalimu diye anasitahili kichapo kma ubwa bila kusamehea wish ningekuwa karibu nikusaindie hiyo vita but maombi ndio itafanya KAZI
Wooiye nko job Saudi hii Vida naendelea na kuwarch bt J inabidii mtu aki warch analia😭😭. Woiye. Nistrss. Mum. Kuna mungu. Mbinguni. Tulia mungu atakuonekania🙏🙏
Hii story inanikumbusha story ya Ezekiel ule pastor ,but si alikuja kuregret baadae,so mum Derick don't worry hiko ki mwalimu kitamramba ,and even the governor kuoshwa ataoshwa hataamini,hiyo pesa yake itakulwa style ingine
Mr mwangi where ever you are remember mama deric ni kama mama yako.you are in this matter na sio kupenda kwenu talk to her like a son.comfort like you can your own mother please
Bottom line is that Governor ako na stress juu mama D alitoka kwa nyumba but on the hand i can't advice mama D to go back to that house and live with that devil of a woman coz haujui wamempangia nini, otherwise mam take heart because the battle is not yours,you are a God fearing woman and everything is going to work for your good,hugs mum.
Derick wewe ni Genz tafuta maboys muende mtue hio shetani huko mara dat. Mum be strong usijifanyie kitu mbaya watoto wanakutengemea mungu atakutetea tunazidi kuomba juu ya family yako
Achangamke mbiombio
Exactly
True Derick tafuta 5vinjana mchape hiyo ubwa bila huruma 😳
Mama Derick tuko nyuma ya hema na maombi
Kabisa
I agree with you
OUR MUM DONT CRY JUU UMEJUA UKWELI KUUZU BWANA YAKO ANATHER THING YOU ARE A PRAYERFUL WOMAN GOD WILL FIGHT FOR YOU🙏🙏🙏
Mama D, when God wants to save ones life anakutenga na watu wabaya. Mkumbuke LUTU katika BIBLIA MUNGU alimuokoa kutoka sodoma n GOMOLA HAKUCHUKUA KITU. Mungu akusimamie.
Mbona inakaa acting?
Hii ni kama story ya daniella,,,bt najua governor ataregret
Mama Derrick i love the woman you are, a strong woman of God.God is fighting this battle on your behalf, we are not going remain silent, we push on with prayers
Another day I'm cutting onions 😢😢😢😢 with our online mum very sorry mum we us true k fun's we are praying for you and everything will be okay 🙏🙏 believe with me and 99 others here 👇👇
Mama Derrick go to court n block all the properties
Za mashetani ablock za nini??
.mama Derrick be strong in the Lord be prayfull talk to your children's take you to the USA and forgetting your husband 😢😢😢
Isaiah 54:17 no weapon formed against you shall prosper in Jesus mighy name be strong mama d and just give them time uone mashetani zao zikitoana nguo keep praying keep your faith strong
MAMA DERICK MIMI SIKUJUI VIZURI BUT GOD KNOWS YOU BETTER HE HAS PREPARED A WONDERFUL LIFE FOR YOU .Never mind God has reasons for everything iam praying for you from here Ireland
Hi Cliff
Let's join hand and pray for her and all will be alright
@@rosemarymuthama-cr4si sure we should when God exposed Governor all powers were powerless
Director Jay Shukran for comforting mama Derrick you're a true man of God. May God bless you abundantly kitu nakuomba tafadhali sana msaidie mama Derrick kupata wakili mzuri sana ingalau wampleke Kwenye Sheria na aendelee kwenye Maombi najua Jay una wachungaji wazuri mpeleke maombini Governor mauchawi yatamtoka tu. Mama Derrick stay strong usitetereke kabisa mimi nakuamini wewe ni mtu wa Mungu na usiwaze kujiuwa. Mwl ni Illuminator hakunabkinachoshindikana kwa Mungu stay strong and blessed
Jay don't tell her not to cry. Crying relieves pain. Leave her to cry
Isaiah 66:9 Do I bring to the moment of birth and not give delivery?" says the LORD. "Do I close up the womb when I bring to delivery?" says your God.
After labour there is delivery
Mama Derrick fight for your marriage! Don't give up
Mama nderick Ngai arokuruirira ninjui mahoya uhoyaga timatuhu nanikio Maya mothe maimbukite nathutha wa hema online fans tunakuombea ule mungu amenjimbu maombi ya Eddy Nderitu Samidoh akarundi home online fans tunaamini pia wewe ur marriage itarundi nomo. Nakiri ya uthiginire miyaka iyo yothe gitikurira thii kana kirio nimemenyi hiyo njangiri itatoka kwako. #nothingbutprayers itafanya KAZI Ngai uria wihoketw nauruaga mbara ciyaku ndeguguconora. Atapigana handi mwisho nanitugakena
Watoto walioko nje waje kutetea mama yao...God kupigania mamaa..one day watakuja wakilia na kukuomba msamaha
This mother is amazing , imagine anaambia mtoto wake asimpige babake.wah! Just like my mum.
Maskini anaogopa kijana apate laana
@@cutenicely4766..laana inaingia pahali penye haki. If it's right what you do or Say laana haiingii.
Mzee umegeuga mama Derrick vile ruto aligeuka wakenya!mmekayaga moto Genz iko tayari kupigania wasio na nguvu…Derrick na dada zako tafuteni magenz muokoe mama
We Jay unashauri Derek apige babake,kama wewe ungeweza piga babako,mama Derek anajua Mungu kuliko wewe.
Apige huyo Malaya aachane na babake
Àkusema amolfike jay alisema anaeza fikwa kumanisha inatengemea na venye babake Derick ataongea na kijana yake
Be strong Mum na uwapee tu mda God will fight 4 you 😢😢
Mama Derrick this is not an easy thing but God will fight for you and you will testify of his goodness one day. That's the devil fighting you. The devil is always defeated in JESUS name.
This is too hard to bear. God is in control. To hell with those those who had been breaking marriages.
Huyo mwalimu n governor watakuja kulia machozi ya mwanake sio poa l peter 3:7
Prayers to mum Derrick but from the last episode when they called Jay it's like Mzee is regretting the decision he made
Exactly, he is but regretting
So true but seems he doesn't want to admit before that devil so called Kelly
Mama Derrick your tears will be wiped by God in heaven. Feeling at the end today paves way for Good to Glory his name through your humiliation s. This will be a living testimony like that of Elijah. Cry to God in heaven as you go through this.
Mama inabidi uwambiye watoto wote washuke waje wakuteteye wateteye pia malizawo.
Thank God you left while alive so be grateful the lord is most powerful in all ways 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙏🙏🙏🙏🙏come to prophet kakande in Uganda for deliverance
I love Prophet Kakande, too. I wish Mama Derrick could see and read this.
Wewe jay usipost tu pia jaribu kupena adivce atleast property Zierde zote kwa watoto alafu mwalimu atafutiliwe zake utakuwa umesaidia . I hope behind the camera unamuongelesha vizuri juu unasikia anataja kujiuwa
Don't forget dveli properly you can not enjoy it
Mom Wacha kuria plz Kuna mungu
Mama Wacha ku expose Bwana wako Governor.Utajiri kupata siyo rahisi ata kwa dawa.
Mama Derrick be strong in the Lord God knows you and that's why amekusave from the so called husband his demons wanted to sacrifice you but believe you me the so called teacher and the unborn ndio watakuwa sacrificed Mungu anakusave wewe na Derrick take heart
True, ndio maana amemleta karibu na yy
Hii mambo ni ngumu wewe yasikie tu kwa jirani ila yakiingia kwako aki kutoka mpaka isambaratishe Kila kitu MUNGU MSAIDIE TU MAMA UYU arudi kwake pole sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mum pole we are praying for you ambi derrick achukulie huyo panga atakanyanga kubwa
When I see mama Derick I miss my mum, she was just like her
Mama derrick you serve a living God thats why this things are being revealed
My God remember mama Derick mpiganie my father is not easy but uki mshika mkono ataweza🙏🙏
May almighty God strengthen and comfort our mum 🙏 thank u Jay for comforting her.......May God create a way for mamaa
Mama derrick be strong 💪 God will fight you vita ni ya mungu
Pole sana mama Derick haya ni mapito tu amini mungu hatakutetea
Mama Derikk , Mungu ankupenda n anataka uokoke n ugombolewe uriithi ufalme wa mbinguni
There come a time when a encourager is discouraged, he/she runs to the Lord,good people stand with mama Derrick, what is happening you don't need a prophet to tell you there is power used.....May God see through the whole situation and work over it.
Very tru hii ni juju
God will fight for you mum. Our knees are on the ground praying for you
Pole Sana mamaa tunakuombea mum yesu yupo
Mungu asimame na mama Derrick
Mungu akupiganie,.
Mama soon you'll be through this in Jesus mighty name, Amen
Be strong Mum na uwapee Tu mda God will fight for you 😢😢😢😢
Jay may God shower you with blessings for your focus n courage
Akuna jambo linalool kujam passport na sababu mama be strong 💪 heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo mungu ako pamoja nawe mama jipe moyo.
Mama we are with you in prayers... God is faithful fighting your battles
Mama Derrick please you can go Kampala Uganda to kakande minister
Usijali mum hayo machozi kumbuka mungu niwahaki hapo kilakitu mungu anaona tu
THAT LADY NEEDS ASHOULDER TO LEAN ON WAJJAMENI 😢😢😢😢😢WHO IS CUTTING ONIONS 🌰 HERE BUT AM SURE BABA DERICK IS REGRETTING WHAT HE DID COZ YESTERDAY HE WAS NOT EVEN HAPPY
The man is regretting but teacher amemkalia
@user-qv5bs2kh8u very true coz I saw it yesterday HE was even forced
Yeah mama derrick anateseka pekeake ,i wish msichana wake mmoja angekuwa kenya atpeast asimame na mamake ,she is going through alot bt we thank God mama derrick is a strong woman
Be strong mm Derrick mungu yuko pamoja nawe
Mum pole sana all is well shukuru Mungu ushaa jua ukweli Yu are in light now Mungu akupe nguvu Kwa wakati huu😢😢😢
Plz mama,mungu alikuumba pekeyako,chunga roho yako mama,tunakemea hiyo roho ya kujiuua in Jesus Name,mchukulie tu kama hayuko na wwe,jipatie amani na yote yatapita mama ,haki hii story nashinda nikilia kila siku na mama huyu simjui haki,God healn comfort her ,.
In my evry prayer mama derrick i will always remember you,as my mum and as my fellow woman,take heart mami
Don't worry Mama Derrick.God will fight for you,be strong in the Lord.Hao hawaendi mbali,watawachana tu
Mama Derick your strong mama,jipe moyo na Mungu wambinguni atakuonekania,labda Mungu amekutoa huko na sababu
Mum wacha kulia b astrong mama sisi team strong tuko nyuma yako mamaaa penda wewe sana mum
Haki watoto wa mtu💕💓💞💓💓 it's something very important you cry to them anytime and they offer you a should to lean on 😇💪 Mama's Love❤
A beautiful wife with a fake husband!
Mama Derick Wacha na mtoto mungu ndie amefanya ujuwe hii mambo yote ,be strong na mungu akubinganie
Mama Derrick be strong, God is and will be with you all through. Just get a qualified lawyer to help you.
May God be with you mama Derrick na utarudi kwako katika jina la yesu
Witchcraft with this kahaba is real. God deliver mom Derrick on all this all we 🙏🏾
Pole mum mungu yuko pamoja na wewe🫂
God is faithful mama Derrick please 🙏 let the lord to worship fight your battles so don’t cry over evil riches they will perish as soon as possible watch the space
This is God's doing ,sometimes God will allow things to happen to expose the evil ,since this lady is a prayerful ,God will protect her but what I know ,wadges of sin is death, mum stay in prayers 🙏 and God with stand with you 🙏
Mama Derrick mungu mwenye unaomba ni mungu alie Hai endelea kuomba atakupingania hio ni mapito
Be strong mummy kila kitu itakua sawa inshalla 🙏🤲
Jay pray yourself Governor is the master of the master
Mama tunakuombea sana
Watoto waungane waje. Kenya kabla madam. Hajabadilisha documents .
Mama Derrick God is with you. This battle is not yours but God will fight for you. Am praying for you.
Your cry will not go invain be strong and it will come to pass God knows your pain
Mama God Ako🙏
Kwani ao watoto awaoni toka mwanzo paka mmyao amefikishwa huku, huyu mwalimu ni shetani gaidi mkosa haya na adabu Mr mwangi uyu kisirani usimkaribishe tena mana soon kitamramba haya machozi ayendi bure Mungu yuko na sababu zake mom usilie 😢😢
Don't worry mama Derick you God who is heaven And you have your children just pray to God to protect your Loved children wherever they're jivunie uko na watoto wako. We're praying for you always
Aki mum ni smart kuliko hiyo nyang'ao mtu mwenye analanga na ipii juu derick nikama kipii na wale wengine hatunjui aki
Mama D please do not cry kwa studio it is not right try not because of the children try to talk to a mama friend of your age or older and share it and by doing that you will know which way or where you start. Find a way of chasing that woman in your house with the help of your children, also you can tell your husband if he want a second wife to take her away from your home.
Watoi wa mama Derrick, fanyeni mpango mumutoe uyo mwalimu apigwe hadi iyo mimba yke itoke hapo kwa hapo
Mum tuweke loud speaker pls
My Sister, God exposed all that evil so that He can deliver and save you from harm. The exposure is his final destruction therefore be strong and give thanks as you wait to see the destruction of the wicked.
Mama Derrick wewe ni mama wa nguvu sana let me tell you.. Hapo ni kwako it's a matter of time mummy we are praying together
Mama Derick usiende bere mwalimu diye anasitahili kichapo kma ubwa bila kusamehea wish ningekuwa karibu nikusaindie hiyo vita but maombi ndio itafanya KAZI
Wooiye nko job Saudi hii Vida naendelea na kuwarch bt J inabidii mtu aki warch analia😭😭. Woiye. Nistrss. Mum. Kuna mungu. Mbinguni. Tulia mungu atakuonekania🙏🙏
I pray God to front her kids come safely to comfort and strengthen her in faith
Mama Derick pole sana Mungu a ta saidiya baba Derick ni bwana wako sorry
Jay ambia mama Derrick mateso ya mwenye haki ni mengi sana. Na tena chombo cha thamani hupitishwa kwa moto
Yes mama Derrick, you are a wise woman
Aki hii kitu inafanya nilie aki coz ata mm nilifukuswa hivyo
Hii story inanikumbusha story ya Ezekiel ule pastor ,but si alikuja kuregret baadae,so mum Derick don't worry hiko ki mwalimu kitamramba ,and even the governor kuoshwa ataoshwa hataamini,hiyo pesa yake itakulwa style ingine
😢😢😢machozi imenitoka
Mr mwangi where ever you are remember mama deric ni kama mama yako.you are in this matter na sio kupenda kwenu talk to her like a son.comfort like you can your own mother please
Kwanza Derrick ajichunge juu huyo mama alisema awezi lisha mtoto wa mtu.
Mama aki ni uchungu bt be srong yanakuja na yatapita ni shetani anajifanya kukutingisha bt hawezi
Hugs mama Derrick. We love you and pray for you ❤
Bottom line is that Governor ako na stress juu mama D alitoka kwa nyumba but on the hand i can't advice mama D to go back to that house and live with that devil of a woman coz haujui wamempangia nini, otherwise mam take heart because the battle is not yours,you are a God fearing woman and everything is going to work for your good,hugs mum.
God will fight for you mama Derick, huyo Delilah mambo yake karibu yaishe