DULLAYO akili POMBE ndio zimemfanya KUSHUKA kimuziki|Natamani KURUDI kwenye GAME tatizo MTAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • East African number one UA-cam channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
    KANUNI NA MUONGOZO
    Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
    NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
    WeAreEverywhere
    #diamondplatnumz #wasafi #ayotv

КОМЕНТАРІ • 36

  • @kijakazinyalinga7003
    @kijakazinyalinga7003 Рік тому +4

    Dah maisha haya alikua kija mzuri😭😭😭

  • @wilsonpius8217
    @wilsonpius8217 Рік тому +5

    Jamaa nikimuona hivi roho inaniuma sana sababu anajua mnoo

  • @benedictmhina8940
    @benedictmhina8940 2 роки тому +5

    Jamaa anaependa Sana pombe angejua ndio inayomlostisha kimuziki angepiga chini mitungi

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 9 місяців тому +3

    Ushazeeka rudi kwa .mungu wako bro ushauri wa bure mda ushakupita tubia Tena dunia mapito tu ila usipanik ushauri wa bure

  • @zeydkombo1776
    @zeydkombo1776 5 місяців тому +2

    Anavoongea anaongea kama mimi nikiwa na usingizi😂

  • @OnesmoMwacha-wp4bo
    @OnesmoMwacha-wp4bo 26 днів тому +1

    Kijana mdogo unajiua .Mungu akusaidie .

    • @eddiebilly3475
      @eddiebilly3475 18 днів тому

      Hujui anapitia yapi so usimlaumu.. sabbu hta wwe hujui kesho yako

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 2 роки тому +2

    Aisee nirikuwa nakupenda sana dulayo jmn vijana wenzangu msiwe ivyo mawazo yasiwapeleke kwenye pombe

  • @FurahishaAbduli
    @FurahishaAbduli 2 місяці тому +1

    daaah dulayo d time namkubali sana

  • @priscamwakalindile6689
    @priscamwakalindile6689 Рік тому +3

    Yan dulayo ndo Kawa iv😭😭😭😭

  • @KassimSaid-ue2xk
    @KassimSaid-ue2xk 3 місяці тому +3

    unazingua dulayo em acha pombee kwanzaa ufanye kazi mana ww unapiga tungi san kumamaye daaah

  • @hafidhdrogba6154
    @hafidhdrogba6154 2 роки тому +4

    Unambiwa kitu chochote ambacho mungu wako alie kuumba kakikataza.na mamako alie kuzaa humsaidii.unamaisha utabak kutangatangatu

  • @leonardbrown181
    @leonardbrown181 2 роки тому +3

    Dah! Dulayo!

  • @OnesmoMwacha-wp4bo
    @OnesmoMwacha-wp4bo 26 днів тому +1

    Kwani pombe ni lazimaa ?

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 роки тому +7

    Jana nimekunywa chupa moja ya wine na bia nne leo nipo hoi kitandani dulllayo anakunywa pombe nyingi kuliko mimi na anasimama fresh mimi nikinywa pombe sitoki nje wala sikutani na mtu maana nikitoka nje nitapotea huko ninapotaka kwenda

  • @barakamallya6016
    @barakamallya6016 Рік тому +1

    Duhhh😢😢😢😢

  • @user-wq5hz1vf4w
    @user-wq5hz1vf4w 4 місяці тому +2

    Maskin ya mungu yan pombe imemfany kawa kam mzee

  • @user-sc3ds8qd3m
    @user-sc3ds8qd3m 2 місяці тому

    Daaah huyu jama ndio yupo ivi.

  • @Pweza
    @Pweza 2 роки тому +3

    Haha anawapenda bongo 5

  • @habibnjowele7751
    @habibnjowele7751 Рік тому +2

    POMBE! INGAWA UKIWAONESHA WATU UPANDE WA PILI WA POMBE UTAYAOGA MANENO HADI BASI

  • @dominickjohn1128
    @dominickjohn1128 Рік тому +2

    Kapauka kama ngozi ya pumbu

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 3 місяці тому +1

    Daah

  • @mussachessa6404
    @mussachessa6404 5 місяців тому +1

    Mshahara wa dhambi ni mauti ,

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 4 місяці тому

      Hapo umemaanisha nini ndugu yangu?

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 2 роки тому +2

    Ahmada km ahmada

    • @lizzydiy4590
      @lizzydiy4590 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣 ahmada kwenye harakat zake

  • @maximemasinga9504
    @maximemasinga9504 Рік тому

    Daaaaaa jamn 🤗

  • @odiliamathias5424
    @odiliamathias5424 2 роки тому

    Ndio kachoka ivyo jamani duuu kweli Dunia mapito

  • @hamivisinmwalimu5162
    @hamivisinmwalimu5162 Рік тому

    Apunguze pombe

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 2 роки тому +4

    Mi nahisi mshkaji mda wake wa kutrend umefka sasa aache tu mitungi mshkaj ana tatizo kubwa inabidi aje tumuonbee ana nyota kali ila wasanii wachawi wamempoteza…

    • @robathcarlos8068
      @robathcarlos8068 2 роки тому +2

      Hivi ni kweli ?

    • @thestonetown3302
      @thestonetown3302 2 роки тому +1

      @@robathcarlos8068 hakuna utani apo kaka#uchawi upo tu amini usiamin ni kitu alichokiumba Mwnyezi Mungu tangu enzi na enzi#

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 роки тому +2

      Nikweli kabsa Uchawi upo na Wasanii wanapotezana sana....!! Dulayo sio akili yake hiyo tena ana matatzo makubwa sana aisee 😢😢😢😢😢😢