UFUNGUO | Unyanyapaa unavyowanyima fursa ya kurejea shuleni wanafunzi waliojifungua

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Kutana na Anyesi Ernest, binti mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Kigoma aliyekuwa nje ya masomo baada ya kupata ujauzito. Alijaribu kurudi shuleni lakini unyanyapaa ulimkatisha tamaa.
    Anyesi amepata fursa ya kurejea shuleni lakini analazimika kuanza kidato cha kwanza licha ya kuwa alishafika kidato cha tatu. “Sina shida, muhimu ni kutimiza ndoto zangu za kuwa mwalimu au mwanasharia. Kwa sasa najiandaa na masomo ya mwakani katika kituo cha Watoto Wetu Tanzani kilichopo Chalinze,” - amesema Anyesi.
    Mtayarishaji | Faraja Sendegeya
    Mhariri | John Mbalamwezi

КОМЕНТАРІ •