MZEE MTITU:SIMBA BADO WANAJITAFUTA | BIRIANI BADO HALIJAPATIKANA| YANGA WANATAPATAPA KUIPATA ROBO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 9 годин тому +4

    Mungu ibariki simba sports club 🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ Aamen 🙏🙏🙏

  • @SamwelErnest-n8y
    @SamwelErnest-n8y 9 годин тому +1

    Safi sana Mzee wangu umeongea vizur simba ni kama gari inatembea huku inabadilisha Tyre

  • @ShomaryKomboMtunguja
    @ShomaryKomboMtunguja 9 годин тому +2

    Simba nguvu moja

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 7 годин тому

    Tatizo wanalipwa prsa nyingi minor, upumbavu kama ea che Malone alipaswa kuadhibiwa kukatwa mshahara . Tunawachekra sana

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB 8 годин тому

    Ahoua sio mchezaji pale simba

  • @ATHANASLUKEHA-ui7pq
    @ATHANASLUKEHA-ui7pq 6 годин тому

    Wachezaji wengine wachunguzwe pia.

  • @AmuorKing
    @AmuorKing 7 годин тому

    Ahuwa mechi mbili nyuma mchezaji mzuri sana ila dah ???? mechi mmoja mbele hafai ndo tulivyo na ndo wachambuzi wetu tutafanya nini. ila babu usijali usishuhulishwe na kina miraji mara moja hajui ata anazungumza nini halafu mimi mchambuzi mchambuzi hatoki tanzania mpaka dunia itakwisha

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 9 годин тому +1

    Simba nguvu moja