Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Kabsaa iliweza
Mashaallahau bbharusi
Tazlent Pixels 🎉
Mashallah iliwzaaa kumbe hrs
Veli pambe ila kwa uso kaborongaa 😂
😂😂😂😂
Sasa hayo mambo gani biharusi huwa na haya na hiyo ndio heshima ya harusi. Lakini sikukati kwenye kiwanda aibu hiyo
Bi harusi kapendeza sana ila hawa mabest wameharibu tu sana
Sana
Waonesha vibega tu 🤣🤣🤣🤣😷
Mashallah bi harusi kapendeza sana ila muimbaji 😩😩😩
🤣🤣🤣🤣
@@hijamwinyi3233 kapoozesha shughuli
Vikebe vya daku 🤣🤣🤣🤣naona kelele tu uwa
Ndio nyimbo gani hii jamani ya kuingia bi harusi🙄🙄🙄mwimbaji nayee aimba au apiga kelele😂😂😂🙌
😅😅😅😅😅😅
Upendeza bi harusi but huyo muimbaji yuaboesha yy yuambia kivyake vyombo navyo viko kivyake hukupata waimbaji wanaojua kazi yao
Mwenye gauni jekundu hajui maana ya sim sehemu kama hizo
Mshamba kweli bure kabisa ameharibu video yuko busy na sim alafu kupitapita sijui wanatafuta nini mmmmh vina mudaaa 😃😃😄
@@khadijanjama8721 aonesha tambo ukwaju 🤣🤣🤣🤣🤣
@@haleemahaleema8505 😃😃😃
Kwani wewe umekamilika kuumbwa Allah anaumba anavyo taka yeye dadangu huko nikumkosoa Allah alikosea kumuumba
@@hamisiomar601mwenzetu unayako tumeongelea tabia hatukuongelea maumbile jua kutofautiaha tabia zinabadilika ndio mana tuliamrishwa kutubu ila maumbile ni kazi ya Allah atuwezi mkosoa pia sisi hatujakamilika la sivyo kakojoe ulale 😃😃
MashaaAllah b haruc
tabarakallah
Mashllh🥰🥰🥰
Biharus aangalia kila kona 😂😂😂😂
Kapendeza bi harus.ila nguo km mgetandika carpet. Au lipo macho yangu.naona nguo inafagia kiwanja.
Nimeliona lipo.kapeti sehemu
Uyo mwenyewe gaun jekundu me kaniacha hoi Yan yeye anachat tu, baada achukue video mshamba kweli wenzake wanajua kumjal bi harus wanamkarbisha vzur
Ako na haya labda hajui kucheza😂
Mashallah kumbe hrs iliwzaaa
tabarakallah 🥰🥰
Yeah muimbaji kaharibu