🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @yahyasaloummvyongo3536
    @yahyasaloummvyongo3536 4 місяці тому +8

    😂😂😂❤❤❤MANARA BUGATTI tengenezeni maneno na walee wazee timu yetuu iendelee kaaeenii nao bwana kaaenii nao wewe na VIONGOZII wenzio mmalize hizi tafrani bwana timu imefikia pakubwa mimi shabinwa yanga URAMBO TABORA wazonlangu hilo

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 4 місяці тому +2

    Manara safi yupo makini good speech

  • @paulpeter9655
    @paulpeter9655 3 місяці тому +2

    Hongera mwamba.

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 3 місяці тому +2

    Huo ukubwa Allah Aliokubariki na kukupa ndio utakao kupa Mitihani Mizito na Mikubwa Maishani.Ogopa sana Hasad.Manara Amesema kafungiwa Akiwa msemaji hakusema kua karudi kama msemaji.Amesema popote Atakapo ekwa Atafanyakazi

  • @jumadizae9117
    @jumadizae9117 4 місяці тому

    Karibu sn nyumbani Manara, watu wanaumia kumaliza
    adhabu yako.😊😊😊😊😊

  • @barazamwaja3868
    @barazamwaja3868 4 місяці тому +1

    Unatambulisha Hadi watoto wako mo akimtambulisha Dada aaaah, tajiri hanuniwi

  • @jonathansam4159
    @jonathansam4159 4 місяці тому

    Hongera sana kwa hotuba nzuri, umepita wasomi wengi sana na unastahili kupewa uongozi kitaifa maana busara ipo na imetulia.

  • @fundijr4845
    @fundijr4845 4 місяці тому

    Welcome Back King Of All Spokesmen In TANZANIA.

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 4 місяці тому

    Khaji uko vizuri sana! Mwambie na yule jamaa mtaalamu Jemedari! Jana nimemsikia akizungumzia hizo siku 30. Sasa na yeye labda aliona hiyo hukumu?

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 4 місяці тому +2

    Mapato kitu gani, Makombe ndio kila kitu 😊

    • @thabityasin8624
      @thabityasin8624 4 місяці тому

      Acha izo wewe anacho kiongea ni sahihi

  • @zamratayoub4604
    @zamratayoub4604 4 місяці тому +1

    Hongera

  • @veronicageorge4853
    @veronicageorge4853 4 місяці тому +1

    Semaji la dunia 🎉🎉

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 3 місяці тому +1

    Fanya mambo ya Dini tena heshim uzee wako, Mauti yako yapo karibu

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 3 місяці тому

    Manara kimekulamba.lazima uwe mpole boss hanuniwiiiiii

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 3 місяці тому

    Acha kuipenda Dunia

  • @shabanikigogo2444
    @shabanikigogo2444 4 місяці тому +1

    Hongera Haji

  • @johaneskyaruzi8789
    @johaneskyaruzi8789 4 місяці тому

    Karibu Bugati

  • @HerryLazaro
    @HerryLazaro 3 місяці тому

    Ongea mambo ya maana ,au hayo ndiyo mambo ya mpira.

  • @kikongajoel2693
    @kikongajoel2693 4 місяці тому

    Tulikumisi sana manara

  • @EnthusiasticAtv-gn6pb
    @EnthusiasticAtv-gn6pb 3 місяці тому

    VUMILIA WEWE, ATAONGEA. Hapa anaongelea subira katika adhabu aliyopewa ya kufungiwa akiwa katika KAZI ya MPIRA😊

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 2 місяці тому

    Mo alimtambulisha dada yake wewe kwa kinywa chako ukamdhihaki leo hii na wewe umemtambulisha dadaako wa South Africa

  • @alexanderfute4559
    @alexanderfute4559 4 місяці тому +1

    Aisee

  • @HappyFreshwaterLake-tw8kc
    @HappyFreshwaterLake-tw8kc 4 місяці тому

    Rudi bhanaaa kiongozii msemaji

  • @NassorNassor-zg7is
    @NassorNassor-zg7is 3 місяці тому

    Nae eti katambilisha dada!!!

  • @stevenjackson4985
    @stevenjackson4985 4 місяці тому

    Namuonea huruma Ally Kamwe. Huyu jamaa atamuingilia sana kwenye shuguli zake.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 4 місяці тому

      Kaka umesema kweli, yaani ishakuwa shida kaka,,,

  • @Ridh1Yusuf
    @Ridh1Yusuf 4 місяці тому +2

    Acha upumbavu..kaongea wapi hayo maneno

  • @muhidiniwadhifa3600
    @muhidiniwadhifa3600 3 місяці тому

    Rukia mapato ndio kila kitu

  • @brightnjau651
    @brightnjau651 4 місяці тому

    waandishi uchwara, hiyo kichwa cha habari kimekaa unaa unaa tu!

  • @KasimMhando
    @KasimMhando 3 місяці тому

    Rudi nyumbani huko utateseka sana.

  • @jumadizae9117
    @jumadizae9117 4 місяці тому

    Karibu sn nyumbani, maana kuna watu wanaumia mno we kumaliza adhabu yako.

  • @nuhhumwakanyamale4771
    @nuhhumwakanyamale4771 4 місяці тому

    We mchukua camera umezngua sana ungeajast kushoto kidooogo ningekuona mtu wa maana kabisa, Kutuonyesha huo msura wa zwazwa umetukomoa😅😅😅😅 Hatuji tenaaaa... kwenye chanel yako, Hatuji tenaaaa...

  • @mohammedlaabry5799
    @mohammedlaabry5799 3 місяці тому

    Kwahiyo MO hakufanya kosa kutambulisha baba yake siku ya simba day ila ulimkejeli sanaaaa Leo unarudia kama yeye kuchamba kwingi

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 3 місяці тому

    Msitiri basi huyo mke wako

  • @SaidiMohammed-o4c
    @SaidiMohammed-o4c 4 місяці тому

    Hivi kweli loo

  • @hajjmohamedlingindo6188
    @hajjmohamedlingindo6188 4 місяці тому

    Haji Manala ni mtu mkubwa katika familia ya " MPIRA WA MIGUU " hapa Tanzania !! ana haki ya kuingia na "UKOO" Wake siku km ya Jana 22/07/2024 Manala karibu tena YANGA ASC, co watu wote wanamchukia Manala, kukosekana Miaka 2 kwa manala lilikuwa pigo kwa Yanga yetu 😂😂😂

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 4 місяці тому

    Manara !
    Maadili ya uongozi hayakuruhusu kum address Rais wa klabu as your equal. Nina umri wa miaka 70, lakini ninamheshimu Hersi kama kioungozi wangu. Nikiona mtu anamfanya wa kawaida naumia. Chunga hilo tutakuwa sawa.

  • @malilosaid6495
    @malilosaid6495 3 місяці тому

    Honge chamaana bwana wewe mnafiki japo siyo moi wa kuhukimu ogea Cha msingi mnafiki kubwa we

  • @SaumuJuma-z2g
    @SaumuJuma-z2g 4 місяці тому

    Ubaya ubwelaa

  • @MsafiriMatumla
    @MsafiriMatumla 4 місяці тому

    Kwan kafunguliwa

  • @OmariVesso
    @OmariVesso 3 місяці тому

    Mshamba ww hy family yk ss yann

  • @AmosMtimi
    @AmosMtimi 3 місяці тому

    Tatizo lako huwezi kute ganisha siasa na mpira

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 4 місяці тому

    Kwani wewe ndio Msemaji wa Yanga?

  • @AbdulKijonjoo
    @AbdulKijonjoo 3 місяці тому

    Mo alitambulisha baba na dada yake pale simba day kwa mkapa,wewe ukamzodoa sana,leo umesahau na wewe unafanya hayo hayo,mwenzio baba yake alikuwepo wewe baba yako hayupo tunamuombea hery,ila acha kufuru haji,unajitelenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe,unaBalaaa wewe!!?

  • @mgmail-lj7mo
    @mgmail-lj7mo 4 місяці тому

    😂😂 kasema wap

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 3 місяці тому

    Mnafiki mkubwa , Mpenda Dunia

  • @MichaelyphidelyGervass
    @MichaelyphidelyGervass 3 місяці тому

    Uache kulopoka ovyo jifunze kuzizuia hasila wakati vitu Ving havihitaji asila na chuki wewe huoni mwemzio Ali kwamwe anaka meza moja na Ahmed Ali na hawagomban badilika

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 4 місяці тому

    Anasa za kidunia tuuu

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 4 місяці тому

    Uzee bhana haufichiki kabisa haka kajamaa tayar kamekongoroka ila kanajifanya bado kakijana sana! Watz gan waliendelea kukutia nguvu za nn unalima ww? Kwa lip? Jamani haya mambo magumu sana. Sasa umekusanya ukoo mzima kwa lip?😂 kiki za manara ni shida je na hao hawana akili? Maana ulisema wenye akili ni wawili tu

  • @hellenmassawe7284
    @hellenmassawe7284 4 місяці тому

    Bugati

  • @karyori69
    @karyori69 4 місяці тому

    Hivi kati ya Hersi na Manara nani mkubwa Yanga? Mbona anamu-address kama equal? naona tatizo hapa!

  • @FelixMdoe
    @FelixMdoe 4 місяці тому

    Wewe utambulishe wachezaji kama nani weweeee.