Dada tunakupenda sana nyimbo siwezi kuzisahau mama yangu alikuwa anapenda sana kusikiliza kabla hajafariki 2006 nakumbuka wakati anaumwa saratani alikuwa anapenda sana wimbo wa tabu zangu zikiisha, Mungu nipe uvumilivu na ndivyo ulivyo ubarikiwe sana mtumishi
May God use Rose Muhando in the preaching of the Gospel worldwide! Any way how can I reach you Rose so you may teach how to sing more than you do? I'm Robert wanakayi,working at Mombasa Hotel,I survive in the Gospel of Jesus Christ! Hey let's join hands to support spread of the gospel before the end!
Am here again in 2023 and I just feel like this song is ministering to many souls up to now. Jesus is the only Friend. Yesu karibu kwangu tena na tena.
Hii imenifanya kuwa na amani nilipata ajali mwezi Sept 22 nilikuwa sikai wala sisimami nimelalia mgongo miezi mitano huu wimbo ulikuwa wangu watu walisema sitapona tena huwa nalia tu nikiusikiliza huu wimbo mpaka leo hii natembea kwa tabu natumia magongo, Mungu zidi kunitendea wala sina rafiki wote wamenikimbia, Njoo yesu kwangu usiniache kila pumzi yangu wewe ni faraja kubwa kwangu na si Mwanadamu, wote waliniacha ulisema upo nami, Ahsante Yesu
Mungu wangu uko wapi nakuita yesu 🙏 napitia magumu katika maishani mwangu naomba karibu kwangu unifunike na damu yako juu siwec pekee yangu yesu,,,, nimepitia mengi na bado mimi mchanga yesu😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Asante Mpenzi Rose Muhando kwa wimbo huu ambao umenirudisha miaka 12 nilifukuzwa kwa nyumba usiku , nikaenda nikitaka niondoe maisha yangu lakini sauti ndani yangu iliniambia sitakufa , nikamwita Yesu , nikaamuuliza aje anitetee............. na sasa Amenirejesha.... Furaha ninayo....amani ninayo.... watoto ambao niliwachwa nao wamekua wasichana warembo.... Ndio Ukimwita YESU Adui hana nafasi kwa maisha yako.... Rose Muhando Bwana atatenda makuu juu ya maisha yako... Nashukuru Mungu kwa kujibu maombi yangu na familia yangu juu yako.....
No makeup, no expensive cars nor beautiful houses, no expensive clothes,.... Just an honest, simple gospel song that mentions Jesus from the beginning to the end... It moves emotions... No singer could have done it better... Rose you are one among many, and you exceed them all
Akii mum 😢😢😭mungu amesikia kilio chako na sasa maadui zako watabaki vinywa vyao wazi ,niwakati wako mama wakung'aa tenaa na kubarikiwa zaidi na zaidi ,mamaa we love you so much🇰🇪😘😘🙏😢barikiwa mum
“Sijawahi kuona mwenye haki kaachwa” Mungu wako Rose ni Mungu Mkubwa. Hongera sana dada yetu Nimeutazama wimbo huu, nikarejea kuutazama #tabu zangu wa Rose ft Anastacia nikatambua Rose was prophesying aliyopitia. Natamani kumwambia Rose kwa ushuhuda huu agonge remix ya #tabu zangu
Mungu wetu wa mbinguni tunashukuru Kwa zawadi ya huyu mtumishi wako Rose muhando hakika tunabarikiwa na kufarijiwa na nyimbo zake za kukusifi tunamwombea maisha marefu mtumishi wako Rose muhando
Yesu fariji yeyote atakaye soma hii na anapitia magumu, maisha yake ikawe na furaha na Amani tena, Mungu wapanguze machozi, na tena twashukuru Kwa mama Rose muhando, ibariki huduma yake, mlinde na waovu azidi kukutumikia milele, Amina.
pumbavu zao wamekunenea mengi sana mpenzi piga kazi mbwa wa kigogo hao hawana maana hata kidogo machawi makubwa haya mapumbavu sana yakome sana umepewa na mungu majibwa haya yatakufanya nini yamefilisika yanashika dini bira yesu achana nao mpenzi songo mbere unachukuwe chako kwa yesu ningekuwa yesu au malaika mtowa loho leo wangetoa kwao mikekea na makochi nje mbwa hawa daa nahasira nao harafu nawajuwa kwa majina niliona kilipu wakatajwa na nawajua
Mama Yangu Rose Muhando wewe ni Malkia wa nyimbo za Injili Tanzania🇹🇿 nmefurahi kuona umetoa wimbo wako mpya Mungu akutie nguvu usigeuke tena nyuma pale ulipojikwaa Nakupenda sana❤
This is the song of the year of 2019. Thank you God for bringing back our sister, mother Rose Muhando from all challenges she has been going through, Amen
Who is listening to this song and repenting like ever before!! Karibu YESU tena kwa maisha yangu... GOD IS SO MIGHTY. I bow to call upon your name. Don't leave me oh Lord! Amen
Naitafakari sana Kenya, TZ tulipokamata mifugo yao tuliiua yote. Wao walipokamata madini yetu wakaturejeshea kwa upendo, Haya leo Rose Muhando wetu tulipojaribu kumwangamiza ili tumpoteze kabisa, bali Wakenya wakamvuta na kumkumbatia kwa upendo, Sasa Rose ni yuleyule wa Jana na Leo pia. Asante sana Kenya kwa kuuthamini undugu na ujirani mwema. Mungu bariki kenya, Mungu bariki TZ
I can't real understand the meaning of the song but I can feel tht it as hard for them.n they seiking for the Lord to come rescue them..this lady can draw the Lord attention.swaziland
In Kenya 🇰🇪 we love you so much Asante kwa wimbo yako ya maombi ya nchi yetu ya Kenya. Mungu akubariki Sana na akuondolee pingamizi zote za shetani. Much love from 🇰🇪 🇰🇪
Jesus come to me. I am not ashamed of mentioning your name. In your safe hands I find protection, peace and most of all Guard my faith in you Jesus. . Amen.
Binadamu watakupotezea vyote ila sio zawadi mungu aliyo kupa hyo hudumu milele rohoni na moyoni kwako unacho kipaji jarbu kuelewa na kusimama kwa imani naye Allah ata kusimamisha milele usiwategemee binadamu kwa kila kitu uwa kwa maslai tuh, hongera kwa nyimbo nzur
Dear Rose you inspire me so much!!! Growing up in a Muslim Home you were the only gospel artist song we play because my late dad use to love your voice and inspiration so much🙏🙏💙💙💙 I love you sincerely a fan From Liberia
Dear Jesus I do call you to come yo my Rescue at this hard moment of my life I really need you. I'm tired of suffering all my life 😭😭😭😭😭😭😭😭Yesu Karibu kwangu nakuhitaji sana 😭😭😭😭I'm truly Tired..
Mama rose muhando Your ministry is extraordinary best in Jesus Might name Amen . Una kitu cha tofauti ndani yako Mungu aendelee kukutumia sikuzote kwa utukufu wake
Asanteni wapenzi watanzamaji, Mwenyezi Mungu awabariki pakubwa.. Naomba tuendelee kusubscribe...
God bless you mama, your strength gives some of us strength to fight our battles, I personally love you 😍😍😍😍. More Grace
Dada tunakupenda sana nyimbo siwezi kuzisahau mama yangu alikuwa anapenda sana kusikiliza kabla hajafariki 2006 nakumbuka wakati anaumwa saratani alikuwa anapenda sana wimbo wa tabu zangu zikiisha, Mungu nipe uvumilivu na ndivyo ulivyo ubarikiwe sana mtumishi
Amina
Sijui kwanini nalia sana kuangalia hii video nimemis mama angu
Nakupenda sana mama Rose, full support from us Kenyans
Who else is still here in 2024...this song is a powerful cry for Jesus to intervene in our situations and circumstances ❤
I'm here
Here👋
❤
❤🤝
❤
Those who are listening this in 2024 😢😢lets gather her
Cjhj🎉
Tuko apa
Hereeee❤🎉
May 2024
If you can't hold back your tears like Rose because of the trials you have triumphed.. Gonga like😊
Josephine Ndanu come Jesus intervene in my issues
May God use Rose Muhando in the preaching of the Gospel worldwide! Any way how can I reach you Rose so you may teach how to sing more than you do? I'm Robert wanakayi,working at Mombasa Hotel,I survive in the Gospel of Jesus Christ! Hey let's join hands to support spread of the gospel before the end!
🙏..blessing
Mimi nmeona moto my friend ni Mungu tuu
Sometimes you try suicide it backfires you decide to just stay
Am here again in 2023 and I just feel like this song is ministering to many souls up to now. Jesus is the only Friend. Yesu karibu kwangu tena na tena.
Nmeskiza huu wimbo siku nzima nmelia machozi yangu yote. Yesu nakuhitaji. 😭😭😭
Uwongo
youtube.com/@NalingigwaElibariki
For good gospel song
Plz subscribe like and share link
@@kishlee7590😂😂😂
Hii imenifanya kuwa na amani nilipata ajali mwezi Sept 22 nilikuwa sikai wala sisimami nimelalia mgongo miezi mitano huu wimbo ulikuwa wangu watu walisema sitapona tena huwa nalia tu nikiusikiliza huu wimbo mpaka leo hii natembea kwa tabu natumia magongo, Mungu zidi kunitendea wala sina rafiki wote wamenikimbia, Njoo yesu kwangu usiniache kila pumzi yangu wewe ni faraja kubwa kwangu na si Mwanadamu, wote waliniacha ulisema upo nami, Ahsante Yesu
Mungu yuko nawe hata kuacha,ni ushuhuda anatengeneza. Mtumaini Mungu tu pekee
Hakika tunaye Mungu mkuu🙏🙏
Mungu yupo natumaani ulipata uponyaji wa bwana
Nenda kawe kwa mazabau ya mwaposa hakika yesu wa mazabau ie itakutendee
Mungu na akukumbuke
She is back like nothing happened uzuri wakumtumikia mungu anaye ishii 😍😍😍😍😍😍😍Mungu Ni mwema Rose mhando my sister
Amen
Yes God is great
What happened
@@Majorchilapya925 Allahim razi olsun
@@guzelkara373 ua-cam.com/video/qAcuf5hwDuY/v-deo.html
Be blessed
Mungu wangu uko wapi nakuita yesu 🙏 napitia magumu katika maishani mwangu naomba karibu kwangu unifunike na damu yako juu siwec pekee yangu yesu,,,, nimepitia mengi na bado mimi mchanga yesu😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Asante Mpenzi Rose Muhando kwa wimbo huu ambao umenirudisha miaka 12 nilifukuzwa kwa nyumba usiku , nikaenda nikitaka niondoe maisha yangu lakini sauti ndani yangu iliniambia sitakufa , nikamwita Yesu , nikaamuuliza aje anitetee............. na sasa Amenirejesha.... Furaha ninayo....amani ninayo.... watoto ambao niliwachwa nao wamekua wasichana warembo.... Ndio Ukimwita YESU Adui hana nafasi kwa maisha yako.... Rose Muhando Bwana atatenda makuu juu ya maisha yako... Nashukuru Mungu kwa kujibu maombi yangu na familia yangu juu yako.....
Vicky Kitonga Music wow beautiful
Amen
Vicky Kitonga Music hayo mateso mm nipo nayo sasa nipo katika wakati mgumu sana nami namuita yesu anitetee
Vicky Kitonga Music
Amen
Unastahili tuzo kiukweli 🙏👸🙏
Maandalizi mazuri 👈
Stori imekaa vizuri 💚
Kiukweli inagusa nimeguswa😌
Mungu akubalike sana 🙏🙏🙏
Hi
👩🎤🙋
Ohhhhh YESU ASIFIWE WAPENDWA . Hakika Mungu yupo. Wapi likes za machine of Gospel
Malizia na T.R.M .niwakati wetu wakushangilia na kurukaruka kwa ushindi ambao mungu ameachilia juu yamaisha ya our beloved mum
God blessed you rose
Glory to God @Sara Mudasia let the fire continue burning. We love you mama Rose Muhando#TRM
@@peruskessy6815 Round hii kweli ni ujio mpya... Shetani taabani
Umebarikiwa na huna uchoyo, unanibariki pia, nyimbo zako ni injili tosha. Usijali watu wanasema nini. kaza mwendo.
Kenyans let's show her some love... Tunakupenda Sana rose...
franso franc go go go ahead dada rose ...mungu akuinue Tena na zaidi
0
💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗
Amen be blessed
Love you sana Rose
No makeup, no expensive cars nor beautiful houses, no expensive clothes,.... Just an honest, simple gospel song that mentions Jesus from the beginning to the end... It moves emotions... No singer could have done it better... Rose you are one among many, and you exceed them all
Amen,,
Amen
Amen
Amen. It's from deep down her soul to the maker. What a beautiful song
@@susangithae8241 so touching
Akii mum 😢😢😭mungu amesikia kilio chako na sasa maadui zako watabaki vinywa vyao wazi ,niwakati wako mama wakung'aa tenaa na kubarikiwa zaidi na zaidi ,mamaa we love you so much🇰🇪😘😘🙏😢barikiwa mum
Hawaami kuona wanachoona maalidhani wamemmaliza kumbe Mungu anampango nae ooh Rose Muhando Mungu ni kimbilio letu
@@olpamwegoha6790 ameeen barikiwa sanaaa mpendwa
I see you bestie
Hii dunia tuko iko n mateso mengi kama mimi nilipitia haya nkiwa mdogo en till now the problem is not yet solved ..do something about me Lord
“Sijawahi kuona mwenye haki kaachwa” Mungu wako Rose ni Mungu Mkubwa. Hongera sana dada yetu
Nimeutazama wimbo huu, nikarejea kuutazama #tabu zangu wa Rose ft Anastacia nikatambua Rose was prophesying aliyopitia. Natamani kumwambia Rose kwa ushuhuda huu agonge remix ya #tabu zangu
Blessed Rose...much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
The best song ever heard🙏.Congrats Rose you heal many souls
O my God. Kenyans where are people. Let's join Rose muhando. Feeling blessed in Qatar
Like za Rose pamoja na Kipchoge Eliud gonga down here plz show some love to this people you guyz
👇
Mungu wetu wa mbinguni tunashukuru Kwa zawadi ya huyu mtumishi wako Rose muhando hakika tunabarikiwa na kufarijiwa na nyimbo zake za kukusifi tunamwombea maisha marefu mtumishi wako Rose muhando
Can't hold my tears...... YESU KARIBU KWANGU
When God choses you, no man on earth can bring you down. This is a true testimony 😭😭 Mungu atasimama na wewe daima🙏
mariana Keis true my sister
Fact
Powerful comment
My situation right now
This woman has risen again devil is ashamed,we serve a living God
Rose you are blessed🙏🏾
For sure! God is a miracle maker n' promise keeper! Ooh thank you Jesus!
Preach!!
True
sekesi
Mungu anamjuwa Mtumishiwake toka tumboni mwa mama yake hata kama ufanye mabayagani kama jicho Ya Mungu nijuu yako utarejeya karibu yake
Yesu fariji yeyote atakaye soma hii na anapitia magumu, maisha yake ikawe na furaha na Amani tena, Mungu wapanguze machozi, na tena twashukuru Kwa mama Rose muhando, ibariki huduma yake, mlinde na waovu azidi kukutumikia milele, Amina.
BAHATI BAHATY amen
Sure
Asante ndugu
Amina
Amen
God has confirmed that Rose is a true servant, Truly she is a seed of God
Amen
True
Kunaye Mungu wa uregesho ,can't hold my tears😭😭😭😭
Yes He is God of restoration.....
Amen
I always come back to this, I just can’t get enough of it. Jesus, I need You to be my guidance 🙌🙌😭😭🙏🙏
he always there for us... and guide as
I can't get enough of it 😢😭😭
@@abigaelmwadime9633 Tukiamini Tutashinda Vita Vya Shetani
Amen.
I told you this lady will be a surprise in 2019,.......
Ooouw amazing. To God be the glory
pumbavu zao wamekunenea mengi sana mpenzi piga kazi mbwa wa kigogo hao hawana maana hata kidogo machawi makubwa haya mapumbavu sana yakome sana umepewa na mungu majibwa haya yatakufanya nini yamefilisika yanashika dini bira yesu achana nao mpenzi songo mbere unachukuwe chako kwa yesu ningekuwa yesu au malaika mtowa loho leo wangetoa kwao mikekea na makochi nje mbwa hawa daa nahasira nao harafu nawajuwa kwa majina niliona kilipu wakatajwa na nawajua
I love how uncountable she has mentioned Jesus Christ in this song.........Yesu ndiye njia ya kweli na uzima wa milele.
Amen 🙏🙏
Mungu ibariki hutuma ya Dada huyu maishani mwake
Nikama sijachelewa Sana ku like hii song,,,,tuko na Nani Kwa worship
Hope me too am not late..nilikuwa busy kidogo
Our God is faithful, be blessed our sister
God is able
Mko na wilkister
@@nancykaranja1609 usi chelewe
Yaani hii wimbo inafanya nilie nikiona Io kujitoa mungu akubariki mtumishi wa mungu,unitia nguvu sana
Mama Yangu Rose Muhando wewe ni Malkia wa nyimbo za Injili Tanzania🇹🇿 nmefurahi kuona umetoa wimbo wako mpya Mungu akutie nguvu usigeuke tena nyuma pale ulipojikwaa Nakupenda sana❤
Amen nyimbo nzuri ubarikiwe Dada yangu rose
0936544217mmnwwuuc🇪🇹💟⚘🌷🇹🇩🇦🇹🇱🇧😅🤕🤣😁🔮🍈
0936544217.mmwwtw1c🇪🇹🇦🇹🇱🇧🌏🇦🇪🇧🇴🇦🇪🇹🇩⚘🇪🇹🌷🇺🇸
Eliud kipchoge has made us proud today and happy ,,and this song has blessed me ,karibu yesu moyoni,God has blessed u Rose mhando
You have ashamed the devil....! May the almighty Lord lift you higher Rose
these song reminds me alot may God keep you safe Rose in Jesus name 🙏
Who else believes that rose is going to be greater that before? I do🖐️
Than before yes I do
She is now greater than before... 1 Million Subscribers...the first gospel artist in East and Central Africa
This is the song of the year of 2019. Thank you God for bringing back our sister, mother Rose Muhando from all challenges she has been going through, Amen
Hakika karudi
Amen
Who is listening to this song and repenting like ever before!! Karibu YESU tena kwa maisha yangu... GOD IS SO MIGHTY. I bow to call upon your name. Don't leave me oh Lord! Amen
Ikiwa kuna siku nimewahi kutamka mabaya kukuhusu kwa kutoijua historia yako Mungu wangu anisamehe na anirehemu🙏🏽
Kama unaamini rozi muhando ndo queen of gospel dondosha like yako hapa, mwenye gospel yake Karudi😘
Anajua sana 😍😍😍😍😘😘
Karundi official am happy
anajua mnooop
SO TOUCHING YESU KARIBU KWANGU , IF YOU LIKE THE SONG GONGA LIKE #+254
Hod is so faithful
Mungu Siku zote ni mwema daima
What's behind this anointing?
Naitafakari sana Kenya, TZ tulipokamata mifugo yao tuliiua yote. Wao walipokamata madini yetu wakaturejeshea kwa upendo, Haya leo Rose Muhando wetu tulipojaribu kumwangamiza ili tumpoteze kabisa, bali Wakenya wakamvuta na kumkumbatia kwa upendo, Sasa Rose ni yuleyule wa Jana na Leo pia. Asante sana Kenya kwa kuuthamini undugu na ujirani mwema. Mungu bariki kenya, Mungu bariki TZ
Wakenya wana upendo wa dhati najivunia sana kuwa mkenya 🇰🇪
Acha uchochezi....na kusema mabaya kwa nchi yako...kama lini watz walitaka kumuangamiza rose?unayako sema kwa niaba yako sio watanzania....
Haya siyo maneno mwafaka, sema maneno ya kujengo umoja ndg
😂 Amen
Asante
Am a zambian and I love your ministry in Christ Jesus.
youtube.com/@NalingigwaElibariki
For good gospel song
Plz subscribe like and share link
Duh!!!!! Ahsante Sana MUNGU kwa kuturudishia mpendwa wetu
Nyimbo bora 2019 kama unaamini weka like
👇
Really I thanks God for bringing a really Rose of 2004
Mara 100%
Sifa na utukufu kwako eeh Yesu...asante Kwa kumrudisha palipo pake....
@@lizmass6866 am blessed to see you Rose Muhandho back to the lord of Abraham and Isaac. A nd Jacob.
I just wish you success
I cant hold my tears knowing what God he has done to me 😭🙏
Mimi nimuislam mama angu kama angekuwa hi lazima angeniuliza ivi nyimbo ya rose mpya unayo unipe nzur kweliii😭😭😭😭
Pole dear, i lost my Mama last month😫 nikiangalia huu wimbo napata faraja, pia mama alimpenda sana rose muhando
Amina Kombo Mungu awatie nguvu wapumzike kwa Amani marehemu
Asantee my dear
Amina Kombo pole sana my dear hug hug hug from me😘😘😘😘😘😘😘
more anointed! Rose muhando nakupenda sana tangia nwaka 2002 nikiwa mkimbizi TZ. wimbo wako mteule uwe macho sitausahu.
moses from Belgium now
First viewer first to comment.some likes pliz za wenye wanajiita wa east Africa!!! Rose you've nailed it...this one is for 2019
Jackson Mutinda *Masekete*...You bless me just like Rose does.
@@gervasmuuo2643 am humbled my dear
@@gervasmuuo2643 you're blessed
It made me cry..😢. Kenyans in the house? please like my comment for some comfort
Yes wanapata tabu
This a seed of God cant die hit like to this great worshiper....
God is God no one above the God, congratulation rose God bless you
Yes the seed of God never dies
Kweli yesu ni kimbilio letu
AMEN
Aminaaa
Kama we mfuatiliaji mzuri wa Rose Muhando utakubaliana nami ile ENERGY yake ya kitambo imerudi upya.wapangaji mwenye nyumba kaja
Amen wabarikiwa wa Rose Muhando Mie ni miongoni mwao
😭😭😭😭😭😭Mungu anajua Yote yale Mama Rose umepitia.
Solo, thanks for your support to Rozi. Wengi hawaezi jua lakini najua. God bless you
Barikiwa sana our brother for your support yako kwa mum,we love you so much our brother 🙏🙏🙏🙏
True bro
It's true my brother
Who is feeling that all the enemies of Rose muhando are ashamed
maadui wanapata tabu huko walipo haki
Kweli kabsaa
Kweli kabisa
Me
They're ashamed in Jesus Name.Amen
😭😭😭😭😭😭😭😭God .she's back ,I love this woman of God
it can take decades to get another gospel singer like Rose Muhando.Your songs are on another level. keep shining momaa
Ziko wapi like za hii song❤
😍😍😍
Huyu ndo Rose Mhando wampendaye watanzania, anayeimba kwa hisia kali.
God bless
JESUS!!!😇😇😇JESUS💚💚💚🙏🙏🙇🙇🙇🙌🙌🙌ACHA MUNGU AITWE MUNGU...Sister Rose keep prospering 🙌🙌
Asante Yesu kwa kunipenda 😭😭😭🙏🏽🙏🏽
Karibu ndani ya maisha yangu Baba ,
When i was praying for rose this is what i was hoping for after shes healed.. Thank you Jesus
I can't real understand the meaning of the song but I can feel tht it as hard for them.n they seiking for the Lord to come rescue them..this lady can draw the Lord attention.swaziland
Yeah that's it
For sure,she is a true worshipper I pray for that grace too.
Says Lord Welcome to my place
Thank u soo much my darling
Its cry for mercy
*Dondosha like hapa if you are touched please with this song* 🇰🇪🇹🇿 welcome back to factory settings #Rose
Bwana Yesu usamehe 'dhambi unilizozifanya sitikw majararibu nguvu yako inilinde .Yesu Kristo Bwana wangu,Bwana Yesu Kristo kweli kafufuka AMEN.
O God u are really alive if u believe pag like she's back again God come in my life and save me 💪🙏🙏🙏
Amen
Karib yesu😭 ak wimbo unatoa machoz sana😭
In Kenya 🇰🇪 we love you so much
Asante kwa wimbo yako ya maombi ya nchi yetu ya Kenya.
Mungu akubariki Sana na akuondolee pingamizi zote za shetani. Much love from 🇰🇪 🇰🇪
god bless africa fo use ths song
Jamani Rose wimbo huu mzuri unatafakri kubwa na asante sana maan unanibariki sana huu wimbo
Naupenda Sana huuu wimbo unanikumbusha mbali barikiwa mpenzi rose
namkubali rose muhando ni mia kwa mia tuletee, mzigo mpya.
Kama unajua kwamba yesu anaponya ukitazama wimbo huu lazima utalia tu.😭🙏
snaaa jaman
Walahi
Amen
I think we should drop some likes for director of the video
It's awesome
Welcome mum ,JESUS loves u sana ,,,n we love u too ,,
So touching song, i give my life to Jesus Christ,i repent my sins, am child of GOD
Glory to Jesus!
Wow. Glory to God
Enjoy in the presents of our Lord Jesus Christ
Yesu,yesu ,karibu kwanguuu,,I love this song be blessef mama ROSE
Glory Glory to God
Karibu kwangu yesu .nakuitaji yesu.mungu akubariki dada Rose unajua kunifariji....❤️🙏🙏
Kama unamshukuru Mungu kwa kumponya rose hebu gonga like tumshukuru MUNGU kwa pamoja🙏🙏🙏🙏 Mungu umrinde umteteee mateso aliyopitia yatosha
Pole.rozi
. hongera.pia.tumika.dada.yangu
mpaka sasa kweli Mungu ni Ebenezer
Mapito tu lakini mungu ameyafikisha mwisho
🙏🙏🙏Mungu amtie nguvu
ameen
God"s mercy is bigger than any mistake that you"ve made
Mambo
Vp
God bless you
Dada Rose usife moyo mungu amekukumbuka Tena
Amen
Yesu Karibu Kwangu 🙏
Wala sioni aibu kukiri imani yangu. Eeeh Mungu nilinde mie
Jesus come to me. I am not ashamed of mentioning your name. In your safe hands I find protection, peace and most of all Guard my
faith in you Jesus. . Amen.
@@emilythuo5164 ua-cam.com/video/qAcuf5hwDuY/v-deo.html
Be blessed
Ameni
May God bless you mama,
Let your cup never runs dry.
I bless God for the Spirit filled songs.
Blessed.
And the full video is here.Kenyans in gulf gonga like hapa ..God knows our cries everyday ..mateso ni mengi tunakuita karibu .hallelujah
This is Rose Muhando’s best song of the time. May The Holy Spirit continue using you as His vessel
Exactly
Kenyans bring likes za Rose muhando
Mungu awabariki sana wakenya pamoja na rahisi kwakumhudumia Rose mtumishi wa Mungu
Shukran sana Rose imenifanya mm kuwa na imani
JESUS who hears and answers our prayers when we call him.I just love what GOD is doing in you Mum.May the Lord bless you.
Huyu ndiyo Rose Mhando bwana
Who’s here watching n read comments at same time 🙏🙏🙏🙏🙏 welcome back Mama
🤤
@@BlakRedGrin jjjnnp
Mungu awe Pomona nawe
If someone listening this song like me God bless you in Jesus Christ name and you can even say thank you Lord!!Amen and Amen
😭😭😭😭🙏🙏🙏
Amiin
Thanks Lord Amen
Bless you TOO,AMEN AMEN
Amen
God bless you wimbo zako zinatia moyo uliovunjka😢
touching song of the year 2019...God bless u Rose Muhando for coming back ,i welcome Jesus into my life .
Finally imetoka asante sana🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪nakupenda bure mamii
This is the emotional and tears song. Likes from U.S.A
pambe machibya hello April I will be in US
Mungu akubariki uzidi kuwaonesha watu ambao hawaja mpokea yesu wajue yupo na anatenda
Binadamu watakupotezea vyote ila sio zawadi mungu aliyo kupa hyo hudumu milele rohoni na moyoni kwako unacho kipaji jarbu kuelewa na kusimama kwa imani naye Allah ata kusimamisha milele usiwategemee binadamu kwa kila kitu uwa kwa maslai tuh, hongera kwa nyimbo nzur
Kweli kabisa
Yaani japo ni wimbo (art) Naamini YESU kaitika Kweli 🙏🙏🙏🙏
Dear Rose you inspire me so much!!! Growing up in a Muslim Home you were the only gospel artist song we play because my late dad use to love your voice and inspiration so much🙏🙏💙💙💙 I love you sincerely a fan From Liberia
meni
Jumah, are you still a Muslim?? Hopefully you have come to your God and Savior, JESUS Christ.
Vbg
,
Dear rose all your songs inspires me thanks alot
@@okkhyy8906 ua-cam.com/video/qAcuf5hwDuY/v-deo.html
Be blessed
Yesuuuuu nishike...nisamehe...ahsante kwa Yale miaka uliyo nipea mama na ndugu.....sasa uliwaita...nipe nguvu ya kusonga
Dear Jesus I do call you to come yo my Rescue at this hard moment of my life I really need you. I'm tired of suffering all my life 😭😭😭😭😭😭😭😭Yesu Karibu kwangu nakuhitaji sana 😭😭😭😭I'm truly Tired..
Brenda chirchir...jipe moyo katika bwana...ni mapito yataisha tuu ..we trust in God...Mungu na akuskie....take heart dear....
He will come u will see Him in Jesus name
Amen
Don't lose hope my sister ,there is God in heaven who sees our struggle ,Brenda jipe moyo mammy
He will jipe nguvu na uvumilivu
Watu mnavopenda LIKE😏🙌🙌 Congratulations Rose wajua saaaana🙏🙏❤️
Ness Asment. 😂😂😂Hivi Huwa like zinafaida Gani et my Friend
Na ww nakupa like
PENDO CHIMAMY mpka leo cjapata jibu😁😁
You’re an enough miracle of What God can do Rose and this song has left me in tears 😭 ..#DohaQatar
Mama rose muhando Your ministry is extraordinary best in Jesus Might name Amen . Una kitu cha tofauti ndani yako Mungu aendelee kukutumia sikuzote kwa utukufu wake
This man, Jesus, when embraced, heals souls and transforms lives.
T
Absolutely true.
Nimeguswa sana
TOUCH sanaaaa
kama unaamin Rose anajua gonga like
Aya kaka bray
Rosa tunamuamin sanaaa
Amina
Sana
Ooh God , My Father ....😭😭😭😭
Rose this is so touching mamaa😭
🙏.