Tafsiri za NDOTO za KUPANDA JUU au Kwenda JUU S01EP39 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 56

  • @stevenstephano9430
    @stevenstephano9430 3 роки тому +3

    Nini maana ya kuota watu maarufu

  • @amossthedone1941
    @amossthedone1941 3 роки тому

    Habari dd mm nimeota. Kuna barabara mbili. Mmoja ni bara bara pana na nyingi ni barabara nyembamba hile bara bara yembamba umejaa watu wengi ila ile barabara kubwa haina watu je mana yake nn dd

  • @aishandwata2207
    @aishandwata2207 2 роки тому

    Nakupenaga sana tafusiri zako

  • @amossthedone1941
    @amossthedone1941 3 роки тому

    ,na ukiona watu waenda waenda zika arafu mm na lia sana je ina man gan dd

  • @amossthedone1941
    @amossthedone1941 3 роки тому

    Na ukiota unaletewa samaki lakin wao samaki watoka bahari ya tisa nayo ina man gan

  • @jaymicky4011
    @jaymicky4011 5 років тому

    Mi huwa nnaota nikitwmbeleya juu juu maranyingi sana.

  • @nuliatbaraka6350
    @nuliatbaraka6350 2 роки тому

    Asalaam aleykhum nimeuliza ukipta unamtwisha mwanao Mizigo na yeye anajitwisha ambaye ameishakufa anapanga nayo ngazi maana yake ni nini? Simu yako haipatikani

  • @rahmaadam1937
    @rahmaadam1937 6 років тому

    Asante sana, mungu akujaalie afya njema

    • @priscamasese1068
      @priscamasese1068 4 роки тому

      Nimeota mbingu imefunguka kama dirisha namemuoma MTU ma nikamfahamu

  • @mwachidzopoposalimpopo8890
    @mwachidzopoposalimpopo8890 3 роки тому

    Nimeota napanda ngazi na mtoto mtoto akaanguka lakini alishika n rafiki yangu akufika chini

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 6 років тому

    shuklan sana ihti

  • @shishishishi3892
    @shishishishi3892 3 роки тому +1

    Punguza bei 15000 kutabuli ndoto moja

  • @lucyjohn8793
    @lucyjohn8793 6 років тому

    Me waganaota napita kwenye daraja refu sana na jembamba sana na chini ya daraja kuna maji mengi yenye mawimbi, lakin waga naota siko pekeangu waganakuwa na watu lakin ni weupe wote na wazuri sana kwa sura zao, na niwanaume tu.sjui inamaanisha nini,nisaidie tafadhali.jina langu naitwa Lucy john.

    • @mariammalale751
      @mariammalale751 6 років тому

      Jamani mi Huwa naota Sana to nipo kwenye kilima kirefu mpaka mwisho nikifika mwisho to nadondoka mpaka chini kisha nastuka usingizini na kweli mwaka huu mimeibiwa pesa nyingine sana hiyo nimekuelewa

  • @georgenjeri8547
    @georgenjeri8547 10 місяців тому

    Sasa Mimi Bi Mkubwa Niliteremka Kwa Kasi Mno Na Mbele Nikaona Mlima Nikaenda Kama Nimepanda Kama Nimefika Kileleni

  • @mwachidzopoposalimpopo8890
    @mwachidzopoposalimpopo8890 3 роки тому

    Je kama naota na paaa juu

  • @nooordubem2802
    @nooordubem2802 5 років тому

    Ukiota kuwa una mbawa kisha unapaa,maanake ni nini?... Na pia ukiota kuwa uko sehemu fulani labda kwenye sherehe na hapo kuna watu wengi ama uko town na uko uchi ama hauna viatu kwenye miguu,maanake nn?

  • @sarahmsengawinner
    @sarahmsengawinner 4 роки тому

    Ukota unapanda ndege

  • @neemafidel82
    @neemafidel82 4 роки тому

    Mimi nimeota nimepanda ndege nanikaaenda nnje ya nchi na nikafikia darasani gafra nikakikuta Nina mtoto wakike mchanga darasani maana yake ninini?

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 6 років тому

    asante mamaty

  • @ramseyhashim8069
    @ramseyhashim8069 3 роки тому

    Mbona hakuna namba hapo chini Dr

  • @zafaranikishangu6420
    @zafaranikishangu6420 6 років тому +5

    ukiota unaruka kwenda juu

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota  5 років тому

      Ukijua kuhusu hiyo ndoto yako tembelea ua-cam.com/video/THF4l5Zr-Hc/v-deo.html

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 6 років тому +3

    Mi naota sana napaa juu nikiwa nakimbizwa na mtu napaa juu

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому +2

    Mimi huota napaa,wakati mwingine nikiona taa chini nami nipo juu huku napaa basi nafunga macho kwa kuogopa nisianguke.ila pia huwa nachanjwa mara nyingi usiku

  • @dorcasjoseph9419
    @dorcasjoseph9419 6 років тому

    Asante

  • @mohamedslim4500
    @mohamedslim4500 6 років тому

    mimi jina langu linaanzia. m namke wangu ni z zinaendana

  • @angelinaimanuel2131
    @angelinaimanuel2131 3 роки тому

    Naomba namba ya simu

  • @eriantawumenya3257
    @eriantawumenya3257 5 років тому

    Mimi nimeota namukimbiza nyoka nakumuhuwa je nitafusilie

  • @dorismbise2927
    @dorismbise2927 4 роки тому

    Mamy me naota na mimba tu na cna mimba ndoto hyo inajirudia

  • @sharifuhsharifuhh8471
    @sharifuhsharifuhh8471 5 років тому

    mimi naotaga natumbikizwa kwenye shimo kubwa cn

  • @UtabiriWaNyota
    @UtabiriWaNyota  5 років тому

    Kwasasa ukitaka kujua kuhusu masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/THF4l5Zr-Hc/v-deo.html

  • @anwarabduullahrawahi2067
    @anwarabduullahrawahi2067 6 років тому

    Asalam aleykum
    je nikiota napanda juu mimi na ndugu yangu nipo mlimani lakin akatokeya bint nayeye kule juu akashikiliya kamba ili sisi tupande kuelekeya juu
    Na hiyo kamba ina mafundo mafundo kisha tukapanda hadi juu inamaana gani

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota  5 років тому

      Kujua nyota zaidi tembelea ua-cam.com/video/THF4l5Zr-Hc/v-deo.html

  • @aureliabernadi4170
    @aureliabernadi4170 5 років тому

    Me naota moto mara nyumba inaungua mala kijiji chajila kinawaka moto nini maanayake

  • @abdulkadirmkubwa749
    @abdulkadirmkubwa749 6 років тому +4

    mm nakua naota naruka juu kama ikitokea nakimbizwa na mtu/watu .na inakua ni mara kwa mara naota hvyo. jee nn tafsr yake

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota  5 років тому

      Sawa sasa ukitaka kujua zaidi tembelea ua-cam.com/video/THF4l5Zr-Hc/v-deo.html

    • @anethkamaka3407
      @anethkamaka3407 5 років тому

      Naota ivo ata mim yan mara nying sana

    • @pesamaofficial9242
      @pesamaofficial9242 5 років тому

      Ata Mimi kila mara

  • @jumahamri2758
    @jumahamri2758 6 років тому

    😉😁😘

  • @aishanimeipendasanajuma101
    @aishanimeipendasanajuma101 5 років тому

    Mm naota nachota maji kwenye kisima lkn kuna jiwe kubwa na ni pangon nn maana yake

  • @kitivojeku9886
    @kitivojeku9886 5 років тому

    Me nimeota nimepanda mlima lkn kufika juu kuna nyoka wananifatafata kule juu wananikimbiza nyoka wadogo ila wanarangi rangi inayofanana na nguo niliyovaa kwny ndoto hio

  • @leahkyara6516
    @leahkyara6516 6 років тому

    Nimeota nafiri Ila nimepanda juu ya keria ya gari.

  • @munnawwaryaqoob3414
    @munnawwaryaqoob3414 6 років тому

    Ukiota umejiharishia halafu mumeo anakalia kinyesi hata hajali inamaana ngani?

    • @ijueimanikatoliki980
      @ijueimanikatoliki980 6 років тому +1

      Munnawwar Yaqoob
      Kunaubaya utamfanyia mmeo aidha makusudi au bahati mbaya! Mfano kumsaliti au kufuata ushauri mbaya kwa marafiki zako wabaya mfano kumfunga mmeo au kumlisha limbwata....lakini katika yote hayo mmeo atakuvumilia

    • @monicahmonicamonicah3969
      @monicahmonicamonicah3969 6 років тому

      Utafilisika

    • @irenemhadimu9559
      @irenemhadimu9559 6 років тому

      Namba zako doctor k

  • @leylashaban5286
    @leylashaban5286 6 років тому

    Nimeota nataka kufungishwa ndoa lakn uyo mwanaume gafla kawa chiz akawa tumbo waz uku akiongea ongea kisha sheeh akasema siwez fungisha ndoa hiii nin maana yake

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota  5 років тому

      Sawa ila kwasasa ukitaka kujua zaidi masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/THF4l5Zr-Hc/v-deo.html

  • @pastoryndone6616
    @pastoryndone6616 6 років тому

    Mnajimu ukiota unaongeana raisi manaake ninini?

  • @aishanimeipendasanajuma101
    @aishanimeipendasanajuma101 5 років тому

    Tujibu bc