Hongera sana dj nakupa 🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉yako good kabisa unankosha sana na movie zako kifupi unanikosha maua yoko hyo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤gles gwemera DSM Tanzania 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉❤🎉❤🎉❤
Hello My Dj movi yako ni nzuri na ya ajabu nimeshapakua vipindi vyote 83, shida ni nini kichwa ni kirefu sana ukiwa kwenye usomaji ni ngumu kuona kama umefika sehemu gani hasa ya 11.....
Hii movie ni kali katafsir dj mjukuu mwana wa mbambaa movie inaitwaa the worrios princess worriong mjukuu kaitendeaa hak ni tamu balaa huyu dj kapoaaa sana mjukuu alikiwashaaaa
Waooo dj 🎉🎉 yako kwa burudani nzuri, asante ❤❤❤❤
Nashukuru Sana DJ lukindo mpaka umeipata the princess weiyoung
Dj hii kazi ni nzuri sana basi isiishie jiani
Nakubali san dj kazi zako ❤❤❤❤❤
Hii movi ni kali Atali sikumbuki nimeirudia mara ngapi Asee❤❤❤❤❤
Kweli mm hata haitoki kichwani zaid ya miaka 5 sasa
🎉🎉🎉 pamoja dj
Nakukubali dj hujawahi kutuwangusga❤❤
Dj Kuna filamu ya kituruki inaitwa destan naomba utusimulie,by shabiki Yako kutoka dar
Nzuri sana
Ivi izo like ni za nini mkipewa emu Leo na mm mnipe Ili nione Huwa mnapata nn😂😂😂 dj hongera kazi nzur
Alie muwona bibi kwenye movi ya shayanza. Tujuwane hp
Ndo yeye
Nimemuona pia 😂
Me piah niliomuon tenh na hap yupo
Miy piah nilimuon kipenzi
Ni yeye
3.natak.like.dj.mukar.🎉❤
DJ nipe mauwa yangu
Ni nzur xan dj 2pe muendelez
Naitwa zawadi kutoka sinza nimeipenda,
Nampendag uy mkk 😅😅😅😅
❤❤❤❤❤❤tupe utamu
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉safii dj
❤❤❤❤❤
Njamani bibi wamuzuri chayanza una roho mbaya
kiukwe nakupenda sana dj wangu mpendwa unajua kutuzingatia vizur 🥰🥰🥰🥰
Naitwa hasina napenda sana move zako mm niko oman pamoja sana kaka
Kabisaaa imelizike make ❤❤
Mbona nyuso zao mabint zinandefu
Nimewahi dj ahsant
Naitwa Lady ❤🎉naishi Canada 🇨🇦 and you dj🎉
Movie nzuri sana nimeipenda kutoka dodoma
Sinema mzuri kweli nilichelewa mimi kweli
Asante DJ 🎉🎉🎉 mama Gyan pande za ruvuma songea
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kazi nzuri dj
🎉🎉🎉🎉🎉
Dj shikamooo
Iyi movie ni nzuli sana ila inatia uzuni nilishaka iona😢😢😢😢😢
Ngoja na mm niicheki
kazi nzur saba dj wangu
ongera sana dj
❤from oman nkpnd san lukind unafahamik vzr ukisikilizw
❤❤❤❤🎉
DJ kumbe nilikuwa nimebakiza kigogo hiki ooh ni tamu balaa ❤🎉
Japo nimechelewa lkn nimefika ❤❤❤❤❤❤kazi nzuri
Kazi nzr dj❤❤
Hii picha imeniliza ,imenifurahisha, ninzuri sana
Hongera sana dj nakupa 🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉yako good kabisa unankosha sana na movie zako kifupi unanikosha maua yoko hyo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤gles gwemera DSM Tanzania 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉❤🎉❤🎉❤
❤❤😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante dj kazinzuli pokea maua yako🎉🎉🎉🎉🎉❤
Naitwa zainabu Dotto natokea Omani napenda Sana movie zako
Wajina😊😊😊 also I'm zainabu dj nakupata nikiwa oman ❤
Safi🎉
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤ Love 😘😘
DJ naomba mwendelezo ep ya 61 bas movie kali sana
Movie kali nimeipenda kwel
muvi kali❤❤❤ DJ viema
😘😘😘
Ni tam naona kama shayanza vile dj utupe2 vitu km iv vituko ving
I have seen this before dj
Anza Kusambaza Kazi zako kaka, au Tupe Location sisi wenye Vibanda vya CD tuijie.
Nakupenda ❤❤❤❤
Naitwa agnes naangalia move nikiwa morogolo nipeipenda move zenu
Muendelezo DJ plz🤗
Ahsante DJ Niko nawe wifi ya mwarabu itanikoma❤❤😂😂
Nice
Ukoo wa kambare huu dj baba sharubu mtt sharubu😅😅😅
❤❤ha
heeeee jamani mwenzenu naludia iii season
Naitwa Michael nip mwanza kaz nzr ongela
muvi zako nzuli nimezipenda sana
Naitwa g natokea iringa
Plz next jamniii tenh jamniii imefikiy pazur
❤❤ nimepend zur
Natazama nimkwa mozambique
Nakubali san dj
Mashallah ❤❤❤❤❤❤asante sana Dj
Hello My Dj movi yako ni nzuri na ya ajabu nimeshapakua vipindi vyote 83, shida ni nini kichwa ni kirefu sana ukiwa kwenye usomaji ni ngumu kuona kama umefika sehemu gani hasa ya 11.....
Dj hii ni 💥
🎉🎉🎉🎉 good movie
Asante dj haya ndo mambo nnayoyapenda mimi
Daaaaa kitu chamotooo kabisaa ❤❤❤
Jamn nzur kama ya kina shayanza
Asante pia et dj utaituma lini mwendelezo jamani
Movi kali saaaaana kbs ❤
Noma sans
😊😊😊😊
♥️♥️♥️♥️♥️
Ssa mbna tunapewa nusu nusu
Mwajum tok mwanza tupe utam baba
Dah! Nimechelewa lkn nadhan sijachelewa sana naanza kuiangalia sasa kazi kunoga kaka Lukindo huwa hukosei bwana
Niko Moçambique dj
❤❤❤🇹🇿🇹🇿😘🥰♥️🔥🔥
Dj nipo na wewe mwanzo mwishoo
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mimi ndioooo nangalia leoooo😂😂😂😂
🌺🥀
Kar san iy ❤❤❤
Dj nakuelewa
Nomasanaaaaaaa❤❤❤❤❤❤
Asant
Hii movie ni kali katafsir dj mjukuu mwana wa mbambaa movie inaitwaa the worrios princess worriong mjukuu kaitendeaa hak ni tamu balaa huyu dj kapoaaa sana mjukuu alikiwashaaaa
Asante dj ❤❤
🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Nikiwa muskat asant dj usiishie njian