Nyimbo zako Zina nguvu kubwa ya Mungu naamini unafanya nyimbo ukiwa rohoni zaidi hata mavazi yakoyana heshima Sana .hongera Sana na Mungu azidi kukuinua.
@@magrethjamestzmara ya kwanza kuuskia huu wimbo niliuskia kupitia upendofm nilikuwa najua magreth ni Mkenya kumbe ni Mtanzania coz ktk redio ile nilikuwa nikisikia sana nyimbo za nchi jirani nami nikajua na wewe ni mtoto wa Ruto ila ubarikiwe sana katika kuworship unaweza sana lets give glory to god
Thank you JESUS for ministering to me through this song, holy spirit your welcome continue to minister and Speak in My life Day and night, thank you for this opportunity to have an in outer through this song!
The pain I had in my heart, I can't even tell😭 Was viewing status and when I met this song I got healed completely, I forgive them, Am really blessed, I can't stop listening to the song Thank you so much God bless you abundantly dear
I went to a certain office Just yesterday and this song was playing from the background, I was moved , I tried to shazam it unsuccessfully, later on I had to ask the office owner and he told me the name, I haven’t stopped playing it since then , so touchy and soothing...May the good God help us all to live according to his word
Huu wimbo ni mzuri mno.muimbaji umevaa kinadhifu,hujajipamba kipagan kama waimbaji wengine wa nyimbo za injili,ni maombi yetu usibadllike ukishakua maarufu.endelea kunyenyekea ili Mungu akuinue kwa viwango vingine.
The day I lost my baby boy I remember 😭💔 I visited Facebook this song was the first to meet it I listened to it immediately rushed to UA-cam not knowing the LORD was preparing my heart to receive the bad news of my life my son fell from fifth floor where I had met him like 10minutes before the accident he was singing the song since morning not understand He was giving me the message that it's time for him to depart from me this song makes me remember him so much my biggest strength in my life lameck Mumo 💔💔😭😭😭😭😭😭your mom will always remember you for the joy you gave me in the 5yrs we where together I your twin bro and daddy we will always miss you farethee well 2months now still😭😭😭😭💔💔💔
Ooh Dada ,,,ni ushuhuda wenye nguvu huu jaman,namshukuru Mungu kwa Neema hii ya ajabu,sikustahili jambo hili nimelipata Bure tuu ,,,,ninakuombea amani na utulivu Wa Yesu Kristo
Wimbo huu unanifikirisha sana huhusu siku ya kunyakuliwa itakavyokuwa. Je nitakuwepo kati ya wenye mwaliko na hilo vazi la harusi? Mungu utusaidie tisiipoteze kadi ya mwaliko. Hongera sana kazi yako ni njema.
Upo vizuri Sanaa nyimbo zako ni nyimbo ambazo unaweza kusikiliza hata ukilala Kwa ujumla nistaili ya nyimbo za kuijenga Na uponyaji lakini bado kazi kubwa unayo ya kuhubiri injili Kwa njia ya nyimbo ili kanisa ambalo ni kichwa cha yesu lijengwe.
From tiktok here I am am blessed it's my prayer my name to be written in heaven may I not be ashamed during judgment day Lord give me more strength to handle every obstacle comes across 🙏 ❤
God this is my song 🙏🏻🙏🏻I need to be in your place when am done with this world . I know one day I will go forever and many will miss me but let my name be in your book when am done with gospel in world and join you forever I’m happy place 🙏🏻🙏🏻♥️
Aunt Mage unaimba vizuri sana na jumbe nzuri pia unaonekana wewe ni mtu wa maombi sana, endelea hvohvo nakuona mbali sana ukifikia mataifa mengi sana kama utaendelea hvohvo
Leo nimepata kuskia vyema hii nyimbo na nimerudia mara7 aiseee dada umenifanya nijione nimkosaji sana na kuwaza je jina langu litakuwepo uko kwel kwa matendo yangu dah
First time I heard this song, it took me to the throne room of God couldn't help it but cry and break down before my God. You are a vessel of honour our dear sister I thought you were Kenyan.
Wimbo ni wa baraka sana , unachoma moyo na nafsi, unatukumbusha kutubu, kujitafakari sana maisha haya tunayoishi majina yetu yapo kitabuni??? Bwana YESU tukumbuke, majina yetu yawemo, .Amen Maggie barikiwa hakikisha jina lako lipo.
Hakika ukiusikiliza lzm ujitafakari mara mbili mbili, najuta kuchelewa kuuckia,nimeuckia kwa rafiki status ikabidi nimtafute mdada huyu, Mungu ambariki
@@magrethjamestz God bless you so much siz. Just heard this song yesterday for the first time, but it's all over my mind and heart. Such an annointed song!
Ombi langu asubuhi ya tarehe 22/01/2023🧎♀️🧎♀️🧎♀️...jina langu liwepo kitabuni🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Nyimbo zako Zina nguvu kubwa ya Mungu naamini unafanya nyimbo ukiwa rohoni zaidi hata mavazi yakoyana heshima Sana .hongera Sana na Mungu azidi kukuinua.
Amen Mungu akubariki sana ,nashukuru sana
@@magrethjamestz you are such a blessing to us maggy
@@magrethjamestzNyimbo zako Ni nzuri Ila vua mapambo hayo Mpendwa
@@magrethjamestzmara ya kwanza kuuskia huu wimbo niliuskia kupitia upendofm nilikuwa najua magreth ni Mkenya kumbe ni Mtanzania coz ktk redio ile nilikuwa nikisikia sana nyimbo za nchi jirani nami nikajua na wewe ni mtoto wa Ruto ila ubarikiwe sana katika kuworship unaweza sana lets give glory to god
@@magrethjamestzhujambo dada naomba kama tunarusiwa tufanye cover ya nyimbo zako wenye crusade ..naomba utupatie idhini
Be blessed Maggie hii song naiimba bila kujua ni yanani until I decide to search ❤❤❤ pia mm naomba Jina langu liwekwe kitabu.....
Mungimu Roho Mtakatifu, tusaidie tuenende sawa na mapenzi ya Mungu.🙏
Mungu azidi kukuinua. Wewe ni WA baraka kupitia nyimbo zako
Amen amen
Amen
Very touching worship
Ninaomba Jina langu liwepo kitabuni❤
Thank you
It's a strong prayer
Unatisha mdogo angu Dada yangu mpendwa ..Mungu akusaidie katika kazi yako.
Nanyenyekea,,,bless you Mightily dear brother🙏🙏
Kweli kabisa dada unatufanya tumwone Yesu zaidi. Barikiwa sana.
Napenda Sana huu wimbo.Mungu wetu aendelee kukutumia ili wengi waokolewe kupitia nyimbo zako.
Thank you JESUS for ministering to me through this song, holy spirit your welcome continue to minister and Speak in My life Day and night, thank you for this opportunity to have an in outer through this song!
Ewe bwana naomba jina langu liwe kwa kitabu so powerful song ubarikiwe sana magreth James AMEN
Ameeen! When the roll is called up yonder, I'll be there🙏🙌
Bwana Mwenyezi Mungu Aliye Kuweko Aliyeko na Atakaye Kuja😢😢Akubariki sana dada.
Naomba jina langu liwepo kitabuni Yesu
Kitabu kilichoandikwa na Mungu mwenyewe ❤
Guys from tiktok let's say a big amen it's so blessing song God have mercy on me for my name be in the book
Na Mimi pia Jina langu NINAOMBA liwepooo kitabuniii Anna ❤
Ni vyema,
HUU wimbo ni Wa mafunuo, GLORY TO GOD
God that is my prayer jina langu liwe kitabuni on that day 🤲🤲🤲🙏🙏🙏😢😢
Hakika wimbo huuu ni mzuri mnoo. Barikiwa sana dada
The pain I had in my heart,
I can't even tell😭
Was viewing status and when I met this song I got healed completely,
I forgive them,
Am really blessed, I can't stop listening to the song
Thank you so much
God bless you abundantly dear
God is faithful, bless you indeed
Mungu akubarki
@@magrethjamestz hhjiihhgythhioii5uu
@@magrethjamestz ubarikiwe
Mi naomba jina langu liwepo kitabuni, asante yesu Kwa kumweka huyu dada ametupa message nzito sana.barikiwa sana.
Hakika.Ninaomba jina langu liwepo kitabuni.❤❤❤
My prayer every time i listen to this song...very inspiring.
Ni mafuta kutoka kwa BWANA hakika, MUNGU atutie nguvu katika yeye
Ee Yesu niwezeshe nami kumaliza safari ya wokovu salama. Ee Yesu nisaidie
Powerful song , only holiness and righteousness can grant us entry into the Kingdom of GOD.
Indeed woman of God
Glory be to God, very inspiring song indeed. More grace woman of God.
That's true my sister.
Holiness outside and inside
Righteousness was done on cross, let's play our part on holiness
@@winfredwainainagarama8256 barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Wimborne huu upo Rohoni
I listen to this song time and again, glory be to God.
I went to a certain office Just yesterday and this song was playing from the background, I was moved , I tried to shazam it unsuccessfully, later on I had to ask the office owner and he told me the name, I haven’t stopped playing it since then , so touchy and soothing...May the good God help us all to live according to his word
Glory to God beloved,
@nditchenditchie5533 haiya! even in our office this has been our song ever in background. And while playing everyone is silent 🙏🙏
Mtumishi karibu Sana Nzega nyimbo zako Zina Mungu Zinatubariki sana
Àsante sana nimeomba nimeomba Toka saa 1 Hadi saa 8:30 machozi na maombi barikiwa Sana.
Ninaomba jina langu liwe kitabunix3 nmepata nguvu mpya kusikiaa wimbo huu kwa kweli barikiwa mtumishi🙏🙏
Jina langu Baba liwepo kitabuni, what a powerful song. God bless you Sister MJ.
Amen amen
@@magrethjamestz❤❤❤❤❤
Ninaomba Jina Langu liwepo Kitabuni Cha Mwanakondoo.
Huu wimbo ni mzuri mno.muimbaji umevaa kinadhifu,hujajipamba kipagan kama waimbaji wengine wa nyimbo za injili,ni maombi yetu usibadllike ukishakua maarufu.endelea kunyenyekea ili Mungu akuinue kwa viwango vingine.
Amen Mtumishi,,nimepokea na kusikia ushauri wako,barikiwa Sana na Mungu
Be blessed servant of God kwa nyimbo zako zenye uguso wa mungu , napenda nyimbo zako sana
Mbele ya Mungu na malaika niwezeshe jina langu liwe kitabuni❤️🙏🙏🙏🙏
Bwana Yesu atusaidie
🙏🙏
Nakuombea Kwa Mungu upako ulionao usipungue Wala unyenyekevu wako usipungue
Amen ahsante sana sana
I so much love this song. It's my prayer everyday for my name to be found in the Lamb's Book of Life
More Grace upon you servant of GOD🙏
Dada Magreth nyimbo yako hii itaishi daima moyoni mwangu na mioyoni mwa wapenda kristo duniani kote.Ameen🙏
Amen barikiwa mno na Kristo Yesu
❤❤🎉🎉 amen mtumishi wa mungu na iwe ivo
The day I lost my baby boy I remember 😭💔 I visited Facebook this song was the first to meet it I listened to it immediately rushed to UA-cam not knowing the LORD was preparing my heart to receive the bad news of my life my son fell from fifth floor where I had met him like 10minutes before the accident he was singing the song since morning not understand He was giving me the message that it's time for him to depart from me this song makes me remember him so much my biggest strength in my life lameck Mumo 💔💔😭😭😭😭😭😭your mom will always remember you for the joy you gave me in the 5yrs we where together I your twin bro and daddy we will always miss you farethee well 2months now still😭😭😭😭💔💔💔
Ooh dear ,,,May strength ,love of Christ surround you always, the baby is sleeping in Christ hands for Eternity,
Jesus love's you unconditional
Pole sana mum may God continue giving you the strength
Feel encouraged mom he's with Christ en watching over you..hugs
My deep condolences.
May God's grace be sufficient for you.
Pole sana Mummy ,your son is Resting and watching over you . May our God give you strength
Barikiwa sana, nina omba majina ya wakristo yawe kitabuni nilicho andikwa na Mungu mwenyewe!
Mungu akuinue zaidi kwa huduma hii njema.
Amen amen
@@magrethjamestz )pp
Bwana Yesu naomba.
Ombi langu tena
Kilio cha moyo wangu
Niwepo kitabuni
Baada ya yote kusemwa na kutendwa.
Ahsante Magreth.
Neema iwe maradufu kwako
Amen amen 🙏
Hakika hi nyimbo inagusa, barikiwa muimbaji yesu akupe mafuta zaidi mama,
Waooooh jmn mage Mungu azid kukuinua
Ahsante Sana kipenz,,,barikiwa Sana Sana ,pls kumbuka Ku subscribe pia kipenz
Siwezi kulala bila kusikiliza huu wimbo unanipa amani ya moyo❤
Ninaomba jina langu liwepo kwenye Kitabu cha Uzima🙏🏼🙏🏼
Barikiwa sana Dada.
Amen kaka barikiwa Sana na Neema ya Mungu itusaidie daima majina yetu yasikosekane
Huu wimbo unanisogeza kwa Mungu ninapouimba na kutafakari
Barikiwe sana Magreth, hakika wimbo unagusa sana
Yesu mwaminifu tuwezeshe marina yetu yawemo kitabuni,barikiwa mtumishi wa Mungu kwaujumbe mzito
Mwimbo huu unabariki sana! Wimbo una upako I can’t stop singing! Yaani narudia narudia hadi basi! Mungu akubariki sana dada!
Ooh Dada ,,,ni ushuhuda wenye nguvu huu jaman,namshukuru Mungu kwa Neema hii ya ajabu,sikustahili jambo hili nimelipata Bure tuu ,,,,ninakuombea amani na utulivu Wa Yesu Kristo
Am here again 🙏 ninaomba jina langu liwepo kitambuni x4 ewe Yesu liwepo kitambuni.
Wimbo huu unanifikirisha sana huhusu siku ya kunyakuliwa itakavyokuwa. Je nitakuwepo kati ya wenye mwaliko na hilo vazi la harusi? Mungu utusaidie tisiipoteze kadi ya mwaliko. Hongera sana kazi yako ni njema.
Asante kwa huo wimbo ....unaniguza roho yangu nikiwa mahali pagumu na inanipa moyo
Kila LA kheri mate wangu Mungu azidi kukuinua kipenzi changu
Ahsante Jacque wangu kipenz ,,,barikiwa Sana love
roho wangu azidi kukuongoza kwenye uimbaji wako naguswa na nyimbo zako
Kazi nzur dr,be blessed .
Bless you even more beloved
Ubarikiwe saaan Mtumishi wa Mungu
Nimesikia huu song today.waaa mpaka nalia
Uwe na tumaini
I'm crying my brother is very sick..the song make me pray..I have replays the song today like 100times
@@josephmbuthia9141 I'm praying together With you
Wimbo mzuri sana
Ongera sana
Mungu akuinue zaidi
👏👏👏👏👏
Ahsante Sana Sana Mpendwa🙏🙏
Siata yangu iekwe niache kupitia haya napitia ur song is a blessing to me and my family.
Hearty greetings gorgeousoul for such an incredibly inspiring track,so touching and moving at once,,, it's not in vain.
#hallelujah
Upo vizuri Sanaa nyimbo zako ni nyimbo ambazo unaweza kusikiliza hata ukilala Kwa ujumla nistaili ya nyimbo za kuijenga Na uponyaji lakini bado kazi kubwa unayo ya kuhubiri injili Kwa njia ya nyimbo ili kanisa ambalo ni kichwa cha yesu lijengwe.
From tiktok here I am am blessed it's my prayer my name to be written in heaven may I not be ashamed during judgment day Lord give me more strength to handle every obstacle comes across 🙏 ❤
Hii nyimbo ina kufanya uzione baraka zako hapo hapo🎉🎉🎉
Barikiwa sana
Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu wetu.
Mathayo 16:19 Nami nitakupa wew funguo za ufalme wa mbinguni, eeh Mungu jina langu liwepo kwenye taarifa nzuri🙏
God this is my song 🙏🏻🙏🏻I need to be in your place when am done with this world . I know one day I will go forever and many will miss me but let my name be in your book when am done with gospel in world and join you forever I’m happy place 🙏🏻🙏🏻♥️
Thank you Jesus,,,
Mungu akubariki kwa kazi yako dada Mage kazi nzuri sana tunabarkiwa mno kwa ujumbe wa wimbo huu nami naomba jina langu liwepo kitabuni.
This song has become a real blessing to me... Barikiwa Sana na Tena zaidi zidi kufanya kazi ya Mungu... 🎻🎹 Ninaomba jina langu liwepo kitabuni🙏🙏🙏🙏
Tafadhali mungu naomba jina langu liwepo kwenye kitabu cha uzima wa milele
I cry every time I listen to this song. It is my earnest prayer to be on that book
God's Grace is sufficient beloved, hold on ,,,just hold on
Ubarikiwe Sana mungu akufikishe mbali nyimbo zako kila nikisisikia nasikia nakua na Aman upo rohon zaid
Amina Mtumishi wa Mungu. Kazi yako ni njema
Ooooh! God, its my prayer that you bestow on me enough to enable my name be in that book when it will be opened. So help me God.
Am truly tongue ~tied but to say AMEN AND AMEN!!!!!
This song is truly powerful 🥺🙌❤️🔥❤️🔥
Aunt Mage unaimba vizuri sana na jumbe nzuri pia unaonekana wewe ni mtu wa maombi sana, endelea hvohvo nakuona mbali sana ukifikia mataifa mengi sana kama utaendelea hvohvo
Ahsante sana Gladness,,, barikiwa mno
Ooh JESUS, this song has touched my soul may this anointing upon you mum multiply n touch nation's 🙏
Amen
My prayet is that, one day my name be found in the book of His righteous ones. Amen
From the time this song got in my ears am so in love with it.. huh wimbo una upako dadangu..Mungu akuinue zaidi
Thanks my dear beloved ,,,heshima na utukufu vina Mungu wetu aishiye
@@magrethjamestz1
Leo nimepata kuskia vyema hii nyimbo na nimerudia mara7 aiseee dada umenifanya nijione nimkosaji sana na kuwaza je jina langu litakuwepo uko kwel kwa matendo yangu dah
Oh what a song. This is the desperate cry of my heart Lord. Help me to win this battle Jesus
Mungu nisaidie jina langu liwepo kitabuni pia... Asante ❤❤
These song made me shade tears as I reflect on my sins thanks for the powerful prayer song
Amen
Amen Asante kwa MUNGU aliye hai nyimbo zina ngufu sana barikiwa sana
Such a nice worship song 🙏. The song has become my national anthem every morning
Bless you beloved
Me too...I must listen to the song every morning❤❤❤
Amen ..beautiful voice and powerful words..Allow Christ t be in your life for your name to be written in the Lambs book of life
First time I heard this song, it took me to the throne room of God couldn't help it but cry and break down before my God. You are a vessel of honour our dear sister I thought you were Kenyan.
No I'm Tanzanian,,,, our East African homeland
I love this song, your songs are powerful and always carry the grace of God .May God keep blessing you and lifting you to higher levels
Can't get enough of your songs thank God to TikTok I am here for motivation
I'm humbled ,and real thank you
Wimbo jina liwe kitabuni ni wimbo wa upako unanyosho moyo Wangu mbaka unanisongesha kutubu
Wimbo ni wa baraka sana , unachoma moyo na nafsi, unatukumbusha kutubu, kujitafakari sana maisha haya tunayoishi majina yetu yapo kitabuni??? Bwana YESU tukumbuke, majina yetu yawemo, .Amen Maggie barikiwa hakikisha jina lako lipo.
Ahsante Sana Robiner Msigalla ,ni Neema ya Mungu tuu ,na kwa hakika Neema yake pekee utusaidie tuwepo kitabuni
Hakika ukiusikiliza lzm ujitafakari mara mbili mbili, najuta kuchelewa kuuckia,nimeuckia kwa rafiki status ikabidi nimtafute mdada huyu, Mungu ambariki
@@magrethjamestz God bless you so much siz. Just heard this song yesterday for the first time, but it's all over my mind and heart. Such an annointed song!
Remember me oh Lord for that's our desire 🙏
Wimbo huu umenibarik sana
Godbleengs magreth najikia vyema nikìsikiliza ngoma hii natamani namimi jina langu liwepo kitabuni sasa naanza vp na mitondo yangu ya hovyo
Your voice is so soft.. you are blessed
May God bless you and lift you in your ministry
Amen and Amen
Amina wimbo huu hua unaniliza nakujutia makosa yangu niliokosa kwa mungu ewe
Such a timely song. This is my heart's desire. Only a bride without spot and wrinkle will make it.
Indeed ,indeed
Sure my sister.holiness of life is the only key .
Total obedience to the word of God
More grace, mungu akutumie saana,
whenever i watch this song.. my heart cries, cries more😭.... a true worship song
Bless you beloved