vizuri sana brother nassir ucijali ya waja. majungu ndio kazi zao. songa mbele. nimeskiza qassida ya nyoyo zimefurahika madrassa tofauti bt yako iko juu. hongera sana
اللهم صل🌹 وسلم🌹 وبارك🌹 علي سيدنا❤️ وحبيبنا❤️ محمد عدد ما ذكره الذاكرون🌹 وغفل عن ذكره الغافلون🌹 عدد ما كان🌹 وعدد ما يكون 🌹وعدد الحركات والسكون🌹 صلاة تنحل بها العقد🌹 وتنفرج بها الكرب🌹 وتقضي بها الحوائج🌹 وتنال بها الرغائب 🌹 وعلي آله وصحبه الطيبين الطاهرين أجمعين يارب العالمين❤️❤️
Mwatukanisha twarika kutuekea kaswida kubwa kama hiyo na msanii wa midundo ya shetwani. Msanii aimbae katika maharuc kama mzee yusuf. Achani mahabba ya kitoto hayo. Huyo aloimba hatufai sisi kama watu wa twarika. Twarika ni suluki Twarika ni manhaj Twarika ni msimamo Twarika ni ikhlaas Twarika ni uislamu kamili Kama mtu wa twarika lazma ujipambe na sifa hizo na zaidi ya hizo.
Semoga allah berkahi kita yg lagi nonton lagi komen yg sedangmencari nafkah semoga allah berkahi amiin.
Dansemua kaum muslimin semua amin .
Allahumma swalli wasallim wabariik wabarik alaa Sayyidna Muhammad waalihi wasahbihi wasallam
Mashallahu qaswida nzuri naipenda nakumbuka madrasa kwa ustadi Rama
Good work by Al Ihsaan foundation,shukran Jazillah,Barakallahu fii, اللهم صل وسلم
Mashaallah wallahi moyo wangu umefurahika kusikiliza hi qaswida imenikumbusha Sharif Hussein Badawy
Mashallah mashallah munguu akupe kila la kheri brother nassir
vizuri sana brother nassir ucijali ya waja. majungu ndio kazi zao. songa mbele. nimeskiza qassida ya nyoyo zimefurahika madrassa tofauti bt yako iko juu. hongera sana
Mawlid nabawwi....Allahuma salli wasallim taslima !!!
Brother nasirrr jaribu kujirekebisha hukuelekea kuimba manyimbo illa nakuombea urudi kwa alnasheed hukuelekea kabbissa kuimba manyimbo wallah skiza hi qaswidda alfafu skiza nazile manyimbo hope utabadilika
Masha Allah safi sana, nyoyo zetu zimefurahika sana, Swallu ala nnaby.
Hiyo mashallah
Allahuma salli wasalim alaa nabiyina Muhammad.
Ma Shaa Allah bro a verry good peace
Nyoyo zimefurahika kwa kuzaliwa nabiya
Maashaalah!!
Mashallah mashallah
Mashaallah brother nassir
Mashallah nyoyozimefurahika kwakuzaliwa Nabiyah
Sub hanallah MashaAllah
الله يحفظك كينيا و يحفظ بلدان المسلمين جميعا .
MaashaaAllah
Imeweza hio Brother Nassir
imeweza kabisa
Huyo cameraman anidai soda mashaAllah
@@nurdinsaid Si Amiri ni cousin yake Ibrahim lkn upendo ni ule ule
الهم صل وسلم وبارك عليه وسلم
Mashalla hii qaswaida inakumbusha ustaadh Abdallah. Madrasatul Ahdhalii ,Kisumu ndogo kakamega mumias road ,
Mashaa allah Al Akh Nassir🙏🙏🙏
Swallu Alaa muhammad waala Aaliyh waswahbihi wasallim
kweli hizo nyoyo mashaallah
@brothernassir
Twaiib twaiib mashaallah
Mashallah ameigiza sauti ya marhum alhabib ya sayyid Hussein badawy allah amrhemu
MashAllah my bloody
Yarabi salamu alaekum
Mashalllah
M.a m.a m.a Munguu akupe kila lakheri
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم تسليما كثيرا
اللهم صل🌹 وسلم🌹 وبارك🌹 علي سيدنا❤️ وحبيبنا❤️ محمد عدد ما ذكره الذاكرون🌹 وغفل عن ذكره الغافلون🌹 عدد ما كان🌹 وعدد ما يكون 🌹وعدد الحركات والسكون🌹 صلاة تنحل بها العقد🌹 وتنفرج بها الكرب🌹 وتقضي بها الحوائج🌹 وتنال بها الرغائب 🌹 وعلي آله وصحبه الطيبين الطاهرين أجمعين يارب العالمين❤️❤️
maulidi na madebe mnayokula haifaiiii jamanii.
Inshaallllah
Mashaallah
Masha Allah🌹🌹🌹🌹🇰🇪
Masha Allah
Mashaallahh❤
الحمدلله انا من اندونيسا
Shukran
Good
acha uwigo
He c be fun for food g
, chukra
😅
Mwatukanisha twarika kutuekea kaswida kubwa kama hiyo na msanii wa midundo ya shetwani. Msanii aimbae katika maharuc kama mzee yusuf. Achani mahabba ya kitoto hayo. Huyo aloimba hatufai sisi kama watu wa twarika.
Twarika ni suluki
Twarika ni manhaj
Twarika ni msimamo
Twarika ni ikhlaas
Twarika ni uislamu kamili
Kama mtu wa twarika lazma ujipambe na sifa hizo na zaidi ya hizo.
@@nurdinsaid sio kama nime hukumu mtu ila nimesema twarika ni suluki kama hukufahamu maneno yangu nitafute nikutwaliishe
Kabisa dadangu mm nakuunga mkono huyo brother naser ni shetani kabsa
@@nurdinsaid usimtetee huyo brother naser . Kwasababu yuaimba nyimbo za shetan
Jee shetani ni nani🤔
@@saakaiintl1866 shetani sio ww shetani huyo brother naser
Muziki wowote ni Haram laniki kwa Hawa Ahlul Bidaah kwao ni sawa tu
shukran
Ni kheri kutumia dufu then minanda
Hdgc
Aslm ishallah Amin yarab