КОМЕНТАРІ •

  • @sarafinasimbeye7764
    @sarafinasimbeye7764 2 роки тому +18

    Wa kwanza Leo jmni kwa anayemkubali madebe lidai aache like yake hapo chini jmni

    • @bensonmurithi625
      @bensonmurithi625 2 роки тому

      Mimi ni mkenya na leo ni siku mashujaa. Shujaa wangu ni madebe lidai

  • @EliethPeter-er4lk
    @EliethPeter-er4lk Рік тому

    Nakuelewa sana bora serikali ikupe kitengo cha kuwa unafundisha kiswahili

  • @msafirijames4197
    @msafirijames4197 Рік тому

    Aiseee brother nakuelewa sana misemo yako mungu akulinde

  • @jaccobojeremia9626
    @jaccobojeremia9626 2 роки тому +1

    Namwelewa sana Madebe lidai sijuwi kwako maana ukiyafatilia maneno yake unakuwa wa tofauti katika haya maisha.

  • @samuelsingaru2746
    @samuelsingaru2746 2 роки тому +1

    Kumwaga ndani raha sana ila tatizo lipo kwenye kudeki🥵🥵🥵

  • @erinestmafie3530
    @erinestmafie3530 2 роки тому

    Nakubali filam zako nying zinafundisha katika misemo kwa mtu mwelewa madebe lidai

  • @mwaserarashid5451
    @mwaserarashid5451 Рік тому

    Mashallah kumbe chanuo ndio mke wake wamependeza

  • @aristarquekambereofficial
    @aristarquekambereofficial Рік тому

    Hongera sana kabisa

  • @namuterezamathias3426
    @namuterezamathias3426 2 роки тому +1

    Napenda sana mtangazaji ana maswali ambayo nilokuw nao kabla, me nafalijik sn

  • @richardgirlbart3745
    @richardgirlbart3745 Рік тому

    Bro unatisha I like mister

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 роки тому +2

    MashaAllah una lugha mzr ya kiswahili

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 роки тому +1

    Nampenda huyu kaka anaigiza vnzr sana, Naenjoy balaaa nkiangalia anachoigiza yaan huchok

  • @benjathekingofficialshows
    @benjathekingofficialshows 2 роки тому +1

    Huyu dada ndo kaniaribia hii interview maana mm mtu anaejifanya mwanaume wakat yy mwanamke hatuelewani, duh madebe big up

  • @AureliaRichard-vm7oj
    @AureliaRichard-vm7oj 9 місяців тому

    Nimeipenda

  • @barakayohanasanga3005
    @barakayohanasanga3005 2 роки тому +2

    Naomba kazi bro, napenda sana kuigiza ka wewe!

  • @5awlamamari959
    @5awlamamari959 2 роки тому +1

    Madebe michezo yako ni mizuri sana tunapenda kuitazama naona tumeshaimaliza lini tutaona mengine mipya.

  • @furthernelly7084
    @furthernelly7084 2 роки тому

    God yupo kanisani dahhh

  • @EdigaSikanyika-vz8rq
    @EdigaSikanyika-vz8rq Рік тому

    Ukosafiiiii

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h 2 роки тому +1

    Namkubali sana ila anamaneno makali ila yanamafunzo🤣🤣😍😍😘

  • @hasukombarok614
    @hasukombarok614 2 роки тому +3

    Kwa nn Basata isiwe inatoa fursa ya Sisi raiaa kueza kumchaguaa msanii Bora TZ Kwa mujibu wa maono yetuu na kama ipo haitufikii Sisi wengine auu ni taasisi gani inahusikaa na Ayo Mambo na kama haipo taasisi inayoweza kufanya ivooo Kwa nn isiwepoo..
    Just Kwa ajili ya kuona ni jinsi ganii tunaburudika na kupata elimu nzitoo ndani ya hizi filamu za madebe lidaii
    We are waiting for Continuation of ##MATUSI series....
    #Madebe Lidai is the best artist and first choice for me....

    • @wakuwaumizatz7626
      @wakuwaumizatz7626 2 роки тому +1

      And to me

    • @bigdaddy_faustinjumong4427
      @bigdaddy_faustinjumong4427 2 роки тому

      💪💪🐘🦣🇧🇮🇧🇮huwa nazani nikopekeyangu ambao anae buludika na kuelewe🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @nelsonpatricioestanislaus7144
    @nelsonpatricioestanislaus7144 2 роки тому +1

    Safi sana Mr Lidai

  • @amirimchuwa9074
    @amirimchuwa9074 2 роки тому

    Kumwaga ndani ni rahaa Sana kazi ipo kwenye kudeki

  • @twalihamohamedi898
    @twalihamohamedi898 2 роки тому +1

    Big up sana brooo hakika unaweza nakukubali kinyama, kwenye in shaa allah iliua sana mzeeee

  • @mzeahmwake1461
    @mzeahmwake1461 Рік тому

    Natalie sana sana inshalllah

  • @jacquesmuhubiri4499
    @jacquesmuhubiri4499 2 роки тому

    Nabii muswahili kweli tunakupenda sana

  • @user-vs9pg9kg7q
    @user-vs9pg9kg7q 6 місяців тому

    Hali wez kudek linajua kumwaga tu lingekua chakula hakifai kuliwa

  • @edwardnamakonde7310
    @edwardnamakonde7310 2 роки тому +3

    Kilicho mtambulisha na kumpa umaarufu Nabii Mswahili ni mtindo wake wa kuigiza maisha halisi ya Kitanzania.

  • @bahinwamlumba1233
    @bahinwamlumba1233 2 роки тому

    Vizuri sana ndugu yangu madebe

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 8 місяців тому

    🥰🥰🥰👏👏👏

  • @mapundajackob5513
    @mapundajackob5513 2 роки тому

    Nakuelewaga sana bwana lidai

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 2 роки тому

    Ww hodari Mashallah

  • @manirakizaambula8605
    @manirakizaambula8605 2 роки тому

    Asante kaka

  • @josephnyondo9424
    @josephnyondo9424 2 роки тому

    Rugha kwanza, asante Lidaya.

  • @estarevalista9271
    @estarevalista9271 2 роки тому

    Uko vizuri sana

  • @yusuphswai5089
    @yusuphswai5089 2 роки тому

    Madebe we ni mkali na nizaidi ya wakali unaweza kaka

  • @eliudimwandosya5582
    @eliudimwandosya5582 2 роки тому

    Haaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaa aiseee bwaaaanaaaa weeeee

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 роки тому

    Madebe lidai original.

  • @kheryhamadi6215
    @kheryhamadi6215 2 роки тому

    madebe yuko juu sana

  • @natakanumberzampambaj8467
    @natakanumberzampambaj8467 2 роки тому

    naomba kaz mm napenda kuigika kakangu

  • @kassimumandeleko9704
    @kassimumandeleko9704 2 роки тому

    Mwamba nakukubali

  • @hekimawilliam4945
    @hekimawilliam4945 2 роки тому

    Mbona kimya sana brooo

  • @mwanahawasaid1561
    @mwanahawasaid1561 2 роки тому

    Naisubil wal wang kwa hamu

  • @stevenjohn8269
    @stevenjohn8269 2 роки тому

    Jux

  • @shanizyusuf8210
    @shanizyusuf8210 2 роки тому

    😆😆😆ukiona maarage uameiva jua mkaa umeteketea😃😃😃

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 2 роки тому

    Kumwagia ndani raha lkn shida ni kudekiii

  • @gulyembehamka515
    @gulyembehamka515 2 роки тому

    Brother, M/mungu akuongeze Zaid kaz nzuri Sana hii ni Tanzania yetu

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 2 роки тому

    *NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI 👈👈👈👈*

  • @godknowsbetter.6352
    @godknowsbetter.6352 2 роки тому +2

    Much appreciation for sure

  • @stunnaman5822
    @stunnaman5822 2 роки тому

    Nabii mswahili

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 2 роки тому

    Nakukubali sana madebe lidai

  • @mmbondoglobalnews1958
    @mmbondoglobalnews1958 2 роки тому

    Madebe msanii fake ,ahana hata award moja 😃😃😃 ume kwama wapi kaka

    • @bernadetamodest6170
      @bernadetamodest6170 2 роки тому

      Wewe mbona hayujakuona japo tu filam moja? Acha uzobazoba,award ni matokeo baada ya kaz/ una uwakika gan hatapata award? Award ni hizo zilizowah kupita tu?

    • @mmbondoglobalnews1958
      @mmbondoglobalnews1958 2 роки тому

      Ajuhi lolote huyo ,Mimi sio mcheza filama ,ila Mimi ni mchambuzi wa filamu

    • @bernadetamodest6170
      @bernadetamodest6170 2 роки тому

      @@mmbondoglobalnews1958 🤤🤤🤤🤤

    • @georgeigogo9259
      @georgeigogo9259 2 роки тому

      Mwenzio ajafuwata awad kaja kiuwalimu zaidi kumbka mtowa awad ni mwalimu

    • @agesag.m2476
      @agesag.m2476 2 роки тому

      You think little with a lot of pettiness, you mean mtu akiikosa award Kwako ni fake?
      Okay , mwanao amekuwa position 9 out of 50 shuleni with an average mark of 60% in all subjects does it mean he is a Coward?

  • @msafirijames4197
    @msafirijames4197 Рік тому +1

    Aiseee brother nakuelewa sana misemo yako mungu akulinde

  • @madenisubi3956
    @madenisubi3956 2 роки тому +1

    Namkubali sana huyu jamaa

  • @stevenjohn8269
    @stevenjohn8269 2 роки тому

    Jux