Nyimbo imebeba ujumbe mzuri ila iyo video HAPANA Yesu alienda kisimani alikutana na mwanamke msamaria hatuoni biblia ikisema Yesu alizini na yule mwanamke lakini tunachokiona ni badiliko kubwa kutokana na nguvu iliyo ndani ya Yesu yule mwanamke aliacha njia zake mbaya na kumgeukia Bwana lakini ndugu waimbaji wa bongofleva wamekuzidi nguvu na ukafwata ya kwao baada ya wao kuziacha njia zao mbaya wamtake Yesu wako wewe ndio unaacha njia yako nzuri na kumtaka mungu wao wanaomwabudu.....kinachogeuza maisha ya mtu nguvu ya Mungu iliyoko ndani yako sio ayo mavazi ayo mavazi hayawezi kuwavutia watu wamtake Yesu wako msilitoe kanisa kulipeleka duniani itoe dunia kuipeleka kanisani YESU ATUSAIDIE SANA.
@@extremztv596 Namaanisha tunajitahidi sana kufanana na Dunia sio na Mungu zaidi namna tunavyojionesha tunachoimba na muonekano wetu unakuwa somehow tofauti Tujitahidi kuonekana kwa muonekano wa kimungu zaidi tutofautiane na wale wengine
Nani kasema wao tu ndo wawe na vitu vikali wooi hata sisi upande huu tuna vitu kali kali,watu wakali balaa,so proud of this now gospel, na sisi tunapenda good music ebo,more blessings to you bro
Kwa video hiyo inaendana na maneno aliyo yasema Yesu, akisema watu wananipenda kwa midomo yao lkn mioyo yao iko mbali nami,muonekano mzima wa video hii nimfano wa bongo freva
Be blessed video ni nzuri Kaka, mana ninachohisi ungekuwa mzungu video yako kusingekuwa shida, sijui kwann tunapenda kujaji muonekana tunaachana na mguso wa wimbo jamaniiiiii. Nimeipenda mnooooooo
Nyimbo imebeba ujumbe mzuri ila iyo video HAPANA Yesu alienda kisimani alikutana na mwanamke msamaria hatuoni biblia ikisema Yesu alizini na yule mwanamke lakini tunachokiona ni badiliko kubwa kutokana na nguvu iliyo ndani ya Yesu yule mwanamke aliacha njia zake mbaya na kumgeukia Bwana lakini ndugu waimbaji wa bongofleva wamekuzidi nguvu na ukafwata ya kwao baada ya wao kuziacha njia zao mbaya wamtake Yesu wako wewe ndio unaacha njia yako nzuri na kumtaka mungu wao wanaomwabudu.....kinachogeuza maisha ya mtu nguvu ya Mungu iliyoko ndani yako sio ayo mavazi ayo mavazi hayawezi kuwavutia watu wamtake Yesu wako msilitoe kanisa kulipeleka duniani itoe dunia kuipeleka kanisani
YESU ATUSAIDIE SANA.
💪
kwel pastor but hatutakuja kumpendeza mungu kwanjia yasheria
Asante, tuelezee vizuri juu ya mavazi yaweje
😀😀ww ni mungu wa wapi
From Kenya 🇰🇪. Statistics
Picture/Video✔️✔️
Music/Song ✔️✔️✔️
Anointing/Message✔️✔️✔️✔️
OVERALL:🔥🔥🔥🔥💯%
Keep it 🆙💪👍
Uwiiii Niko happy kuskia hii uwiiiii nimeitafuta mnooooooooooo nakupenda mno rafk ang
Nikupe nini eeh Bwana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙄🙄🙄🙄🙄🙄 aaaaaahhhh sorry for not knowing u exsit🙈🙈🙈🙈🙈🙈....gooodd music....
Hii nyimbo Ina PHD kabisaaa,Ila mm huwa naenjoy nikikuona unafanya live performance balaaaaaaaaa be blessed
Wimbo mzuri sana
Ushauri
Ni vizuri kujitahidi kujionesha tumekubaliwa na Mungu zaidi ya wanadamu
🤷🏿 Maana mtu mwenye kukubaliwa si yeye ajisifuye, bali yeye asifiwaye na Bwana.
2 KOR. 10:18
Una maana gani
KUDOS 🙌🙌🙌
Unajua br since mdg mbeya hukuwahi kuferi hadi leo
@@extremztv596 Namaanisha tunajitahidi sana kufanana na Dunia sio na Mungu zaidi namna tunavyojionesha tunachoimba na muonekano wetu unakuwa somehow tofauti Tujitahidi kuonekana kwa muonekano wa kimungu zaidi tutofautiane na wale wengine
Gospel imekuwa sanA, Glory to God only,,hii safi nyimbo zote, watu wote wamuimbie Bwana
Its yo boy ZORAVOO KAMA ZORA 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dah amazing sanaaa,I had Angel,Paul and Joel as for now nmepata mwingne Zaravo!!!
Nani kasema wao tu ndo wawe na vitu vikali wooi hata sisi upande huu tuna vitu kali kali,watu wakali balaa,so proud of this now gospel, na sisi tunapenda good music ebo,more blessings to you bro
Man🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 This is so hot God bless u MOG
This is fire aiseeee Mungu akubariki sana
Zoravo 💥💥💥💥 Zwaraaaaa this is amazing rafik yangu 🙌🙌🙌🌎🌏🌍 hongera sana kazi ni ya 🔥
Bro kazi yako njema
Ila mavazi yako sijapenda sanaaaa Mungu akupe neema kuliona hili na hao wadada na visuruali dahh
Nadhani uchaguzi wa nguo umefuata style ya wimbo namna ulivyo kaa
@@mkwizutv3542 hata kama lakini huu ni wimbo wa dini ndugu sasa yeye kavaaa kama mwimbaji wa bongo fleva sijui labda mimi mshamba
😅😅😅yeh mungu yupi uyo asiyependa mavazi kwanza unaongea ww ndo mungu au 😂
Eee ww ni mshamba kwanza huu sio wimbo wa dini ni wimbo wa injili halisi injili ya Yesu
@@chiriccmabobo8746 tumia hekima kucoment bro
Mwanangu namsikia burna boy kwa mbali,😅✌🏾💯👍🙏.bigup man haruni
Weweeeeee usimfananishe Wala kumlinganisha burna boy na vitu vya kijinga Tena usirudie
🔥🔥Yeroo kaka Dundo limeangusha Ngome za Shetwani
Love from Nigeria❤
MUNGU wa mbinguni akuinue zaidi na zaidi broo
Video tamu zaidi aisee
🔥🔥🔥🔥🔥anointing aise Mungu yupo bana
You kill it broo👋👋👋👋👋yaayayaaayaa
Baba babaa this song is lit
Eeeeh, kideo kimeweza babaaa👌... 🙌🙌
May God continue to use you for His Glory.!
Again and again ayayayyaaa yoooyooyooo
OG borw
Zoravo Zoravo Zoravo this is fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
More annointing my bro 💪💪
Kwa video hiyo inaendana na maneno aliyo yasema Yesu, akisema watu wananipenda kwa midomo yao lkn mioyo yao iko mbali nami,muonekano mzima wa video hii nimfano wa bongo freva
Be blessed video ni nzuri Kaka, mana ninachohisi ungekuwa mzungu video yako kusingekuwa shida, sijui kwann tunapenda kujaji muonekana tunaachana na mguso wa wimbo jamaniiiiii. Nimeipenda mnooooooo
Nimeona watu wanapenda kujudge kisa ni mwenzetu, wakati nyimbo za Makoma wameimba sana.
I don’t understand the language but 💃🏼💃🏼
KAKA ZORAVO ujumbe mzuri
Ma favorite zoravo'z song 🔥🔥🔥🥰🥰🥰
Kubali sana broo Zoravo!!!!!!!!!!!
I’ve watched it thrice already... I lt’s so beautiful I keep replaying it🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bro bro aiseeeee umetsha sanaaaa yan lkng smart honger mkuu video kali sanaaaaaa ...wmbo mzr unanihudumia sana
Mjubaaa katika videooo zako hii ni next level 💥💣💣💣💣✨🧨🌟🌠
YOU ARE JUST AMAZING BIG BRO....GOD BLESS YOU!
nzur MUNGU akubariki
Tunamshukuru Mungu kwa kipaji chako kaka, nyimbo ni nzuri Mkuu keep going
Aiyayaa ya yayaa
Utukufu wa mwisho wa nyumba ni mkuu kuliko wa kwanza,endelea mpendwa watakuelewa tu
Aisee bro we ni hatari, Mungu akupe kibali zaidi na upako wa kufikia malengo yako zaidi na zaidi. Barikiwa sana
Mungu akubariki na nakukubari sana,ila kwa hii video umezinguaa,sio video nilikua naisubiria
Kazingua nini
Zoravo kama zoravo Man Kidevu Mali Music Wa east Africa
Hatarreeeee ubunifuuu kama woteeeewwww💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Good song
Safi
Mali musiq,mzee baba #sauti bakora#,umetisha mno#
Ubarikiwe Mtumishi
Dat kind of beat plus dat verses uhuu am really blessed bro🙌
Broth Mungu akuinue sana , by #_Manuel Ariz(Siria )
Yes .....
GO BROTHER, God be with you...
Its litvmzee🔥🔥
OG sana
Such an amazing voice,nikupe nini bwana.
Maana fadhili zako za dumu.
Huu wimbo nmeurudia many times an siuchoki kwel.
Be blessed
Zoravooooo
Yeah mtu wa MUNGU.Napitapita apa kwa roll model wako
Oh my God! My Saturday has been completed! I don't understand much of the language but I am blessed. Love the song 👌
Wow!! I love it... Replaying it in my playlist
Amazing song ❣️
Praise to Jesus for allowing us to praise in such an awesome vibe.
2023 still on fire
Bro this is awesome 🔥 extremely
🔥🔥🔥🔥🔥I really Love and always blessed by your Music ❤️
💥💥💥💥💥💥 Blessed bro
its Zoravo again
You have lots of character to your vocal which really assists in delivering the story of the song. 👏👏
God bless you.
Hatimaye kideo kimetoka bhn 🙌🙌🙌🙌ayayayayayay.....ayaaaaaa
Noma sna town hiki kichumpa
Bro Kazi nzuri sana Mungu Akubariki Azidi kukuinua zaidi na zaidi
@zoravo This is Excellent work ya'll 💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
💣💣💣🎷💪💪💪💪
God bless you. Good song😍❤😍❤
😘😍😗😗 nimeelewa sana
ZORAVOOO blessed brother..always people wanajua FACT but Only GOD anajua TRUTH.
Keep moving forward
Hapo hapo
Superb 🔥🔥🔥
Mungu akutie nguvu kaka
Woow! My brother this is too hot..be blessed!!!
#nikupenini???
#zoravohimself
Bro the song is on fire
Blessed Sana kak
🙌🙌It's burning bro, great work,
Siichoki yaan
Aise this song 👌👌👌👌
Fire fire ooh 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯
Jesus bless you brother
Awesome .
Indeed His blessings are for Free
I loooooooooove this song!
Kiasi tafadhali
UmenifAnya nkatafute maana ya hadidu🔥🔥🔥noma san
Bless you ZORAVO........weweweweewe huwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii this is too fireeee
Hatari baba
Injili imevamiwa aisee Dah!
Umeona eeee
🔥🔥🔥Z kama Z
OMG am so in love with this song
Kichupaaaa kiqaliiii MTUMISH 🙌🙌🙌🙌💚💚💚
Nice song
Safi kaka
#Blessings
💘
God bless u .yan ni groly to groly