#Exclusive

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 14

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 2 місяці тому

    umesema kweli ngoma ya watoto haikeshi

  • @EnockKombolela
    @EnockKombolela 2 місяці тому

    Kuwepo timu ya taifa si kigezo tosha cha kufanya vizuri kwenye club, na vile vile jiulize lenk ya timu zao za taifa wanazo chezea kwa mana ya cuf hadi fifa

  • @lulutemakota
    @lulutemakota 2 місяці тому +1

    Una tangazo unazo wote wako wametoka timu zao za zaidi NATIONAL TEAMS .
    There is no
    Girantee kwa vile Yanga wamesajili wakubwa.
    La msingi Coach Anaanza nao kwa mikakati anayopewa.

  • @HenryNdaigaTanzania
    @HenryNdaigaTanzania 2 місяці тому

    Sasa kama mnabisha tusubiri ligi ianze naona makelele mengi

  • @carolinambalamwezi4216
    @carolinambalamwezi4216 2 місяці тому

    Tuliosoma cuba tunayajua hayo

  • @AnthonySilayo
    @AnthonySilayo 2 місяці тому

    Huyu hajijui angeachia siku ziseme wala sio yeye.

  • @EnockKombolela
    @EnockKombolela 2 місяці тому

    Nikweli unacho kiongea kocha hanauzoefu pia wachezaji wanajitafuta

  • @gerowadamwandika669
    @gerowadamwandika669 2 місяці тому +1

    We mchambuzi wa mchongo umetumwa na vyura.

  • @mussalimbe6673
    @mussalimbe6673 2 місяці тому +1

    Mkumbusheni kuwa wachezaji wote wa Simba wako timu za TAIFA huyo mchambuzi magonjwa wa akili huyo

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 місяці тому

      Kwa hiyo!? Kila nchi ina wachezaji timu za taifa! Issue sio timu ya taifa , issue ni nchi gani,ina kiwango gani,ina rank gani! Sawa sawa na ligi za Africa! Kila nchi ina ligi,unaweza kuleta mchezaji kufunga magoli mia kwenye ligi yao,ila ni hovyo! Hapo Unaangalia kiwango cha hiyo ligi! Sasa hivi kuna huu ujinga wa MVP! KILA LIGI INAO! Je ni MVP kwenye ligi ipi! Ni MPV LIGI YA SAUSI,GHANA,CONGO,TZ,RWANDA,BURUNDI GAMBIA MISRI ,SUDANI UKEREWE🤣🤣?? !

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 2 місяці тому

      Wachoma Mahindi

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 2 місяці тому

      Haaaaaa haaaaaa haaaaa kwan unaumia ukiwa wapi kolobwanji?

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g 2 місяці тому

      kua tim ya taifa sio kigezo cha kuepuka kichapo na watakao fanya vizuri yanga 2napita nao