Mtumishi wa Umma Makonda Tunatamani Ungelikuwa Mkenya mwenzetu kutukomboa kutoka minyororo ya makatili madarakani kenya. MAKONDA MUNGU AKUIFADHI DAIMA Amina!
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mama Samia lulu Hassan waona upendo wa wana nchi wako ...hongera.hongera chama cha CCM hoyeeeeee..tano tena na tena kwako mama Samia mpendwa wa inchi Mashaallah Mashaallah Allah akulinde na hasad na akupe afya njema kwa kazi yako inshaallah...kakangu makonda kaza kaba kazi inyedele..God bless you my dear brother makonda..
Makonda unadeni kubwa sana kwawatanzania ambao tunakukubari Nakubali sana kama vile namuona Mheshiwa Magufuri sio kwaumati huo.Saruti kwako Poo Makonda🎉🎉🎉🎉
Makonda bingwa na shujaa aliyejaa ujasiri mbunifu mwenye maono sio mbabaishaji mungu amjaze neema ili awe msaada kwa wanyonge baraka zote azipate na wenye Nia mbaya wakatokomee mbali
Ninaham kubwa ufike chanika kwa dhulma ya Mashamba viwanja nyumba,,wanadai serikali inawatambua hao mitapeli,,ukienda mahakamani wao wanashinda dhulma,,ewe mwenyezi mungu,,mlete makonda chanika aje aone madudu
Maisha yalivyo magumu kiasi hiki watanzania wanashamgilia.. !! Maigizo hawayaoni kabisa tutaendelea kuteseka miaka yote..!! Mungu atasimama Ili tupate viongozi waadilifu..!! Upofu ulioko Tanzania ni mkubwa sana labda watu wengi hawajasoma tofauti na KENYA na AFRIKA KUSINI
Makonda kamahutojali njoo huku kijijichatuliani Kijiji cha tuliani kata ya mabalanga wilayayakilindi nimekwambia uje Kijiji cha tuliani kitongoji cha kweingaje uje ujionee wananchi wafikao elufumbili na miatano pamoja nawatotowao hakuna elim mengimengi mngineo sitasemasana wewefika ujionee
Kwani Toka nimezaliwa sijawahi kuona mtu makoda, siku zote nigekuwa mwana cm ,lakini sijawahi hata kupiga kura,Kwa sababu sikuona sababu,,kweli mamasamia nimekupigia saluti Kwa kitukutuletea mtume
MAKONDA KOTE UMETEMBEA LAKINI UMEONGOPA KWENDA NGOLONGOLO KWA YULE MWARABU WA EMARATI ANAFANYA PALE NGOLONGOLO KAMA IKULU YAKE ALAFU VIONGOZI WOTE WAMEFYATA NA CCM KIMYA MIMI NAKUTAKA WEWE MAKONDA UWENDE UKAPAMBANE NAEE HUYU MWARABU ANAWATESA WANANCHI...
Uhai chama chochote duniani ni kuwa na viongozi wanaokubalika,ccm inabalika kutokana nawakati, Makonda ndani ya ccm,hakutokea kama uyoga amejengwa naakajengeka, chama kinahazina ya vijana wanaokubalika na wakweli ndani na njee ya .mioyo yao,bado watanzania hawana mpango wa wandamanaji kuwapa nnchi
Njombe mbona mnaniabisha mbena mwenzenu mi Kila siku nafuatilia ziala za makonda njombe kujieleza hatuwezi kabisa unaambiwa nenda kwenye tatizo ndo kwanza unarudi nyuma kuanza upya kujieleza fupisha story nenda kwenye point na kwenye tatizo😂😂
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Kaka chapa kazi mungu ata kulinda
Mc kichefuchefu hujui kitu tafuta kazi nyingine ya kufanya hiyo sio fani yako
😮😮
Mungu akulinde PM
Mtumishi wa Umma Makonda Tunatamani Ungelikuwa Mkenya mwenzetu kutukomboa kutoka minyororo ya makatili madarakani kenya. MAKONDA MUNGU AKUIFADHI DAIMA Amina!
mbona sie tunasikia Kenya jirani yetu huko viongozi ni wazuri mno na hamna shida yoyote mkuu? nialike basi mie dadaako nije Kenya
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mama Samia lulu Hassan waona upendo wa wana nchi wako ...hongera.hongera chama cha CCM hoyeeeeee..tano tena na tena kwako mama Samia mpendwa wa inchi Mashaallah Mashaallah Allah akulinde na hasad na akupe afya njema kwa kazi yako inshaallah...kakangu makonda kaza kaba kazi inyedele..God bless you my dear brother makonda..
Msafishie mama njia Aly Happy yupo wapi? Wakupe akuongezee nguvu potezeeni kauli
Pamoja sana mwenezi Paul makonda tunamshukuru mama samia kwa uteuzi huu
Mama wapi Ally Happi Amsaidie?
Mimi mzaliwa kenya ..lakini na penda njaro za Wa TZ❤❤👊👊
Makonda unadeni kubwa sana kwawatanzania ambao tunakukubari Nakubali sana kama vile namuona Mheshiwa Magufuri sio kwaumati huo.Saruti kwako Poo Makonda🎉🎉🎉🎉
Mheshimiwa Niko na wewe Kila mkutano ee mungu muwekee ulinzi huyu makonda na rais wetu
Mama Samia rudisha Ally hapi ni kijana hodar sana,
Ubarikiwe sana MAKONDA wa sie❤
Mungu akulinde
Makonda bingwa na shujaa aliyejaa ujasiri mbunifu mwenye
maono sio mbabaishaji mungu amjaze neema ili awe msaada kwa wanyonge baraka zote azipate na wenye Nia mbaya wakatokomee mbali
CCM oyeee Mungu awe nawe daima wingu lake likifunike Mwenezi wetu
Uyo kachaguliwa na samia mwenyew aly happy alikuwa wamagu
❤❤❤❤❤makonda karb kwetu manyara tunakupenda na ss watanzania tunakupenda sanaaah💯💯💯
Hakika tumepata mrith wa John pombe makufuli
Kabisa kaka hapo umenena.kweli kweli Mungu akubariki sana wewe
Makonda mungu akubaliki sana kwa kaz kubwa ya kutetea wanyonge ccm oyeeeee
Hongera sana ndugu Makonda.Maneno yako hayalingani na hali halisi ya maisha watanzania.Matatizo yetu lazima yatekelezwe kwa vitendo
Makonda anafanya kwa nafasi yake na uwezo wake ila mama samia anakuja kukamilisha yote
MUNGU akikuandikia hakuna wakuzuia watachelewesha tu piga kazi baba MUNGU akulinde 🙏🙏🙏
Uwakika Father pamoja tuijenge nch yetu
Makonda wewe nimteule wa mwenyezi mungu unamaono ya ali ya juu kwa maisha ya watu je tukupe uraisi?
Anapata nipo tayari kumpa kura ,maana huyu ni kama MAGU Kwa mambo anayoyafanya.
Mm mwenyew nimemkubal kinoma
Mungu akulinde mtetezi wa wange
Mmmmm nch yetu ngumu sana hii 😢😢
Hongera mhe makonda
Nasubiri muujiza washamba langu nilo zulumiwa baba pita nauku singida mungu akulinde sana baba keagan nakusubiri baba
Makonda mshauli mama amrudishe Ali hapi
Aisee unatisha kaka mungu azidi kukulinda
Mungu Yu pamoja nawe mtetez wetu
Nguvu ya upako 😂😂😂hongera makonda. Kumjua Mungu ni neema.
Mungu aendelee kukupa kibali
Duhuuuu uko vizuri
Bring back Polepole na Ally happy
Vijana moto moto......
Ninaham kubwa ufike chanika kwa dhulma ya Mashamba viwanja nyumba,,wanadai serikali inawatambua hao mitapeli,,ukienda mahakamani wao wanashinda dhulma,,ewe mwenyezi mungu,,mlete makonda chanika aje aone madudu
Ally Happ njoo njoo mjiunge
Makonda Mungu awe na ww pia Mungu mama amfunulie tena amteue na Ally Happy
Kwani viongozi wa Kenya hawaoni hiii Tanzania jinsi inajituma kutatua kero za wananchi nchi Kenya pumba u viongozi
Hongela Sana kwa maandalizi ya2030
Jamani makonda anatoa wapi Hawa watu
CCM na andazi boza andazi
Good vibe
Makonnda watanzania wamekukubali. Magufuli namba 2😂🎉🎉😅
Makonda Fanya kuwapigia debe pole pole na Ally Happy
Maisha yalivyo magumu kiasi hiki watanzania wanashamgilia.. !! Maigizo hawayaoni kabisa tutaendelea kuteseka miaka yote..!! Mungu atasimama Ili tupate viongozi waadilifu..!! Upofu ulioko Tanzania ni mkubwa sana labda watu wengi hawajasoma tofauti na KENYA na AFRIKA KUSINI
Mmmh hii Tanzania
ANGALIA NYONI HIYO UMEKUBALIKA SANA
Makonda kamahutojali njoo huku kijijichatuliani Kijiji cha tuliani kata ya mabalanga wilayayakilindi nimekwambia uje Kijiji cha tuliani kitongoji cha kweingaje uje ujionee wananchi wafikao elufumbili na miatano pamoja nawatotowao hakuna elim mengimengi mngineo sitasemasana wewefika ujionee
Jamani wapinza wanajifaliji2 hawawezi kushinda
Makonda nakukubali karibu manyara huku watu tumrfsnywa kama misukule ukiongea ukweli unapigwa ndani na police wanakupiga kipigo cha mbwa mwizi
Nakuelewa saana makonda
Aliegundua kama cameraman ana zooming pisi ni nan!?
Huo ni mfumo wa serikali ya ccm ndio inaruhusu hivyo...
Kwani Toka nimezaliwa sijawahi kuona mtu makoda, siku zote nigekuwa mwana cm ,lakini sijawahi hata kupiga kura,Kwa sababu sikuona sababu,,kweli mamasamia nimekupigia saluti Kwa kitukutuletea mtume
Rais wanyonge
makonda kaka yngu lakin pia ndugu yangu daah mpaka sauti linakat daah kaka pambania taif letu😂😂😂😂😂
Magu. Amepa ndwa. Na. Sass. Ameota. Asante. Mungu.
UKO VIZURI KAZA BUTI ZAKO MUNGU ATAKUPA MENGI.USILEGEZE MSIMAMO WAKO ASANTE SANA
Mumgu akulinde baba
MAKONDA KOTE UMETEMBEA LAKINI UMEONGOPA KWENDA NGOLONGOLO KWA YULE MWARABU WA EMARATI ANAFANYA PALE NGOLONGOLO KAMA IKULU YAKE ALAFU VIONGOZI WOTE WAMEFYATA NA CCM KIMYA MIMI NAKUTAKA WEWE MAKONDA UWENDE UKAPAMBANE NAEE HUYU MWARABU ANAWATESA WANANCHI...
Wapi Ally happy??????
Ww ni kiongozi jembe la mtu mmoja ubarikiwe Sana
Ana nenepa tuu makondaa pigaaa kazi !!!!
Waoooooo
Kweri viongoziwote wangekua kamamakonda unmasking ungepungua
Saruti kwa mama yetu kukuona!
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Makonda na rayvany ngoma droo
Yani iringa vijijini mbunge anajenga kwao tu vijiji vingine hajawahi kukanyaga,makonda njoo na vijijini baba
Upige mwing kak Makonda nakwelew san kazi yako inaonekan
Uhai chama chochote duniani ni kuwa na viongozi wanaokubalika,ccm inabalika kutokana nawakati, Makonda ndani ya ccm,hakutokea kama uyoga amejengwa naakajengeka, chama kinahazina ya vijana wanaokubalika na wakweli ndani na njee ya .mioyo yao,bado watanzania hawana mpango wa wandamanaji kuwapa nnchi
Njombe mbona mnaniabisha mbena mwenzenu mi Kila siku nafuatilia ziala za makonda njombe kujieleza hatuwezi kabisa unaambiwa nenda kwenye tatizo ndo kwanza unarudi nyuma kuanza upya kujieleza fupisha story nenda kwenye point na kwenye tatizo😂😂
Rais samia umempata mtendaji kwelkwel
Upinzani kwaheri kwa upepo huu😅
Andazi hilo
Jaman makonda ututetee
Piga Kaz na Ali hapi na polepoleee
Jembe hilo
Njombe imenoga
MAKONDA URAS UNAKUNYEMELEA UNAKUBALIKA SANA KWANI UKATIBU HUKUANZA WEWE HAYO JE? YALIKUWE
Huyo mzee bhn... Yaan hana hata washauri, anakabidhi document za ushahidi kwa anaemdai😅😅😅
😂
Makonda uje na iringa baba
CCM mziki mwingine chama kikubwa barani Africa
Jina la Bwana litukuzwe
Amina
M😂😂😂😂
Hakika mama hajakosea
Makonda ucwe unafumba macho wanapo kuwa wanaomba
Magufuri yuko ndan ya makonda
Washa kabsa tuko nyuma yako
Japo ni ngumu
😮😮😮😮
Tuko na wewe daima
TAG umeuwaa
Mwamba
Hiindio ccm yawatu
Jpm
Mwamba huyuhapa
😂😂😂
Saruti kwa mama yetu kukuona!