Kinachofanyika hapa mtakiona Cha kitoto ama upuuzi lkn kina umuhimu mkubwa sana katika utengamano wa wachezaji.....simple but very effective way of integrating and uniting the players to make them feel as family,be there as family and fight as family...#From Mombasa,Kenya
Nyie embu ngoja kwanza ni macho yangu au mbona kama nimemuona Bigirimana halafu kavaa jezi No9 kwamba ndie mrithi wa Mayele au Yanga yangu jamani daah labda kama mnatania 🙌💚💛
Good inapendeza san I love young Africans mwaaaaaaaaaaaah daima mbele nyuma mwikoooooo
Wakongo wa vibe ndo wanaisha hawa. Kama vipi Moloko apewe mkataba wa maisha apokee wageni 😂😂
Inapendeza kuona wachezaji na benchi la ufundi wanaishi kwa furaha na upendo, hakika yajayo Yanga yanafurahisha.
Huko Makolo wanateseka
Timu ya furaha,timu ya amani,timu ya watu,timu bora,watu wema.Dar young african.May GOD bless all 4 ever.Inshallah
Ila naona wanaishi kwa furaha sana sijui kama ni tofauti na ninachowaza hongereni sana
Safi sana ushirikiano ndo kila kitu💪💪💪💛💚💛💛💛💛💛
Nina furaha zaidi napoona wachezaji na benchi la ufundi wakifurah❤❤❤
Jamani nimefurahi sana, they make my day happy, very happy thanks wananchi nawapenda sana
Wachezaj wakiwa na furaha hivi hata paformanc zao zitakuwa nzur Sana 💚💚🔥🔥
Daaah moloko jinga sana nimecheka sana😅😅😅😅😅
It's very happy to see our players live in peace, love, unity and solidarity
Kinachofanyika hapa mtakiona Cha kitoto ama upuuzi lkn kina umuhimu mkubwa sana katika utengamano wa wachezaji.....simple but very effective way of integrating and uniting the players to make them feel as family,be there as family and fight as family...#From Mombasa,Kenya
Fact
Yes point
Yaah sure
Forever ma dreams ni kua kiongoz wa yanga❤❤❤❤🎉
Yanga raha jaman wanaenda na waende watuachie wenyeweee💛💚💛💚
Wow !! This is Amazing 🤩
We believe through this happiness we Gon do great wonders
Hongera moloko mkaribisha wagen 💚💛💚💛💚
Wakwanza kutazama nipen like zangu wananchiiiiii🔰🔰🔰
Unazipeleka wapi like😂
moloko mtu muhimu sanaaaa😅
Hahaha nimeipenda hii inasaidia kuwajenga wachezaji ktk umoja
Mazingira mazuri Sana ❤❤❤
Ishaallah allah azid kuwaongoza furaha hii iwe ya msimu mzima kwenu wachezaj na bench la ufundi pamoja na sisi mashabiki zenu🙏
digital manager wa yanga wanapambana sanaaaaa 🙌🙌🙌
Nimependa umoja wa wachezaji,wana furaha,kwa kweli raha
Wakimaliza mazoezi wanaomba Dua. Inapendeza sana
Hadi raha sana jaman😊
Hii imeenda😂😂😂nimecheka kwakweli daaaa
Jeziiiiii mchangamfu sn
Atakufa mtu kwa tizi Hilo 🎉
NAMUONA GAEL BIGRIMANA KAVAA JEZI NO 9 KUMBE NDIO MRITH😂😢😢
Wakwanza tena duh wanainchi naupiga mwingi nipewe mauwa yangu
Jizaz moloko anawachangamsha wenzake mak wamepoa saf sana
😂😂😂😂😂😂moloko chenga kweli
Nimecheka kwa saut kubwa san daaah yanga raha sana😂😂😂
Rahaaa sanaaa MUNGU awabariki sanaaa
Asee yanga ni zaíd ya familia, furaha Hii kwingine mpaka wamfunge mtani 😜😜😜😜
#$habiki la caf
Jamani mwaka huu mtapata kombe la amapiano
Morison angekuwepo apo ndo ningecheka mpaka kichwa kingeuma😂😂😂😂😂😂
😆😆😆😂🙆♂️Wote Mmecheka ila mimi nimecheka sana ..😀😀😂😂😂😂😂Hasa hapo kwa kude kude ukuje ukuje ya h aaaa daa!Raha sana moloko.
Jamani Niko zangu ncheki sasiita usiku huuu nimecheka mbaka majilani watakua wamenishitukia ila moloko mungu akuweke
Mazoezi na furaha unapata ushindi 😊
Moloko ni balaa , uzi umewapendeza sana Yanga oyeee.
Ila MOLOKO DAAAH AWE TU KIONGOZI WA HAMASA 😂😂😂😂
Young wanaishi vzr sana Yani furaha kama yote
Noumaaa sanaaaaa 💚💚💚🤗🤗🤗🤗
😂😂😂😂😂😂 kwa furaha hizi na kuelewena huku tutafikia malengo
Kama Kazi Iendelee.
Nawapenda kaka zangu nawaombea ushindi tarehe9 mjitahidi gori2 piga Azam .na wachezaji wapya wafunge wasituangushe inshallah
Yanga Raha tu
Inapendez sanaaaaaaa
Walisema bigirimana kaishtaki Yanga ooh kaondoka kwa makasiriko lkn leo namuona bigirimana kwa mbaliiiiiiiiii 😂
Diara umemcheka G hadi mbavu huna🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaaaa noma sana wananchi💚💚💚💚💚💛💛
Tunaitafuta Medal 🥉 ya CAF Champions league kwa Udi na Uvumba
Ebhanaee.😃 noma sana💪
😂😂😂😂raha sana
Nyie embu ngoja kwanza ni macho yangu au mbona kama nimemuona Bigirimana halafu kavaa jezi No9 kwamba ndie mrithi wa Mayele au Yanga yangu jamani daah labda kama mnatania 🙌💚💛
🤣🤣🤣🤣 kweli kabis hata mimi nimemuona mtu kama bigirimana sema sio mrith wa mayele ile jezi tu
Bigirimana mkataba wake haukuisha so usishangae hata ukimuona kambole maana bdo ni mchezaj wa yanga
Nafurahia sanaaaa
MUNGU awabariki awatangulie kila hatua dua 🙏🙏
Safi sana
💛💚💛💚MIRAHA TU TUNAJIPAKULIA MINYAMA
Hard work 💚🔰💛🏆💪👊
Champions lazima wawe happy all time
Timu ikishakua hv inapendeza sana Yani furaha kama yote
Nimemuona Gael bigirimana au n macho yangu tuu😢
Yah anapiga tizi na yanga
Ila kibwana Dah 😂😂😂😂
Namuona bigilimana au macho yangu😊😊
😂😂😂😂😂😂Dah nimecheka sana
Hii umeenda 😂😂😂😂😂daimambeleq💚💛💚
me also i like oooh
Da ningependa sana life style ya yanga utamu kunoga
Furaha Kam zote🤣🤣🤣🤣my forever team yanga💛💚
Safi sanaa
NASSOR STORE ni wauzaji wa simu bora Tanzania Tunapatikana kariakoo Dar es Salaam Aggrey na likoma street opposite na mkombozi bank
Bonge la burudan kweli lazima watu wafe kwa magoli mengi sana
Sio mkude home Boy
😅😅😅kwy moloko ndo master
wananchiiiiiiiii
😂😂😂😂 daaa 💚💚💛💛💚🙌🙌🔥🔥🔥 God bless
Yaan moroko bhana
🤣🤣🤣Aziz k kufundisha wenzie hataki ila wakicheza wenzie ye ND anafurahi hatar
Tv ya yanga inafanya vzr sana ase ongereni san
Dah mazoezi mengine!!!
WHERE THERE IS LOBE THERE IS PROSPERITY ❤️🔥 MY TEAM
Huyu yko na jezi nyeusi ni mchezaji gani
Wachezaji wa kitanzania wanatakiwa kujitahidi kwenye kujamiika. Socialization ni muhimu. Ona wageni walivyo free kujamiika hapo
Furaha! upendo! Amani kwakweli ni siraha kubwa sana kwa wananchi..ona mashujaa wetu wanavyo show love them self..Daima mbele nyuma mwiko
Hyu Mwenye nambar 9 nani
Oyaa kama umeona bigrimana gonga like 😂😂
Alie muona bigirimana like zang please
Hii imeenda❤❤❤❤
Mwakauu mtabakia kukata mauno tu mfurai
😃😃💚💚mbavu zeangu
namuona gael bigrimana
My mbona me sijamuona 😮😮😮
Namuona Bigilimana hapo
Nice 💚💛
Kwaio bigrimana ndio anavaa namba9
MBONA DUa MNAIKATA
😂😂😂😂Yanga raha
Hii imeenda😂😂
Yanga Raha
Waooo, amaizing