Watanzania ni waoga kupita kiasi.. waache waendelee kunyonywa hadi waisome namba... Amna kiongozi maskini ila wananchi asimia 95 wote ni maskini wa kutupa
Kenya na Tz bado tuna tofauti. Mazingira yetu na rasilimali Zetu Kwa tz zinawapa watu nafuu fulani kuliko Kenya. Tz raia wengi bado wana vipande vya ardhi. Hivyo ukipandisha tozo kwenye mfano mkate, tz watu hauwezi kuwafanya kuandamana, kwa sababu kuna vyakula mbadala mfano mihogo, magimbi, viazi na nk. Tz kila pahali ni bwalo la chakula. Shibe bado kubwa. Sio elimu. Hapa kwetu pale serikali itakapopanua wiko wa kodi mfano boda, bora, fundi wajenzi, wauza mboga, vioski, mazao.vikitozwa kodi ikatuuma ndipo tutaamka. Bwerere Tz bado imepumbza raia. Mwl Nyerere aliaminisha raia kwamba chini ya CCM wako salama. Kwa iyo watu bado wana Imani kwamba tuko salama.
✌️✌️❤️

Yaani wanapanga wizi mapema hawa majambazi . Tuamke tuwatimue
Ndugu zangu wa Tz tunaelimu ndogo sana ya darasani wenzetu wa Kenya
Wamesoma hasa wamèjuahaki yao somàujue mengi cc elimu ni ndogo sana