Naibu rais Gachagua awataka walio kwenye hatari kuhama
Вставка
- Опубліковано 28 кві 2024
- Haya yakijiri, ujumbe wa serikali ulioongozwa na naibu rais Rigathi Gachagua ulizuru eneo la Mkasa na kutoa msaada wa chakula na sehemu za malazi kwa waathiriwa. Naibu Rais pia akitoa onyo kwa watu wanaoishi maeneo yaliyo kwenye athari ya mafuriko kuhama mara moja,huku mawaziri Kipchumba Murkomen, Kithure Kindiki na Salim Mvurya wakitoa kauli zao..
Serikali iwapatie zile affordable houses wahamie hapo
failed in everything, Kenyan gvt
Wahamie wapi na wahame na nini? I can also give the same directive.
Wanahama wanaenda wapi? B serious 😢
Wahame waendie wapi?
Serikali buree kbsa
What is always the meaning of telling people to go on high places? Do the government provide those higher places????
This is the most confused govt I have ever seen coz they only act without plan😅😅I thought they had affordable houses
@@Livenation-254Tv
Presumably Mai Maahiu,is 95% uda shareholders territory.
Life.
Kuhamia wapi???? statehouse??
Wakenya tuwe waangalifu, tusivuke mito ambayo Iko na maji.
God have mercy on us and forgive our sins
Wahamie wapi? Hii serikali ni bure
Fool
Haki Government wakati mwingine inasitahili kutumia nguvu. Coz watu wengine wanachukua vitu zingine kama musaha. Ona sasa vile tumepoteza maisha ya watu wengi
Do not blame the government. Blame yourself
Waende wapi😮😮
Lol now he is talking about usalama wa wanainchi while yesterday he' was very adamant that watoto watolewe mapema waende mashuleni.....very contradictory statements
Kama hamtatupilia mbali LGBTQ bado mtajua,hamujui Kenya is the land of revival,bado haya yote ni kionjo tu, iko jikoni yaiva pole pole kwa wakenya woteeeeeeeeeeeh😮
Serekali siku kizi zute wame lala wapi ????
This is the most useless government with it's ministries 😂
Hii serikali wote ni mavi tu
Ujinga wa azimio usilete hapa hii ni maisha ya watu
Wacha unjinga mvua niya mungu
na opposition wako aje
@@peterkibiro3978 tuko sawa. Nyinyi kufa tu
@@marykinyeru3909 learn to write
Wahame waende wapi jamani?
To affordable housing.
Gachagua very proudly announces at Mai Maahiu, that he has come with 1000 msttresses, 2000 blankets and some food.
For a community that has lost 50 people and hundreds of houses.
Now we know why Lies Looto appointed him as deputy.
Stupidity keeps its own company.
This uda circus,needs to be driven out of town, urgently.
Its no longer funny.