Tanzania democracy we must think about that it's not fear enough for one part to lead the a nation since independence because we're democracy country so I think as we citizens we need not have many parties for devided people but two parties can bring the country changes , development and right for the all residents.
Si uandike kwa Kiswahili tukakuelewe vizuri? Kiingereza chenyewe kinakupiga chenga. Huo ni ushamba wa zamani ambapo watu walifikiri ukiongea Kiingereza wewe umeelimika na kustaarabika. Acha ushamba.
Kwenye siasa za Tanzania 🇹🇿 hapo ni maigizo tu na chama cha ccm kinajua kabisa wana nchi wamegawanyika ndo maana hakitaki kuweka iwazi au katiba huru ya uchaguzi
Sema jeshi 🧳📞📞

Ccm wanataka mpaka wananchi waingie barabarani ndio wajue watu wamewachoka.
Musidanganye watu kurikuwa na wizi kura hata polisi waliiba kura wasikudanganye