Mimi kijana wenu ninawimbo Wangu huitwao Utalii--Tanzania,ni vyema mngeusikiliza na kuutumia ili kuzidi kuhamasisha Utalii wetu Tz kwa kuzidi kumuunga Mkono MAMAETU MH:RAIS SAMIA kwa vile alivyoanza kuitangaza Tz kwa kuwakaribisha Watalii kutoka nchi mbalimbali duniani
Inapendeza Sanaa,Tanzania Utalii wetu nguvu yetu katika uchumi wetu
I love Tanzani God bless Tanzania Yetu
Safi Sana Tbc KwakUtangaza Vivutio vya Nnchi
Mtanzania Kiingilio Bey Gani
#Tanzania #Africa yangu
Mimi kijana wenu ninawimbo Wangu huitwao Utalii--Tanzania,ni vyema mngeusikiliza na kuutumia ili kuzidi kuhamasisha Utalii wetu Tz kwa kuzidi kumuunga Mkono MAMAETU MH:RAIS SAMIA kwa vile alivyoanza kuitangaza Tz kwa kuwakaribisha Watalii kutoka nchi mbalimbali duniani
Lakini Miyako Yote Mlikuwa Wapi