MKE MCHAFU ( 4 ) Love Story 💕💕 💕

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @ibraahmbalapi-w2f
    @ibraahmbalapi-w2f 6 днів тому +5

    MAANA YA MKE MCHAFU MWANAMKE AKIWA MCHAFU SI WA MAVAZI APANA TABIA MATENDO NDO UCHAFU WENYEWE KUCHITI UCHAFU MANENO MABAYA UCHAFU LOHO MBAYA UCHAFU PIA WASIO ELEWA MMELEWA SASA

  • @FaithMinyika
    @FaithMinyika 6 днів тому +3

    Mpaka sai sjui nani mchafu nani msafi

  • @Sakena-e1g
    @Sakena-e1g 6 днів тому +3

    Huyu happy anamashauzi sana mpaka ana boa na pia aharib mantik nzima ya muve had inakosa ladha apunguze mashauz kdg

  • @Selma-n4l
    @Selma-n4l 7 днів тому +5

    Happy anajikuta nani

  • @maryamfahmi9750
    @maryamfahmi9750 6 днів тому +4

    alafu alafu zipungue

  • @HalimaAli-p1t
    @HalimaAli-p1t 6 днів тому +2

    Mke mchafu inamaana hampu vizuri chumbani na jikoni ww mbna huelewi

  • @ZenafurahaGiseleKingaKinga
    @ZenafurahaGiseleKingaKinga 6 днів тому +3

    Nawapenda sana 7bu hamcheleweshi

  • @kevinsimiyu4532
    @kevinsimiyu4532 6 днів тому +3

    title inafaa iwe mke mwanye tabia mbaya

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 6 днів тому +2

    Ok kazi nzuri❤

  • @Amisajosephine
    @Amisajosephine 5 днів тому +2

    Inamaanisha mke mwenye tabiambaya 😂😂❤❤

  • @KhairatAli-hx6xi
    @KhairatAli-hx6xi 7 днів тому +3

    Saf sana nawapenda bure

  • @munamamaj9622
    @munamamaj9622 6 днів тому +2

    Kuigiza kazi kweli

  • @StellaPhilipo-t4r
    @StellaPhilipo-t4r 7 днів тому +7

    Nione mtu anasema yy wakwnza dadeki

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z 4 дні тому

    Hi nimke mwenye tabiya mbaya 😂😂😂😂na chafu😂😂 hongerani Sanaa kwa kazi nzur sanaa 🤝🎉❤❤ila nakipendaga icho kinada😊

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp 7 днів тому +3

    😂😂😂😂😂Isee acting sio rahisi, but mwaweza😂😂

  • @Nadzuwamangale
    @Nadzuwamangale 5 днів тому +2

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @maryamfahmi9750
    @maryamfahmi9750 6 днів тому +2

    nzuri🎉🎉

  • @CathrineMlialia
    @CathrineMlialia 7 днів тому +2

    Wow kazi nzuri ❤

  • @Sabinaemmanuel-s6h
    @Sabinaemmanuel-s6h 7 днів тому +3

    Leo nimekuwa wa nane duuh

  • @JoelWafula-in3xh
    @JoelWafula-in3xh 5 днів тому

    naomba hiyi move yendelee Hadi kilele Cha utamu

  • @alisaid5745
    @alisaid5745 7 днів тому +2

    Asanten sn mubarkiwe

  • @AlexKasena-d9p
    @AlexKasena-d9p 3 дні тому

    Happy anafaa kucheza part ya fety ili apunguze moto sana

  • @Linetmokogoti
    @Linetmokogoti 6 днів тому +3

    ❤❤❤🎉🎉

  • @ramasalim5712
    @ramasalim5712 7 днів тому +2

    Pia kesho usichelewe saw

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 7 днів тому +2

    Kipande kifup sana

  • @ASHANDEGWA
    @ASHANDEGWA 7 днів тому +11

    Mbna hii title haiendani n movie ,mke mchafu ni nani mbna Happy ni msafi n anavalia vizuri tuu

    • @SakinaHassani-xm7ti
      @SakinaHassani-xm7ti 7 днів тому +2

      Happy msafi wa mwili tu ushaona anausafi wa nyumba😂😂😂

    • @Roseyousefu
      @Roseyousefu 7 днів тому +2

      Usafi sio mwili ni tabia

    • @hildachiboti6080
      @hildachiboti6080 6 днів тому +2

      Nimecheka asee katumia msemo wa "mke mchafu " kumaanisha tabia yake si nzuri ni mbaya anamkaripia mumewe anamnyanyasa mafanyakazi na hajali ndoa yake kiujumla ila sio mchafu wa mavazi

    • @Amina-d1v
      @Amina-d1v 6 днів тому +2

      Uchafu wa tabia bnaa sio kimwili....ukizingatia wanawake wote kwenye hii series n wachafu tabia except fetty

    • @munamamaj9622
      @munamamaj9622 6 днів тому

      Uchafu wa tabia dear

  • @ساميعلى-م1ذ
    @ساميعلى-م1ذ 7 днів тому +2

    huyu sio.mke.mchafu ni mke.mshenzi

    • @SakinaHassani-xm7ti
      @SakinaHassani-xm7ti 7 днів тому

      😂😂😂

    • @AnnaLea-lq6ob
      @AnnaLea-lq6ob 6 днів тому

      Hata Tabiya mbaya ,kutokumjali mme na kumtimizia maitaji muhimu huo pia ni uchafu.

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z 6 днів тому +3

    #Abby
    #Fetty

  • @monysanga7516
    @monysanga7516 6 днів тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @NemaHaji-hg2cb
    @NemaHaji-hg2cb 4 дні тому

    Alo iona wanja ya mke mchafu tujuanee😂

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z 6 днів тому +2

    Mimbaaaaaaaaaaaaa😮😮

  • @PrincessMaryam-c1r
    @PrincessMaryam-c1r 7 днів тому +2

    Congratulations

  • @aminamunga9030
    @aminamunga9030 7 днів тому +2

    Happy bady girl

  • @VeronicahNyika
    @VeronicahNyika 7 днів тому +2

    congratulations

  • @albeladcompany2500
    @albeladcompany2500 7 днів тому +2

    🎉🎉🎉

  • @BrendaKenzie
    @BrendaKenzie 7 днів тому +2

    Safi sana

  • @yuui1878
    @yuui1878 7 днів тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦

  • @monysanga7516
    @monysanga7516 6 днів тому +2

    ❤❤❤❤❤