ni dakika 12 tu utajifunza kukata na kushona shati la kola Moja |stand up collar|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 73

  • @matthewkubanda6676
    @matthewkubanda6676 2 роки тому +5

    Asante sana Dada angu kwa kutufundisha mimi nilikuwa na swali kwenye shingo nimeona wewe umeweka shingo 15 hiyo kumi na tano unaipataje pataje maana watu wanatofautiana ukubwa wa shingo zao na shati Likishonwa kulingana na ukubwa wa shingo ya mtu uwa linapendeza sana kuliko shingo ya shati ikawa kubwa kuliko shingo ya mtu naomba unielekeze hapo

    • @milcastylish
      @milcastylish  2 роки тому +3

      Oooh shingo ya mtu anaevaa unatakiwa kumpima shingo yake

    • @matthewkubanda6676
      @matthewkubanda6676 2 роки тому

      @@milcastylish Asante sana Dada angu na mwalimu wangu nashukuru sana

  • @NeriaHamisi
    @NeriaHamisi 4 місяці тому +1

    Niunge sija elewa

  • @matthewkubanda6676
    @matthewkubanda6676 2 роки тому +2

    Hakika ninajifunza vizuri sana Asante sana mwalimu wangu

  • @carolinemwita7197
    @carolinemwita7197 Рік тому

    Good job but umeenda speed sana walimu

  • @MariamElisha-yw3uz
    @MariamElisha-yw3uz 6 місяців тому

    Asant. Sana mwalim wangu

  • @PeaceLabayo
    @PeaceLabayo Рік тому

    Umenda spidi sana dadangu

  • @PeaceLabayo
    @PeaceLabayo Рік тому

    Asnte dada uko poa naomb kuelew kwenye kola zaidi

  • @JenipherIddy-hn8kt
    @JenipherIddy-hn8kt Рік тому

    Asante san dadaa mie sijaelewa hapo kutengeneza kola

  • @NgumbasiAtuswege
    @NgumbasiAtuswege 11 днів тому

    Ashant mwalm kwa darasa

  • @UpendoJacob-n3j
    @UpendoJacob-n3j 6 місяців тому

    Asante sana dada angu Mungu aku bariki

  • @LawiMpabans
    @LawiMpabans 10 місяців тому

    Asante dada ila jalibu kufundisha taratibu ili tuelewe

  • @berthamaega-nt7dr
    @berthamaega-nt7dr Рік тому

    Asanteeeeee dada naomba kujua hiyo shingo ulipataje

  • @LinaPatrick-d8f
    @LinaPatrick-d8f Рік тому

    Samahani dada sijaelewa sehemu ya vifungo

  • @Geradi-iw9uj
    @Geradi-iw9uj Рік тому

    Mbn kwenye mkono Shem ya mwisho haijalala

  • @sharifapeter2432
    @sharifapeter2432 2 роки тому

    Asante dada kwa mafunzo yako me naomba nielekeze Zaid kushona kaba ya shati

  • @AlineNdayishimiye-u3u
    @AlineNdayishimiye-u3u 8 місяців тому

    Asant sana dada lakini umefanya kwa haraka sana

  • @YusterMtafya
    @YusterMtafya 6 місяців тому

    Unaelekeza haraka sana naomba uwe taratibu

  • @emmymichael5743
    @emmymichael5743 2 роки тому

    Ahsant mwalim nazid kujifunza kwa njia nzur na rahisi

  • @PendoNyanda-n7h
    @PendoNyanda-n7h Рік тому

    Kazi ninzur ila nakuomba uwe unakatata pole pole ili kola mtu aelewe

  • @UwamahoroSandrine-q3s
    @UwamahoroSandrine-q3s Рік тому

    Unastaili kufundisha dada

  • @goodnesskichaka7512
    @goodnesskichaka7512 Рік тому

    Wewe ni moto

  • @EmiliaChuhila
    @EmiliaChuhila 3 місяці тому

    fundi sjaelewaa apoo kwenye ya nyuma.

  • @eliudgorden806
    @eliudgorden806 2 роки тому

    Axnt dada nilikia nataman kujua nimefurah mung azid kukupa wepesi

  • @DoricasRobert
    @DoricasRobert 2 місяці тому

    Dada hapo kwenye koro ndo sijaelea

  • @HajrahTomicky
    @HajrahTomicky 6 місяців тому

    Mimi sijaelew jins ya kumtengenez hiy round

  • @AnnaJohn-t6p
    @AnnaJohn-t6p Рік тому

    Shing umeipataj dad ang

  • @hadijarashidi2507
    @hadijarashidi2507 2 роки тому

    Jamani m bado sijaelewa vzuri jinsi ya kuchan mkononi,je unapima au unakadilia

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 11 місяців тому

    Fundi si unifudishe kupima hilo shati sijajua kupima mtu plz

  • @safinamchomvu8169
    @safinamchomvu8169 6 місяців тому

    Me nilikuwa naomba unifundishe kukata shingo ya mbele na nyuma

  • @twahahaji
    @twahahaji Рік тому

    Unaenda spidi kubwa kutusomesha dada

  • @CatherineMlula
    @CatherineMlula 3 місяці тому

    asante naomba link

  • @lucybungulu4421
    @lucybungulu4421 2 роки тому

    Nashukulu Sana kwa mafundisho yenu Ila ninaombi moja wapendwa naomba mnisaidie bg la shat na kushusha shing na up shati la Kora

  • @aminamduma7417
    @aminamduma7417 2 роки тому

    Hapo kwenye ufito umeenda haraka my

  • @kuishshine
    @kuishshine 2 місяці тому

    Unapatikana wapi fundi?

  • @gracelevelian7924
    @gracelevelian7924 Рік тому

    Punguza kasi kuwa kama Emgo tailoring anafata hatua kwa hatua

  • @agnespetro4520
    @agnespetro4520 2 роки тому

    Sijaelewa mkaro washingo

  • @FrolaFelix-e1n
    @FrolaFelix-e1n 10 місяців тому

    Saman dad sikuerewi Maan unaeda Kwa haraka

  • @PilihamisiNkungu
    @PilihamisiNkungu 3 місяці тому

    Asante sana mamy

  • @maricianambori8746
    @maricianambori8746 2 роки тому

    Niimependa kazi yako lakini jaribu kukata pole pole ili MTU aelewe

  • @gladnessbushiri3215
    @gladnessbushiri3215 2 роки тому

    Upo fasta sana jaman hata napitwa sehem nying sijaelewaa jaman

  • @mohamedabdalla3413
    @mohamedabdalla3413 2 роки тому

    Asante sana my dear sister kwa mafunzo mazuri

  • @ZulfaAbdi-r1c
    @ZulfaAbdi-r1c Місяць тому +1

    Ivi dada unaweza ukafungua group la WhatsApp uwe unafundishia huko

  • @SelinaFranco-t2m
    @SelinaFranco-t2m 6 місяців тому

    Unakata haraka sana

  • @lucyndui6683
    @lucyndui6683 2 роки тому

    Kam Kuna group niunge ipi nijifunze dad

  • @LemiJackson-zu6hs
    @LemiJackson-zu6hs 8 місяців тому

    Ki ukweli unafumdisha vizuri ila punguza speed ya kuongea Ili mie nielewe vizuri

  • @fatumahassanali1922
    @fatumahassanali1922 2 роки тому

    Fantastick

  • @mamaeverline9271
    @mamaeverline9271 Рік тому

    Punguza kas madam nashndwa kuelewa

  • @ceciliakimario7453
    @ceciliakimario7453 2 роки тому

    Asante dada ilahiyo shingo sijaelewa umeipataje unaweza kufafanua kidogo dada umesema 15sijaelewa hapo

  • @ElizabethIsaka
    @ElizabethIsaka Місяць тому

    Asnt

  • @LegiusRichard
    @LegiusRichard 7 місяців тому

    Sija kuelewa umekwenda haraka

  • @menedoraotieno1049
    @menedoraotieno1049 10 місяців тому

    Naomba unitumie link

  • @WaridiWaziri-m9n
    @WaridiWaziri-m9n 7 місяців тому

    Mm bado sijaelewa hiyo shingo je unaweka kipimo kipi?

    • @JilalaHamisi
      @JilalaHamisi 7 місяців тому

      Nataka nitumie link wasap

  • @manummena7056
    @manummena7056 Рік тому

    Sijaelewa kwenye ufito

  • @LegiusRichard
    @LegiusRichard 7 місяців тому

    Naomba nitumie link

  • @PendoNyanda-n7h
    @PendoNyanda-n7h Рік тому

    Sjakuelewa jins ya kukata

  • @fedygaby1973
    @fedygaby1973 2 роки тому

    Utakataje Kaunda yenye mipasuo kwa pembeni?

  • @emiliekapile2069
    @emiliekapile2069 2 роки тому

    Dada kama nimtoto una muwekea shingo ngap

  • @AndyBeatrice-ph2qu
    @AndyBeatrice-ph2qu Рік тому

    Namna ya kukata shati la kola mbili

  • @mdullalahimu9967
    @mdullalahimu9967 2 роки тому

    Au Kuna group la mafund Uniunge

  • @witneslaiza6354
    @witneslaiza6354 2 роки тому

    unapatikn wapi mwalimu nimefurahia daras

  • @Mwajumasaidi-o4k
    @Mwajumasaidi-o4k 3 місяці тому

    ataka uniung whatsap kam unagroup

  • @Felipedaniellucas
    @Felipedaniellucas 6 місяців тому

    nataka nijue kukata shirt ntindo wowote

  • @mdullalahimu9967
    @mdullalahimu9967 2 роки тому

    Dada Mm Naomb Hy link

  • @jumamohamed1430
    @jumamohamed1430 2 роки тому

    Dad upon fast a sana

  • @NaishieLaizer
    @NaishieLaizer 3 місяці тому

    Nahitj tuwasliane wasp

  • @teclabenjamin5322
    @teclabenjamin5322 2 роки тому

    Naomba unitumie link