GOODLUCK GOZBERT KUCHOMA GARI la NABII MKUU -MCHUNGAJI MASHIMO AFICHUA SIRI NZITO JUU ya MADHABAHU..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 33

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  День тому

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @chrismmwendwa7858
    @chrismmwendwa7858 23 години тому +4

    Heri alichoma ako huru vitu za giza ni bure tu , uzima wa milele ni bora kuliko mali za dunia, itamfaidi nini mtu kupata mali za dunia alaf akose mbingu,

  • @matokeomahobe42
    @matokeomahobe42 23 години тому +1

    yuko sawa bora mungu kuriko vitu mnaendekeza njaaa

  • @JojoJoji-h8g
    @JojoJoji-h8g День тому +2

    Napenda mtu mwenye msimamo Masshimo umeonyesha msimamo na ukomavu wa hali ya juu

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 16 годин тому

    Jaman m naamini kuwa nabii geodev ni mtumishi 'kwa hio ngoja tuone kama ndo ataskika

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa День тому +1

    Ukweli sivyema wallah

  • @KolamuWabene
    @KolamuWabene День тому +1

    Huyo jamaa kafanya jambo la busara sana,alikaa akajuwa chimbuko layeye kuwa mbali na mungu akahona nihiyo zawadi aliyo pewa,akahona ahibishe shetani na ma ajenti wake hazarani
    Hongera sana kijana,wachungaji feki wakuzungumziye makosa wao ni wanadamu tu,wewe chamuhimu muhogope Mungu,siyo hao wachungaji feki ma ajenti washetani waliyotumwa kupotosha watu

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono День тому +1

    Huyu mashimo hana akili kabisa eti mchungaji wataifa taifa gani hilo?

  • @christiankaguo4311
    @christiankaguo4311 День тому

    Gari halihusiki na mambo yanayo fikiriwa kushuka huduma niyeye mwenyewe kama alitenda dhambi Yesu ananguvu kuliko hayo anayodhani kuna wakati nilimuona fyesta yale yamesabisha kushaka huduma yake. kosa la kuchoma Gari chini ya kifungu cha makosa ya jinai no.19 anastaili kufungwa maisha au miaka 40 jela vijana epukeni uzinzi .

    • @SamirPeter-t4u
      @SamirPeter-t4u День тому

      Pia vile vile serikali Haina din ana point ya kujibu kama amechoma kwa tendo la Iman kumbka mwamposa aliua watu lakn bado akashinda kes so hiyo n Iman
      Ya gozbert bas kama atafungwa na wale wamama waliochoma nguo wakamatwe wtz tuache luongozwa na hisia

    • @PromiseSimkwai
      @PromiseSimkwai 23 години тому

      mm sipo kwa nabii huyu George David lkn kitendo Cha kuchoma gari hakina mashiko hata kidogo kwa anavyodhani yeye au kama watu wanavyodhani hiyo gari angeirudisha tu iwe imetosha.Mungu hajaribiwi

  • @todayle7785
    @todayle7785 21 годину тому

    Nimekaa, nasikiliza Kumbe Kenge tu. Linaongea ujinga et mchungaji wa taifa. Taifa la mbweha au

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 День тому

    Wengi tu wenuye vihelehele wameenda huko kwa njaa zao tu😮😮😢

  • @matokeomahobe42
    @matokeomahobe42 23 години тому

    mashimo ulikua vizuri ila tangu umepewa gali na wewe umepotea mjini punguzeni njaaa itawafikisha pabaya njaaaa hiyo mashimo mtushikishwa ukuta

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 День тому

    Daaaaah nimecheka utafikiri mazuri

  • @felickngao1167
    @felickngao1167 19 годин тому

    Aka kajitu ni kapumbavu sana

  • @JosephShekihiyo-w4k
    @JosephShekihiyo-w4k День тому

    Jamani hiyo sio gari ya nabii nabii ameshatoo.acheni maneno.mzungumzieni aliyechoma gari yake hee

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 День тому

    Leo umemuliza maswali magumu ye mwenyewe kshuka ongera mtangazaj

  • @vicentfilbert-g7x
    @vicentfilbert-g7x День тому

    dogo kafel njaa inausika nn naiyo gar kuchoma bora angeiuxa apate pesa apunguze njaaa

  • @Daniellevoso
    @Daniellevoso День тому

    Si angenipaa Ata mie

  • @GraceWilliam-d1w
    @GraceWilliam-d1w День тому

    Choma na kwako we mashimo

  • @Ashasalum-j1j
    @Ashasalum-j1j День тому

    Kachanganikiwa amekusaidi ulimpigia magoti sasa unawaka unajitia amnazo

  • @GreysonMdee-x3n
    @GreysonMdee-x3n День тому

    Kapoteza gari la bure angebakinalo tu kwasababu ukristo sio dini ni biashara za watu

  • @rosehaule5705
    @rosehaule5705 День тому

    Fara huyo kuchoma kitu chochote vibaya angekwenda kupaki kanisani Kwa nabiiaondoke

  • @furahamwaseba7910
    @furahamwaseba7910 День тому +2

    Mambo mengine niyakijinga kwan akishuka kisanaa jambo lakawaida kwan asishuke yeye ninani mpumbavu kwel bora angerudisha hapo kuna wachungaji wako nyuma achome gali anapewa lingine kikubwa kumchafua tu mtumishi shenz kweli

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm День тому

    unaemhoji nae anahitaji toba

  • @Mosesndahani
    @Mosesndahani День тому

    Huku ni kuchanganyimiwa haijawahi tokea

  • @isayahlesurwa307
    @isayahlesurwa307 День тому

    Bora angempatiya mtu kuliko kuchoma.

  • @rosehaule5705
    @rosehaule5705 День тому +1

    Kakosea sana mjinga huyo kichaa wakamcheki milembe

  • @bahathmuro7145
    @bahathmuro7145 15 годин тому

    Bora angerudisha tu jamani sioni sababu ya kuchoma ningeitakasa kabisaaa na kumkabidhi Mungu!