IKIWA SHIDA YAKO NI MALI SOMA SURA HIZI 2 TU UTATAJIRIKA, MDENI HATOKUDAI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лют 2024
  • #riyadhTvZnz #zanzibar
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / riyadhtvznz
    FACEBOOK: / riyadhtvonlineznz
    TIKTOK: / riyadhtvonlineznz
    UA-cam: www.youtube.com/@RiyadhTvOnli...

КОМЕНТАРІ • 91

  • @fatumaIddi-kb5zy
    @fatumaIddi-kb5zy 2 місяці тому +2

    Assalamu alaikum.naitwa fatma kamunuh iddi toka kenya naomba pia nikumbuke kwa dua Allah anifungulie maisha inshaallah.Allah akuhifadhi na akupe mema katika dunia na akhera.amiin

  • @user-xm7rj8bb2u
    @user-xm7rj8bb2u 4 місяці тому +5

    Maashallah jazakallahu khayraa shekhe othman Michael

  • @user-kl4km4tj3q
    @user-kl4km4tj3q 4 місяці тому +14

    Assalam alaikum sheikh mm naitwa Fatma mwalimu kutoka Kenya Nina mitihani mizito Sana hata hayaelezeki ya Kila aina maradhi , kuchukiwa na mume ndugu majirani na hata mahalo popote nitakuwa na mm niliugua maradhi ya akili natumai madawa ya hospital lakini nazidi kulemewa UTI wa mgongo ,kichwa,kifua,kiuno mbavu,huzuni nataka kukaa pekeyangu lakini alhamdhulilah ibada zangu nafanya. Naomba unifanyie Dua na mm mambo yangu yafunguke pamoja na watoto wangu lnshallah Allah akujaze kheiri lnshallah

    • @habbibaali7522
      @habbibaali7522 4 місяці тому

      Waalekum salam tafuta namba yake umtumie msg direct ndio utasaidika

    • @Abun70242
      @Abun70242 4 місяці тому

      Pole sana dadangu ln sha Allah,Allah Atakujalia unafuu hivi karibuni.

    • @mariambakari7988
      @mariambakari7988 4 місяці тому

      Naomba Dua zako Insha Allah

  • @MuhammadHassan-rg7ch
    @MuhammadHassan-rg7ch 2 місяці тому +3

    Naitwa aisha today niolewe miaka kumi na nne sina raha ya ndoa nadhalilika niombee Allah anipe alie mwema nikuwe na mawadda

  • @user-uo1bu4jw2d
    @user-uo1bu4jw2d 4 місяці тому +2

    Assalam Alykum sheikh..Naitwa Omari naomba dua nipate wepesi wa maisha inshallah..Mungu akuzidishie kheir

  • @SophiaMbogo-in7yt
    @SophiaMbogo-in7yt 4 місяці тому +1

    Shukuran jazaka Allah khairan Allah akuhifadh akujalie kher duniani na akhera wallahi tunafurhi na kufaa idhika

  • @salimmbuleramadhan8120
    @salimmbuleramadhan8120 Місяць тому

    Sheikh shukran. Naitwa Halima mohammed, kutoka kenya. Nina mitihani mizito hata nikianza kuzieleza sitozimaliza, wanangu bado wadogo na wanapitia mazito kwasababu ya shida zangu. Naomba mnikumbuke kwa dua, maana naskia nimefika mwisho.

  • @MohammedCheme
    @MohammedCheme 2 місяці тому

    Mashaallah allaahu akbar❤❤❤❤❤❤
    Mohammed Cheme nifanyiye duay

  • @user-vl4md8rj6i
    @user-vl4md8rj6i 4 місяці тому

    Mashaallah mola akuzidisheye imani na akuhifathy

  • @dj_poison255
    @dj_poison255 3 місяці тому

    mashallah shukran Shekh
    niombee dua shekh

  • @MohammedAli-et6ey
    @MohammedAli-et6ey 4 місяці тому

    Maashaallah nakpenda san kwaajil y Allah

  • @user-jc8jf6kt4g
    @user-jc8jf6kt4g 2 місяці тому

    Assalamu alaykum wa rahmatullah wa barakatuh shekh mie niko south Africa nakufwatiliaga Sana kiukweli majibu mengi nilishapata kwa Adhkari na izo quran unatuelekezaga kiukweli uzidi kuwa na afya na Familia yako Allah awajalie pepo ya fildausi inshaAllah

  • @user-on7sq4bq5h
    @user-on7sq4bq5h 4 місяці тому +1

    Assallam allaykum waramatullahi wabarakhatu sh naitwa ramadhan toka Congo naku omba nisaidiye n'a duwa Allah ani tatuliye matatizo

  • @RahmaMfaume-cc7lc
    @RahmaMfaume-cc7lc 4 місяці тому

    Mashaallah jazakaallahu khairah

  • @user-vs7lc9nn8i
    @user-vs7lc9nn8i 4 місяці тому

    Mashaallah ustadh nimekufatilia sana Allah akujaze

  • @user-qy9pd1lu8l
    @user-qy9pd1lu8l 2 місяці тому

    Nakupenda sana Sheikh kwajili ya Allah

  • @mwanahamismohamed7877
    @mwanahamismohamed7877 3 місяці тому

    Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh shekh wangu yaani nakuombea Mungu akupe uzima na ajaalie uzidi kutufunza mengi shekh wangu mimi ninamitihani sana na hata nikipambana na familia yangu tuivuke bado inajirudia na kwa upendo wa mume wangu mambo hayaendi kabisa hata akifanya biashara zako kulipwa ni mtihani shekh mpk nachoka naomba dua zako

  • @user-sr5xs7bw1x
    @user-sr5xs7bw1x 4 місяці тому +1

    Asalam alaykom mim nayitwa Amina nayishi burundi naomba icokisomo sijuwi kusoma shekh

  • @user-dq1lm2be2u
    @user-dq1lm2be2u 4 місяці тому

    Inshaallah shukran

  • @NasriaNassor
    @NasriaNassor 3 місяці тому +1

    Shukran

  • @saeeed2599
    @saeeed2599 Місяць тому

    A aleikum nataka dua mume wangu na mtoto wangu hawana kazi nakuomba dua

  • @HappyAstrolabe-be4lm
    @HappyAstrolabe-be4lm 4 місяці тому +2

    ❤❤❤ mashallah

  • @user-wq8lp4th2b
    @user-wq8lp4th2b 3 місяці тому

    SHUKRAN LAK sheikh ❤❤❤

  • @FatumaHalima-qj9yi
    @FatumaHalima-qj9yi 4 місяці тому

    A salaam aleikum shehe natokea Kenya uniombee dua kwa maisha yangu n watoto wangu tunapitia mazito naitwa fatuma,Aisha,Shaffi,hawa,aaqil,sahil na iqran tupate wepesi kwa maisha inshaalah

  • @ZainabuiddKunambi-he3ic
    @ZainabuiddKunambi-he3ic 3 місяці тому

    Nahitaji dua zako shekh wng napitia miyihani migumu sana kiafya kiuchumi kindoa na kimaisha kwa ukumla.
    Naitwa( zainabu idd)

  • @AymanHaji-oy9iw
    @AymanHaji-oy9iw Місяць тому

    Asalam alaykum sheikh naitwa Aiman haji zubeir shekhe mm nlikuw nahitaj Dua mtu nimpendae aje nyumbn na tufunge ndoa inshallah

  • @khadijaissah4671
    @khadijaissah4671 4 місяці тому +1

    Assalaam Aleykum sheikh, shukrani sana Kwa mafundisho hayo illa je katika kuisoma hiyo Suratul Yaseen na pamoja na Waqiah mbali na huo muda wa Magharib na Ishai mtu anaeza soma baadaa ya Ishai kabla ya kulala na bado akanuilia Kwa mitihani hiyo iliyo kusudiwa

  • @user-uk5df9wi7k
    @user-uk5df9wi7k 4 місяці тому

    Asalam alykm shekh nimzaliwa kenya mimi viva soloma sijui kusoma Quran naomba hicho kisomo unisomee kwasababu sijui kuisoma suratul Yasin niko na mitihani mingi sana

  • @majomba-chrndz5964
    @majomba-chrndz5964 4 місяці тому +1

    Assalam alaikum chehe.mimi ni mfuasi wako kutokea Mozambique kwa jina MAHANDO JOAO MBANGUIA.ningependa nifike tz na unisaidiye nisome niwe mwene elim lakini sijuwi na anza vipi.insha Allah ya rab akuzidichiye zaidi kutufikishia maneno ya Allah.

  • @sheisgodorait5721
    @sheisgodorait5721 4 місяці тому

    Allah Akubariki shekhe

  • @Jdshhd-rr3zy
    @Jdshhd-rr3zy 2 місяці тому +1

    Asalamu alaikum ustadhi mmi naitwa Hadija Salim naomba unifanyie Dua nnajini mahaba nimtu wa mikosi tu ata ivi nnamchumba wangu ameniacha bila sababu tafadhali ustadhi unifanyie inshallah

  • @MwanaidiSaidi-ey8lf
    @MwanaidiSaidi-ey8lf 3 місяці тому +2

    Asalam alaikum shehe mimi ninaitwa othoman Jackson mambo yangu ni magumu sana kwa kila ninachofanya pia nikaona nibadili dini niwe muslam pia sifanikiwi shehe naomba dua kwako lshaallh

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 15 днів тому

      Na mie nnakuombea dua .ALLA AKUKUBALIE DUA ZAKO. zidisha kumsalia mtume .(Aswahuma swali alla muhammad wa alihi waswabihi wa salaam.
      Marakwamara

  • @AshaJafari-fr3qs
    @AshaJafari-fr3qs Місяць тому

    Asalam aleykum naitwa Asha jafari Yasini ninashida ya duwa ili niifadhi quran aa

  • @user-dq1lm2be2u
    @user-dq1lm2be2u 4 місяці тому

    Inshaallah

  • @SudiKhalid-kt4th
    @SudiKhalid-kt4th 3 місяці тому

    ASALAM ALAIKUM WARHMATULLAH W SHEIKH NAPENDA SANA MAFUNZO YAKO MIMI NIMEHASIDIW KWAKWEL NAOMBA UNIOMBEY JINA LANGU SUDI KHALID KUTOKA BURUNDI ALLAH ATUWEKEY WEPESI

  • @user-md8gs2mk2m
    @user-md8gs2mk2m 2 місяці тому

    Mungu akupe kilalaheri dunia I naahela

  • @sheilajames8206
    @sheilajames8206 4 місяці тому

    Assalaam Aleykum sheikh niombee dua ya rizik sababu nimeteseka sana

  • @FatumaAbdilrahman
    @FatumaAbdilrahman 4 місяці тому +1

    Sheikh naomba Dua ya rizq maana sinielewi

  • @IsmaelHAKIZIMANA-hz5in
    @IsmaelHAKIZIMANA-hz5in 2 місяці тому

    Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh, naomba Sheikh,

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 4 місяці тому

    Wallaikum Sallam Warahamatullah Wabarakatuh Alhamndulillah

  • @FarashuuMohammed
    @FarashuuMohammed 3 місяці тому

    mimi naitwa farashuu mohd abdalla naomba na mimi nisome hii saba mubini mungu anifungulie riski

  • @OmaryJuma-jy1ii
    @OmaryJuma-jy1ii 2 місяці тому

    Ishaallah

  • @KalimagiFeruzi
    @KalimagiFeruzi 3 місяці тому +1

    Assalamu alaykum,shekh jina langu BACHWA HUSSEIN FERUZI

  • @user-pw9lf6yt9b
    @user-pw9lf6yt9b 3 місяці тому

    Aamin

  • @SaotmAlohtm
    @SaotmAlohtm 2 місяці тому

    Shehe muombee mwanangu ana itwa idadi yopondan sina uwezo 😂😢😂

  • @zaynabkinana4978
    @zaynabkinana4978 2 місяці тому

    As salaam alaikum warahmatullah wabarakatuh shekhe Mimi ninamatatizo mengi hayaelezeki

  • @aligermano3615
    @aligermano3615 4 місяці тому

    Assalam Aleikum sheh mimi naitwa Cândido Ali, kutoka Mozambique yani na matatizo mengui yani napata feza ikayi ata dowa yani mengui tu. Sijui kuandika ki shahiri vizuri lakini utayelewa tu. Niganyie duwa mufuti

  • @user-kf3im1bn4c
    @user-kf3im1bn4c 16 днів тому

    Aa mie naitwa nuru ali natola kenya mie nintihani mkubwa kutofunguka risk madeni yameniso ga koo sheik naomba nami unitilie dua

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 4 місяці тому

    Kila sifanjema anastahiki Allah mola mlezi wa viumbe wote

  • @OmaryJuma-jy1ii
    @OmaryJuma-jy1ii 2 місяці тому

    Asalam alaikum warhatullah ta'ala wabarakaatuh m omar juma

  • @brotherk5665
    @brotherk5665 4 місяці тому +1

    me naomba namba ya shekh

  • @mariambakari7988
    @mariambakari7988 4 місяці тому

    Asalam Alykum warahmatullahi wabarakaat,naomba ndua mambo yangu yawe wepesi ndoa,kiuchumi na kimaisha

  • @user-lp2en8vh6j
    @user-lp2en8vh6j 4 місяці тому

    Assalam aylkum kum shekhe mimi nina tatizo madeni shekh mambo magumu pesa dogo naomba dua

  • @barkaabdallah2407
    @barkaabdallah2407 3 місяці тому

    Asalam Alekum warahmatulahi wabarakatuh
    Je sheikh nikiisoma usiku na sawa ama inasoma magrib peke yake na manisha yasin pamoja na waqia?

  • @AbudoAgostinho-te3sb
    @AbudoAgostinho-te3sb 3 місяці тому

    Mnataman ata nikuone ila akuna jinsi kama o nguekua jalibo nilibidi nikuone,Ola cheye naomba unisaidie, kama kuna uwezeka o wakunisaidia naomba bass cheye usiku mwema lala salama na familia si wenguine tunashindua mpaka kuisaidia family!

  • @MwanaidiSaidi-ey8lf
    @MwanaidiSaidi-ey8lf 3 місяці тому

    Mimi naitwa mwajabu naomba niombee dua nifunguliwe riziki nanifanyiwe wepesi kwa kila jambo

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 2 місяці тому

    Anapatikana Dar no za cm hizo zinapita apo.

  • @adammakame63
    @adammakame63 2 місяці тому

    Huyu shekhe anapatikana wapi.naomba namba yake ya simu

  • @user-kx4wd5vb4j
    @user-kx4wd5vb4j 4 місяці тому

    Utajiri wa nafsi ni bora kuliko utajiri wa mali wenye kibri na usio na imani

  • @user-lp5zw6bb5d
    @user-lp5zw6bb5d 3 місяці тому

    Aslm alkm wwt ustdh Michael ulisema dawa ya hasad ni gani mm ni daktari natibu watu watu wanapona walakini mm mwenyewe ni mgonjwa yaani uhasidi mingi ainun

  • @IbrahimHaroub
    @IbrahimHaroub 3 місяці тому

    Sheikh mm naomb unipigie cm tafadhal nipo zanz

  • @khadijaissah4671
    @khadijaissah4671 4 місяці тому +1

    Kisha huyo bellasi mimi nitakujibu hilo,Mtume Mohammad S.A.W mwenyewe alikataa mali ili isimshughulishe na dunia akamsahau Allah pia hakutaka kuwafanya watu wamuone au kumchukulia bora kuliko wanadamu wenziwe yeye angelipenda mali Allah hangekosa kumpa

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un 2 місяці тому

      Ufahamu wako una mushkel!uislam haujakataza mali

  • @khalifmaalim8056
    @khalifmaalim8056 4 місяці тому

    Assalamu aleykum shekh na uko wapi wewe?

  • @juniorcantona4040
    @juniorcantona4040 4 місяці тому +2

    Naam
    Twaibu Sheikh Othman Michael
    Naomba uniombee
    Nasumbuliwa na maradhi na hospital hayaonekani
    Tafadhari

  • @richardahmmady3412
    @richardahmmady3412 2 місяці тому

    Nilisahau jina naitwa Ahmad Rich

  • @ceciliamaneti5283
    @ceciliamaneti5283 2 місяці тому

    Msaada please, naomba anaeweza kuniandikia hizi sura nitamshukuru ila Allah amfungulie Insh'Allah

    • @allyMkira
      @allyMkira 18 днів тому

      Asalamu alaikum warah matullah wabarakatuh

    • @allyMkira
      @allyMkira 18 днів тому

      Suratul yaasini na suratul yaasin

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 4 місяці тому

    Sheikh Kuna Dada Na kaaa nae Nahisi ana Jini maana anapandisha Jini lakn likipanda anajing'ata ulimi,, anakuwa Mgumu half anapoteza Fahamu hapo hadi Baadae hata akiamkua anasahau alikuwa wapi hivo sheikh Jini huyo wa aina ipi na atumie nn hio hali imuondoke

  • @zainabuiddy
    @zainabuiddy 2 місяці тому

    Sasa kama mtu auwezi kuisoma unaweza kuisikiliza

  • @AbudoAgostinho-te3sb
    @AbudoAgostinho-te3sb 3 місяці тому

    Assalam alaikum chehe mnafanha kazi na wa indi Nina miaka 4 na fanha kazi illa mpaka sasaivi sina ATA thumbs ATA mpaka sijui yela mnapo malizia mnaitua ABUDO kutoka Mozambique nataka unisaidie cheye safadali mzem Lila kitu mnapo jalibo kufanha aiendi kuamana!

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 4 місяці тому +1

    Nilimtoa bibi yangu mkoani aje umsimee dua lakin ulituzungusha mpaka bibi akafariki sina maana kuwa ungeweza kuzuia kifo chake Ila hata yeye mwenyewe alitaman kusomewa na wewe

    • @ashuraramadhan6467
      @ashuraramadhan6467 4 місяці тому

      Pole ndugu iyo ilikuw siku yake ilishafika hata angesomewa km ndo mwsho wake bc hata shekh angemsomea Bado ungemkosa maan tayar ahadi yake ishafika

  • @bellasi349
    @bellasi349 4 місяці тому +1

    Sasa monsieur acha uongo wa kijinga Muhammad mwenyewe alikufa masikin au yeye alikuwa hajui soma izo sura au soma wewe maisha yako tunayajua

    • @ashuraramadhan6467
      @ashuraramadhan6467 4 місяці тому +1

      Km utaki kaa mbali ,
      usilete maneno ya ajabu Mtume aliambiwa na Allah aseme chochote anachokitaka apew alikataa kulingana na Imani yake na hata angepew Kila kitu ktkt Dunia kisingemshughulisha cz yy Dunia alikuw ameioa mgongo na hat angetak nin angekuw nacho cz yy ndo kawafundisha maswahaba zake na maswahaba walikuw vizur Kwa Mali n.k , Allah ndo mjuzi zaidi
      km hujui ukae kimya sio utoe comment za kukashif

    • @bellasi349
      @bellasi349 4 місяці тому

      @@ashuraramadhan6467 kweli wewe jinga sasa allah ampe nini Muhammad atoe wapi kwanza n'a why hakumpa n'a akafa masikin n'a uyo allah alimwambia lin n'a wapi yani nyie watu weusi ivi akili ziko wapi mbwa nyie kwanin allah hakuokoa watoto wake wakati wanakufa kama vibudu achen ujinga nyie tumia akiri sio kuamini tu upumbavu wa waarabu

    • @user-nn3dt5gh8e
      @user-nn3dt5gh8e 4 місяці тому

      ​@@bellasi349usitukane huwezi kaakinya

    • @NasraAmini
      @NasraAmini 4 місяці тому +2

      Laa natullah ww kijana Allah atakulaani insha allah

    • @ashuraramadhan6467
      @ashuraramadhan6467 4 місяці тому +1

      @@bellasi349 kwanza usimshirishe Allah Allah hana mtoto km unavyodhan ww , siwez kubishan na mtu chiz nwendawazim Kaa na ujing wako

  • @NasibuNasibuhamisiGmailcom
    @NasibuNasibuhamisiGmailcom 4 місяці тому +1

    Sheikh minaitwa nasibu bin hidaiya naomba namimi unijumuishe kwenye hiyo dua

  • @MwanaidiSaidi-ey8lf
    @MwanaidiSaidi-ey8lf 3 місяці тому

    Asalam alaikum shehe mimi ninaitwa othoman Jackson mambo yangu ni magumu sana kwa kila ninachofanya pia nikaona nibadili dini niwe muslam pia sifanikiwi shehe naomba dua kwako lshaallh

  • @stevenjohn5853
    @stevenjohn5853 2 місяці тому

    Shukran

  • @richardahmmady3412
    @richardahmmady3412 2 місяці тому

    Nilisahau jina naitwa Ahmad Rich