Inalilahi waina alaihi Rajiunni Ngoma na manyimbo ni Haram halafu mjinga anasema mashaallahu na waislam wengi hawafaati vile dini imefumdisha wako na manyimbo na mamiziki peponi haingii machafu ati
Mamiziki Haram na manyimbo hifadhi Quruani na Sunna tukifa Kitu ya kwanza kuulizwa swala na swala inakataza maovu na machafu mamiziki mazinaa maushirikina na Allah kasema machafu hatoingia peponi ila aliyekubaliwa tauba acheni mamiziki hujui unakufa lini tubia na swali kabla hujaswaliwa
Duh mpk machoz wallah Ahmad said yaan anajua mpk anajua cn❤❤
🙏🙏
Wajna mashaallah
Hongern sn Kwa Kaz nzr mashaallah ❤🎉🎉
Inalilahi waina alaihi Rajiunni Ngoma na manyimbo ni Haram halafu mjinga anasema mashaallahu na waislam wengi hawafaati vile dini imefumdisha wako na manyimbo na mamiziki peponi haingii machafu ati
Mashallah
❤❤❤
honger sana ndug yang kwa sasa nakuamini popot tu
Kama masihar tu leo umeonesha uwezo kaka tunakuombea ufike mbali zaidi 🎉
Tunatka ya ustadh hafidh
Baada ya kuichia hii hapa. Inayofuata ni ya Ust. HAFIDH. Kaa mkao wa kula
Saf sana kijana wang lete ladha
Mpemba mwnye kipaji chake
Mamiziki Haram na manyimbo hifadhi
Quruani na Sunna tukifa Kitu ya kwanza kuulizwa swala na swala inakataza maovu na machafu mamiziki mazinaa maushirikina na
Allah kasema machafu hatoingia peponi ila aliyekubaliwa tauba acheni mamiziki hujui unakufa lini tubia na swali kabla hujaswaliwa
𝙈𝙖 𝙎𝙝𝙖 𝘼𝙡𝙡𝙖𝙝 𝙐𝙨𝙩𝙙𝙝 𝘼𝙝𝙢𝙖𝙙 𝙎𝙖𝙮𝙙 𝘾𝙤𝙣𝙜𝙧𝙖𝙩𝙪𝙡𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣🤗👏 𝙢𝙮 𝙗𝙧𝙤𝙩𝙝𝙚𝙧 𝙡𝙖𝙙𝙝𝙖 𝙩𝙖𝙢😋😋