WANANCHI WAKAMATWA na POLISI SIMANJIRO BAADA YA MKURUGENZI KUSUSIA MKUTANO wa KIJIJI OKUTU
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- WANANCHI WAKAMATWA na POLISI MANYARA BAADA YA MKURUGENZI KUSUSIA MKUTANO wa KIJIJI OKUTU...
Baada ya kilio Cha muda mrefu Cha wakazi Wa maeneo haya ambao wengiwao ambao ni wakulima wamekuwa wakiwa wanalalamikia Mpango muovu wanaodai umesukwa na watu wenye fedha na baadhi ya wanasiasa wenye lengo la kuwaondoa wao Kisha maeneo haya yageuzwe kuwa Rachi ya ufugaji Wa mifugo ya matajiri wenye mifugo mingi kutoka nje ya Kijiji Chao ...
Wiki Moja iliyo pita hapa wananchi Wa Kijiji hiki walipewa Taarifa kuwa Mkurugenzi Wa halimashauri Yao ya simanjiro Atakuwa na Mkutano mkuu Wa Kijiji kwaajili ya kutatua changamoto hiyo inayopewa jina la mgogoro kati ya wakulima na wafugaji ili kuwaondoa wakulima...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Hongera mwandishi uko vizuri sana
Makonda sikia kiliio cha wananchi, hawamtaki mbunge wao Ole Sendeka
rushwa hapo iko wazi wazi kabsaa. hakuna haki ya wanaich hapo
Tuache kuwanyanyasa binadamu wenzetu na pia wafugaji wapewe ili ya mazingira siyo kuwakamata please take action quickly
Sasa mkurugenz akisusia wananchi wanakamatwaje
Makonda hajafika huko ,tuna viongozi wanaotutumka tu hayawezi hata kumaliza migogoro
Dhulma... wanadhani hawana akili😂
Hapa kinacho endelea ni kwamba wananchi baadhi hawataki kufuata utaratibu katika kutetea haki yao
Tunaomba mh Rais asikie kilio cha wananchi hawa...
Kwanini wanachadema sio watanzania mpinzani hana haki ya kusikiliswa kama mtanzania,?
Kamanda wa Polisi umeulizwa swali la msingi " Mlalamikaji ni nani"? Hujatoa jibu!
Viongizi wa ccm wanatumia nguvu sana kiliko kutumia akili
Kwanini maeneo hayo yalitengwa wasipewe wafugaji
Vumilieni ccm mbele kwa mbele na sisi tunaisoma No
mlinzi na mtetezi namba moja wa ardhi ya simanjiro ni OLESENDEKA tafadhali msimchafue mzee wa watu
Hivi bila kuwapa mkutano wananchi wa Kijiji utapataje kujua kero zao
Kumbe nyie Kwa sababu ni wa CCM unaona unasamana said na bado utasoma namba kila siku watu wanambia CCM siyo unangangania na bado
Wajinga sana
Ma DED kwa sasa wamepoteza imani kwa wanachi majority ma DED ndio wanzilishi wa migogoro ya ardhi.
Mwandishi kuwa balance unakuwa kama mwanaharakati balance story
Sendeka Sii mkulima bali mfugaji na ndio Mtu mbaya sana hafai kabisa
11:38
Vp