NO.8 :SHEIKH MUHAMMAD ABDUL WAHHABI NA IBN TAYMIYYAH WAWAKANA MAWAHHABI KUHUSU KHITMA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 90

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 10 місяців тому +6

    Sheikh!! tunaomba elimu hii ya chimbuko la uwahabi na athari zake mbaya kwa umma wa kiislamu itolewa kwenye madrasa zetu ili kuwalinda vijana wasipotezwe na hawa Mawahabi...

    • @KhamisiOmar-v3h
      @KhamisiOmar-v3h 10 місяців тому +1

      Allah ajalie na akupe umri mrefu sheikh kama mwenzangu alivo toa wazo kua hizi chapa la chimbiko na unyama wa mawahabi zipo chache kwa kuwa mawahabi huzichoma.inatakiwa iandaliwe pay bill waislam wachange zitoke chapa kama milioni ishirini kwa tafsiri ya kizungu na kiswahili zienezwe kote africa kuwaokoa ummah wa kiislamu na itakuwa ni muhimu sana.

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 10 місяців тому +1

      Sheikh tunakuomba uandike Kitabu kingine cha UWAHABBI. Kile cha kwanza tumekisoma. Hiki ukiite UWAHABBI KUNDI BATILI. Napendekeza hivyo. Ndani yake uandike mada zote hizi unazotoa hivi Sasa. Allah (SWT) Akujaze kheri.

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 10 місяців тому +1

      ​@@allymahaba3425embu niwaulize nyie masufi hivi ao mawahabi wanapunguwa au wanaongezeka kila kukicha?.

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 10 місяців тому +1

      Mana uyo lijishekhe lijiongo sana duh.

    • @ashachitemo7816
      @ashachitemo7816 10 місяців тому

      @@khaalidcheo5383 tupe ukweli wa historia ya kuanzishwa uwahabi na kuanzishwa Taifa la Saudia Arabia ilikuwaje.tueleze vlevile historia ya sheikh wenu Abdul Wahabi Ili ututhibitishie uongo wa huyu sheikh khalifa

  • @abuumaryam1922
    @abuumaryam1922 10 місяців тому +2

    Hili jamaa ni Rongo sijaona

  • @Uwesuramadhani-i3f
    @Uwesuramadhani-i3f 10 місяців тому

    mawahabi.tunataka.hoja.hatutaki.matusi.muwache.kumtukana.khalifa.kinachotakiwa.nihoja.sio.ndevu.leteni.hoja.zakielimu.sio.kumtusi.kufuga.ndevu.nisunna.siofaradhi.atakaefuga.ndevu.atapata.dhawabu.ambae.hajafuga.hapatidhambi.msitukane.leteni.hoja.kamahamna.semeni.hajui.au.mkasometena

    • @Uwesuramadhani-i3f
      @Uwesuramadhani-i3f 10 місяців тому

      kama.hamna.hoja.semeni.hamjui.au.mkasome.tena

    • @ibrahimabdul8257
      @ibrahimabdul8257 10 місяців тому

      Wewe unataka hoja gani wakati hata kuandika tu hujui…. Muhammad ibnul wahhab anavitabu vinauzwa madukani mwambie akosoe hata kimoja kama anaweza….

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 10 місяців тому

    Huyu mjinga sana kwahiyo hiyo picha ya yahudi ndio ibn taymiya?

    • @abubakarramadhan1716
      @abubakarramadhan1716 10 місяців тому

      Tuachane na picture jee maneno pia amemsingizia???????

    • @jumangozi2720
      @jumangozi2720 10 місяців тому

      @@abubakarramadhan1716 kama amedanganya kwenye hayo mapicha unaaminije maneno yake?
      Inaonekana mashia na masufi mna upeo mdogo sana

  • @bagalucha
    @bagalucha 9 місяців тому

    Bismillah Rahman Rahim
    Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,historia hii wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia unayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia na kighurafi dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili.
    KWA WALE WAABUDU MAKABURI
    Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
    Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allaah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na hunasema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
    Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
    [Musnad imaam Ahmad (12/314)]
    Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 10 місяців тому

    Nyinyi masufi ni PUNDA WA MASHIA, njia ile ile wanayopita mashia na masufi mnapita.
    Lakini sishangai, imaam Shafy alisema mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika mchana atakuwa mpumbavu.

  • @athumanimahunda6541
    @athumanimahunda6541 10 місяців тому +4

    Shekhe hapa nahisi wamepaelewa sasa.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 місяців тому

      MAWAHABI WAMEGOMBWA NA MABWANA ZAO WASISIKILIZE SUFI WALA HUYU WASIMSIKILIZE🤣🤣🤣. KWAHIO USIFKIRI KUWA WANASIKILIZA. YAANI JAMBO LA KUSIKILIZA HAWALITAKI SKUAMBII KUFAHAMU

    • @rashidsaid9409
      @rashidsaid9409 10 місяців тому

      Sawasawa hapa nahisi shekhe umewadanganya vizuri imewaingia safisana.

    • @rashidsaid9409
      @rashidsaid9409 10 місяців тому

      Sawasawa hapa nahisi shekhe umewadanganya vizuri imewaingia safisana.

    • @rashidsaid9409
      @rashidsaid9409 10 місяців тому +1

      Amesema Ibni siirin Allah Amrehemu taabina huyu .maneno yake yanavyofanya kazi .amesema hakika hii dini ya uislamu ni elimu basi angalieni wapi mnakwenda kuichukua hiyo elimu ya dini.

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 10 місяців тому

    Swali dogo kwa huyu mzee kama muhammad ibnul wahhab ni mtu aliyechomekwa kwa ajili ya kuupasua umma je? Swala la thawabu za kisomo na baadhi ya aamal kumfikia maiti so jambo ambalo wamagharbi wamelichomeka kwa ajili ya kuleta fitna ? Kwa madai yako?

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 10 місяців тому +1

    Shekhe na hizo ndo picha zao???Mada yako imenawafurahisha wengi katika washabiki wa Dini lakini kumbuka kuwa kuna mashahidi 3 watasimama dhidi yako mbele ya ALLAH A'ZZA WAJALLA.

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 10 місяців тому

    Yaan hawaa ni wajinga waliozeeka hana hata misingi ya dini katika kuyafanyia mambo utafiti…ibn Tayyimia anapatia na anakosea sio maasuum. Halaf taja marejeo ya maneno yake

  • @MizaniOnlinetv
    @MizaniOnlinetv  10 місяців тому +2

    Uwahhabi ni madhehebu. Uenezi wake umefanywa na Mamlaka ya Saudia. Viongozi wa Serikali ya Saudia wamekiri wazi wazi kuwa wametoa fedha kueneza UWAHHABI kwa ombi la Serikali za Magharibi. Sasa wewe unayedai hakuna Uwahhabi una nafasi gani katika Serikali ya Saudia?

    • @rashidsaid9409
      @rashidsaid9409 10 місяців тому

      Kwa mujibu wa elimu ya Shekh google uko sawa.lakini kwa mujibu wa Ahlusunna waljamaa elimu yako iko kinyume .kama kinyesi kukiita keki.

    • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
      @CharafimalisalimoAli-qw3hk 10 місяців тому

      KawaidauamwiI ukimuona mwiI anakataa nakuchukia. Mbona sisi AHLUSUNNA WALJAMAÃ hatukasoriki yukiitwa mashaafi au MASUFIII😂. WANAKATAA sheewaao😂 😂😂😂😂😂

    • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
      @CharafimalisalimoAli-qw3hk 10 місяців тому

      WASHAMOTO KHALIFAAAAH, TULIDHANI SUNNAZAAO NI ZA MAAKA NA MADINA. KUMBU SUNNAZAAO NI SAUDIA NAJDI AMERICA UINGEREZA.

    • @rashidsaid9409
      @rashidsaid9409 10 місяців тому +1

      Sisi mawahabi hatukasiri mukitwita hivyo kabisaa.hilo ondoa shaka.tunalifurahia hilo jina.kwasababu ni zuri mnoo linapendeza.kwa sababu nijina la Allah subhanahu wataala.na maana yake ni kubwa na ni zuriii.musisite tafadhali.endeleeni tena na tena.kwani jina lake hasa huyu Shekhe ni Muhammad .lakini (Masufi)watu wa bidaa wakaona hapana bora tuwanasibishe na jina la baba yake Abdulwahhab .Alhamdulillah wameliacha zuri wametupa zuri zaidi .🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😅😅😅😅😄😄😀😃😘😋😋😋😘😁😅😅😂😆🤣😃😃😃😃😃 asanteni maghurafi.Masufi.Ahlul l bidaa.Ahlul dhwalala.

  • @shazyahya4121
    @shazyahya4121 10 місяців тому

    Uyu si ndio yule aliefukuzwa Bakwata au namfananisha waabudu makaburi

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 10 місяців тому

    Kumbe ibn tayyimiya anawakubali maimam mbona huwaa hamuwaambii watu

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 10 місяців тому

    Watu sunnah tuungane kuripoti hii channel ifungiwe, ni shari tu na uwongo ndio inazungumzia. Mche Allah ww mzee huoni haya kuzungumza uwongo

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 10 місяців тому

      Lakini katoa ushahidi vitabuni,umekwenda kuviangalia?Uongo uko wapi hujapinga kwa hoja.

    • @shazyahya4121
      @shazyahya4121 10 місяців тому

      Uandamane na nan uyo mzee hakuna asiyemjua Njaa kali kashfa ndio zimemfanya afukuzwe msikitini hapo anatafuta njia ya kujisafisha wahabi hoja zao zina dalili juu ya kitabu cha barzanji kuna maneno ya uongo na shirki sasa hofu yao ni je wakiacha maulid na wao ndipo wanapotegemea kupata umarufu na rizki hatima ya maisha yao itakuaje mjini watoto watakua hawaendi chooni The problem started here waliwai toa hoja zote zilijibiwa kisomi toka kwenye vitabu na uzuri wake waislam wengi Tanzania tunajua kinachofanyika kwenye maulid sasa aibu ni kubwa mbaya zaidi wamejiunga na Shia Njaa mbaya sana Allah atunusuru waja wake na bi'dah za masufy hawana logic reasons ni Njaa tu ndio imewafikisha kwenye hii aibu na wenyewe wanajua coz wengi wao ni wanafunzi wa TAMTA

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 10 місяців тому

    Talbis zimekujaa mzee wetuu baatwil huwaa hainusuriki

  • @bagalucha
    @bagalucha 9 місяців тому

    Kuna kila aina ya dalili kuwa huyu ana tabia ya ugombanishi.

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 10 місяців тому

    mtu ndevu umekata unifundishe dini ww mkata ndevu ,

  • @abuuhudhaifa5134
    @abuuhudhaifa5134 10 місяців тому

    Kama Unamzungumzia ibn taimiyya huyo ambae umeweka picha yake hapo mwazo sawa, ila Sheikhul islaam ibn taimiyya yuko mbali na hayo unayo mzushia

    • @MizaniOnlinetv
      @MizaniOnlinetv  10 місяців тому

      Kwahiyo Ibn TAYMIYYAH hakusema maneno hayo? Ndivyo unavyokusudia kusema?

  • @rashidsaid9409
    @rashidsaid9409 10 місяців тому +1

    Ahlu sunna waljamaa.firqatunnajia.ahlulhadith wal athar.twaa ifatun mathura.salaf swaleh.haya ndio majina ya kundi lililo okoka ni aka zake tu.pamoja na wanaofuata madhehebu manne ya maimamu.kwa hakki kama hao maimamu pasi na makosa yao.nakufuata yale waliyo sawa na sunna za Mtume wetu.na wala hakuna madhehebu ya kiwahabi.ambalo nyinyi watu wabidaa ndio mlilo livumbua jina hili kwa chuki zenu tu.ili watu wasipate kuujua ukweli.kwani itikadi ya Muhammad bin Abdulwahhab ndio itikadi ya Ahlussunna waljamaaa nahiyo ndio itikadi ya Mtume na maswaha zake.nataabiina natbaau ttabiina na maimamu wote wanne.

    • @MizaniOnlinetv
      @MizaniOnlinetv  10 місяців тому

      Uwahhabi ni madhehebu. Uenezi wake umefanywa na Mamlaka ya Saudia. Viongozi wa Serikali ya Saudia wamekiri wazi wazi kuwa wametoa fedha kueneza UWAHHABI kwa ombi la Serikali za Magharibi. Sasa wewe unayedai hakuna Uwahhabi una nafasi gani katika Serikali ya Saudia?

    • @rashidsaid9409
      @rashidsaid9409 10 місяців тому

      Kwa mujibu ya historia ya shekh google wa bidaa( Masufi) uko sawa . lakini katika historia ya uislamu ilioandikwa ktk vitabu vya Maulamaa wasunna haukosawa nitofauti kabisa. Ndugu yangu.🤣🤣🤣🤣

    • @MizaniOnlinetv
      @MizaniOnlinetv  10 місяців тому

      @@rashidsaid9409 Acha kuwadanganya watu. Yeye Sheikh anazungumza kwa dalili lakini mbona nyie majibu yenu ni ya mkato mkato. Nyoosheni Maelezo. Njooni na dalili za kupinga kwenu. Mnajaza kurasa kwa matusi. Tukiyaorodhesha matusi yenu humu tunapata kitabu kabisa.

    • @rashidsaid9409
      @rashidsaid9409 10 місяців тому

      Umeisoma comment vizuri.sisi hatufuati Maulamaa wetu kibugusa au kama mazombi vile .tunafuata alilolipatia na alilolikosea hatulifuati na heahima yake itabaki palepale tu kama ni ulamaa.huku ukikosea huangaliwi wewe nani .uta ambiwa tu .na huyu shekh google anakutieni talbisi za uongo kwa ulewa wa upande wake na sivyo kabisaa .Maana vitabu vya Shekhul islam ibnu taymiyyah Shurti uwe na elimu sana.ya dini na lugha ya asili ya kiarabu na uwe mjuzi wa elimu ya kisheria ya dini.kinyume chake utaelewa vibaya.na ndio maana watu wa bidaa kwa ukosefu wa elimu ya kisheria na bahthi wanasema ibnu taymiyya kajuzisha maulidi.wakati ni kinyume kabiasaa.

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 10 місяців тому

    Huyu Babu Ana shida zake
    Ni Mbeya Mbeya sana ndio Maana Alitimuliwa kwa Aibu kubwa Msikiti wa Mtoro

  • @ABUUDARDAAI
    @ABUUDARDAAI 10 місяців тому

    munaa hangaika

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 10 місяців тому

    HICHO KITAMBULISHO CHAMWANZO WA MADA CHA MADAD KISIACHWE , KINANIKUNASANAAA, INGAWA WENGINE WANAUMIA. MADADI DHIKRIL,IRAAT.

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 10 місяців тому

    Mawahab ni kama wakristo,Wana macho lakini hawaoni,wanamasikio lakini hawasikii,pia ni mabubu.

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 10 місяців тому

    Mzee mwongo huoni haya

  • @mhrmahir3756
    @mhrmahir3756 10 місяців тому

    we jamaa kwel umekusudia kumponda mtu kwa uwongo mana apo umetafta pic la mtu af unafanisha na muhammad ibnl wahhab mbon hio pic ya dahalani hueki kwaiyo ipatikan pic ya mtu wa mwanzo alekuja badae ipotee sio acha kupumbaza wajinga wenzako

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 10 місяців тому

      Topic siyo Picha topic ni Khitma. Ibn TAYMIYYAH na IBN ABDUL WAHHABI wanaikubali. Nyie nani kawafundisha kuikataa. Mnataka tusiwaombee marehemu wetu? Tuvunje hisani walizotutendea maiti zetu walipokuwa hai kwa kuwakata wanapokatikiwa na mbinu za kujitendea Amali. Acheni roho ngumu MAWAHHABI, waombeeni wazazi wenu, wazazi wa wazazi wenu, ndugu zenu, jamaa na rafiki zenu waliotangulia. Watoleeni sadaka ndo wema unaotakiwa juu yao.

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 10 місяців тому

    VIJANA WAKIWAHAABI AASA HAPA WAMEKWISHA NA DATA ZA KHALIFA DUH. ETI WANASEMA FUGA NDEVUU 😂😂😂😂😂😂😂😂, MADA NYENGINEEE.

    • @rashidsaid9409
      @rashidsaid9409 10 місяців тому

      Acha kuikejeli sunna ya Mtume wako wewe unaona kituko sio.halafu unacheka cheka.kipuuzi.jielewe

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 10 місяців тому +1

    ibn taimia kasema dua, hajasema hitma tofautisha shekh usidanganye umma,hakuna neno hitmA hapo

    • @lusitamagora23
      @lusitamagora23 10 місяців тому

      Wewe unayedai Ibn Taymiyah kasema dua una makengeza katika uongo wako, amesema thawabu za kisomo cha Qur'ani sio dua. Acheni unafiki. Mtadanganya wajinga. Wakati wa kutudanganya imekwisha Sh Khalifa Allah amhifadhi ametuokoa kumbe mlikuwa mnatudanganya ukweli umedhihiri sasa

    • @kijitamfyomi5598
      @kijitamfyomi5598 10 місяців тому

      Kwani kwenye khitma hakuna dua sio?ama nawewe ndio walewale waloingia kichwa kichwa kwenye uwahabi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 місяців тому

      Nijilijua mawahabi ndivyo mtakavyojibu ili kulazimisha isiwe Sawa. Ibn taymia kasema aamali za wengine hazikatiki kwa maiti. Je khitma sio aamali?

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 10 місяців тому

      @@lusitamagora23 mh, hujui dini ndugu iv dalili ya kusihi jambo linachukuliwa kotoka wp, halafu huyu shekh ametamka mara nyingi tu hitma, iv ushawahi kwenda kwenye hitmA au unasema tu, nikufundisha sasa , mwambie huyo shekh wako atowe dalili zakuthibit hayo anayo yasema , ktk qur an na sunna . akipata nakuunga bando, iv utachukua vp kauli ya mtu ukaacha kauli ya mtume na aseme lini mtume aliyafanya hayo ili iwe haki au. mtume hakuiona hiyo haki.

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 10 місяців тому

      @@hilalkhalfan1452kwani ww dalili ya kuthibit haki unachukua kwa ibn taimia au ktk qur an na sunna . mwambie atoe dalili ili kuthibiti hizo porojo katk kitabu na sunna, sisi wanaadam wote tunapatia na kukuosea, weka ushahid hapa. na utuambie jee mtume hayo aliyafanya au hakujua kama ni mazur. allah kasema tukihitilafiana turudi kwake na kwa mtume sio kwenye magazeti, leteni ushahidi alioutaja allah

  • @MussaZombwe-du4pj
    @MussaZombwe-du4pj 10 місяців тому

    Soma Q.36:69-70, Q.30:52-53

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 10 місяців тому

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 10 місяців тому

    Mawahabi hawanaga hoja zaidi ya matusi na hasira wanazopandikizwa na madhehebu yao na mashekh wao, Wanapoona ukweli wao huukataa kwakudai ninyi ni watu wa bidaa ili kukufanya uhisi unyonge au ukate tamaa kuwazungumzia, Wao sikuzote ni watu wakukurupukia mashekh na vitabu wasivyo na elimu navyo, Alafu hata wakikose ningumu kukubali au kuomba radhi, Ndio maana unaona uelewa wao upo chini kulingana na matangopori wanayokaririshwa, Uislam hauko hivo na pia hawanaga hekima wala busara katika kulingania waislam wengine au wasio waislam zaidi ya jaziba na hasira na ubishi usio na maana katika dini ya kiislam.

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 10 місяців тому

      Weye hoja gani uliokuwa nayo ambayo utainasibisa na dini yetu.?

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 10 місяців тому

      @@khaalidcheo5383 Dini ipi tena? Unataka nitoe hoja ipi kuinasibisha na dini yenu? Mimi ni Muslim sijui dini yenu unayo maanisha ni inasibishe, Wewe ulitaka hoja gani kutoka kwangu?

  • @rashidsaid9409
    @rashidsaid9409 10 місяців тому

    Bado hatujasahau alipofurushwa msikiti wa mtoro huyu Shekhe kibabu

    • @abubakarramadhan1716
      @abubakarramadhan1716 10 місяців тому

      Nikweli kabisaaaaa kafukuzwa wewe unashuhudia lkn alisemalo kuhusu wahabi nikweli ama pia emefurushwa hhhhhhhh

    • @rashidsaid9409
      @rashidsaid9409 10 місяців тому

      Sasa na yeye kafurushwa kama imam Abdulwahabi. Na afadhali Abdulwahhaby. Yeye kafukuzwa kwa kuwakataza watu wasifanye shirki.lakini shekh google kafukuzwa msikitini kwa fitna zake. Hahaa@😉😊😊😊😊😊😂😂🤣😃😄😅.

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 10 місяців тому +1

    Fuga ndevu kwanza shekh ndipo uongee na wanaume wenzako,utawaeleza nin waislam hadi waamini kua hayo unayoongea ni yakweli wakati tayar ushahalifu sunna ya wazi kabisa.

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 10 місяців тому +1

      Nani alikwambia ndevu ni nguzo za uislam au ni nguzo za imani, Wewe fuga ndevu uone Kama utaiona pepo kwakufuga ndevu, Sio lazima kufuga lakini ni suna kufuga.

    • @lusitamagora23
      @lusitamagora23 10 місяців тому +1

      Hapa panaongelewa Kisomo cha Qurani sio ndevu. Ndevu ni sunna na asiyekuwa na ndevu hatoadhibiwa. Yaonyesha dini ya Uwahhabi nguzo ya kwanza ni kufunga ndevu. Na asiye na ndevu mnamfukuza kwenye hiyo dini yenu mpya

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 10 місяців тому

      Kazi ipo wayahudi wametuweza hakuna mwenye akili tena hata nyie wasoma na wasio wasomi Wana nafuu msalafi Answari na wanaitwa makhurafi ya masufi mashafi woooote Sasa mkitaka sema BASI kunatatizo tukae chini tutatue

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 10 місяців тому

      shida iliokuwepo ni kuwa. watu wameacha mafundisho sahihi ya mtume, lau kama watu wagefuata dini ilioachwa na mtume yasingetokea haya yote, iv ww unapata ujasiri gani wakuanzisha Jambo ambalo mtume hakulifanya halafu ulazimishe liwekwe kwenye ibada. iv hujiuliz mbona mtume hakufundisha wala hakufanya, halafu mayahudi wanawachukia sn waislam wanao fuata SUNNA Za mtume bali wanawapenda wale wanaleta uzush ktk uislam, vaa kanzu fupi, fuga ndevu uone makafur wanavokucjukia, huyo wahabi makafir ndo hawampendi hata kidogo maana anaendana nao kinyume ktk bidaa zao, ndio maana wanampaka matope kasome kitabu chake kinachoitwa FAT HUL MAJIID, SHERH KITABU TAUHIID, utaujua ukweli wote.

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 10 місяців тому

      @@medimisi6930 Shida sio Wewe ila nikile unachopandikizwa akilini mwako, Uislam hauko hivo na wala mtume alikuwa sio Wahhabi Kama Wewe na wala alikuwa hakati kanzu Kama Wewe, Au unao ushahidi ya hayo uliyosema ya kiwahab?Kufuga ndevu ni suna sio lazima lakini ninyi mwajua na kuona nilazima ufuge ndevu ili uwe mwislam, Kinachotofautisha waislam na dini zingine sio ndevu wala kukata kanzu, Huenda wakawa wanawaogopa kwa tabia mbaya sio nzuri, Uislam sio dini ya kuwatisha watu au kuwaogopesha Kama mnavyo dhani ninyi, Uislam ni dini ya upole na ukarimu, tabia nzuri kwenye dini na jamii inayokuzunguka, Ukiwatisha utashindwa kuwafikishia ujumbe wa Quran na kuslimu kwao kutakuwa kugumu, Uislam sio mgumu lakini sisi ndio twataka uonekane mgumu kwa waislam na wasio waislam, Hakuna jaziba, hasira au chuki katika kulingania waislam na wasio waislam.