Asante sana kwa video zenu! Mimi ni Mwaustralia ninayeweza kusikia ninayeishi Ujerumani. Sasa ninajifunza Kiswahili na nimeshajifunza Lugha ya Alama ya Australia na ya Ujerumani. Ni ya kuvutia kuona alama za hapo na wakati huohuo kujizoeza kusikia kwa Kiswahili.
maashaallah.allah akjalie umri mrefu wny kheir n ww.hakika ww ni hadhina kwetu.
Nice teacher we get it😅
Asante sana kwa video zenu! Mimi ni Mwaustralia ninayeweza kusikia ninayeishi Ujerumani. Sasa ninajifunza Kiswahili na nimeshajifunza Lugha ya Alama ya Australia na ya Ujerumani. Ni ya kuvutia kuona alama za hapo na wakati huohuo kujizoeza kusikia kwa Kiswahili.
Ahsante.
Tupo pamoja.
Tupo Zanzibar huku.
Na Jumuiya yetu inaitwa JUMUIYA YA WAKALIMANI WALUGHA YA ALAMA ZANZIBAR (JUWALAZA)
tunashkuru sana kwa kutufundisha lugha ya alam ila hatujui tunazipata wapi DVD zenu au walimu tujifunze tuishion
Sasa nashukuru nimekuwa nafundisha na wengine sasa.
Kuna group wasap mniung tafadhl
Good
Na kukusalit Kheir simai.
Thnxkaka
Na kukusalit kaka
Nakukubali kaka
Ahssnte mkuu
Kaka shukran
Thnx tuzidi kujifunza
Thkx
Tuzidi kujifunza
Mmm ningumu
Hapana mbona sio ngumu