Tupe Raha kiongozi wetu bwana ALLY KAMWE sisi wanaYanga waDunia nzima tukoTena pamoja usiku naMchana tuko kama billions mmoja supporters ebu please 🙏 please bring bring us happiness all over continent including Europe. Eeee let's me saying Youngs Africans oyeee oyeee yes oyeee hayaa Twendeee kazi wananchi Tupoo wananchi Tupoo eee hayaa Twendeee kazi all over us.
Kaka mtu anapo kwambia "Jumaa Mubarak" unatakiwa u respond hata "shukran" na wewe hata umwambie "Jumaa mubarak"...."barakallah feek"......"khair mubarak"....Sio kusema eti ooh tushamaliza, sasa ushamaliza nini wakati Al Jumuah inaisha magharib au wewe unajua Ijumaa ni swala tu ya ijumaa kwamba ikiisha na Al juamuah imeisha. Elimu Elimu Elimu
@@jumas.sendekwa2788 wewe mtu akwambie Jumaa Mubarak ujibu "ooh tuko nje ya muda sjui tushamaliza" yaani hata kusema "Shukran" au "Nashukuru" ushindwe useme eti ooh yeye sio sheikh?....Hapo kapuyanga mzee acha kutetea 'UJINGA' na nime comment hvyo ili na wengine UJINGA uwatoke.
ALLAH naomba utujaalie na uijaalie timu yetu ya YANGA Ushindi mnono InshaAllah 🙏🙏
Mungu awabariki kwa msaada mliotoa Yanga mbele nyuma mwiko.🙏🙏🙏🙏
Tupe Raha kiongozi wetu bwana ALLY KAMWE sisi wanaYanga waDunia nzima tukoTena pamoja usiku naMchana tuko kama billions mmoja supporters ebu please 🙏 please bring bring us happiness all over continent including Europe. Eeee let's me saying Youngs Africans oyeee oyeee yes oyeee hayaa Twendeee kazi wananchi Tupoo wananchi Tupoo eee hayaa Twendeee kazi all over us.
Allah aibariki yanga yangu🙏🙏🙏
Mwenyekiti Wawa semaji wote Tanzania
Inshaallah mwenyezi Mungu yupo ushindi ni wetu naamini
Mungu kasikia Dua zetu Wananchi
Kila lakheri wananchiiiiiii inshaallah ❤
Wananchi kwa supu😂😂❤❤❤
Inshaallah tutashinda kila la kheri timu yetu yanga ushindi mnono
Kila la kher inshaa allah
Ishaallah
Kala laher mwana mchuiiiiiiiiìiiiiìiiiiiiiiii Kesh tukijaliwa mchezo wetu
Ukivaa Jezi tu Unapata Hasada ❤
Supu hoyee
Supu tamuuu saaaana
Home sweet home hapo ni kilimani ni Shule ambayo nimesom primary ❤❤
TULIOSAFIRI KUTOKA DAR KUJA ZANZIBAR KUISAPOTI TIMU YETU TUJUANE KWA KULIKE HAPA
Nivizuri kujianda kila wakati, kwani kuwa na overconfidence ni vibaya sana.
Aamina Inshaallah
Kazi ihendeleye nime wahona dada zangu jenifa jeni jeni latifa l tt Yanga bingwa we ? Ahu hogopi?
muna kunywa supu ya vibudu sio
Vp semaji unaupofu nn
Sheikh ally unajisahau supu unakunywa kwa mkono wa kushoto sheikh
Kuna waliozaliwa hivyo kila kitu wanatumia kushoto
M😅
Kaka mtu anapo kwambia "Jumaa Mubarak" unatakiwa u respond hata "shukran" na wewe hata umwambie "Jumaa mubarak"...."barakallah feek"......"khair mubarak"....Sio kusema eti ooh tushamaliza, sasa ushamaliza nini wakati Al Jumuah inaisha magharib au wewe unajua Ijumaa ni swala tu ya ijumaa kwamba ikiisha na Al juamuah imeisha. Elimu Elimu Elimu
Huyu sio sheikh kaka. Hawezi jua kila kitu
Masha Allah
@@jumas.sendekwa2788 wewe mtu akwambie Jumaa Mubarak ujibu "ooh tuko nje ya muda sjui tushamaliza" yaani hata kusema "Shukran" au "Nashukuru" ushindwe useme eti ooh yeye sio sheikh?....Hapo kapuyanga mzee acha kutetea 'UJINGA' na nime comment hvyo ili na wengine UJINGA uwatoke.
Elimu kubwa umetoa shekh.jazakallah khair
Angejibu tu Aamiyn basi ingetosha