MIMI NA ROMA HATUPEWI 'SAPOTI'/ TID APEWE HESHIMA / ABIGAIL CHAMS/SIWEZI KUMDISI LUNYA - STAMINA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
    Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

КОМЕНТАРІ • 17

  • @babawaubatizo1938
    @babawaubatizo1938 4 місяці тому

    Huyu jr junior binafsi nampenda huyu jamaa kutoka moyoni. Anapenda kile ninachokipendaga mimi. Naomba mungu afanikiwe sana.

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 4 місяці тому

    Stamina anajua kujieleza sana. Achoshi kimsikiliza.

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 5 місяців тому +1

    J.r junior nakukubali sana bro ..times pamekufeet vizur na pindi lako lakusupport wana

  • @faustinhommedetatnifasha9669
    @faustinhommedetatnifasha9669 5 місяців тому

    Bro mbona majigambo??nathani bro #Roma hapendezwi nacho.
    Nami Pia sikukuzoea hivio.ila mapenzi niyaleyale nnawapenda saaana #Rostam💪🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @SAYMON794
    @SAYMON794 4 місяці тому

    Stamina naomba kampani kaka nilisha kutumiya kazi naomba iskilize bloo

  • @nicholouspaschal3586
    @nicholouspaschal3586 5 місяців тому +1

    All the best Brother .
    Is more than love.

  • @abasibakari3274
    @abasibakari3274 5 місяців тому +1

    🔥🔥🔥🙌

  • @user-ej4cm8lu3t
    @user-ej4cm8lu3t 5 місяців тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @praymwalu
    @praymwalu 5 місяців тому

    Mimi apa from drc Congo 🇨🇩

  • @MJB-Africa
    @MJB-Africa 5 місяців тому

    Nakubali mwnngu. Wa mbuzi makongo juu

  • @user-cw7xw9cu6m
    @user-cw7xw9cu6m 5 місяців тому

    kweli kabxa stamina unachosema upo sahihii mwamba shoro bwenz

    • @ninjaisma7983
      @ninjaisma7983 5 місяців тому +1

      Anasema sio shoro bwenz ni Shwero bwenzi😅

  • @praymwalu
    @praymwalu 5 місяців тому

    Mbona me nimesha mu check stamina mara nyingi bila ma jibu Mimi niko Congo naweza kumpata stamina vipi 🇨🇩🇨🇩

  • @Paplick9
    @Paplick9 5 місяців тому

    Morro town

  • @PabloPembe-ne7oy
    @PabloPembe-ne7oy 5 місяців тому

    Skupingi kak