Watoto Soka na wenzie wapatikane jamani na hali itakua shwari. Eeeh Mungu Mola wetu saidia watoto wapatikane, gusa roho za watekaji. Mazungumzo hayato aminiki bila watoto kuachiliwa kwanza. Rais Samia, Mungu akuongoze katika hii hali Rais wetu!! Maandamano dhumuni lake ilikua watu wasikiye hii hali watu wameisha sikia vyakutosha, na spirit ya maadamano tayari imebebwa na shuhuli ya muhemiwa Charamila ya taree 23 inatosha.watu wote wameelewa kwamba iyo shuhuli ya mapishi ni juu ya maandamano sasa waachieni uwanja.
Mbowe mungu akurinde naona unauchungu ipo siku mungu atatujibu kilio chawengi huwa kinajibiwa
Watoto Soka na wenzie wapatikane jamani na hali itakua shwari. Eeeh Mungu Mola wetu saidia watoto wapatikane, gusa roho za watekaji. Mazungumzo hayato aminiki bila watoto kuachiliwa kwanza. Rais Samia, Mungu akuongoze katika hii hali Rais wetu!! Maandamano dhumuni lake ilikua watu wasikiye hii hali watu wameisha sikia vyakutosha, na spirit ya maadamano tayari imebebwa na shuhuli ya muhemiwa Charamila ya taree 23 inatosha.watu wote wameelewa kwamba iyo shuhuli ya mapishi ni juu ya maandamano sasa waachieni uwanja.
Mzee Cheyo mungu akulinde umeongea vinzur
Kirefu chairman TCD ni....?