Mwanamke Bomba | Jacinta Wairimu Njoroge anawalea watoto Nakuru
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Jacinta Wairimu Njoroge mwenye umri wa miaka sabini amekuwa mama wa watoto wengi ambao hawapati huduma za msingi kutoka Kwa familia zao huku familia nyingi zikiathirika na uraibu WA pombe katika vitongoji mbalimbali kaunti ya Nakuru .Kwa Miaka kadhaa, Jacinta pia amekuwa akiwaandalia chukula watoto hao Bila malipo kila siku ya jumamosi huku mayatima wakipata makao ya kudumu katika kituo alichoanzisha.
Keep it up Mum Jacinta.we love you❤
May you live long mum!! You have a big heart
Good work 🎉
Live live long my dear ❤
The number one can send something to help her