NAMNA YA KUSWALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @abubakarbakari7042
    @abubakarbakari7042 7 місяців тому +3

    Masha Allah somo zuri Allah akujaalie umri mrefu uzidi kutuelimisha

  • @sesilialaga5403
    @sesilialaga5403 6 місяців тому

    Nakupenda sana shehewangu unatufundisha hukuunatichekesha napenda sana kukusikiliza

  • @JanatiSwahili
    @JanatiSwahili 2 дні тому

    Mashallah ❤💗 mashallah ❤ ALLAH atuongoze

  • @SakinaSakinat-qd9rs
    @SakinaSakinat-qd9rs 7 місяців тому +3

    Maa shaa Allah tabaraka Allah sheikh Izu darsa zuri wallah
    Jazak Allah khayrah wa Barak Allah fiik
    Allah akueke uzidi kutuelimisha

  • @MwadawaManeno
    @MwadawaManeno 6 місяців тому

    Mashallah mungu akufungulie ufaham zaidi ya hapo

  • @omarissa2389
    @omarissa2389 7 місяців тому

    Nakufuatilia sana masomo yako muungu akujalie kheri

  • @znzmawaidh8702
    @znzmawaidh8702 7 місяців тому

    Mashaallah Allah azikubali ibada zako na sisi sheikh wetu izudin shukran kwasomo

  • @ahmedbadi5822
    @ahmedbadi5822 7 місяців тому

    Maa Shaa Allah Jazaakumullahu khairan

  • @AlykhamisameAme
    @AlykhamisameAme 6 місяців тому

    Allah amzidishie huyu shikh

  • @Saumu.K.karisa
    @Saumu.K.karisa 7 місяців тому

    Maa.shaa.Allah. kwa.somo.zuri.na.kunawale.wanawake.wegeni.huilaza.mkono.ya.kama.wanasuyudu.na.hapa..vipi

  • @hamisisaid-zz2ye
    @hamisisaid-zz2ye 7 місяців тому

    Sheikh mm nakuelewa sana hata sihitaji dalili

  • @fauziaflorence6759
    @fauziaflorence6759 7 місяців тому

    MashaAllah

  • @rukiaabdalla1896
    @rukiaabdalla1896 7 місяців тому

    Tumeelimika kweli, alhamdulillah

  • @makkawi4294
    @makkawi4294 7 місяців тому

    Asalam aleykum mbn haina sauti

  • @hamismaulid270
    @hamismaulid270 7 місяців тому

    KINYAA - Kujiskia

  • @HusseinMusa-b1x
    @HusseinMusa-b1x 7 місяців тому

    Nakuuliza na hawa wanga ni waislamu utadeal nao vipi. Niendelee kusalimiana au

  • @Fumokale
    @Fumokale 7 місяців тому

    Ustadh Allah akujaalie IKHLASW ktk uyafanyayo yote ya khairi lkn kizungu kimezidi si hao ni waswahili tena wazee kunaaaani kizungu hicho ambacho ht hukijui...gapu gapu sema nafasi wataelewa vizuri 11:17

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  7 місяців тому +4

      Asante kwa maoni yako mola akubarikie shukran sana

    • @AgastianAbraham-i4c
      @AgastianAbraham-i4c 7 місяців тому +1

      Shekhe wetu izudin tunafaidika vizuri na masomo yako kutoka Tanzania barakallahu fiyka...

    • @hamisisaid-zz2ye
      @hamisisaid-zz2ye 7 місяців тому

      Masha Allah jazakallah kheir❤❤

    • @coolvoices6608
      @coolvoices6608 7 місяців тому

      Huyu ndugu ni kama hakuenda high school ndio aogopa sheikh aongee kizungu. Hy point ya kizungu haina mashiko. Mombasa ni Metropolitan ndani Ya Kenya na si Tanzania na hao wote hapo huwa wakizungumza wachanganya kizungu na kiswahili (code mixing/code switching) hapo kuna vijana na watoto pia usiangalie wazee. Sheikh upo sawa lugha yako kuichanganya na hata ukiamua kizungu kitupu bado wataelewa wote.

    • @Fumokale
      @Fumokale 7 місяців тому

      @@coolvoices6608 ww km umesoma sawa...mm naongelea kuwa si lazima aseme kizungu km hajui na pia anao waongelesha ni wazee ambao ajua km hawajasoma na watu wa mtaani...ww nenda higher school mpaka usike mbinguni