@@ahmedcantona4580 mashairi yakihuni Kama yapi kupindua Kijiji au kwani hujui kuwa sodoma na gomora zilipinduliwa juu chini na kuangamizwa na Moto mkali yani Kama hujasoma sira na hadithi hutokaa uelewe tungo za ngozi maana zinataka vichwa vilivyoshiba visa
Bd San wapeni hexhima ghazal
Ngozi butu saiv hanakitu kaisha safi san hamnza
Tumeni ya walim ghazal hapo hamna jambo
Kaswida kali sana ila waitikiaji butu wapiga dufu mikono mizito wameanza kupiga vzr huko juu ndo yakaanza maembe sasa
Munajitahidi ila ghazal achaneni nawo Ware atal
Kila madrasa imefanya kwa uwezo wake
Ghazali imebaki mipasho
Clip ya ghazali iko wap??
Leo hii inapostiwa
@@swiratwaonlinetv9472 Shukrani mkuu tunaomba na Jamvi la Swadiqu na Islaah Iile la ijumaa pale magomeni
Ghazali kaisha amna kitu hamza yupo juu kwa sasa itabidi ngozi akubali Tu kwamba ameisha amezeeka
Hawa hawajawafika ghazal hata robo ghazal level zao islaha saharifa swifa sio hawa
Bd San wapeni hexhima ghazal
Ghazali kaisha amna kitu hamza yupo juu kwa sasa itabidi ngozi akubali Tu kwamba ameisha amezeeka
Kaishaje ngozi Hamza mweupe tu tungo za kitoto hizo nyepesi Sana ngozi bado Hana mpinzani
sawa tungo nyepesi lakin anafahamika kinachoimbwa ila ngozi mashairi yke ymekaa kihuni huni
@@ahmedcantona4580 mashairi yakihuni Kama yapi kupindua Kijiji au kwani hujui kuwa sodoma na gomora zilipinduliwa juu chini na kuangamizwa na Moto mkali yani Kama hujasoma sira na hadithi hutokaa uelewe tungo za ngozi maana zinataka vichwa vilivyoshiba visa
@@SaidKambangwa au hujaelewa bakora Mia mchape imetoka wapi kijana kasome ujue Nani aliwekewa nadhiri ya kuchapwa bakora mia