Mtanga mtanga tuheshimiane sana nirudishie bando langu mi nilijua hapa sikitu unamtia mimba sasa nashangaa naona majumba tuheshimiane sana ujue bakuli sita una mechi ya finali au 🤣🤣🤣🤣
Mtanga kanimaliza! Eti wapangaji kila siku walalamika, Sabuni yangu! Sabuni yangu! ina maana yeye ndio azimaliza sabuni zawatu chooni kwa kuzipigia master bassion kila siku baada ya kuzidiwa na supu ya pweza. hhhhhhh. nyie wazee mtatuua kwa kucheka!
😂😂 waliokuja hapa 2024 like zangu bhanaaa
Endeleeni kupambana.. hela ya kwenye sanaa ipo wazi kwa kila mbunifu🔥🔥✅
Watching from Kenya ,my name is Dima Gayoye.show iko juu na Kwa kweli inafrahisha Sana.hongera bwana mtanga na timu yako.
Mhh pweza nimewamiss sana hapa mate yanitoka, tena wamekaangwa vizuri hadi rangi imetokelelea, 😋 love from kawaida 🇨🇭
🤣🤣🤣🤣
Lol!! Ujambo
Si ukanunue ubahili tu
Hana Demoo, eti nijisahau weee😂😂😂
Mchuzo wa pwezo bambo bhana😂😂😂😂
Mashallah Zanzibar kuzuri sana nimetembea mara kadhaa na bado natamani niwe huko.
Sio Zanzibar apo
@@mohamedpesambili9460 ni wapi hapo kaka?
Alfu we bambo hadi leo mambo ya kiduanzi bakuli la sita, et bakuli la sito🤣🤣🤣🤣
Ndio Icon yake mzee usiwe serious sana, mbona Mtamga bado anaongea ivo ivo
Ndiyo imemtoa hivyo,kama anakukera acha kumfatilia
Mtanga umezngua san leo. Unatuonyesha majengo ten😏😏 nljua bada ya hapo tutaskia kelele chumbn za matokeo ya pwezaaaaa🤣🤣😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂sabuni zinapotea daah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bambo mbona unaogop kawaidat et mchuz wa pwezo na busto
Mtanga mtanga tuheshimiane sana nirudishie bando langu mi nilijua hapa sikitu unamtia mimba sasa nashangaa naona majumba tuheshimiane sana ujue bakuli sita una mechi ya finali au 🤣🤣🤣🤣
Bakulo la sito, umekunywa mchuzo wa pwezo, mtango hano demo😂😂😂😂
Mchuzo wa pwezo,,bakuri la sito 🤣🤣🤣ila bambo miyeyusho kweli .
😂😂😂😂😂
Bakuli la sito😂😂😂😂😂😂😂 la sito
Hongereni saaana..mpo juu
Mtanga nini huo mchuzo kalabakuli langapi lasito🤣🤣🤣🤣
Sijachelewa leo from Zanzibar karibu home
Zanzibar ni NJEMA
Mchuzo wa pwezo 😂😂😂😂😂😂😂❤
I just love Tanzania food, lazma Nije kula
Bakuli la sito😂😂😂😂😂😂
Nimecheka sana we mtt wa jb
Sabuni zinapotea tuu 😂😂😂😂
Bambo kwel usijisahau asilale geto huyo😂
Mtanga unajua sana
Ndani ya Bima hiyo wazee wangu mpo vizuri
Very funny🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe Hana demu hahahaa naleo atalala nje🤣
Mtanga kanimaliza! Eti wapangaji kila siku walalamika, Sabuni yangu! Sabuni yangu! ina maana yeye ndio azimaliza sabuni zawatu chooni kwa kuzipigia master bassion kila siku baada ya kuzidiwa na supu ya pweza. hhhhhhh. nyie wazee mtatuua kwa kucheka!
🤣
Hapo nahisi Mtanga umekosea,kijiko ambacho unakitumia kunywea supu umechotea pilipili sio poa
Kweli kabisa,
Waislamuuu haoo, hata kwa mikono anachovyaaa na kulamba vidolee
@@Moses-Kuria Islam ndio Dini ya haki
@@fahadfahmy 🤔 kwamba mbinguni kuna waislam tu
@@Moses-Kuria uislamu ni usafi...alicho fanya si uislamu
Aaah nimecheka 🤣🤣🤣🤣
La sitoo 😂😂😂😂
Wallah mumenifurahishaaa San leooo
Mweeeh masayi 🤣🤣🤣🤣
Ila bamboo daaah 😀😀
🤣🤣🤣😁 mbavu zangu
Eti pwezo🤣🤣🤣🤣🤣
Ila bambo, eti Nijisahau 😂😂😂
bakuli la sitoo..😂😂💔
Jamaaa
Mnajua aiseeeee
Demu na bakuli sana zinahusiana vp
Hapo 3:14 bambo anavyoshangaa “la sitoo”
😂😂😂😂😂😂 la sito
Nitumie na Mimi mtanga
😆
Duuh ! Mtanga kajiwekea ngao kabisa asije akabakwa na mtanga mana si kwamabakuli sita
Imenibidi nije utube🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Supu ya pwenza hatari sana
Mtanga mtangalire😂
Mchuzi wa kweza tamu 😜
eti bakuli la sito😊😊😊😊😊😊
Mko sawa wasee
Jaman hivi kuna sku bambo atakuja kuongea mm nisichekea au mtanga mmmh sjui mm nikikosa kuangalia vichekesho vyenu huwa naumwa kabsaa
Hahahaaaaa kabusto,,,,,,,,😆😆😆
😆
Hahahaaaa ...😂😂😃😃😃😃
Huyu hana demo alafu anakunywo supo 😂
😂😂😂😂😂
Kijiko anatia mdomoni afu anachotea spices hawa ni biashara chafu kuambukizana maradhi bass
hawa jamaa noma
🔥🔥🔥
Unyama mwingi
Aya majamaaa bwana😄😃😀
Kama munakaa geto moja na hana demu kimbia au mfukuze hatari huyo
Nenda kwa sikitu usije ukamgusa bambo
Hawa jamaa bana dah!
🤣🤣
Unamnywea nani 😂😂😂
Sikitu unaongeza mini unapokunywa supu ya pweza
🤣🤣
sikituu😅a
Pot
Mfanyabiashara usipende kutumia mikono mitupu kushika chakula cha watu wengine.
Leo bambo.kazi.anayo
Utamaliza sabuni za watu baba
😂😂😂😂😂Daaah
Zahra wewe unakunywa mchuzi wa pweza?😂😂
Kusema ukweli ukiwa na bambo kwenye kazi zenu comedy inakuwa tamu Sana kama mchuzi wa pweza, lakini ikiwa na wengine ainogi kabisa....
Kabsa yan nakuunga mkono awa watu kama mapacha inanoga sana
Mtanga ustaarab zero kijiko unanywea mchuz hlafu unachotea pili pil na hyo muuzaj anakuangalia tu umezingua
Hatar
Nyie watu mmenishinda tabia
🤣🤣🤣
Mchuzi wa pwezo tena bakuli la sito
Dah🤣🤣🤣
Kulikone leo
Mtanga.na..bambo..balaaa
Huu uchovyaj sio salama kwa maisha
Bambo na Mtanga Habarizeno
Nawa kubali
Hahah et hana demoo
Nimetamani hao pweza wanauziwa wap
Hapo tabata bima
Oya mtanga shah bank hapa from Australia Sydney ya manigga ya got good show nigga ilike that
Mtanga acha kulamba kijiko alafu unakitumbukiza kwenye chumvi na pilipili. Walisha watu mate
Pwezauyo mtanga
#AVATASTAR255 👽
Mnastairi pingez
Tuliocheka Kabla Yakuabgalia
Hahaha
Bambo wacha kiherehere sasa mwenzio anakunywa supu inahusiana vipi kuwa hana demu?
Ww unajua matokeo ya mchuz wa pweza usijitoe ufahamu
Nani kasema supu ya pweza wanywe wenye wake? Bambo tuliza wewe Mtanga afanye mambo yake wacha ubishi
🤣🤣🤣🤣 brother
Tabata Bima hiyo
Bakuli la sita
🤣🤣🤣🤣
Bambo et Lasitoo
Badilisha kijiko bwana ukitia mdomoni halafu unakiingiza kwenye kibakuli cha pilipili
Mmeshutia tabata bima
Hahahaha 🥺🥺
Kwani kijiko hicho hicho anatia mdomoni halafu anachotea pilipili hichohicho
Km mayele nani amesikia