TAZAMA RAIS SAMIA AINGIA NA KOMBATI ZA JESHI VIWANJA VYA JAMHURI DODOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 206

  • @hubuumohamed3524
    @hubuumohamed3524 Рік тому +11

    Am from Kenya Mombasa very proud of mama samia love u,god bless u and be protected by god.ameen

  • @Kawumah
    @Kawumah Рік тому +5

    The Tanzanian Anthem ❤ Long live the beloved President of the Nation Dr Samia Suluhu Hassan.
    Love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬❣

  • @JohnKibirii-qe8sb
    @JohnKibirii-qe8sb 11 місяців тому +11

    Very humble with good qualities of a leader, a mother and wife of a man. God led Magufuli in choosing her.

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp Рік тому

    Peace and❤to mama samia mola akuzidishie umri na afya njema ameen

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Рік тому +10

    PIGA KAZI MAMA HUNA MPINZANI WAACHE WAROPOKE TU USIKU NA MCHANA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️

  • @m_rwema
    @m_rwema 11 місяців тому +3

    Tunampenda mama Samia Suluhu na Jamuhuri ya Tanzania pia. ❤sending love from Rwanda

  • @roymByr
    @roymByr 10 місяців тому +1

    Aksanti kabisa na Raîs wa inchi ya tanzania wa tutsi wote warudi inchi ya Rwanda ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉mungu amulinde basi Raîs wetu wa tanzania ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Msemaukwelikweli
    @Msemaukwelikweli 11 місяців тому +1

    Madam president salute please when in official millitary fatigue but otherwise this is inpressive, love it .

  • @danielomondionyango7163
    @danielomondionyango7163 10 місяців тому

    Asante sana kutuma Jeshi Congo kusaidia wakongomani, Mumbu ailinde Jumuia ya Tanzania

  • @anthonykinyanjui1100
    @anthonykinyanjui1100 11 місяців тому +3

    I wish Kenya we have a president like Samia....Kenya tunaumizwa na pastor ruto

    • @silasobwa8839
      @silasobwa8839 11 місяців тому

      Huyu Zakayo ni kutu-umiza anatu-umiza tuu

  • @ramaricardo9569
    @ramaricardo9569 11 місяців тому

    I am congolese,Tanzania Nation is good in terms of better leadership from H.E. Dr Samia

  • @jospinkaya9942
    @jospinkaya9942 10 місяців тому

    I’am from Congo Brazzaville, i like your président and her leadership.

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Рік тому +11

    kuna watu wanaumia sana kuona leo samia ni Rais

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому +3

      Tena wengi sana,,,

    • @bakaramourshaaban
      @bakaramourshaaban Рік тому +1

      Tena wengi ,wataumia sana ishallwa panapomajaaliwa na 2025 mitano tena baada ya ghiayari yao tena wamechagua muislamu sawa wamechagua Pombe watajua wenyewe

    • @lucaspaulo5371
      @lucaspaulo5371 Рік тому

      @@bakaramourshaaban ulishawahi kujiuliza ni rais aliechaguliwa na nani? Nawatabiria na ikae akilini mwenu 2025 mama nje na ccm nje na kwataarifa yenu kama hamjui mama hana uwezo wa kupambana na tundulisu nimekaa pale.

    • @jambo3751
      @jambo3751 Рік тому +2

      @@lucaspaulo5371 MaMa hawezi kupambana na nani?!TUNDU !!
      CHADEMA hakuna sura za Rais pale
      kuna Magarasa matupu .
      Mbowe ni mjanja hagombei urais huwa anagombea ubunge kwasababu anajuwa wazi kuwa urais hawaupati..lakini uchaguzi uliopita amepigwa kata funua hata huo ubunge hakuuona yaani CCM noma
      wamehakikisha wapinzani hawapati ugali wala mboga😂😂😂.

    • @lucaspaulo5371
      @lucaspaulo5371 Рік тому +1

      @@jambo3751 sio 2025 subiri uone chadema akigombea tundulisu uone kama kuna ccm itasalia maana mi mwenyewe ccm nimeichoka niliipenda kwa sababu ya Magufuli tu nilikuwa nishaichoka na huko nyuma kabla ya magufuli

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln Рік тому +3

    Huyu Raisi amewekwa na mungu wenye chuki na majungu yenu mtaumia sana. tafteni kazi mufanye majungu na chuki sio mtaji.. Mama samia oyeee

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому +9

    Wakati mwingine, ikiwa itafahamika mheshimiwa atavaa Sare ni vema watu wa Itifaki wakamfundisha kupiga salute ili akifika Eneo husika aweze kupokea heshima inayokwenda sambamba na itifaki ya sare hii ni katika kuboresha zaidi ((Ni ushauri Tu), Kwa ujumla amependeza na tuna muunga mkono kiongozi wetu!!

  • @amosoirongo4814
    @amosoirongo4814 11 місяців тому

    Mama Suluhu Long Live;we love you.
    Oirongo Amos from Kenya

  • @alphadee9021
    @alphadee9021 10 місяців тому +1

    This lady is fine. The problem is Kikwete who still working in the background with influence

    • @relaxedmind01
      @relaxedmind01 10 місяців тому

      He is helping her

    • @alphadee9021
      @alphadee9021 10 місяців тому

      @@relaxedmind01 He is helping her in wrongly.

    • @ndakilwemwasakandu7131
      @ndakilwemwasakandu7131 10 місяців тому

      nonsense how can jk control her,mnajifanya wajuaji sana ninyi koko waruto.hii ni tanzania mambo yetu tuachieni wenyewe na jakaya sio chochote katika serikali ya mama.😂😂😂

    • @alphadee9021
      @alphadee9021 10 місяців тому +1

      @@ndakilwemwasakandu7131 Nonsense. Who told you everyone understands your local language (Swahili).

  • @mkude
    @mkude Рік тому +4

    Piga kazi mama Watanzania walio wengi tunakupenda.wachache wenye chuki ndo wamebaki na majungu.

  • @murungielvis421
    @murungielvis421 10 місяців тому

    I love HE Samia. Very calm, hopefully Tanzanians will vote for her again

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 Рік тому +1

    TUNAKUPENDA SANA MAMA , YAANI ASILIMIA 85 YA WATANZANIA WAPO NA WEWE NA ASILIMIA 5 WAPO VIBARAKA WA WAPIGAJI , ASILIMIA 7 WASIO NA MISIMAMO NA ASILIMIA 3 NI WALE WAKUTUMIKA KULE....

  • @MTESOLONIKE.
    @MTESOLONIKE. 10 місяців тому

    Afunzwe kupiga salute akiwa na nguo rasmi za kijeshi,,sina ugomvi ,Kenya tunawapenda

  • @emmanuelmbwambo6571
    @emmanuelmbwambo6571 Рік тому +3

    Nilijua komandoo wa kimarekani,dadadek umetisha my lovely mama (love you)🤣😄😁😂😅.

  • @Ndalolusulo-yt2ol
    @Ndalolusulo-yt2ol Рік тому +3

    Hongera sana sana mama hakika umependeza sana natamani kila siku uvae nguo hizo fanya kazi mama ww na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mtu anataka ni hivyo hataki ni hivyo

  • @PokeaEliau-mf7rx
    @PokeaEliau-mf7rx Рік тому +1

    Mama hongera umependeza piga kazi

  • @alimubiru3055
    @alimubiru3055 11 місяців тому

    I love Dr samia you stepped in the big shoes of the late president and never disappoint your citizens you can do more, long live MAMA SULUHU HASSAN.

  • @dusabimanafeston6839
    @dusabimanafeston6839 10 місяців тому

    Unapendeza maman Tanzania ❤

  • @daudmnanga7075
    @daudmnanga7075 11 місяців тому +1

    Mungu awatangulie viongozi wote

  • @augustinotendwa8425
    @augustinotendwa8425 Рік тому +1

    I wish angekuwa anavaa hvi all the time amependeza mama

  • @josephgatambia5679
    @josephgatambia5679 11 місяців тому +3

    Such a well organised event,long live Rais Mama Suluhu

  • @WanjiruC238
    @WanjiruC238 Місяць тому

    Mama mzuri kiongozi wamaana sana, huwa natamani kiongozi kaa wewe ,sisi huku kwetu kenya hatuna kiongozi........ kiongozi .....

  • @ashahaji6265
    @ashahaji6265 Рік тому +5

    Umependeza mama

  • @roymByr
    @roymByr 10 місяців тому

    Usifiwee kabisa maman saluhu ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @chapwetumelo9601
    @chapwetumelo9601 11 місяців тому

    Viva Tanzania. God bless Tanzania.

  • @giftphilip8357
    @giftphilip8357 Рік тому +2

    love u mama samia

  • @KefareyBusagaga
    @KefareyBusagaga Рік тому +1

    Au nionyeshe mwanajeshi aliye na uniform alafu ajapiga salute

  • @silasobwa8839
    @silasobwa8839 11 місяців тому

    I wish Kenya tungekuwa na President kama Mama Samia Suluhu. Huku ni Zakayo anatu-umiza kutu-umiza kila wakati

  • @husseinallysuleiman4657
    @husseinallysuleiman4657 10 місяців тому

    Our President

  • @mutundiwilly2699
    @mutundiwilly2699 11 місяців тому

    Yuko kwa sare rasmi wangemwambia pia yy apige salute

  • @abewe7175
    @abewe7175 10 місяців тому

    Maman Tanzania,apporte la paix aux rwandais,tu es maman de la paix,Mungu akusayidire

  • @alfredorek5446
    @alfredorek5446 11 місяців тому +5

    The new economic giant of East Africa, here back in Nairobi we have neighbours who are speaking English in darkness and changing Kaunda suits like biscuits but sleeping with empty stomachs. Long live mama suluhu.

  • @daudmnanga7075
    @daudmnanga7075 11 місяців тому +1

    Kwayote mungu awape wepesi sana

  • @DavidFurechi
    @DavidFurechi 10 місяців тому

    Excellent

  • @collinsbiogasafrica2452
    @collinsbiogasafrica2452 11 місяців тому

    Tanzania poleni sana

  • @chucknose
    @chucknose 10 місяців тому

    Sabina chege🔥🔥😊

  • @ng_bn
    @ng_bn 11 місяців тому

    I love the limo

    • @ng_bn
      @ng_bn 11 місяців тому

      Mzae wetu asione hii 😅😂

  • @davidmbago3883
    @davidmbago3883 10 місяців тому

    Good President

  • @williamdetkvant1313
    @williamdetkvant1313 Рік тому +4

    Uzalendo wa nchi hapa ndio chimbuko lake...tunashukuru jkt

  • @CosmasNtuiwa
    @CosmasNtuiwa 11 місяців тому

    Soo good to cic samia

  • @BChaporoto-nl2vm
    @BChaporoto-nl2vm 11 місяців тому

    Maman 👏👏👏👏🇨🇩

  • @johnsonmwesigye3490
    @johnsonmwesigye3490 10 місяців тому

    Cpl Samia suluhu

  • @ibrahimali8267
    @ibrahimali8267 10 місяців тому

    Au secours mama samia wacomoro wanataka msaada wako mama

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 Рік тому +7

    😂😂😂USIKUTE MAMA KAPATA MTEJA WA KUNUNUA JESHI

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Рік тому +1

      Wagalatia mambo yenu mmejulikana ni wanafiki na mna wivu 😛😛😛😛😛😛

    • @bakaramourshaaban
      @bakaramourshaaban Рік тому

      ACHA KUMDHIAKI KIONGOZI WAKO WEWE MPUUZI

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Рік тому

      @@bakaramourshaaban ANA MAPEPO NA WIVU🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @emmanuelmbwambo6571
      @emmanuelmbwambo6571 Рік тому

      Akutukanae hakika hakuchagulii tusi🤔.

    • @mkude
      @mkude Рік тому +1

      Kama unamaumivu na wivu utaumia sanaa Mama Rais mpaka 2030.

  • @EugeneLukingi
    @EugeneLukingi 11 місяців тому

    Mbona Amiri jeshi hapigi saluti kwa wimbo wa taifa

  • @mbombothiseke272
    @mbombothiseke272 11 місяців тому

    Mimi ni kutoka congo zaire napenda tazanie sana nadjuwa moshi

  • @josephkamau2137
    @josephkamau2137 11 місяців тому

    Si Watanzania mtuazime Rais wenyu mchukuwe huyu wetu Wa Kenya!

  • @gilbx
    @gilbx 11 місяців тому

    One term president

  • @ebakeichinge7081
    @ebakeichinge7081 Рік тому +1

    Inchi zetu ziko nyuma sana. Mtu kutawala inchi na kuvaa nguo za kijeshi kweli. Mbona uku havipo? Jeshi ni jeshi lazima atumike nafasi yake

  • @NaimaYusuphu-px3qb
    @NaimaYusuphu-px3qb Рік тому +3

    Mambo ya duniani ni raha lakini mafupi

  • @SappaDavid
    @SappaDavid 11 місяців тому

    Much love the national anthem

  • @HansJaphet-oe4vg
    @HansJaphet-oe4vg Рік тому +1

    Watanzania wanafki.leo Jana Mama atumwelewi leo Mama tunakupenda,tutafika tumechoka Sana

  • @HusseinismailNdago
    @HusseinismailNdago 9 місяців тому

    Aziza

  • @Yusufmwagodza-wx4fk
    @Yusufmwagodza-wx4fk 11 місяців тому

    Wallai Mola akitaka kkupa hakuandikii barua

  • @nyankondoichweka9079
    @nyankondoichweka9079 11 місяців тому

    Lakini lipo tatizo. Askari wanavaa boot na combat mpya labda siku ya gwaride la mwisho tu, siyo wakati wa suluba za mafunzo. Upo wakati kila askari alikuwa akipewa combat mbili, na boot mpya mbili siku ya kwanza kuingia kambini. Siyo sasa. Kama hakuna budget ya kutosha, mafunzo yasimame, au wajiunge wachache ambao budget ya mafunzo kamili na halisi ya kujivunia uaskari inaruhusu

  • @onesmoakwilini7197
    @onesmoakwilini7197 Рік тому +3

    mama ndani ya kombati

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 11 місяців тому

    Mimi binafsi na sikitikia kuvaa kinyume na maagizo ya mtume kisa tu maazimisho ya ki majukumu kumbuka mola wako mama na adhabu zake Allah kali tunamuomba Allah atusamee na ku tuhifadhi

  • @azizauwase9207
    @azizauwase9207 10 місяців тому

    Mwenyezimungu alie umba watusi atawalinda.hata 1994 muliwauwa hamukuwamaliza

  • @JamalcardosoCardosoCássimo
    @JamalcardosoCardosoCássimo 4 дні тому

    Wano wa tanzania hoyo raisi wa musumbigi ndi mbaya sana .intti yaqe ya musumbigi acaulaya wattu wenge. Sababu ya ttabia zague zibaya😂😂😂😂

  • @erickjanelleogaja455
    @erickjanelleogaja455 11 місяців тому

    Asisahau hakuchaguliwa....Raisi ya bahati mbaya 😅😅

  • @josephatodimary3633
    @josephatodimary3633 Рік тому

    Jpm was only president

  • @MohamedyKalwanya
    @MohamedyKalwanya 9 місяців тому

    Jaman namim.napenda jesh nipo tiar kwalolote an jmn nisaidien

  • @UpendoTonny
    @UpendoTonny Рік тому +3

    Tunataka bandari iwe salama bas fanya yoooooote mbwembwe zooooote ila jueni watanganyika wa sasa sio waleeeee😂😂😂😂😂😂

    • @bakaramourshaaban
      @bakaramourshaaban Рік тому

      Ndio wale wale wala hawatobadilika madhali wewe ni mtanganyika basi utabakia kuwa mtanganyika

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln Рік тому

      Kuna watu wanaumia kumuona samia ni raisi acheni roho mbaya mtakufa na chuki zenu

  • @danielolekurarukuraru2247
    @danielolekurarukuraru2247 11 місяців тому

    😅😅😅😅😅😅😅new year najuwa our Tax collector Ruto will be like this

  • @husseinguyo9333
    @husseinguyo9333 11 місяців тому

    Mbona amri jeshi mkuu hapigi saluti?

  • @emanuelmsonga-oo7hb
    @emanuelmsonga-oo7hb Рік тому

    Kazi iendelee

  • @LebahatisaiteuSaiteu
    @LebahatisaiteuSaiteu 10 місяців тому

    Mom

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Рік тому +2

    Amiri jeshi imara kabisa.

  • @DennisSir
    @DennisSir 10 місяців тому

    Tanzanian security is very worst at its best ,you can request Uganda to give you security guards

  • @catherinechifebe5800
    @catherinechifebe5800 10 місяців тому

    MUNGU MWACHENI AITWE MUNGU..FANYA KAZI MAMA YETU

  • @strongmanairman8629
    @strongmanairman8629 11 місяців тому

  • @tragicsultan
    @tragicsultan 11 місяців тому

    ATA ange Piga saluti amechoma apo oneni uhuru wetu

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 Рік тому

    Mkakamavu Anaweza Kuongoza na Kapendeza Pia

  • @Mumewangu
    @Mumewangu Рік тому +3

    Huyu ndie Amiri jeshi mkuu wa nchi yetu pendwa

    • @gabrielmnozya8881
      @gabrielmnozya8881 Рік тому +1

      Amiri jeshi wa nyoko

    • @Mumewangu
      @Mumewangu Рік тому

      @@gabrielmnozya8881 nyoko wewe na mama yako

    • @gabrielmnozya8881
      @gabrielmnozya8881 Рік тому +1

      Ana maana kuwa amiri jeshi nchi badala ya kuipeleka mbele nchi ye analudisha nyuma afu unatetea ujinga

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      @@gabrielmnozya8881 toa ushahidi,,,

    • @Mumewangu
      @Mumewangu Рік тому

      @@gabrielmnozya8881 hahaha inarudi nyuma kivip? Fanya kazi ujitume sio unacheza Draft tu na kubeti. Fanya Nazi unafikiria rais atakuwekea pesa mifukoni Fanya kazi.

  • @ezekiahngetich9052
    @ezekiahngetich9052 10 місяців тому

    Commander in chief not saluting?

  • @kayurajacques7296
    @kayurajacques7296 10 місяців тому

    😢

  • @KefareyBusagaga
    @KefareyBusagaga Рік тому

    Cna chuki na samia isipo kuwa alitakiwa kupiga salute iyo ndiyo itifaki ya jeshi bora ange vaa kilaia ni aibu ktk nchi

    • @omarmsuya2459
      @omarmsuya2459 Рік тому

      Hujui umeona alichokifanya amekaza amekakama yy ndo anapigiwa salute

    • @dominicmoiyare7469
      @dominicmoiyare7469 11 місяців тому

      She can choose any, to salute or stay at attention position, she is the head of

  • @vetnamkaliba9269
    @vetnamkaliba9269 11 місяців тому

    Who's she?

  • @philipchania6342
    @philipchania6342 11 місяців тому

    Mama kasahau kupiga saluti, ADC alilala kazini

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja Рік тому

    Taifa likikosa hekima na busara,basi matumaini nayo hayapo tena,jamii imepoteza mwelekeo,kila mtu.amepoteza ufahamu.Kila mtu anatetea tumbo lake.Kulikuwa na haja yoyote hapo Rais kuvaa sare za Jeshi tena kwenye sherehe za kawaida za JKT.Mambo yanakwenda yanaharibika taratibu hivi.Nani asiye juwa tofauti iliyopo kati ya JWTZ na JKT!! Kombati ni vazi la kivita wanajeshi na kwa wati kwa Wanajeshi tu wa JWTZ.Kwa upande wa JKT nao wana Kombati zinazotumika kwenye mambo yao,polisi vile na magereza hivyo.Basi viongozi wa kijeshi jaribuni kumsaidia Rais lakini pamoja na wananchi ,msituchanganye sisi ya kuyajua majeshi yetu.Nchi ni yoetu sote na jeshi nalo ni letu sote,ndiyo maana likaitwa JWTZ.Tuliheshimu wote kwa pamoja siyo mali ya kikundi fulani.

    • @israel1331
      @israel1331 Рік тому

      Jkt ni paramilitary it means siyo jeshi linalojitegemea ni sehemu ya jwtz ndo maana mkuu wa jkt Huwa ni kutoka jwtz na huvaa Kombat za jwtz, hakuna kosa lolote raisi kuvaa Kombat za jeshi. So think first before you argue usikurupuke tu bwanamdogo😂

  • @TM.Sullusi
    @TM.Sullusi Рік тому +1

    Hajagonga salute hata moja na amevaa full kijeshi had kofia.😜

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      Watu wa itifaki walitakiwa walione Hilo,,,

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln Рік тому

      Watu wa itifaki walitakiwa walione hilo usimlaumu yeye kawalaumu watu wa itifaki

    • @rasheedmoody4408
      @rasheedmoody4408 Рік тому

      @@salehkhamis-ob8ln si alipita jkt lkn

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 Рік тому

      Amgongee nani yeye anapaswa kugongeewa wewe vip mwezetu umekwama wapi

  • @PitaCoster
    @PitaCoster 10 місяців тому

    Jack

  • @sitisaid4725
    @sitisaid4725 Рік тому

    Piga kazi. Mama

  • @KelvinKatembo-bj4md
    @KelvinKatembo-bj4md Рік тому

    SS

  • @obedozotv7348
    @obedozotv7348 11 місяців тому

    Hawa wanakaa scouts

  • @japhethmpina
    @japhethmpina Рік тому

    Hii ishu imesababisha
    Kamsongamano😓😓😓

  • @DouglasMasinde-mp6hx
    @DouglasMasinde-mp6hx 10 місяців тому

    Huu upuzi utaisha lini Africa jameni

  • @vedastusmalimi5176
    @vedastusmalimi5176 Рік тому +2

    Yaan, naona watoa comments wengi hawana elimu. Wajinga n wengi sana, sababu ku2mia social media n uhuru. Unaanza vp kusifu utawala wa kinyampara!?.

    • @emmanuelmbwambo6571
      @emmanuelmbwambo6571 Рік тому

      We mwerevu alafu upo unachangia hoja na wajinga daa!! Usikute humu ndani Wewe ndio mshika bendera wetu 🤣😄😁

  • @Maxmobi
    @Maxmobi 11 місяців тому

    Hijab mama wewe ni muslam 😂😂😂😂

  • @omarhemed448
    @omarhemed448 Рік тому

    Wa Zanzibar tumunge mkono rasi wetu

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 Рік тому

    Kuingia na Kombati'watanzania mnavuna faida gani ???????

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      Kwani unateseka ukiwa wapi?

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln Рік тому

      Kamuulize mama ako suali hilo sisi watu wazima tunaelewa nahisi mama ako atakuelewesha vizuri ww bado hujakuwa kuna mambo uelekezwe

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 Рік тому

    Kataa Bandari kupewa Dubai utakuwa Rais wa mfano