Watu wanayemzunguka Fei kimaisha siyo wazuri hata kidogo akiwemo mama yake mzazi, wanaharibia sana career yake ya mpira hawana jicho lambali kumhusu fei wamempotosha bigtime kijana wao, Fei siyo wakuchezea Azam hata siku moja
Fei toto aje yanga nyumbani mtoto akikosea akajua kosa lake kusamehewa, yanga ndio timu pekee itakayomtoa fei ajirudi maisha yaendelee, ili apate mafanikio
Sio lazima wachezaji wote wazuri wawe yanga mbona awesu alicheza sana KMC . Waliomshauri walimponza kule kwetu kuna usemi husemwa VYAKOVYAKO NI VYAKO NA WENZIO VIKIKUPATA NI VYAKO PEKEYAKO amalize muda wake arudi JKU
HUYO HAITAJIKI TENA YANGA AMEIDHALILISHA SANA YANGA AENDEZAKE HUKO NA KAMA AKIRUDI YANGA UTAKUWA UPUMBAVU ULIOPITILIZA NA ISTOSHE HUYO ANAPIGA MISUMARI WACHEZAJI WENGINE
Nakama hersi atamrudisha fesal atatukosea sana tulinyanyasika sana kipindi anaondoka huyu mtoto na bado mpaka leo anatutukana kila akifunga goli mana kutukatia mauno manake nn kama sio matusi ?.inamaana inamaana hersi haumiii ? hebu watuachie kina kii tumesharizika nao huyo mkata mauno wamwache aende kwa makolo !
HILO TOTO HATULITAKI LILISEMA ASIPOKUWEPO ENG. sasa akome kabsaaa na nyie waandishi ni wanafiki tu!! Sasa kama alifata hela atulie huko kwanza ni mchoyo i sana wa pasi kwa wenzie akija mm nahama timu
Wewe rudisha kadi wanayanga wako wengi sana na faisari anarudi nyumbani kwake ni yanga sio timu nyingine kk mm bloka doto majumba bloka mkubwa sana nipo mtoni kijichi faisari ni wetu sisi yanga karerewa pare jangwani kk rudi nyumbani uko wanakuvunjia mpira wako rudi yanga fei mtoto mwanayanga kk
Mayele na Faisal kwa sasa watupishe.... Tuliwapenda sana wakatuumiza sana... Tu nawatakia maisha mema huko walipo.....
Na nyinyi mmuumize kwa laki mbili zenu?
Watu wanayemzunguka Fei kimaisha siyo wazuri hata kidogo akiwemo mama yake mzazi, wanaharibia sana career yake ya mpira hawana jicho lambali kumhusu fei wamempotosha bigtime kijana wao, Fei siyo wakuchezea Azam hata siku moja
Lkn ndo aliipwe 4M? Maslahi muhimu bana
FEISAL ATABAKI MCHEZAJI WANGU BORA WA SIKU ZOTE,AJE YANGA BADO TUNAMUHITAJI SANA
Utajua ww!!
Si kwa yanga
@@ChristianSokorot-n6x unamuhitaji ww kama una timu msajili
Fei toto 🔥 wazee walisema mtoto akinyea paja halikatwi huoshwa tuu welcome back mdogo wetu
Eng. Hersi utatuudhi hatumtaki Feisal akatafute timu nyingine hatumtaki ameitukana yanga. Huyo katumwa na Mama yake
Wewe huna lolote ni kolokwinyo, unaona Fei akirudi Yanga itakuwa zahama kubwa kwenu na kwa wengine....
Halafu kwa nini useme hatumtaki?Sema haumtaki wewe mwenyewe usiwasemee wenzako.Kama watu wameelewana kwa nini wasifanye kazi pamoja.
Fei toto aje yanga nyumbani mtoto akikosea akajua kosa lake kusamehewa, yanga ndio timu pekee itakayomtoa fei ajirudi maisha yaendelee, ili apate mafanikio
@@abdunnurahmedsilim7456 ndo ukweli huo😀😀😀wanaogopa.
Mshahara mdogo yanga
Tunaomba fei sali uludi yanga brother
Feisal aje afanye nini Yanga hawezi mechi za kimataifa iwe kwenye Club na timu ya Taifa pia sisi Wana Yanga tunamjua vizuri sana hana lolote
Maneno haya yaseme na leo tarehe 10/9/2024.😂
Mh kweli mashabik wa yanga wamemmis feisalim
Mashabiki acheni chuki fei anaujua mpira saana tu🎉🎉🎉
Yasiyomtaka fei kurudi yanga humu ni madunduka yaliyobobea.
Fei akirudi yanga naweza nikafurahi sana
Fei akirudi yanga tutampokea kw mikono miwili ni mtoto wetu
Msimamoo uyomtoto kakataviunoo sana akayakate hukohuko azam yanga aibabaishwii inajiweza bilahuyo totoo
Mimi yanga sana naomba fei arudi nyumbani binafsi nitafurahi
Labda arudi kwenu 😂
Kama wamemaliza tofaut zao,sasa sisi wanachama ss ,hatumtakiii
Wengi wanao comment humu kuwa fesal asirudi ni MADUNDUKA fc.
Huyu dogo boss tafadhali asirudi alitudhaliisha sana
Nyie mnaongeatu kixhabiki tunamwitaji xana yanga
Yan ww nae ni mchambuzi hewa
Feisal akirudi Yanga naacha kuishabikia Yanga na Kadi nairudisha Jangwani
Wewe ni KOLO 😂😂😂nimekustukia
Hata mm pia
Mimi pia nitarudisha kadi yao kwa kweli
@@harunamashaka6200nenden mkateseke ukoroni ... 😂😂😂
😂😂😂😂 mi nachoka
fei toto hatumuhitaji tena kwani ana tamaa wakati uwezo wake ni bado sana
Leo ni tarehe 10/9/2024. Yaseme tena haya maneno mana wewe ndo ulicheza taifa star na Guinea
Sio lazima wachezaji wote wazuri wawe yanga mbona awesu alicheza sana KMC . Waliomshauri walimponza kule kwetu kuna usemi husemwa VYAKOVYAKO NI VYAKO NA WENZIO VIKIKUPATA NI VYAKO PEKEYAKO amalize muda wake arudi JKU
Unajua mpaka nalia kuhusu AZAM, "fans engagement "
Tulimwambia raha ipo Yanga atuache
Aende jkt ili awe nanidhamu
Hadi Helise aondoke ndio aludi yanga
Muache arudi yanga
HUYO HAITAJIKI TENA YANGA AMEIDHALILISHA SANA YANGA AENDEZAKE HUKO NA KAMA AKIRUDI YANGA UTAKUWA UPUMBAVU ULIOPITILIZA NA ISTOSHE HUYO ANAPIGA MISUMARI WACHEZAJI WENGINE
Nakama hersi atamrudisha fesal atatukosea sana tulinyanyasika sana kipindi anaondoka huyu mtoto na bado mpaka leo anatutukana kila akifunga goli mana kutukatia mauno manake nn kama sio matusi ?.inamaana inamaana hersi haumiii ? hebu watuachie kina kii tumesharizika nao huyo mkata mauno wamwache aende kwa makolo !
Rudi nyumbani dogo
Asiludi atatualibia time yetu
HILO TOTO HATULITAKI LILISEMA ASIPOKUWEPO ENG. sasa akome kabsaaa na nyie waandishi ni wanafiki tu!! Sasa kama alifata hela atulie huko kwanza ni mchoyo i sana wa pasi kwa wenzie akija mm nahama timu
kwanza hana namba
Mm ni yanga ila fei toto akirudi yanga akili hana kwa pesa anazochukua azam ni pesa nyingi sana
Kwani umeambiwa akirudi Yanga atapewa chini ya pesa anayopewa huko Azam, acha ukolokwinyo huo....
Unakula matapishi yako.
Naomba muw muna check sound yenu
Siokweli uyo mtoto ni mjinga aache shobo
Wewe mtamgazaji hujui jambo m
tafta coment baba yeye ndo anashida na yanga ira yanga haina shida na huyo
Hatumtaki huyo Feisal hana lolote amefeli mechi za kimataifa hatumtaki ...
Fei ana gundu kimataifa
Fei asirudi qlitufikisha pavaya
Fei arudi Yanga ndiyo sehemu sahihi na siyo Simba inayoshiriki mashindano ya Shirikisho la waliofeli
Anzisha timu yko nawe umkamsajiri😂
Nini amesahau yanga alitukana mamba kambla ya kuvuka mto
Wewe rudisha kadi wanayanga wako wengi sana na faisari anarudi nyumbani kwake ni yanga sio timu nyingine kk mm bloka doto majumba bloka mkubwa sana nipo mtoni kijichi faisari ni wetu sisi yanga karerewa pare jangwani kk rudi nyumbani uko wanakuvunjia mpira wako rudi yanga fei mtoto mwanayanga kk
Atu mtaki matako uyo
Me kwanga lolote ni sawa aje asije its none of my bisness
Hil zee JUMBA bovuuu
Fei hatumtakiiiiiiiiiii
Hatumtaki*1000000000000000000000000
Mmmmmmmmh.kijana mafnkio yak yapo hap ulipo pmbnia nafas yak
Akae uko uko tu aliondoka kwa nyodo
Abaki ukotu jangwani apnaaa
Wewe unayemzungumzia Fei ni nani?umetumwa au umeajiriwa na nani?
Tunamlisha ugali na sukari haaaa₹
Hatumtaki fei
FEI kaa chini utafakari. Yaani unakula maharishi yako? Mbona huna.msimamo? MARA SIMBA MARA YANGA tukueleweje? Acha UTOTO.
Aende Kwa mamake c anayo Tim uko kwao nzanz bari
Asije tu kwanitumepungukiwa nanini
Kuliko molusoni et
Feisal Salumu hapaswi kurudi YANGA kabisa. Amukumbuka kitu gani kwa sasa, Ugali kwa Sukari?. Alshaingiza
Viongozi wa YANGA msikubali kumrudisha fei toto YANGA kwa kuwa Bado wachezaji wa YANGA wanakula ugali na sukari
Fei hatumutaki hatumupendi yende Simba nosizi yake uyo anarudi arisahawu nini anarudi kutuhangusha katumwa mukumbuke maneno ya kakayake kweli???
Arudi afanye nini na Sembe na sukari bado lipo pale pale
Atakula nn kuna sukali na ugali
Feisal Salumu hapaswi kurudi YANGA kabisa. Amukumbuka kitu gani kwa sasa, Ugali kwa Sukari?. Alshaingiza