ZIARA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI SONGWE. AZINDUA KIWANDA CHA KAHAWA MLOWO - MBOZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Songwe ambapo anafungua na kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali ya Songwe na Wilaya zake

КОМЕНТАРІ • 12

  • @mgallahtv4704
    @mgallahtv4704 5 років тому +2

    Naomba sana ...mkuu wa mkoa afuatilie mauaji yanayo endelea kiholela....Sehemu zinaitwa ihowa...ichesa.....nk........Watu wanauwawa bure....na mkuu wa mkoa yupo kimyaaaa.......Naamini kamati ya ulinzi imesikia...AHSANTE RAIS KUJA SONGWE......TOGETHER 2020

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 5 років тому

    Safi sana ikulu kwa kutuletea taarifa za mwendelezo za tanzania yaviwanda asanteni sana

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 5 років тому +1

    Pamoja saana rais wangu na wafanyabiashara

  • @carodavies3422
    @carodavies3422 5 років тому

    Mbeya sonwe.Rungwe na moomba KARIBU SANAAAA mzalendo Nabii alietumwa na M ungu.Padua V ichwa kila cku baba tusonge mbele na ****HAPA KAZI TUUUUU.l loved the way you adviced President Edgar lungu wazambia Barbara mbovu,_show them my maguuuu!

  • @aminamkamba2514
    @aminamkamba2514 5 років тому +1

    Safi sana

  • @emmanuelmajabi2821
    @emmanuelmajabi2821 5 років тому +2

    HapaKaziTu🇹🇿👍

  • @carodavies3422
    @carodavies3422 5 років тому

    Hugo ndoyule Raisi wawanyonge,,,Yule RAISI WAVIWANDA,MBOZI Mpisheni M falme yy hataki mteseke,.mwemwe uciuta amilola nkani (kwa kinyiha)haijawahi tokea mbozi .mlowo bravpoooo!!!hapa pa maguu no kazi tu!!!!

  • @lovenessmwanganya6653
    @lovenessmwanganya6653 3 роки тому

    Unforgettable day😭😭😭r.i.p JPM

  • @boazosambih258
    @boazosambih258 5 років тому

    Pamoja sanaa Jpm bilashaka

  • @saidchonde2767
    @saidchonde2767 3 роки тому

    Magu n mwenye kiwanda leo hii ni marehemu.

  • @carodavies3422
    @carodavies3422 5 років тому

    Na wapo vinjana wanao tambua slogan ya RAISI mwenye slogan yahapa nikazi waendelea kuweka viwanja nakulets ajira hapa nyumbani hawataki kumsubiri muwekezsji atoke China au inje ya inchi.MLOWO wooooyeeee!maguuuu woyeeeeeee!ccm_hoyeeeee!!!!!

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 5 років тому

    jamaa mbona unamkmbiza prez??anataka aone aelewe,we unakimbia tu..lol