Umuhimu Wa Nyota Yako | Prophet David Richard

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @jackmediaofficial
    @jackmediaofficial 4 роки тому +6

    Mungu wa Mbinguni, usiniache kama nilivyo baada ya kusikiia neno hili.. Moyo wangu unashauku kubwa haina mfano.
    Prophet niombee tafadhari.

  • @kithunguesther8551
    @kithunguesther8551 Рік тому +1

    Amen God bless you man of God 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @pizzowizzo3997
    @pizzowizzo3997 4 роки тому +8

    Be blessed prophet ... My life has changed

  • @stellamtenga24
    @stellamtenga24 4 роки тому +5

    Fresh fire fresh anointing upon your altar baba

    • @hiridasamwer7929
      @hiridasamwer7929 4 роки тому

      Amen

    • @merybaltazary4712
      @merybaltazary4712 3 роки тому

      Jmnii wapendwa ambao mko karibu na prophet mtumieni vzuri,yaani mmepata upendeleo mkubwa sana,yaani huyo MTU ni lulu kwenu,god is good all the time!

  • @apostlepaulraphael
    @apostlepaulraphael 4 роки тому +4

    AMINA Prophet, nabarikiwa sana, Eee BWANA nikumbuke kwenye safari ya maisha yangu, nataka nikutumikie siku zote za maisha yangu. Asante sana Prophet, naomba unikumbuke kwenye maombi yako ya saa tisa Paul Raphael

  • @susanwanjiru67
    @susanwanjiru67 4 роки тому +3

    Amen..Nimebalikiwa man of God

  • @annechege2872
    @annechege2872 4 роки тому +4

    Watching from Nairobi, Kenya.
    I love your teachings

  • @annechege2872
    @annechege2872 4 роки тому +3

    You bless me so much.
    I love the Ministry of Angels

  • @clarevlogs17
    @clarevlogs17 4 роки тому +5

    Thankyou prophet,such an eye opener

  • @faithkioko5705
    @faithkioko5705 4 роки тому +3

    Blessing prophet of the Most High God

  • @ronah1550
    @ronah1550 4 роки тому +6

    Asante sana prophet kwa mafundi mazuri, nimebarikiwa sana. I need more please, be blessed am from kenya but am watching from bahrain 🙏🙏

  • @monicahwanjiru8087
    @monicahwanjiru8087 4 роки тому +5

    Amen....the teaching has been so blessing,be blessed too and God add you more anointing upon your ministry in Jesus mighty name

  • @kithunguesther8551
    @kithunguesther8551 Рік тому

    Glory to God Amen, indeed am blessed Jesus is the Lord Amen

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 4 роки тому +1

    Barikiwa Sana mtumishi nami nimebarikiwa Sana Katika jina la Yesu Kristo

  • @avierastevens5141
    @avierastevens5141 4 роки тому +3

    Amen

  • @nyaikadavid6044
    @nyaikadavid6044 4 роки тому +3

    Uganda has heard, thnx prophet.

  • @jennifermuli9148
    @jennifermuli9148 4 роки тому +3

    Feeling blessed already,God bless you man of God.

  • @cynthianawambugha7663
    @cynthianawambugha7663 4 роки тому +1

    May God bless you prophet david am in tears

  • @joyceasiko3431
    @joyceasiko3431 4 роки тому +2

    God bless you.learning a lot from Kenya

  • @rebecaalbertmillanzi5882
    @rebecaalbertmillanzi5882 4 роки тому +2

    Thank you for the session
    Mungu azidi kukuinua 🙏

  • @annechege2872
    @annechege2872 4 роки тому +1

    Amen, amen and amen

  • @desderiamapunda1306
    @desderiamapunda1306 4 роки тому +2

    thank you sir, for sharing. I'm looking forward to hear more on how to protect my nyotta

  • @judithmusyoka1311
    @judithmusyoka1311 2 роки тому

    So touching message Ameeeen

  • @husnanetto4154
    @husnanetto4154 4 роки тому

    Yaan nabii nimejifunza sana maisha yang muda mwingne sina ata mia lakin najikuta naish vizur tu kaz napata marafik napata wazur wananisaidia wakat washida wakat micna uwezo wakuwasaidia kwakwel mung mwema

  • @maryam-if1ew
    @maryam-if1ew 4 роки тому

    Bwana asifiwe prophet, naezajuaje nyota yangu.. Naomba unielekeze

  • @danielsamwel157
    @danielsamwel157 4 роки тому

    Somo zurisana ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @annechege2872
    @annechege2872 4 роки тому

    Am blessed
    Shalom😇😇😇

  • @annechege2872
    @annechege2872 4 роки тому

    HALLELUJAH

  • @peteromapacha9160
    @peteromapacha9160 3 роки тому

    Nabii niombee nyota yangu ilizikwa

  • @NG-tb1bz
    @NG-tb1bz 4 роки тому

    🙏🙏🙏

  • @richardonderi4288
    @richardonderi4288 3 роки тому

    Yangu nyota ilifunikwa sababu usiku mmoja niliota kuwa nang'aa kama jua na mwezi ukiwa kando yangu khalafu wingu likatanda watu wasipate mwanga wetu, nimekubali kumbe ilikua ishara ya kunihatharisha ,sasa nifanye nini maana waganga hanisaidii sababu wanaitaka hiyo nyota yangu lakini ina nguvu kuwaliko, wamejaribu sana sana kunishawishi niwe mganga au mchawi.....sasa nifanye nini kujinusuru nao.... hata kuna msomaji wa vitabu mmoja aliniambia nyota zangu ni kali yeyote akicheza nazo shauri yake na Mungu wake,sukujua alimaanisha nini....

  • @mariammnanka3404
    @mariammnanka3404 3 роки тому

    MSAFIRI

  • @margaretkemuntoogega4160
    @margaretkemuntoogega4160 4 роки тому

    Natamani sana kujua hii ujumbe wa nyota. Niliambiwa na roho wa bwana kuwa nilinyanganywa nyota nikiwa mtoto. Je nabii kuna njia gani ninaweza kuwasiliana na wewe zaidii ili nifahamu njia ya kukombolewa

  • @focuslucas4443
    @focuslucas4443 4 роки тому

    Sijasikia ukifundisha namna ya kuilinda hiyo nyota.

  • @samwelluhuta7208
    @samwelluhuta7208 3 роки тому

    Hapo nabii naona wazo langu ulilifanyia Kaz saut Sasa inasikika uzur imebak kwa msomaj wa neno bado haijakaa sawa

  • @gladyschuma1908
    @gladyschuma1908 4 роки тому

    Haujamalizia kufundiaha namna gani unairudisha nyota iliyoibiwa na kuilinda.. na pia kama imefifishwa unafanyaje ?

  • @mepukoritito8314
    @mepukoritito8314 4 роки тому

    Be blessed prophet but number ya whatsapp hifanyi

  • @yvonnemunge7336
    @yvonnemunge7336 3 роки тому

    Ati be wise kama shetani???? Really

  • @pauloropian8116
    @pauloropian8116 4 роки тому +2

    Amen

  • @daizychebet3249
    @daizychebet3249 4 роки тому +2

    Amen

  • @annaallen1596
    @annaallen1596 4 роки тому +1

    Amen

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 4 роки тому

    Amen

  • @annechege2872
    @annechege2872 4 роки тому

    Amen