PENZI LA MAMA MKWE episode { 26 } FINAL
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- #fry #fyp ytviral #mkewajirani #chingamedia #wronghouse #kpnazebuu #babayangukipofu #snakeboyseason2 #clamvevo #housegirl #busatitv missionimposible #1000subscriber
#indiatrendingvideo #india #indianblogger #indianrailways #indiavira #foryourpage #movie #art #africa #usa #nigeriancomedy #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan #clamvevo #nigeria #kipesile #duniaasmacommedy #trending #youtube ##india #trendingvideo #trendingshorts #indianblogger
Awali ya yote tunamshukuru mungu kwa neema zake kipindi chote hicho pia tunawashukuru mashabk zetu kwa kuendelea kutufatilia bila ya kuchoka mpka kufikia hapa mwisho wa penzi la mam mkwe vipenzi hii seris imetufundisha vitu vingi hivo niwakti wetu wa kuacha njia zisizo sahihi na kupita njia nzuri inayo mpenzi mungu mimi kama mwajuma mkomavu wa penzi la mama mkwe imenifunza sana na kunielimisha and love so much people musiache kufatilia kwa sababu bado tuna zawadi nzuri nyingi kwa ajili yenu 👋👋
🎉🎉 Hongera sana dada mwajuma mkomavu, unajua sana ongeza bidii zaid na kumsikiliza director wako naamini utafika mbali sana coz una kipaji kikubwa sana. Hata kaka Gozi nae namkubali sana coz anajua sana kuandika. Ila tunaomba mtoe muendelezo wa season 2 au mtutolee kitu kingine kikali zaid ya hiki
Amekuloga kweli mama mkwe kodoa mwanangu gozi🎉😂😂
Duuh mshangazi anaupeenda sanaa
Hehehe gozi peleka fire kigwantai man,,
Nawapenda wote tuloanz mwanz mpak mwisho mungu atup afya njema n mafanikio tele ❤❤❤❤❤❤❤
Hongereni sana kwa kazi nzuri🎉🎉❤❤❤❤
Mwajuma umekuwa mshauri nyoooo😂😂😂😂😂
Kazi safi sana producer Gozi na team yako.... Tume enjoy mno... Jamani twasubiria chuma chengine baba❤❤❤Mungu awaongoze
Kazi nzuri mungu awabariki,,,mlete nyingine tunawaomba msinyamaze
Asanti Ngozii na vay kazi nzuri sana ❤❤❤❤🇨🇩
B tausi Ata auna aibu limama na ndevu unaingilia pezi la bnti Yako unasingua sana dar😢😢
Aca matusi yuko kazini asipo itendeya haki move itakuaje
😂😂😂😂😂😂ety na lindevu
Gozi usisherew kutowa kazi nyengine me napend san kazi zako nawapend san mashabk wezang ❤❤❤ 🎉🎉🎉
Mbona umeisha jamani😢ila hongereni sana kazi nzuri sana tumejifunza mambo mengiiii
Nami nimewayi,jamani tuliwamiss..woyeee vayi wetu naomba team vayi tujuane, kaka goz wewe😂😂😂,kumbe ni final
mungu ni mwema sana kila wakati azidi kuwapa maarifa zaidi ili mzidi kuelimisha jamii zetu hongera sana wote mlio shiriki mungu awabariki sana ❤❤❤❤
Safi sana na mungu aendelee kuwabariki mahali popote mlipo❤❤❤
Kazi nzuri kaka Gozi👏👏👏👏hongereni sana pamoja na kundi lako...I love you from Nairobi Kenya
Umecherewesha sana
Wewe mganga wa vay nakupenda😂😂😂😂❤
Kazi nzuri broo gozi
Kutoka Kenya....Tumefurahia kazi yako Gozi
kazi nzuri GOZI keep it up
Hongera ziende kwenu mumeimariza vizuri nimeipenda hii🇿🇦🤝
Shukran Director Gozo all the best keep it up uko vizuri wewe na characters wote may God blessing you
Mwajuma umeolea au we muzuri sana❤❤❤
Wipi gozi tuna suburi penzi la mama mkwe season 2 nili penda sana toka mwanzo naifatiliya ongera sana mwanangu tintak sagweye man ongera ❤️❤️❤️❤️❤️
Harusi ya Gozi mutualike.Alafu mwambieni Bi tausi aje Mombasa nimtambulishe kwa wazazi nimstiri😂😂 Nimeanza kummiss Mwajuma Mkoma u😭. Big up sana director Gozi.Much love from Gulf
Nice video.nimeamua kutulia na mama mtu
Finally, mwajuma has been mwajumarised😂😂😂. Ah, this girl is something else. By the way, this is just too early for the serie to end. Was waiting for more episodes 😢😢😢😢. Thanks brother GOZI.
Dodonsha jiwe jipya gozi...tupo hapa kukupea sapoti kubwa Sana....cc ndio wale mashakibi wako wa kale.... kila jiwe tunapita nalo.... congratulations to the whole team....you guys you are doing a very good job.... nmependa hii kazi😅
Shout out to everyone that was part of this tremendous piece of work. You all did well. We need some more series, good ones like this one. Continue working hard and God will bless you.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 your flowers 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Du,ongereni kwa kutuburudisha.
Asanteni ❤❤❤🎉🎉🎉
Vipi sasa tatizo nn umechelewesa sana❤❤
Mzee kikoti kumbe huku uko😂😂😂,mtu mzima ovyo ata aibu huna mama Vai wew.
Kazi nzuri ❤❤
Juma jicho duh!!❤❤❤❤❤🎉 mnajitahidi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila final imechelewa bro bt kaz nzur sanaaa❤❤❤❤❤❤
Mama mkwe anaziguwa mie ningekua vayi ninge muachiya tu daa vayi ajuwe 2 ndio vizuri alafu amuachiye gozi karogwa karegeka hhhhhh
Bi tausi weeeeee,,,,uso umekushuka kama papai lililooza
Hongera sana Hizi kazi nzuri nimeifuatikia yote hakuna siku nimemiss😊
Kazi zuri Director Gozi... KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Gozi uko powa sana mzee na tunashukuru kwa burudani
Iko bomba kaka tuletee sizon to
wa kwaza Mimi sion like zangu
Gozi kula mshangazi
❤❤❤mm nimeshikwa na aibu mama mkwe jamani
Kikoti safi sana😂
Nimependa sana😊
😂😂😂😂😂😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤goziii tena mamkwe kweli leo akapata mganga kiboko😅😅😅
Wow😂😂😂😂😂 kazi nzuri sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Second one from mozambique big up kaka gozi
Msicheleweshe movie nyingine jamn
Kipenzi changu mwajuma ❤️❤️❤️❤️❤️
Mganga nakupenda siwezi kuishi bila wew😢😢
Nani kamwona mwajuma akipendeza akivaa red
254🇰🇪 gozi kazi safi ,,,, season 2 sasa
Mwajuma wamemting tang...😊😊
Tunapenda sana nyama za kuku😂😂😂😂
Gozi nakubar sana kaka
Gozi kazi nzr sana season 2 isichelewe maana hamu haijaisha ❤Mwajuma mkomavu pole😂
Sawa bro big up twasubiri nyingine naamini itakuwa kali zaidi ya hii mola akupe ufahamu na fikra na kutengeneza nyengine 💪💪💪💪🦶🙏from 🇰🇪
Yooo Gozzi final kweli mbona mapema😢nilikua naipenda iyi move haya lakini baridi🎉🎉🎉
Sometimes we learn through pain 😢.. love you mwajuma from🇩🇰
Gozii fire good work keep going
Sina cha kusema zaid Asante team mamkwe tunaomba season two
Kwa kweli mwisho wa ubaya n aibu....na asiye funzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu
Mwisho wa ubaya n aibuu bi taus😂😂😂😂😂😂😂
ILA VAI MBONA KAMA UNAJICHUBUA SANA,,, ANY WAY KAZI NZURI SANA ❤❤🎉🎉🎉
Mmmh ww tena udugu na ww jichubuee
Daaah!!
Ponda kenda kala kuku na mayai...!!!
😁😁😁😁😁
Gozii
Makinika ushushe Chuma chengine tunakuaminia from 🇰🇪
Gozi nagupenda wallah 😢❤
😂 Gozi unafanya sisi wauni tutamani mama mkwe zetu😂😂
😂😂😂
Subhanallah pole sana😢
Mwajuma umekula nakozi🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 ujanja wote kwisha sasa ndio utulie nije kupeleka posa .mm niko tayali kukupeleka hospital
Yani bi tausi mmempa sini ngumu sana ongera bi tau umeweza kwa kweli mm binafsi swz
Mamake Vai hafayi kiukweri mzazi mubaa
Mbona mmeimaliza kienyeji hv gozi we nimtu nanusu unajua mwangu
Always on top
Watching from kenya
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Duuuuh mama mkwe
Mama mkwe kautaka
Goz babu unazingua
😂😂😂😂😂😂ubaya ubwela
Gozi ungeongeza hata episode 1 jamani, tuone life lenu wewe na Vai na mama Vai anavyoachika live kukiwa na jua kali😂😂😂, njoo na season 2
Mwajuma mkomavu umesahau wahenga hao hao kisha wakasema ten asiesikia la mkuu uvunjikaguu😅😅😅😅😅😂😂😂 kwhy bak nayo hiyoo itakusaidia apo baadae😁😁😁😁😁
Mwajuma❤
Ndio imeisha duh 🤸🤸🤸
Mwajuma leo umepewa dozi umepowa kama co ww vile 😂😂😂😂😂😂😂 jeuri yote kwisha
Hyu mama mkwe ananibow
Ila Mwajuma mkomavu!!!! 😅😅❤❤
Number One . Mozambique ❤❤❤
Gozi mama amekuvujia nazi nn ila yote 9
Mnakawia sanaaa
😂😂😂nmechelewa lkn naomba likes ivyoivyo
Navile ilikua imenoga sikutamani iishe jameni aaaaah season2 itambe Sasa kama hamtojali please
Mpo vizuli sana ila nakupa 🫡 mr hizi🙏🙏
Mr gozi naikubali kazi yako one love bro
🙏🙏
😂😂kaamua kuwa motivational speaker sasa😂 mwajuma😂
Mwajuma🤣🤣🤣
Imechelewa lakini tunakubali
Gozi ww ni brilliant 🎉🎉🎉
Nawapenda sn ❤❤🎉🎉👌🩷💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🩷🩷👌👌❤️❤️❤️❤️❤️♥️♥️🌹🌹🌹🌹
❤❤❤❤❤ pamoja sana mwajuma mkomavu dada mwenye mto wake