Maa shaa ALLAH,ALLAH akulipe Shekh,Maalim wetu Nurdin Kishki kwa mawaidha mazuri na namuomba ALLAH atujaalie sote umma wa kiislam si kusikiliza tu bali tuyafanyie kazi mawaidha haya aaamin thumma aaamin yaa rabbal aalamin
Eee mwenezimungu Muumba wa Ardhi na mbigu na vyooote vilivyomo ndani yake twakuomba utusamehe kwa Yale yote tuliyo yatenda ya dhahiri bayana na sirini, na utujaalie mwisho mwema. inshaallah.
subhanaAllah mungu atuongoze sote umati Muhammad Na mungu akulipe Kila la kheri kwa kutufunza
Ya Allah tuongoze katika njia iliyonyooka, na utusamehe madhamb yetu.. Hakika sisi ni dhaifu.
Mungu utuepushee na adhabuu ya kaburiii na utupeee mwishoo mwemaaa
mola wetu akulipe na akuzidishia jazakallahkheir
May Allah bless all muslim in the world in shaa Allah
Subhahaanallah
Allah atusamehe waja wake atuongoze njia ilio nyooka
Maa shaa ALLAH,ALLAH akulipe Shekh,Maalim wetu Nurdin Kishki kwa mawaidha mazuri na namuomba ALLAH atujaalie sote umma wa kiislam si kusikiliza tu bali tuyafanyie kazi mawaidha haya aaamin thumma aaamin yaa rabbal aalamin
Subuhana Allah, Allah atusamehe atuepushe na zinaa
subhanallah yaa Allah tujalie tufanye taubatan nasuha kabla al mauti
Um Najma in sha Allah
Allah akulipe hapa na kesho akhera kwa jitahada zako inshallah
So touching .May ALLAH forigv and guid us
ALLAH atuongoze umma wa kiislam (aaamin yaa rabbal aalamin)
Subhanallah.. M/mungu atuongoze katika njia iliyo nyooka na atuepushe na zinaa in Sha Allah.... Shukran kwaukumbusho
Allah atuongoze ktka kila jambo la kheri
😢😢yarab tuifadhi ya alllah
subuhana ullah yaa allah tuepushe n zinaa n utusamehe madhambi yetu 😢😢😢😢
Subhanallah mwenyzmung atuongze katka njia iliyonyooka
mi mkiristo but namtambua sheikh kishki kwa mafundisho yaliyo ya kweli na hekima
kwer zina sinzur mimi niriku naswari sijuw nitamupata aje wakunisimuriya swarirangu
shukran shk. kwa daaw zako Allah akulipe inshalah!
Allahu akuongoze sheikh
Allah tusamehe madhamb yetu
mashallah Allah jazzak Allahu kheir
Subhanallah ALLAH tusitir waja wako na maasi tupe nyoyo za kutenda mema na tawba
MAY ALLAH FORGIVE US AND GUIDE US TO A STREIGHT PATH,BARAKA ALLAH
Good sheikh KISHIKI.
Shukran jazilah
hakika tutake msamaha kwa mwenyezi mungu
jazak allah
ALLAH atuepushe na zinaa inshaALLAH
Subhannallah jzkllah kheran
ganini
ya allah hakika sis ni dhaifu ya allah tuepushe n zinaaa n utusamehe madhsmbk yetu 😢😢😧😧
Mungu atujalie inshallah
mwenyezi mungu atusameh
Toubu ilallah
Mashaall
Allah atunusuru
kwer zina mbayasana Mimi nina swari raku uriza tatizo sijapata waku uriza
Subhanallah
maashaall
Asalam u alaykum je inafaha kuishi na mwanaume mwenye malanzi ya ukimwi janani je shelia inaluhusu
Subuhana laa
jazaka Allahukhayran
Eee mwenezimungu Muumba wa Ardhi na mbigu na vyooote vilivyomo ndani yake twakuomba utusamehe kwa Yale yote tuliyo yatenda ya dhahiri bayana na sirini, na utujaalie mwisho mwema. inshaallah.
Zaifat Hussein amin yarrabil alamin in sha Allah
ALIY BASHIRU
mashaallah
Allah atujarie mwisho mwema na miyo yetu ijae imani
+Ziada Ally
amiñ
masha Allah
Allah utulinde na moyo wa janaam
nini
Ivi vazi la hariri ni lipi
Más darsa
Muggy atuogoze
sheik h kama una mume Na amekuwacha Kwa muda wa miss miwili Na wewe Bado mdongo utafanya
Gordon Omondi allahuma aamin
Subhaana-llah....Allah akupe maish maref ili uwez kutukumbusha waislam....ewe allah tunakuomba utusameh madhmb ye2 ..aamiin