LYRICS; Aaahuu ……..aaaah…… Nikulinganishe na nini Messiah Sadaka ipi nikupe nukutosheleze Hakuna mwingine aliye ulicho Utukufu wako uridhi wangu japo sifai Mimi mwenye dhambi na bado wanipenda Mkono wako na uzuri wako nimeuona Wewe ni Mungu wastahili heshima ya kupindukia Hujawahi wezwa na wanao kupinga Kwa maisha yetu umekiri ushindi Damu yako vazi letu umeturembesha Sema aaaaah Aaaaah Amen……. ………………………………….. Wewe si mchawi wala hakimu fisadi Huwezi lipwa hongo kuniharamia Majeshi ya giza na mipango ya adui zangu Kama bahari ya shamu umeitawanyisha Sitasahau kwamba wewe ni Yahweh Haukuumbwa si binafamu wewe ni Alpha na Omega Sema Amen Aaaaah Amen…… (Aaacha iwe…iwe) (Oooh amen amen amen) (Tenda Bwana tenda) Leta uponyaji ….aaacha iwe Leta uwokovu…acha iwe Turehemu acha iwe Acha iwe bwana Kadiri na mapenzi yako Kadiri na neno lako Ooh timiza bwana Hebu Bwana sema sema Sema litendeke ………sema litendeke (Sema Bwanaaaaa)*4 Oooh Bwana semaaa Nena neno moja tu Maishani mwetu tu Bwana zungumza Bwana tunenee Eeeh Bwana sema sasa/leo Tunaamini neno lako (Tunaamini neno lako) Tunaamini ukinena Tunaamini ukisema Jinsi ulivyo zungumza Bwana sema sasa Bwana nena sasa Tunenee Bwana Ulinena yakawa Nena leo Nena Bwana*2 Tuneneeee Oooh Bwana sema,Yesu nenaaa Eeeh Bwana nena Mawimbi itulie Nena leo mawimbi ikusikie Nena Leo wakusikie Nena leo adui anyamaze Nena leo nena bwana …………………… Nena Bwana Nena maishani mwetu *2 Ukinena yatatendeka Tunaamini neno lako Tunaamini ukinena Tunaamini ukisema Tunaamini yatatendeka Kwa hivyo sema leo sema leo Sema maishani mwetu Bwana Sema na litatendeka Bwana Kadri na mapenzi yako ……………….. Mwisho ❤️
LYRICS;
Aaahuu ……..aaaah……
Nikulinganishe na nini Messiah
Sadaka ipi nikupe nukutosheleze
Hakuna mwingine aliye ulicho
Utukufu wako uridhi wangu japo sifai
Mimi mwenye dhambi na bado wanipenda
Mkono wako na uzuri wako nimeuona
Wewe ni Mungu wastahili heshima ya kupindukia
Hujawahi wezwa na wanao kupinga
Kwa maisha yetu umekiri ushindi
Damu yako vazi letu umeturembesha
Sema aaaaah
Aaaaah Amen…….
…………………………………..
Wewe si mchawi wala hakimu fisadi
Huwezi lipwa hongo kuniharamia
Majeshi ya giza na mipango ya adui zangu
Kama bahari ya shamu umeitawanyisha
Sitasahau kwamba wewe ni Yahweh
Haukuumbwa si binafamu wewe ni Alpha na Omega
Sema Amen
Aaaaah Amen……
(Aaacha iwe…iwe)
(Oooh amen amen amen)
(Tenda Bwana tenda)
Leta uponyaji ….aaacha iwe
Leta uwokovu…acha iwe
Turehemu acha iwe
Acha iwe bwana
Kadiri na mapenzi yako
Kadiri na neno lako
Ooh timiza bwana
Hebu Bwana sema sema
Sema litendeke ………sema litendeke
(Sema Bwanaaaaa)*4
Oooh Bwana semaaa
Nena neno moja tu
Maishani mwetu tu
Bwana zungumza
Bwana tunenee
Eeeh Bwana sema sasa/leo
Tunaamini neno lako
(Tunaamini neno lako)
Tunaamini ukinena
Tunaamini ukisema
Jinsi ulivyo zungumza
Bwana sema sasa
Bwana nena sasa
Tunenee Bwana
Ulinena yakawa
Nena leo
Nena Bwana*2
Tuneneeee
Oooh Bwana sema,Yesu nenaaa
Eeeh Bwana nena
Mawimbi itulie
Nena leo mawimbi ikusikie
Nena Leo wakusikie
Nena leo adui anyamaze
Nena leo nena bwana
……………………
Nena Bwana
Nena maishani mwetu *2
Ukinena yatatendeka
Tunaamini neno lako
Tunaamini ukinena
Tunaamini ukisema
Tunaamini yatatendeka
Kwa hivyo sema leo sema leo
Sema maishani mwetu Bwana
Sema na litatendeka Bwana
Kadri na mapenzi yako
………………..
Mwisho ❤️
❤🔥
Wooow woooowww how am I seeing this now 😱 this is beautiful and very well done
i see Janice , i click fassssttttttt, blessed blessed blesssed
Acha iwe bwana❤✝
😭😭😭😭this songgggg!!!!!Mungu sema,litendeke 🥹🥹🥹AMEN!!!!!
I wish there was a subtitle/translation. I love Janice's voice. She's a true blessing. Great session guys. ❤ from Nigeria
Me too ❤❤
Please check it down below ☺️
@@pennywambui256There is no translation here pls where
Am from Zambia..I don't understand the language but this song is fire❤
Waaoaooh ! This is not of this world, This is away far from this world 🤍 Neno la Mungu 🤍🔥🔥 Please never stop ministering 🔥
I love the flow...mbarikiwe sana
Mungu awabariki sana!🤍
The lyrics are faaiiiiyaaaa🔥🔥🔥🙌🙌
Amen Amen 🙏🙏
Am blessed 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥
Just Like Psalm 44 ❤
❤❤ Glory to God..
Songs from the throne sounds like this❤.
God bless this team!
Biraka sana 🙏
Yaaaaaaaaaassssss beautiful execution. Bless you Janice and team
This is so goood🙌🏾🙌🏾
This song this song😭💓💕
I love the lyrics
Absolutely love this❤
Amen amen to God's will
Beautiful!!❤❤❤
Amazing voice!!!!
This is what we call MUSIC. Absolutely wonderful!
Awesome ❤
Barikiwa sana
🔥🔥🔥 amen, amazing song, glory to God 🙏🏼
Love it
Thank you for sharing this wonderful piece
Good stuff
🥺🥺🥺🥺 this is very beautiful ❤️
I love this❤
Oh gloryyyy❤
Love it!
eiiiishhh Glory to God
🙌
Amen...❤❤❤
Amen Amen🎉🎉🎉
Ayayaya🎉🎉🎉🎉❤ Janice
Oooh my goodness Janice😭😭😭😭😭😭
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
❤❤
Parabéns, Deus seja louvado, eu gostaria de encontrar a tradução da letra. Mais ainda assim sem entender o idioma senti algo muito bom, amém.
🎉🎉
Omo, can you help with translation please, good stuff❤❤
Amen Amen 🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥