MAKONDA AWAUMBUWA WALIO MNYWESHA SUM KAIBUKA UPYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 76

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 25 днів тому +4

    Damu ya Yesu ikulinde daima. Tunakuembea afya njema. Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha na afya njema Makonda. Kazi iendelee.

  • @IsakaKiyalo-s3v
    @IsakaKiyalo-s3v 25 днів тому +5

    Yesu wangu wewe nikuabuduye Asante kwa ukuu wako Asante kwakumfanta mtumishi huyu kupita katika ya kifo nawe ukamfanya kuwa hai kwa mapenzi yako

  • @GraceHaule-u5i
    @GraceHaule-u5i 25 днів тому +4

    Ohooo Haleluya, hakika huyu ni Bwana wa watu wote wenye mwili, nampenda sana Makonda

  • @salomekense525
    @salomekense525 25 днів тому +4

    Nimefrahi mnooo kumuona Makonda tena❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DominicaShio
    @DominicaShio 25 днів тому +6

    Tuliomba tukambiwa katika be neno LA mungu mifupa ilipata uhai na na huyu ataamka tu muwe na na Imani oh be makonda mungu akulinde zaidi

  • @rakaieva5472
    @rakaieva5472 25 днів тому +3

    Amen Amen Glory to our Lord Jesus christ of Nazareti i.m so happy for him. ❤

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 25 днів тому +2

    Mungu Aendelee Kuchukua sifa na shukrani kutoka kwa w/adam. Asante Bwana Yesu!!

  • @VeronicaGaspary
    @VeronicaGaspary 25 днів тому +2

    Ameen mtumishi Mungu akubariki

  • @sitakilyimo3906
    @sitakilyimo3906 25 днів тому +2

    Ehu!! Dah!! Sasa nimepata rahaaaaa.
    MUNGU akubariki Sana Makonda wetu NI wengi tunakupenda, na tunakupenda haki unayoitoa kwa wanyonge.
    Ukimaliza Arusha mama akupeleke na kwingine

  • @ConsolathaGilli
    @ConsolathaGilli 23 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤ Mungu asante kwa kumrudisha Rc. Makonda. Endelea kumlinda daima. Kweli tunakupenda saaana Baba chapa kazi.

  • @salomekense525
    @salomekense525 25 днів тому +3

    Hutakufa kwa sumu Bali utaishi.

  • @AnatoryNyagalu
    @AnatoryNyagalu 25 днів тому +3

    Kukonda siyo shida tunachoshukuru mungu yu mzima

  • @Nguvuyaasili
    @Nguvuyaasili 25 днів тому +2

    Mungu umlinde huyu mtumishi wako Makonda mfunike kwa damu ya Yesu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @IssaJohn-kk8pb
    @IssaJohn-kk8pb 25 днів тому +1

    Mbarikiwe watumishi wa mungu kwa kyzungumza kwenu uko vizuri baba angu

  • @mamanbinwashadrack2257
    @mamanbinwashadrack2257 25 днів тому

    Sifa heshima na utukufu narudisha kwako BWANA YESU, hakika umesikia maombi yetu, BWANA YESU aendelee kuku imarisha na kukutunza Makonda wetu

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 25 днів тому

    Amina hakika mungu yu mwema Kila wakati Asante yesu

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 25 днів тому +3

    Kweli amepungua sana Ila tunaamini Mungu atakupigania sana

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 25 днів тому +2

    Mungu akutangulie na nyinyi mambazi wa inchi hii munaotaka uraisi kwa kuuwa watu au damu ya watu acheni maana sasa hivi kila mtu anawajuwa na anawachukia sana ipo siku mtaaibika sana

  • @KaujuMwakajumba
    @KaujuMwakajumba 25 днів тому +1

    Mwamba karudi Asante mungu

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 25 днів тому +1

    Ooooh Asante YESU kwenye uweza wa kuponya umenyamazisha simu isiwe na nguvu kwa mtoto wako mlinde BWANA siku zote asivamiwe Tena maana ulokuwa ni kilio kwa watanzania wengi

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 24 дні тому

    Glory to God hakikaa Mungu kaonyesha ukuu wake

  • @user-lw3tg3yg5b
    @user-lw3tg3yg5b 25 днів тому

    Mungu wetu wewe ni mwema kila wakati nakila wakati Hakika wewe ni mwema kwa watu wako.uhimidiwe Mungu wetu na kutukuzwa milele HALELUYAAA

  • @raskise7493
    @raskise7493 25 днів тому +1

    Kwenye kutoa taarifa za umma muwe na mipaka na uelewa wa kuwasilisha habari kwa watu,,,,,,, kichwa cha habari umeandika, "Makonda awumbua waliomnywesha sumu",,,, je akisema ajannyweshwa sumu? Huoni unaeza kuwa na kosa,,,, na serikali yetu ilivyo utaambiwa ni habari za uchochezi "" "" "" "" ushauri wangu na maoni

  • @edinamwanasenga1584
    @edinamwanasenga1584 25 днів тому +1

    Mungu mwema jamani makonda wetu karudi ila awe makini sanaa n🎉🎉🎉🎉

  • @MonicaErickChipungahelo-ol4ql
    @MonicaErickChipungahelo-ol4ql 25 днів тому

    Asanteee Mungu wa Mbinguni kwa kumlinda Makonda wetu. Hakika Mungu ni mwema saaana.

  • @MagrethFaustine-q7k
    @MagrethFaustine-q7k 24 дні тому

    Mungu akutinze baba ulinzi wa bwana uwe juu yako

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 25 днів тому +2

    Mungu Mkuu SanaAnajua yote na tusiyoyajua.

  • @MartinLaban
    @MartinLaban 25 днів тому +1

    😂😂😂😂eti hakuna hata kichuguu🤣🤣🤣makondaaaaa shidaaaaa piga kazi baba

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 24 дні тому

    Mungu wangu MUUMBA wangu. Naomba nikujue wewe zaidi , VIOJA vinavyofanyika DUNIANI vipitie KISOGONI mwangu na kwa wanaokujua wewe . binadamu kama wewe duniani hayupo .

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s 25 днів тому +1

    Amina mungu ni mwema na azidi kumpa afya njem

  • @suzanajonas3548
    @suzanajonas3548 25 днів тому

    Mungu ni mwema Amina❤️💯💯💯

  • @HappyMwakasege-k7o
    @HappyMwakasege-k7o 25 днів тому +1

    Amen 🙏🙏 Ahsante Mungu

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 25 днів тому +1

    Nimeona haufai kabisa kwani Ni Makonda au Ni Mungu katenda

  • @user-go8oo1fe1p
    @user-go8oo1fe1p 25 днів тому

    Mungu akisema imekuwa uwe hai makonda

  • @user-uu1fs6vp6g
    @user-uu1fs6vp6g 25 днів тому

    Mungu hujipenyeza kupitia watu lakin binadamu kuamini huwa ni kazi ngumu sana kwa mfano mwalimu nyelele jpm makonda hao watu ni wamhimu sana kwa afilika yetu

  • @HasnaSawaid
    @HasnaSawaid 25 днів тому

    Yaani apanimeamini kuwayupo kwelii Asante mungu kwakutuludishia mpendwawetu

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 25 днів тому +1

    Watajaribu tena. Mwovu hua hapendi kushindwa, ila sala za wengi humwokoa mwadilifu.

  • @KirewaLormwae
    @KirewaLormwae 25 днів тому +1

    Our God is faithful hallelujah

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 25 днів тому

    Damu ya yesu uzidi kukufunika mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏Ameeeeeee

  • @MathaJustin
    @MathaJustin 25 днів тому

    Mungu nimuweza wayote

  • @cassianhaule3681
    @cassianhaule3681 25 днів тому

    Imekuwa kubwa mno kwa damu safi na nyeupe shukrani za viwago zimempendeza alie kuumba🎉🎉🎉🎉❤

  • @RenatusKayoka
    @RenatusKayoka 24 дні тому

    Kwani agekufa makonda wao wasigekufa Kila mtu na mda wake dunia haipakuliwi acheni roho mbaya mnaweza mkatagulia

  • @robertrobert563
    @robertrobert563 25 днів тому +3

    Afadhali moyo umetulia

  • @user-ln2cg9rg1g
    @user-ln2cg9rg1g 25 днів тому +1

    Mungu ni mwema Na aendelee kukushindia siku hadi siku

  • @QueenNyondo-h1m
    @QueenNyondo-h1m 25 днів тому +1

    Amen GOD lS GOOD 🙏🙏🤝

  • @SarahHamis-b6k
    @SarahHamis-b6k 25 днів тому +1

    Hakika Mungu anaponya

  • @GedeonBucumi
    @GedeonBucumi 25 днів тому +1

    Amen

  • @DavisEmmanuel-vw8kf
    @DavisEmmanuel-vw8kf 25 днів тому

    Karibu brother ww ni mtete wa haki Mungu bado anakazi nawe.

  • @MagrethNjavike-hy2en
    @MagrethNjavike-hy2en 25 днів тому +1

    Kama kweli walimpa sumu Mungu awe adui juu ya adui zake daima

  • @adamhezron6540
    @adamhezron6540 24 дні тому

    Amina mnooo

  • @elizageorge2414
    @elizageorge2414 25 днів тому

    Aminaaaaaaa

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 21 день тому

    Casiani acha uchawa, muhubiri Yesu unatisha mambo ya wanasiasa wa tz achana nayo utajichafua wewe unachanganya mambo, wanasiasa wa tz wengi ni waovu tu

  • @mauridjuma9650
    @mauridjuma9650 20 днів тому

    Asante MUNGU

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 25 днів тому +2

    HALAMBEE..TUUNGANE NATUOMBEPAMOJA NAKUIMBA TUKIRUKARUKA..

  • @JASTINSEZA-kw5dp
    @JASTINSEZA-kw5dp 25 днів тому +1

    Hakika jina la BWANA lihimidiwe

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 24 дні тому

    Hakuna ushahidi dhidi ya huo uzushi jamani.

  • @angelamwakimonga8322
    @angelamwakimonga8322 25 днів тому

    Achana na siasa hubiri injili

  • @FurahaMlowe-o1l
    @FurahaMlowe-o1l 25 днів тому

    Alhadullulah

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 24 дні тому

    Watumishi tusikurupuke.

  • @restitutalucian78
    @restitutalucian78 25 днів тому

    Haleluya. Sifa na utukufu zimrudie yeye

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 25 днів тому

    Haleluyaaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @rehemambilinyi3523
    @rehemambilinyi3523 25 днів тому

    Glory to God,ila kapungua kwl

  • @forminaformina7694
    @forminaformina7694 25 днів тому

    Kwa.yoooooooote.nilioyasikia.juu.ya.kiumbe.huyo...atukuzwe.MUNGU.na.MUNGU.wetu.ni.mwaminifu.siku.zote.neema.ikawe.juu.yako

  • @danfordkarama
    @danfordkarama 25 днів тому

  • @rosejohn8494
    @rosejohn8494 25 днів тому

    waswahili husema lisemwalo lipo kama halipo laja, swali langu kwann awe gambo? kwan kuna nafasi wanagombania?

    • @ProsistaTarimo
      @ProsistaTarimo 25 днів тому +1

      Atakuwa ameona makonda anapendwa na watu wengi wivu ukamjia. Kama unamkumbuka Kaini alipomuua Abeli. Mambo ni kama hayo

  • @user-eg5nc4po2n
    @user-eg5nc4po2n 23 дні тому

    Mbona video haina sauti

  • @PatrickRobertMalungumana
    @PatrickRobertMalungumana 25 днів тому +1

    Amekonda

    • @ChajiliaSharifu
      @ChajiliaSharifu 25 днів тому +1

      Namshukuru
      Mungu
      Wangu
      Kumsimamia
      Mpendwa
      Wetu
      Wana
      Geita
      Tunakupenda
      Sana
      Na
      Mungu
      Wa
      Mbinguni
      Kweli
      Amepambana
      Wakuache
      Wewe
      Ni
      Muumin
      Safi

  • @zablonmlazi4415
    @zablonmlazi4415 25 днів тому +1

    Amen

  • @SamweliMwita-ul2kh
    @SamweliMwita-ul2kh 24 дні тому

    Amen

  • @JoisiLwengele
    @JoisiLwengele 25 днів тому +1

    Amen

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 25 днів тому

    Amen